MAU MPEMBA FUNDI WATU- VITUKO PEMBA

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 102

  • @Asili
    @Asili  6 ปีที่แล้ว +7

    "Asije kupa donda tu ukaja inga inzi" tuambie kama umeelewa maana ya hichi kiswahili cha Pemba.

  • @khamisjuma3841
    @khamisjuma3841 ปีที่แล้ว

    Kwa Hali ilivo kwa mganga mau siwezi hata kumpeleka mgonjwa mana nitageukiwa mimi

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 ปีที่แล้ว +1

    Hehehehe nimecheka mpka nimetoka machozi

  • @abdallaramadhan3850
    @abdallaramadhan3850 4 ปีที่แล้ว

    Yaan Huyu Mau yuko tofauti sana na Ukimuona ,ukimuona yaan huamini kabisaa kama anaweza kukuchekesha na kukufunza ...hongera sana.

  • @nawwarsultwaan6404
    @nawwarsultwaan6404 3 ปีที่แล้ว

    Wanisongooooa hhhhhhhaaaaaaaaa 🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂 jamani alofahamu maana ya wanisongooa naomba like

  • @hawaabubakar2619
    @hawaabubakar2619 5 ปีที่แล้ว

    Haha mbavu zangu mie mau piga watu ngugu maisha magumu i salute u all guyz safi from saudi Arabia

  • @abrahmanifarouckissa5662
    @abrahmanifarouckissa5662 3 ปีที่แล้ว

    mau utatuuwaaaaa

  • @abdallaramadhan3850
    @abdallaramadhan3850 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah,mko vizur sana..

  • @abdallaramadhan3850
    @abdallaramadhan3850 4 ปีที่แล้ว

    Tuko pamoja sana Mungu azidi kueapa tunza ya mafanikio..

  • @saidsheha9120
    @saidsheha9120 3 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli Mau ni zaidi ya mtu wallah.

  • @mwanalelee6
    @mwanalelee6 6 ปีที่แล้ว +3

    nakupenda kicheko chako tu mau wallahi wanikoshaaaaa

  • @khadijasuleyman
    @khadijasuleyman ปีที่แล้ว

    😂😂😂Laa haula wala quwata illa billah

  • @ibnseyf5724
    @ibnseyf5724 ปีที่แล้ว

    Mau utanikata mbavu aloo

  • @allyhamad4435
    @allyhamad4435 6 ปีที่แล้ว +1

    hongera Mau Mpemba ww unajua

  • @suleimanmohammed5090
    @suleimanmohammed5090 6 ปีที่แล้ว

    Hahaha kaka mau nakukubali sana mungu akutangulie kwa kila jambo

  • @azharmamyummyazhar4715
    @azharmamyummyazhar4715 6 ปีที่แล้ว

    hahahahahaaaaa c kwakucheka huku mau ww hatareeeee

  • @tecnoy292
    @tecnoy292 5 ปีที่แล้ว +1

    dah hii noma najuta kuangalia SAA 5 za uck duh hawa jamaa wataniuwa kweli hawa upreshin kwa mashine ya kukatia minaz na mibuyu

  • @a.856
    @a.856 6 ปีที่แล้ว

    Kushaowa....mpige nyungu😀😀😀

  • @nasseraisha6002
    @nasseraisha6002 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbavu zng jaman

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 6 ปีที่แล้ว +6

    Yani hapa mwisho ulipotoka na msumeno nimeparudia zaidi ya mara mia ila mara zote nimecheka kama ndio kwanza naona. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 5 ปีที่แล้ว

    Mimi bora nikae namarazi yangu lakini kwa kwa tabibu huyu aaaaa bas

  • @arjunpanditi5489
    @arjunpanditi5489 3 ปีที่แล้ว

    Du nyungu hizo utapowa tu

  • @husnaalawiy6022
    @husnaalawiy6022 5 ปีที่แล้ว

    Mau utaniuwa kwa kucheka

  • @abdulnassir233
    @abdulnassir233 6 ปีที่แล้ว +1

    Da hatari

  • @sulemootz182
    @sulemootz182 6 ปีที่แล้ว

    Ongera bosi mau

  • @saidsheha9120
    @saidsheha9120 3 ปีที่แล้ว

    Sasa Mau iyo chein saw unataka kukata mnazi?

  • @rashidseif6103
    @rashidseif6103 6 ปีที่แล้ว

    Mau ni msaani kweli kweli

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 6 ปีที่แล้ว

    Kipemba cha zamani hicho

  • @mdungially2342
    @mdungially2342 4 ปีที่แล้ว

    Ushaowa bdo punguza vile vituuu aliesikia anitafute

    • @mdungially2342
      @mdungially2342 4 ปีที่แล้ว

      Wanisongowa dah huyu DOCTOR noma

    • @mdungially2342
      @mdungially2342 4 ปีที่แล้ว

      Tobaaaaaa hizi mbavuuuuu mie mh siumwiiii tena mguuu kwa hali iyoooo

  • @kinezombie7205
    @kinezombie7205 6 ปีที่แล้ว

    ninapend vichekesh

  • @billylovebillybillylovebil8895
    @billylovebillybillylovebil8895 3 ปีที่แล้ว

    Jaman watalam hawa vimboko kabisa watu wana kabwa 🤣🤣🤣🤣😃😃😃

  • @sudafaki9699
    @sudafaki9699 6 ปีที่แล้ว

    hahahaha mmmh hii kiboko nimecheka mpaka mikojo ikitaka nitoka

  • @mnahakikibwenihaji9563
    @mnahakikibwenihaji9563 6 ปีที่แล้ว

    nakukubali mau lakini ilendege usiendeshe tena

  • @mdungially2342
    @mdungially2342 4 ปีที่แล้ว

    Kuna ng'ombe kanchinjwa

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 5 ปีที่แล้ว

    Mau ndio mtaalamu wa nyumgu

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 5 ปีที่แล้ว

    Kumbe hamuumwi mbona mmekimbia

  • @ashalol6045
    @ashalol6045 5 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣 Mau wataka mponesha au wataka muuwa

  • @ramadhanimizola3926
    @ramadhanimizola3926 2 ปีที่แล้ว

    Wap

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 6 ปีที่แล้ว +1

    Kweli hyu fundi

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 6 ปีที่แล้ว

    Asa mau malipo ya kazi utayapata wapi wakati ushawakimbiza na chensoo

  • @mnahakikibwenihaji9563
    @mnahakikibwenihaji9563 6 ปีที่แล้ว

    wanisongoaaaa 😆😅😅😅😅😅

  • @semiradogo6180
    @semiradogo6180 6 ปีที่แล้ว

    dh 😁😁😁😁😁 nakufaaa 😂😂

  • @sadikadam5251
    @sadikadam5251 6 ปีที่แล้ว

    Hahahaha mau hii ni too much nmeikubal hatarrrrrrrr

    • @adillhabib2006
      @adillhabib2006 5 ปีที่แล้ว

      mau hufai dah mpelekaj nae pia mgonjwa duuuu

  • @nassoromar762
    @nassoromar762 5 ปีที่แล้ว

    Asije kupa donda tu, ukainga nzi,

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 4 ปีที่แล้ว

    Waletuliokuja kuangalia nyungu baada yawazirijafokutuambia litengwe jumalanyungu kwajili yacovid19 tujuane hapa

  • @salymking1892
    @salymking1892 6 ปีที่แล้ว +8

    Maoni yangu kwenu
    Mm nahisi kwa Zanzibar vipaji mupo navyo mungeliunda kikundi cha pamoja na wasanii Wa pemba kina mwinyi kitatange na kachara halafu mukafanya kipindi ndani ya television ya Zanzibar ZBC ili tufurahie vya nyumbani

    • @Asili
      @Asili  6 ปีที่แล้ว

      Asante kwa maoni, mfano ndio huu Zmotion imefika Pemba na kushirikiana na wasanii wa Kangagani kufanya hii clip

    • @salymking1892
      @salymking1892 6 ปีที่แล้ว +1

      Sawa mkuu tutafurahi pakiwepo hcho kipind ktk ZBC kitavutia kma orijino comedy. Wenzetu mwanza wana FUTUHI na cc tunaweza inshaa Allah

    • @sulaymanwaziri4455
      @sulaymanwaziri4455 6 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mau kuchaniua wallah,,, wote wamepona kwa chensoo

    • @hadhilhaji9956
      @hadhilhaji9956 5 ปีที่แล้ว

      salym king

  • @cottonempire6804
    @cottonempire6804 6 ปีที่แล้ว

    huyo jamaa wa kufia hakufai Mau anaangalia camera sana

  • @allydaruweshi5983
    @allydaruweshi5983 4 ปีที่แล้ว

    duh hiyo nyungu😆😆😆

  • @salymomar9793
    @salymomar9793 6 ปีที่แล้ว

    Mau hujalazimishwa kutibu wat

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 6 ปีที่แล้ว

    Haha eti wanisongowa

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 6 ปีที่แล้ว +1

    Ati unyooshe kisha msumeno mkononi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 atabaki nani hapo,,, wote wamepona

  • @nureyna629
    @nureyna629 6 ปีที่แล้ว

    Mau fundi watu😂😂😂

  • @aliudiy4921
    @aliudiy4921 6 ปีที่แล้ว

    welewo

  • @mohdrahma5145
    @mohdrahma5145 6 ปีที่แล้ว

    hahahaaaa mau nakupenda

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 6 ปีที่แล้ว

    😂 asije kupa donda tuka.........!!

  • @josephinemakungu8447
    @josephinemakungu8447 5 ปีที่แล้ว

    mbavu zangu mungu wangu😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @alibakarmohd3563
    @alibakarmohd3563 6 ปีที่แล้ว

    Mau unakimbiza wagonjwa

  • @mudrkothman4871
    @mudrkothman4871 6 ปีที่แล้ว +1

    iyo,nyungu😂😂😂

  • @ashaabdallah5512
    @ashaabdallah5512 6 ปีที่แล้ว

    Hahahahahah mau wamuuwa mwezk

  • @aishamattar6381
    @aishamattar6381 6 ปีที่แล้ว

    hhhhhhhh uyu kweli mganga

  • @hajisalumomari3460
    @hajisalumomari3460 6 ปีที่แล้ว

    mau hasa una vishindo,
    bobwe wee

  • @mtoromtoro3338
    @mtoromtoro3338 6 ปีที่แล้ว

    naona km hospital

  • @maryammaryam5624
    @maryammaryam5624 6 ปีที่แล้ว

    ok

  • @balekisela7783
    @balekisela7783 4 ปีที่แล้ว

    hhhhhhhhhhhhhhhhh daah huyu jamaaaaaa

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 6 ปีที่แล้ว

    Mbavu zngu

  • @salimubakari4359
    @salimubakari4359 2 ปีที่แล้ว

    Du

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 6 ปีที่แล้ว

    Nnyosheee 😂😂😂😂

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 6 ปีที่แล้ว

    ama huyu kweli fund hahaha

  • @عايشهسعيد-ض5ذ
    @عايشهسعيد-ض5ذ 6 ปีที่แล้ว

    hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha hahahaha

  • @khamisshaban7492
    @khamisshaban7492 6 ปีที่แล้ว

    hahahahah jmn mbavu zangu hahah

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 ปีที่แล้ว

    😆😆😆😆😆😆😆😆

  • @shadyasaid6949
    @shadyasaid6949 6 ปีที่แล้ว

    6t

  • @قناةأبيقتيبةالشيرازي
    @قناةأبيقتيبةالشيرازي 2 ปีที่แล้ว

    هههههههههه

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 6 ปีที่แล้ว +1

    hahahaaaa😂😂😂

  • @aboubakarmassooud6908
    @aboubakarmassooud6908 6 ปีที่แล้ว

    Hahahahaha PBA

  • @saumrashid8086
    @saumrashid8086 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 6 ปีที่แล้ว

    Hahaha

  • @alibakarmohd3563
    @alibakarmohd3563 6 ปีที่แล้ว

    Hahahahaha

  • @wambaamwambaje1272
    @wambaamwambaje1272 6 ปีที่แล้ว

    Ghahaaa

  • @saidsoud1310
    @saidsoud1310 6 ปีที่แล้ว

    Hahahahah

  • @dominicamrope928
    @dominicamrope928 6 ปีที่แล้ว

    hahahaaaaaa

  • @salummbaruok9408
    @salummbaruok9408 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @ibrahimkhamis178
    @ibrahimkhamis178 6 ปีที่แล้ว

    😂

  • @halimaali1157
    @halimaali1157 6 ปีที่แล้ว +1

    asijekupa donda tukajainga nzi

  • @abdallahhamad298
    @abdallahhamad298 6 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaha

    • @adillhabib2006
      @adillhabib2006 5 ปีที่แล้ว

      nyamaza kunpata majaribu tuu

    • @adillhabib2006
      @adillhabib2006 5 ปีที่แล้ว

      eeewaniuwa weeee wanisongooaaaa