Hongera sana Mh. RC Charamila, umeongea jambo la msingi kakini pia umetoa life skills kwa waalikwa wako naamini wameondoka kitu walivyoingia wamefanikiwa kujifunza toka kwako hakika ni tarajio la kesha katika jukwaa la uongozi, Mungu akuzidishie zaidi ya hapo.
dah hapo kwenye makuuz umenigusa leo umeongea kitu fulan hivi kimenikaa nikweli kila mtu anapenda kitu kulingana na alikotoka yani malez yake nalez hiyo nimeelewa kiongoz kuna mwingine unaweza weka mzik wa ijili akaona si sawa kuna mwingine hipap akaona si sawa kumbe niile amekuaje
Kiukweli sio sawa kufungia Kazi ya msanii kama kakosea aitwe awekwe sawa lakini mm naamini mziki wa ney hua ni somo kubwa sana kwa nchi yetu sjui mamlaka inatumia Sheria ipi kufungia Kazi ya msanii nimemkumbuka jpm wakati ney alipokamatwa Moro jpm alisema aachiwe haraka sana
Sawa mweshimiwa swala la makuzi hata Yesu alisema kimtotokacho mtu ndio najisi sio kimwingiacho, mtu hutoa kilicho moyoni hata maneno. Pia hakuna miziki ya Injili kuna maneno ya injili.Injili unaweza kuimba hipap,bongo fleva, singeli, rege, bolingo, rumba nk.

Huyu Mzee anaakili kubwa Sana his mind is very smart
Yupo vizuri huyu mzee Chalamila katika hili
Sema huyu jamaa namkubali anaweza sana siasa
Mkuu wetu mkoa umeongea vyema sana kwakweli
Umeongea point kubwa saana Comrade
Perfectly
dah hapo kwenye makuuz umenigusa leo umeongea kitu fulan hivi kimenikaa nikweli kila mtu anapenda kitu kulingana na alikotoka yani malez yake nalez hiyo nimeelewa kiongoz kuna mwingine unaweza weka mzik wa ijili akaona si sawa kuna mwingine hipap akaona si sawa kumbe niile amekuaje
Mpeni chuo afundishe 😂😂😂yupo vizuri sana
Hahaha😂huyu kabla ya uteuz ali 13:00 13:00 kuwa lecture.
Upo vizuri jembe letu
Kabisa Kuna Kila sababu ya kutress back kabla hujamhukumu
Namkubali sana huyu jamaa
Ney ni mwanaume kabisa hatakagi ujinga muacheni msemaji wa wananchi
Kiukweli sio sawa kufungia Kazi ya msanii kama kakosea aitwe awekwe sawa lakini mm naamini mziki wa ney hua ni somo kubwa sana kwa nchi yetu sjui mamlaka inatumia Sheria ipi kufungia Kazi ya msanii nimemkumbuka jpm wakati ney alipokamatwa Moro jpm alisema aachiwe haraka sana
By the way amekua lecture miaka ya nyuma ukifundisha mambo ya lugha Mwenge catholic university Moshi
Leo umetoa lecture kabisa!! We unafaa kufundisha chuooo!!
Kwakweli leo nimemwelewa sana
Pokea 🥀🥀 yao mapema, m aana Leo umenifurahisha sana leo
Ameshafundisha chuo Kule Mbeya kabla ya kuja kuwa Kwenye siasa
Alikua mwalimu wa secondary baadae lecture chuo
Alikua lecture pia
Pamoja kamada
Sawa mweshimiwa swala la makuzi hata Yesu alisema kimtotokacho mtu ndio najisi sio kimwingiacho, mtu hutoa kilicho moyoni hata maneno. Pia hakuna miziki ya Injili kuna maneno ya injili.Injili unaweza kuimba hipap,bongo fleva, singeli, rege, bolingo, rumba nk.
Sawa mkuu
Kwer Ney anaishia Tz kama mkimbizi Kwa ajili ya kusema kwer😢
Subiri uchaguzi uishe
Makonda leo
Good say
Ilipaswa ashike nafasi kuu ya nchi huyu jamaa
Neiy wamitego
Ni sawa na leo Roma aichane serikali uhoji ni kwanini, wakati inajulukana akina ...... Walivyo mkamata na kumtesa.
Kama kweli mnampende mpeni cheooo tuoneee
Porojo tu,kuwe na shule za michezo na sanaa
Ngoa uchaguzi uishe 😂😂😂
Nimemuona kimaro😂😂😂
Mbona mpaka sasa wewe ni mchekeshaji
Katika hili la Ney umeongea kwa hekima.
Shule za michezo muhimu
Sas ayo makofi yanin sas kaongea fact gan apo
Uchaguzi umekaribia tutasikia mengi
Akuna Albert mjinga
Ata wanasayansi wapo wenye majina hayo
Ww hpo wa kwanza
@@SaidiMkwanda-q4j sawa mtandikaji kitanda cha DIDDY
NENO
Ney ni mwanaume kabisa hatakagi ujinga muacheni msemaji wa wananchi