Bongo updatesTV mwanetu uyo wampe saport naona watu wana comment kwa shilole tuu iyo ngoma ipo og ya muhun uyo kutoka kyela pande za uwanja wa siasa iv
Nicd work shishi..nakupendaa bure....this one is a hit🤩🤩🥰🥰🥰🥰♥️♥️♥️♥️♥️♥️..And its a new different song..Naona nikama Kidogo kama ifanane na ngoma za Kenya....🤗🤗♥️♥️♥️♥️🥰..hio beat joo..kali..dancing..rapping..yaanii napenda tu..much love from +316...
"Uchebe atanipa makesi" 😀😀hapo tu
Shishi umeua dada.
Nimerudia ili nipasikie vizuri😁😁
😀😀 me nmepapenda sana hapo
Namm nmeludia
Nimerudia mara 3
Umetishaaaaaa
yaani mziki uwaga ni ubunifu tu,kanyimbo kako simple ila katamu,asante sana baddest 47
Waaaat Shishiiii killed it amerap vizuri Dana 100 percent I loooove you Shiiiishiii foooood
Umetisha sana baddest 47... Kyela inapaisha naww now
alorudia zaidi verse ya kwanza ya shilole like here
Heneriko Pius tupo wengi kumbe😮😂😂😂
Tupo wengi 😁😁
Naona Shishi kaua 🔥🔥🔥🔥
Sijui ningongenani Banana
Mm hap
Shilole unahitaji more collable kwenye flavour kama hizi. Umefanya vizuri sana. umeitendea haki hii ngoma. Hongera
Shieeet this song slaps harder than kidero 😂😂!!! 🇰🇪 kenyans in the house mko wapi?
Shishi noma
😂😂Arusha tanzania
Kazi nzurii sana asee
Fire shishiii umenikosha hatar kaz nziriiiii@shilole
Nikuta naangalia mpaka banda linaisha naweka jingine naendelea, shishi umeniweza
Much thanks to Millard Ayo
Amenyoosha njia ya home boy BADDEST 47 Mbeya boy
Shilole ww cio mwimbaji unaforce tu fan yako ww ni mchekeshaji.
Shish kurap anapendez sana kumbe bhana salute Mrs uchebe
Daah shilole kannepa ....mpka shdaaa
Nimependa hii style shishi itakufikisha mbali kama utaendelea nayo big up
Kaaaaaaaa ngomaa ganii mbovuuu iviii yanii ase igunga umezinguaa atar badest njoo ata nzega umshirikishe popcorn wa nzegaa aseee achaa ubibi igungaa yan ujuiiii ata kdogoo maninaaaa
Jamaa aliemshirikisha shilole kafanana na mume wa zari,😂 au macho yangu jamani yanazewka😂
Kama unampenda shishi na umependa nyimbo ma kama umeona shilole kanenepa lkn bado ana cute face nipe like bila ubishi wala unafki😆😍😘😉😋
janja badest unatuwakilisha poa watu wa mbey kyela Mungu akutie nguvu sana dada shilole najua atakua amekupush kisela
Shishi hii ndo style unayotakiwa kuimba baby umetisha sana
hii yote n kujiamin ndo maana unatao kazi nzuriii much respect shishi haha bad man ohh me mwanamke
aki umetesa shishi much love from Burundi 💝🇧🇮💖
This is one of the best works of shilole this definitely a hit
Shishi babe.... Nakupenda tu bure......
Etiii bad girl mama achaaa ubovuuuuu dada anguu kwan ww mwanaume dada kaaaaa ujuiiii bhanaaa
Unaweza mama duh ww niataliiii
Sijui nikagongee spana au nikagongee rungu ama nikagongee karatee kwa sauti ya uchebe😀
Shishi umetisha sana
Iyende no.1
Umetisha dada ake sijui nikagongeeee
Ebhaanaeeeeeh Shishi ni shiidaaa umetisha kinoma Yani umetambaa fresh kinoma. Big up Sana Badman nimewaelewa
The video is so 🔥 lit, Kati ya zote shilole alizowahi kufanya
Nakubaliii....shishi baby .......of coz bad man ahhh mm ni mwanamke ......LIKES KWANGU
Umeua kikum******** yaaaani we msenge shishiiiii nakuelewa
Waliongalia hii nyimbo zaidi ya mara moja tujuane hapa
Nikagongee# ngoma Kali sana anaemkubali shishi baby agonge like hpo chini tujuane
Niko hapa where r u from?
@@cloudcloudy5876 am from china
@@cloudcloudy5876 how about u ??
@@jawadyrasheed6880 Kenya bt u written in Swahili
Sawa sawa umeuwa shishi bebe
alichofanya shishi,,,,,ni zaidi ya unyama yaani fire
Embu shishi fanya kututendea mashabiki zako Hakii tumeshakula shishi food sana na tumeshiba tunaomba 2023 tupe banger jimbo flan lakuzima 🔥 moto 🥺🥺
Baddest. Your going places now homeboy. You represent kyela - mbeya
Bongo updatesTV mwanetu uyo wampe saport naona watu wana comment kwa shilole tuu iyo ngoma ipo og ya muhun uyo kutoka kyela pande za uwanja wa siasa iv
Shishii umetuwezaa Aya bhn Ngoma Kalii ya Mabaharia
sauti yani sezi eleza..baddest🔥🔥
Empress Kate kumbe
mamb
Umetisha shsh ang daaaa ngoma kali
Big love Shishi badgal from Bangkok😍😍😍
#1 now umetisha Dada
Wimbo unanvuruga sio poa, kaliiii sanaaa
Sijuiii nikagongeee wap nimeipenda balaaa
Hii ngoma imezidi ile ya kwanza ya baddest akiwa mwenyewe
bonge moja la bang,itafanya vzr sn,you kill it
aisee shilole umepiga verse ambayo marapa mavi hawaezi pita big up mammy
Kenyan style.baddest ngoma kubwa hii....
Mimi nataka nimuoe mdogo wa shilole, so shilole kama umeiona hii comment yangu naomba uniunganishe na mdogo wako nimlete huku congo
chichi umeuwa kinyama Daaaah Réspectée yani uku walabuni tumeipata kbs umetisha kinoma👏👏👏👏👏❤❤❤❤❤💋💋💋💋💋
Shishi Hakuna ulicho kifanya humo bora uendelee na kazi yako ya upishi tu!!
Wivu tuu fyuuuu
@@nasramohamedi4095 wivu wa nn sasa
Shishi Trump nakukubali sanaa,hii ni maalum kwetu mabaharia wakike&kiume
Shishi katambaa na ngoma Ile mbaya
like nyingi Kwa Shishi Trump
Nicd work shishi..nakupendaa bure....this one is a hit🤩🤩🥰🥰🥰🥰♥️♥️♥️♥️♥️♥️..And its a new different song..Naona nikama Kidogo kama ifanane na ngoma za Kenya....🤗🤗♥️♥️♥️♥️🥰..hio beat joo..kali..dancing..rapping..yaanii napenda tu..much love from +316...
This woman if fuakin cute,umetesa sana shish
baddest ...bad man mshukur sana d-ommy mzeee maana yy ndo alkua mtu wa kwanza kabsa kuku fungulia dunia nimeipiga sana ngoma yako .😂😂👏👏
Ungewaweka machalii wa kwetu chuga enhee ingebamba
Kazi nzuri sana shishibebe
Sijui nikagongee ghetto
Ethic, boondocks gang na ochungulo family need to be on the remix alafu mcheki vile mtapenya Kenya deadly.
Nani anaona kama mimi...
Hii ngoma unaombea mkopo b.o.t ❤❤❤
Shishi Katu-Boost tena Tuliomsahau🤗🤗🤗
Ngoma Kali shishi me yule boi uliecheza nae uwanja wa karume kwenye tamasha LA ttcl gonga like zakutosha
2024??❤
Good girl,sema umenona mama duuuh
daaahh shishi umetembea na biti sanaa
Kitu kina bamba kinyama. Ungetafta machalii ya chugaa wacheze ndo ingenoga kabisaaa. Hii kitu imekaa kichugaa chugaa mazeeee
Kweli manzee
Patrick Christopher kabisa broo
Patrick Christopher mwanangu comment yako hii nimeielewa 👍🏾
Umeonaaaa eh
@@newmuscat1698.
duuu!! kweli shishi amefanya poa Sana aisee
dada shishi we mkari huaaa🙅🙅🙅 hatariiiiii
Wametixha hatariiiiiiiiii
Ili chuma hatareee yan sio poa baddest umeua man
Goma limetulia asante clouds media group kwa promo yenu
Nimejikuta na kupenda bure Dada angu shishi💓✌
Shishi mama umetishaaaa🙌
woooooow it's the best song i love bad boys and I'm from Etgiopia
#i'm one of your supporters I Love all your Music #Shilole
Nasema ivi ivii nikagongee tuuu kwanii vepeee na yokozuna pembeniii
nomaaaaaa saaana hii CORABO
Shishi aliupiga mwingi sana humu ndani 🇶🇦
Daaaaa mwili huo unakunyima raha
Wapi likes kwa shishi trump hatupitwiii😂😂😂
Best song ever
Shishi bby mkali oyoooo
Big up da shishi
Shishi dear n mm siz wko naomba utupe mzr daaa umenymza sn
uchepe atanipa.makesi.nimepapenda sana hapo
Shishi fanya mazoezi aiseeee umenenepa sana
Sanaaaa mwanadada mpambanaji
king pzlle da baddest47 kazi nzur...keep it up broo
Uko vzr dada yngu hauchuji penda sana shishi
Bad man kaua ni htar kwa msimu huu----- kama wauni mpo pamoja na wazo langu ...gonga dole hapo
Shilole umekuwa mnyamwezi sana 🔥🔥🔥🔥
Jaman shish umeuwaaaaa
Umetisha sis
Wapi tuliorudia rudia alipoimba shishi😃
Hili lisichana nalipenda kwa ajili ya utani wake ety oh my god mi ni mwanamke sijui
Hongera sanaa dada shishi umeipatia sanaa
Aseeeh nyimbo kali nusu nife dahhhhhhh
Ha ahabha ha shilolee umeuwaa asee etii "am bad man OMG me mwanamke" hit like here......
Here for shishi trump.....likes from kenya please
Big up sana shish baby mwamke wa shokaaaaaaaaaaaaaaa
Shilole bby hiii ni kali🔥🔥🔥🔥🔥