TOBA INAKUTOA KWENYE VIFUNGO VYOTE(BY Apostle Vera Muro)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 126

  • @cnm2976
    @cnm2976 ปีที่แล้ว +6

    Mara kwa mara tunafanya usafi nyumba, tunafua nguo, tunaoga miili; lakini USAFI muhimu zaidi ni kutubu kwa Mungu wa Kweli mara kwa mara. Asante sana Apostle

  • @Julita-y3c
    @Julita-y3c 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mama Bwana Yesu asufiwe,nimara yangu ya kwanza kushiriki kwa kipindi chako,yani yalenimepata kutoka kwako yamekua yamiujiza mikubw jana usiku nikiwa nikiomba Mungu akubariki zaidi na uzidi kuinuinuliwa mama

  • @AnneOpondo-ie4ej
    @AnneOpondo-ie4ej ปีที่แล้ว +3

    Nashukuru Mungu Kwa kupatana na hili ombi la toba maana lipenisaidia pakubwa sana niliyekua mtu sijui kutubu ndio nimejifunza Kwa nzia Leo Nina imani maisha yangu yanaenda kubadilika katika jina la Yesu, ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏

  • @queenmassawe4298
    @queenmassawe4298 ปีที่แล้ว +3

    Yan haya maombi nimeyaona leo nikasema ata kama niya mda wacha nijaribu kuomba jmn nimejisikia vizur na nikapata kitu km likohozi limakaa kooni nikaliteka uwii nitaendelea kufatilia ila nimejiona walau na mm naweza kuomba sasa

  • @nellydeborah943
    @nellydeborah943 6 วันที่ผ่านมา

    Bwana Asifiwe ,mtumishi kumbuka kutoa earings maana ni kinyume na Mungu soma.1timotheo 2:9 na 1petero 3:3-4

  • @angelamwangulumba1510
    @angelamwangulumba1510 ปีที่แล้ว +2

    SoMo hili limenigusa Sana mtumishi, Mungu wangu nipe nguvu nimshinde shetani niingie kwenye Toba ya kweli🙏🙏barikiwa Sana !

  • @maryongwae2409
    @maryongwae2409 2 ปีที่แล้ว +5

    Amen and Amen. Mungu nimwema kila Wakati. Barikiwa sana mutumishi.

  • @SalomeKhalfani-cm9xy
    @SalomeKhalfani-cm9xy 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mama naomba hiki kipindi maana nakihitaji sana niwe nakipitia kila wakati

    • @apostleveramuro1252
      @apostleveramuro1252  4 หลายเดือนก่อน

      Chukua mpendwa download au jitumie whatsap

  • @FurahaJann-vx3rj
    @FurahaJann-vx3rj ปีที่แล้ว +2

    Ndishimye cyane kuku nyigisha gusenga nivana mubyo banziiritse Jeanne kayonza kigari Rwanda❤😢 amenaaaa 🙏

  • @mkdg.4skolo891
    @mkdg.4skolo891 6 หลายเดือนก่อน

    Ameen mbona hufungulii tuinyonye tuidonload mahubiri

  • @EstherOduor-qq3hl
    @EstherOduor-qq3hl 9 หลายเดือนก่อน

    watu wanatumia bundle ambayo ni pesa please.kama ni ujumbe ni vyema uende moja kwa moja adi kwa ujumbe

  • @gervaschaula5520
    @gervaschaula5520 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @naemah8359
    @naemah8359 ปีที่แล้ว +1

    Hata mm Apostle karibu nichukie ii channel yako 😢😢,tulipo maliza maombi ya vita hapo ndo nlijua mm c mzinifu ki mwili tu Ila kiroho☹️☹️ mm ni player...yani ni ushuda mrefu sana😢😢😢...bt final Majini mahaba wanikaa wenyewe eti hawaezi nioa mm n mvivu siezi chunga mbuzi za wazazi wao , Jesus Christ continue hilling me plz 🤲🏽🧎🧎😭😭😭🙏🏽🙏🏽🙌🏾🙌🏾

  • @veronicawilson4263
    @veronicawilson4263 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe San Mtumishi wa MUNGU hakika MUNGU azidi kukutumia vile apendavyo nakupat nikiwa 🇮🇶

  • @mariamwaweru6049
    @mariamwaweru6049 ปีที่แล้ว +2

    Amen amen powerful God bless you very much

  • @lindaruhinda9168
    @lindaruhinda9168 ปีที่แล้ว +2

    Oooh God thank you for this servant of yours

  • @SarahWilson-g7l
    @SarahWilson-g7l 5 หลายเดือนก่อน

    Shaloom shaloom mom

  • @hjgj3847
    @hjgj3847 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen oh Hallelujah mutumisi balikiwa sana umenielimisha sana

  • @AimtongaKimaro
    @AimtongaKimaro 9 หลายเดือนก่อน

    Naona uliyoyapitia ni Kama yangu naomba namba ya cm

  • @kashindiseti4493
    @kashindiseti4493 ปีที่แล้ว +2

    Amen ❤️🙏

  • @AnetNkya
    @AnetNkya 10 หลายเดือนก่อน

    Yani nimetulia kimya naelewa na kuelewa

  • @janeturio7414
    @janeturio7414 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana mtumishi wa Bwana, nimekombolewa na damu ya Yesu Kristo hallelujah Amen and Amen ❤🎉

  • @mashlizo
    @mashlizo 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi naweza kuwasiliana na wewe vipi,?

  • @catherinekiondo955
    @catherinekiondo955 5 หลายเดือนก่อน

    Shalom !! Apostle.

  • @seerdoreen8005
    @seerdoreen8005 ปีที่แล้ว +3

    Alleluia 🙏🏽

  • @innocentkituma2714
    @innocentkituma2714 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen

  • @HusnaKibwana-c4s
    @HusnaKibwana-c4s 5 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @apazmunisi2133
    @apazmunisi2133 10 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @helenachami1349
    @helenachami1349 10 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @buyegiandrew882
    @buyegiandrew882 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimesikiliza leo tumbo limevulugika Sana na nasikia kitu kinataka kutoka kooni nakooa Sana ila yanatoka mate tu

  • @SusanAshle-zj8do
    @SusanAshle-zj8do 10 หลายเดือนก่อน

    Amen amen...katika jina la yesu Christo ...Niko huru Niko huru katika jina la yasu Christo....God bless you

  • @nellydeborah943
    @nellydeborah943 6 วันที่ผ่านมา

    Eeh mara.ya kwanza kuskia eti kuna Apostle mwanamke hata kwa bibilia nimetafuta hakuna.wanawake tuchunge vile tuna jiparade kwa miito tumeitiwa.mwanamke ana nafasi ya uinjilist ,unabii lakini sio Apostle na uchungaji.hata madhabau sio yake.sisemi kuwa niko na kinyume cha unayosema ila clag umejipa sio.samahani

    • @apostleveramuro1252
      @apostleveramuro1252  6 วันที่ผ่านมา

      @@nellydeborah943 soma waefeso 6:11-12 na pia hii toba na rehema inakuhusu ili kuondoa hicho kiburi cha uzima ndani yako. Yaan umeshajihesabia haki kiasi cha kujipa nafasi ya kumpangia Mungu nani awe nani ilikufanya kazi ya Mungu wewe dada ebu shuka Yesu ainuliwe loh

    • @apostleveramuro1252
      @apostleveramuro1252  6 วันที่ผ่านมา

      Mungu hana mipaka kama nyie mafarisayo Mungu anaangalia moyo uliotayari kumtumikia kama alivyosema kwenye yoel 2:28 matendo 2:18 kasome halafu kuwa muombaji sio unakremisha tu vitu vya rohoni vinahitaji maombi dada usipokuwa muombaji utakuwa na machuki na mawivu bila mpango wowote.

    • @apostleveramuro1252
      @apostleveramuro1252  6 วันที่ผ่านมา

      @@nellydeborah943 tena wewe ni mtumishi lakini unakiburi cha uzima na kama nimejipa hii huduma Mungu sio Mungu basi hata wewe ungejipa lakini kama ni Mungu amenipa na akuhukumu kwa maneno ya kinywa chako. Nimekuona unanifwatilia sana kwa roho mbaya na chuki sana. Reduce your bitterness ili uinuliwe na Mungu acha kujihesabia haki mwanamke mwenzangu.

    • @nellydeborah943
      @nellydeborah943 6 วันที่ผ่านมา

      @@apostleveramuro1252 ww uelewa kabisa hapa sio bitterness or kiburi hapa ni kweli na kama utaki kuifuata kweli ya biblia basi ww ndiye unakibururi.Mtumishi wa kweli lazima atii Biblia.mwanamke aruhusiwe kuwa mchungaji wala mtume na wala haipo kwa biblia ila waweza kujiita nabii na mwilinjislist .jambo lengine wanawake wastahili kujipamba kwa kuvalia earings na neccklesses .soma 1timotheo 2:9,1petero 3:3-4.na biblia inasema Mungu analitazama neno lake ili kulitimiza.Mungu ni wa mipangilio.na pia jua hapa sio jambo la kuinuliwa hapa nikutembea kwa neno la Mungu na kutii kwa kulitenda.kumbuka Yesu akasema wengi watasema tulitoa unabii na kufanya miujiza lakini atasema ondokeni mimi siwajui ,ila anamjua yule tu atendae mapenzi ya Baba na ni kuheshimu yale yameandikwa
      Kwa biblia na kuyatenda.ww una kiburi ungetafakari kwanza na kusoma vifungu nimekupa kwanza ,lengo langu ni kuikomboa nafsi yako.mbingu sio vile mnaidhania .na nikupe advice anza maisha ya toba na utakaso na uachane na vitu vya yezebeli ,SAHIZI sio kutafuta umaarufu wa uongozi bali ni kuangalia roho yako na ya wale Mungu amekutuma kwao,isije kapotea.sina ubaya nawe lakini fungua moyo wako kwa yale na kuambia itakuwa ya msaada kwa haswa kwa roho yako umileleni.God bless you

  • @lovenessjoseph5718
    @lovenessjoseph5718 2 ปีที่แล้ว +4

    Aiseee this woman has touched my heart alot namshukuru Sana Mungu kunikutanisha na hii channel amenifunua na kunifunua pakubwa Sana zaid ya Sana yani I feel blessed 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sakinaamundala8314
    @sakinaamundala8314 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen mutumishi wamungu ubarikiwe saana kwamafundisho mazuri amen

  • @ashamabunya2616
    @ashamabunya2616 2 ปีที่แล้ว +1

    Asanteee mama nimejifunza leooo

  • @KizitoMachota
    @KizitoMachota 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubaliki sana kwamafundisho mazuli mtumishi

  • @abdallahmabubu5847
    @abdallahmabubu5847 2 ปีที่แล้ว +1

    Shalom.. Mama Mungu abariki kazi yako

  • @apostleveramuro1252
    @apostleveramuro1252  ปีที่แล้ว

    Chule David uje usikilize haya maombi yatakusaidia sana ila tu omba kwa mzigo na kumaanisha sio uishie kusikiliza tu utabakia hivyo

  • @ashasalum7287
    @ashasalum7287 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mama.somo hili ni fireeeee

  • @SalomeKhalfani-cm9xy
    @SalomeKhalfani-cm9xy 4 หลายเดือนก่อน

    Shalom mama nimekuwa mnge kwako lakin toka niazi kukusikiliza natamani kila wakati nipate maombi yangu niko tanzania

    • @apostleveramuro1252
      @apostleveramuro1252  4 หลายเดือนก่อน

      Karibu salome tutakuwa tz mwezi wa sita pale mapinga kwa maombi ya kufunga na kuomba 3days karibu sana kuanzia tar 29-21 jube

    • @SalomeKhalfani-cm9xy
      @SalomeKhalfani-cm9xy 4 หลายเดือนก่อน

      @@apostleveramuro1252 ok karibu mama naomba mungu atufikishe ukikalibia nijulishe

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว

    😢😢😢Niko omani lakin kila siku naota nafanya kazi nzito kijijini alikozaliwa mama na kuruka sehem mbali mbali

  • @JoyceHaule-o7b
    @JoyceHaule-o7b 4 หลายเดือนก่อน

    Amina Mungu atuhurumie na kutusamehe ahsante somo zuri sana

  • @HappyAnton-yv4ms
    @HappyAnton-yv4ms ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu tunaomba acess ya kudowload ili tuweze kusikiliza vizuri

  • @nasmamsangi284
    @nasmamsangi284 ปีที่แล้ว

    Amina ubarikiwe mtumishi 🙏
    Ngoja ningie kwenye Toba ya kwelii ya majutoo na machoziii
    MUNGU nisamehe pale ambapo sijasimama sawasawa😭😭😭ukwelii tuna mambo mengii yanampa shetani uhalali ndani yetu

  • @tyroneshao395
    @tyroneshao395 7 วันที่ผ่านมา

    Hii iliishia kati

  • @BeatriceHenry-t3i
    @BeatriceHenry-t3i ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana na mafundisho yk Mtumishi Mungu wetu akutunze na familia yako

  • @Julita-y3c
    @Julita-y3c 10 หลายเดือนก่อน

    Sina la kusema ila nashukuru sana kwa yale nimepokea kutoka kwako

  • @chikondimadalitso
    @chikondimadalitso ปีที่แล้ว

    Umenihamisha kituo mtumishi ubarikiwe sana

  • @revinaceliber5739
    @revinaceliber5739 ปีที่แล้ว

    Asante kwa hili somo nimekupenda

  • @AnetNkya
    @AnetNkya 10 หลายเดือนก่อน

    Shalom pastor from Tanzania Machame

  • @MremboWakisukuma
    @MremboWakisukuma 10 หลายเดือนก่อน

    Shalom mama ndo naanza kukufatilia

  • @cocushubilabalongo6202
    @cocushubilabalongo6202 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen

  • @RukiaKipenzi-k9f
    @RukiaKipenzi-k9f 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu

  • @fatumandejesalim7592
    @fatumandejesalim7592 2 ปีที่แล้ว

    Apostle mimi niko saudia arabia na niko mgojwa sana naomba maombi tuuu

  • @ibrahimgabriel6948
    @ibrahimgabriel6948 ปีที่แล้ว

    Najionganisha na uwepo wa Mungu katika hiyo madhabahuu tangu hivi Mungu anipe ufunuo mkuu zaidi Mungu abadili historiia yangu

  • @hadijambwambo6833
    @hadijambwambo6833 8 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana🎉naamini nitafunguaka .

  • @luganomwaulesi8761
    @luganomwaulesi8761 ปีที่แล้ว

    Barikiwa, ni somo lina mwaka nimejifunza, nasikia moyo wangu unawaka moto natamani kupiga kelele

  • @jenipherelihaki9531
    @jenipherelihaki9531 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Apostle Vera

  • @winniegichuru7248
    @winniegichuru7248 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @theonamagese5857
    @theonamagese5857 2 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi umenifundisha toba ya kweli

  • @syalilingamwalla3229
    @syalilingamwalla3229 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @hadijambwambo6833
    @hadijambwambo6833 8 หลายเดือนก่อน

    Mara yangu ya kwanza ku

  • @sarrysichy5726
    @sarrysichy5726 2 ปีที่แล้ว +1

    Powerful

  • @happinesssweke7821
    @happinesssweke7821 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @happinesssweke7821
    @happinesssweke7821 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @madamleticia94
    @madamleticia94 ปีที่แล้ว

    Ameen Mtumishi wa Mungu 🎉🎉

  • @ashaabdallah2003
    @ashaabdallah2003 ปีที่แล้ว

    Apostle wangu

  • @neemakimaro9954
    @neemakimaro9954 2 ปีที่แล้ว

    Namshukuru mungu nitatoka nilipo kwa damu ya yesu

  • @ibrahimgabriel6948
    @ibrahimgabriel6948 ปีที่แล้ว

    Najionganisha na wewe mtumishi

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 2 ปีที่แล้ว

    Ameeeeeeen and ameeeeeeen

  • @jeskaswai8129
    @jeskaswai8129 2 ปีที่แล้ว

    Naomba uniunganishe na maombi yako

  • @bornfacechengah7100
    @bornfacechengah7100 ปีที่แล้ว

    Shalome shalome

  • @AnetNkya
    @AnetNkya 10 หลายเดือนก่อน

    Am blessed

  • @louisendunguru7106
    @louisendunguru7106 2 ปีที่แล้ว

    Hapa ndio chanzo cha kusogea

  • @esperancemuco1475
    @esperancemuco1475 2 ปีที่แล้ว

    Dada kwali Munugu azidi kuku ongeza nguvu

  • @jeannekatembe6396
    @jeannekatembe6396 2 ปีที่แล้ว

    Nipo pamoja nawe mtumishi wa Mungu

  • @ElizabethMalombola
    @ElizabethMalombola 7 หลายเดือนก่อน

    Shalom.

  • @monicakijazi6351
    @monicakijazi6351 ปีที่แล้ว

    Blessed mummy

  • @anyubangu4148
    @anyubangu4148 2 ปีที่แล้ว

    Ameen Apostle...Hili somo nalisikiliza kila wakati.

  • @davidmwasomola1172
    @davidmwasomola1172 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤ameni

  • @placidiensabimana4993
    @placidiensabimana4993 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubaliki sana sana na ubalikiwe sana

  • @helenmdee4004
    @helenmdee4004 2 ปีที่แล้ว

    Ameeen

  • @kitoiartworks3876
    @kitoiartworks3876 ปีที่แล้ว

    Amen ameen

  • @jsangelinakitengeso6196
    @jsangelinakitengeso6196 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki unatufunua sana ni wengi wanafaidika na mafundisho yako

  • @helenmdee4004
    @helenmdee4004 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki

  • @wannaproducts
    @wannaproducts 2 ปีที่แล้ว

    Isaya 52:1-2

  • @winniegichuru7248
    @winniegichuru7248 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @neginalmahundi1914
    @neginalmahundi1914 2 ปีที่แล้ว

    Amen dada

  • @fatumandejesalim7592
    @fatumandejesalim7592 2 ปีที่แล้ว +1

    amen

  • @janethpaschal1587
    @janethpaschal1587 2 ปีที่แล้ว

    Sharom apostle

  • @elizabethchiwamba8372
    @elizabethchiwamba8372 2 ปีที่แล้ว

    Shalom Dada yangu, Amina natamani niwe na Huduma kama yako

  • @priscatemba2311
    @priscatemba2311 2 ปีที่แล้ว

    Amen apostle

  • @johnkyara5026
    @johnkyara5026 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @roymuwowo4607
    @roymuwowo4607 2 ปีที่แล้ว

    Shalom

  • @vivianlyimo6830
    @vivianlyimo6830 2 ปีที่แล้ว

    AMINA

  • @veransyenga2427
    @veransyenga2427 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen apostle

  • @veeinn7965
    @veeinn7965 ปีที่แล้ว

    Amen amen 🙏🏿

  • @fridashani6562
    @fridashani6562 2 ปีที่แล้ว +2

    Shalom 🙏🏾🙏🏾