Salama Na Shilole Ep 5 | MAMA Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.พ. 2020
  • #YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast #SalamaNaShilole
    Listen our Podcast on
    Boomplay Link boomplay.lnk.to/SalamaNa‬
    ‪Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
    ‪ApplePodcasts Link apple.co/2Ou1bru‬
    ‪TH-cam Link bit.ly/TH-camSalamaNa
    Mama
    Zuwena Yusuf Mohammed ndo jina alopewa na wazazi wake na siko hapa kuwakosoa kwa chaguo lao hilo ila mi nadhani Shilole ndo limekaa mahala pake zaidi. Anaongea kama Shilole, anacheka kama Shilole, ni shujaa kama Shilole, REAL kama Shilole, anapenda kama Shilole na sisi tunampenda kama Shilole. Ally Rehmtullah alikua anaadhimisha miaka kumi ya kazi yake. So alifanya auditions kwa ajili ya kuchagua models kuelekea kwenye adhimisho lenyewe, Shilole aka Shishi alikua mmoja wa ma judge wa skuihiyo, picha likaanza hakuwepo popote pa kuweza kuonekana, shuguli ambayo ilichelewa kuanza kutokana na mambo mengine ilibidi pia iendelee bila yeye. Akatokea wakati tunakaribia kabisa kumaliza ila alipofika kila mtu alijua kama Shishi KAWASILI. Vicheko na matani vilitawala na kila mtu akasahau kama hata Shishi alichelewa kufika. Shishi ni ‘special’. Kuanzia muonekano mpaka tabia, jinsi anavyoishi maisha yake na jinsi anavyotafuta na kujiongeza kila siku ni mfano tosha kwetu sote ya kwamba ‘mwenda bure si mkaa bure’
    Anaweza pia akawa kafanya yote ili kuweza kutumiza ndoto yake au zake. Kaigiza, kaimba, kaishi kwenye mahusiano ambayo hajivunii kama alishawahi kuishi hivyo, kafanya biashara, kapigana na mengine mengi kapitia ambayo yanaweza kumaliza kurasa, yote kwa yote... Ni mfano wa kuigwa kwa watafutaji na wanaoanza wengi.
    Kwenye meza yetu pia alikuja kachelewa, huku akiwa kavurugwa na baadhi ya watu lakini tulipokaa tu kwenye viti yote yalisahaulika na tukajikita zaidi kwenye mazunguzo yetu ambayo yalijaa vicheko, masikitiko, simulizi za kuacha midomo wazi na faraja tele.
    Tafadhali enjoy, na chukua mawili matatu ambayo yatakufunza jambo katika safari yako na kukufanya uwe bora zaidi.
    Love,
    Salama.
    Follow:
    Twitter: / yahstonetown
    Instagram: / yahstonetown
    Facebook: / yahstonetown
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 290

  • @jacquelinesasiyo7915
    @jacquelinesasiyo7915 3 ปีที่แล้ว +29

    Kama unapenda kipindi hiki ngonga like twende sawa

  • @brendaa.5222
    @brendaa.5222 4 ปีที่แล้ว +11

    My best loved people based in TZ, nawapenda from +254🇰🇪🇰🇪🥰

  • @lavenderCWTCHEEKS
    @lavenderCWTCHEEKS 4 ปีที่แล้ว +8

    "it's okay I am a woman let me do it" words of the great shishi baby! what a strong woman

  • @alexshallom3094
    @alexshallom3094 4 ปีที่แล้ว +27

    SITOCHOKA KUWA SHABIKI WA KIPINDI HIKI, NAENJOY

  • @luhanyamipawantobi6888
    @luhanyamipawantobi6888 4 ปีที่แล้ว +59

    SALAMA mtafute Zuhura yunus kabla hajaenda London Basi!!!

  • @neemacharles5135
    @neemacharles5135 4 ปีที่แล้ว +4

    Salama hongera sna kwakutuandalia kipindi kizuri mambo yako huwa 🔥🔥💯 kila cku mwenyeze Mungu azidi kukuzidishia uombacho.mwambie shishi tunampenda pia

  • @sidval-el5816
    @sidval-el5816 4 ปีที่แล้ว +2

    "Mtu mwenye shida unaeza mfanya unavotaka". Bonge la point, "Maskini haaminiki". Show moja nzuri Dada Sally.

  • @Wanairobi
    @Wanairobi 4 ปีที่แล้ว +3

    Inaumiza sana kuona anavyoteswa na mume wake. I love you Shishi and wish you all the best! We need you and your kids need you more.

  • @G.S985
    @G.S985 4 ปีที่แล้ว +5

    Strong woman you are Shishi,sipendi zalau ya wanaume!

  • @esterdanford5563
    @esterdanford5563 4 ปีที่แล้ว +1

    Shishi....charming soul...nimependa ulivyojisifia na kukuhimiza wasanii wa kike upande wa mziki wajitunze.
    Hii ni kwa wadada wote ,muhimu kujitunza na kuweka mipaka.Last but one...You are truly beautiful dadaa🤩

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 4 ปีที่แล้ว +25

    Mdada aliye real asiyefeki,mama ntilie wa Taifa👌💃❣

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว

      Beatrice Tenywa firigisi za kuku rosti th-cam.com/video/pjqOur9SMn4/w-d-xo.html naomba subscribe tafadhal

  • @preciouspeter6126
    @preciouspeter6126 4 ปีที่แล้ว +5

    She has a big heart... hongera Shilole

  • @naimamwambe8083
    @naimamwambe8083 4 ปีที่แล้ว +3

    Salama hepu naomba siku moja uwe na huyu Dada Sheri mwenye story nzuri kuhusu kazi za ndani Oman wataelemika wengi

  • @happinessmagesa3704
    @happinessmagesa3704 4 ปีที่แล้ว +6

    Zuena nakupenda sana napenda nyenendo zako San nataman SKU moja tukutane tuongee jambo

  • @harounamahoro3436
    @harounamahoro3436 4 ปีที่แล้ว +3

    Mi ni mshabiki mkubwa sana wa kipindi hiki from Rwanda...na sitachoka kamwe!

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 4 ปีที่แล้ว +3

    Shishi ni OG comedian.salama umecheka kulko interview zote.

  • @estermakasi6246
    @estermakasi6246 4 ปีที่แล้ว +4

    Nakupenda sana Shilole, mpambanaji superwoman

  • @infinityfreak6561
    @infinityfreak6561 4 ปีที่แล้ว +2

    She is so real.. best interview so far ingekua hata siku nzima haichoshi

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว

      Halima Rk th-cam.com/video/FGhRyiorW1Y/w-d-xo.html

  • @pendohumphrey7588
    @pendohumphrey7588 4 ปีที่แล้ว +6

    The story is so touchable😭😭😭

    • @lindaadhola4514
      @lindaadhola4514 4 ปีที่แล้ว

      So touching.....sio touchable bro

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 ปีที่แล้ว +62

    Natamani kungekuwa na voice note ili niwaeleweshe nyie mnaosema shishi nae alimrekodi yule dada wa machungwa aliyemsaidia, ni kweli ndio alimrekodi sio uongo, lakini mnasahau kitu kimoja yule muuza machungwa hakwenda kwa shishi kuomba msaada, hapo ndo ilipo tofauti ya alichoongea shishi na alichofanya shishi kwa dada wa machungwa....! Shishi alimuinua yule Dada pale alipo na kwenda sehemu nyingine (kwa kumuongezea mtaji) Na alifanya kama kushawishi wengine ambao kiukweli wengi wetu tunawalalia sana wale wamama kwa kuomba punguzo wakati hatujui mikiki wanayopitia kupata hiyo 15000 ya beseni moja la matunda,......! hao anaosema shishi ni wale ambae anafatwa na mtu mwenye shida then anamsadia kwa kumrekodi uko ni kudhalilishwa, HIVI MNAELEWA?

    • @yunaisamir2099
      @yunaisamir2099 4 ปีที่แล้ว +2

      Hv una bishana na mbongo haja sikiliza kitu akaki elewa kasha comments anavo jua hata uwa eleweshe vep hawaelew mwengine ndo kaamka hata mswak haja piga ana wenge la usingiz ata elewa wap mada yan me wanan kera kama nn sema ndo uswahili tena

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 4 ปีที่แล้ว +4

      Latriciah01 Augustino Asante kunielewesha

    • @chinamilenas3375
      @chinamilenas3375 4 ปีที่แล้ว +4

      Yn bora umejitahidi kuelewesha, mana mi nilishindwa haa, big up

    • @haimahaima9135
      @haimahaima9135 4 ปีที่แล้ว +2

      Waoooo bora umesem ww wengne hawaelew jmn

    • @barikiwa22
      @barikiwa22 4 ปีที่แล้ว +3

      Haijalishi point ni kwamba unapotoa msaada hutangazi, ni siri yako na Mungu wako.

  • @ibrahimdea2659
    @ibrahimdea2659 4 ปีที่แล้ว +2

    Katika interview zote ulizofanya hii bhana ni noma coz dada shishi kafunguka mpaka raha! i realy preciate that

  • @mtanzaniahalisimungunimwem673
    @mtanzaniahalisimungunimwem673 4 ปีที่แล้ว +2

    Salama hongera kwa kazi nzr sana.Nakupenda Sana na Mungu akubariki mno

  • @said306nyatu9
    @said306nyatu9 4 ปีที่แล้ว +4

    Kweli. Shishi. Mzuri. Sana. Mashaallah

  • @jessydaktari5209
    @jessydaktari5209 4 ปีที่แล้ว +6

    🔥🔥🔥🔥salama na shishi😚😚😚👌👌👌👌bravoooo

  • @theresiandasuya1849
    @theresiandasuya1849 4 ปีที่แล้ว

    Sikuwa najua historia yako kabla, pole na hongera sana kwa hatua uliyofikia shishi, nakupenda sana, Mungu ni mkubwa

  • @violtimoth770
    @violtimoth770 4 ปีที่แล้ว +3

    You are amazing Salama😍😍😍😍

  • @queenseptember4640
    @queenseptember4640 4 ปีที่แล้ว +20

    Shishi pole sana kwa tukio la kubakwa, miaka 14 ulikua bado mdogo sana, i can imagine maumivu uliyoyapata, ila nimefurahi kua ulisamehe na maisha yakaenda, inaonesha na wewe ulikua unamkubali, lol.

  • @leslienakara9890
    @leslienakara9890 4 ปีที่แล้ว +2

    umekuwa legend sana mtu mzima.......
    NEXT LEVEL

  • @ufugajitv4749
    @ufugajitv4749 4 ปีที่แล้ว +4

    Toka mkasi nimemmic welcome back salama

  • @leslienakara9890
    @leslienakara9890 4 ปีที่แล้ว

    una vipindi vya ki LEGEND SANA MTU MZIMA. NAKUFUATILIAGA SANA KITAMBO. una maswali ya kikubwa sana........ big up salama jabiri

  • @jacklinemichael9462
    @jacklinemichael9462 4 ปีที่แล้ว +9

    Yaan shilole anajihoj mwenyewe😂😂😂

  • @rodgernambuta7502
    @rodgernambuta7502 4 ปีที่แล้ว +3

    Sijapenda hiyo style ya mike kufunika vitambaa inaonekana kama mnatambika hivi kaah

  • @Emmy22655
    @Emmy22655 4 ปีที่แล้ว +3

    Love u so much my Salama u so beautiful 💞😍💞💞😍really. and vry strong. Joo sauza one day💞💞💞 please Salama

  • @shedrackelia687
    @shedrackelia687 4 ปีที่แล้ว +6

    Shishi hii interview imenichelesha kazin

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 4 ปีที่แล้ว +3

    What a strong woman,and 🙌👌

  • @ibrahimzuberi1029
    @ibrahimzuberi1029 4 ปีที่แล้ว +6

    Bonge ya interview, plz tuletee idris,bigbrain pfunk na dj fetty plzplz

  • @faithmwangosi16
    @faithmwangosi16 4 ปีที่แล้ว +3

    Nampenda huyu dada jamani💖

  • @swaumabdi4213
    @swaumabdi4213 3 ปีที่แล้ว +1

    Salama ubana nywele umependeza kweli mashallah

  • @halimasoyomar7289
    @halimasoyomar7289 4 ปีที่แล้ว +5

    Shishi nakupenda ukiongea staki. Ata umalize

  • @gradelinemedia6453
    @gradelinemedia6453 4 ปีที่แล้ว +3

    U know what i love from u Salama? Unaishi wewe unatenda wewe haufake. Naamini una vitu vingi vikubwa mbeleni. Tuombe tuishi

  • @fellygal5414
    @fellygal5414 4 ปีที่แล้ว +2

    Salama rudia kumuhoji shilole its a nice interview

  • @chobydibibi8115
    @chobydibibi8115 4 ปีที่แล้ว +3

    Shishi naomba soma comet mm Niko kama ww nawachukia zaidi yako

  • @samihzamil2346
    @samihzamil2346 4 ปีที่แล้ว +4

    Good job salama from 🇨🇦🇨🇦🇨🇦

  • @vailethamin8439
    @vailethamin8439 4 ปีที่แล้ว +3

    leo ww haupo kesho upo😀😀😀

  • @sharonkitur5645
    @sharonkitur5645 3 ปีที่แล้ว

    Shilole you are great! Great interview!

  • @jacklinemichael9462
    @jacklinemichael9462 4 ปีที่แล้ว +7

    Interview za shishi aziishi hamu kusikilza

  • @huktyasnaty4023
    @huktyasnaty4023 4 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda shishiii kiukweli napenda mpk maisha yake afek life uyuuu Dada

  • @agnessjohn2460
    @agnessjohn2460 4 ปีที่แล้ว +4

    Shishi is so priceless ❤

  • @halimaaasaeed8785
    @halimaaasaeed8785 4 ปีที่แล้ว +1

    Shi shi nacheka ka mazur unanifurahish we we mchesh mashaallah

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 4 ปีที่แล้ว +15

    Salama leo umeishiwa pozi mana ata masuali yamekuishia chezea Shishi baby wewe ana story mpk bac unacheka unahizunika maisha yanaenda na maisha ni kupambana wanawake hakuna kukata tamaa

    • @tedymwandara5480
      @tedymwandara5480 4 ปีที่แล้ว +1

      Yani sisi wanawake tuna akili sana.

    • @adbellar338
      @adbellar338 4 ปีที่แล้ว +1

      @@tedymwandara5480 sanaa. Sisi jembe!!

  • @gasanajacques2247
    @gasanajacques2247 4 ปีที่แล้ว +4

    am a big fan shishi love from canada yani nakupenda mnoo

  • @hadijasalimu1808
    @hadijasalimu1808 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwanza naweoenda nyote salama sana nakupenda shichi umeongea ukweli

  • @wilsonmaduhu6013
    @wilsonmaduhu6013 4 ปีที่แล้ว +4

    Good interview

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว

      Wilson Maduhu firigisi tamu rosti th-cam.com/video/pjqOur9SMn4/w-d-xo.html naomba subscribe tafadhal

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 ปีที่แล้ว +2

    Nakupenda sana *shishibaby* adi naumwa 😘😍😍😍😍🌹💋

  • @zawadiidi1344
    @zawadiidi1344 4 ปีที่แล้ว

    Vizuri sana

  • @shemsaabdallah3898
    @shemsaabdallah3898 4 ปีที่แล้ว +1

    Salama uko juuuuuu unatuwakilisa wa Zanzibar yahstone Towan

  • @husnazaid827
    @husnazaid827 4 ปีที่แล้ว +1

    Kaz nzuri da Salama

  • @musamwambindo2929
    @musamwambindo2929 2 ปีที่แล้ว

    Very inspiring story.story imenigusa sana.hatufai kukata tamaa wakati Bado tunaishi.

  • @Janjaro254
    @Janjaro254 4 ปีที่แล้ว +3

    Salamaa🔥

  • @shaniahrachma3114
    @shaniahrachma3114 4 ปีที่แล้ว +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣salama much love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣shilole ❤️❤️❤️❤️💕💕💕💕

  • @mizamizaa7728
    @mizamizaa7728 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda Shishi😘😘😘

  • @fridahmuthinja3288
    @fridahmuthinja3288 3 ปีที่แล้ว

    Breathe of fresh air💓

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 4 ปีที่แล้ว +2

    Hata Sasa Shishi Wa Pendeza 👍😘

  • @jennifermlyakalam5000
    @jennifermlyakalam5000 4 ปีที่แล้ว

    Ni kweli mzuri bhn weee

  • @jamilaathumani9004
    @jamilaathumani9004 4 ปีที่แล้ว +1

    Nanisingo mama,,, Story zinafafa nayakwangu kabisa,, by the way nampenda Sana shishi nataman nionane nae

  • @dianafesto4240
    @dianafesto4240 ปีที่แล้ว

    She's so good mwanamke mpambanaj ❤️❤️❤️

  • @badilimgambo4674
    @badilimgambo4674 4 ปีที่แล้ว +2

    Iyachiyeeee iyoooo... ujawai kosea

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว

      Badili Mgambo th-cam.com/video/FGhRyiorW1Y/w-d-xo.html

  • @sheysarahnjeno9326
    @sheysarahnjeno9326 4 ปีที่แล้ว

    Nakukubali salama.my lv pia shish

  • @nurumanyota1957
    @nurumanyota1957 4 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukulinda na kukubariki dada zuwena

  • @monicamsemo7577
    @monicamsemo7577 4 ปีที่แล้ว +11

    Waooo yani nmejifunzaa sana kupitia shishi good interview nakipenda hichi kipindii mnoo

  • @lilyjuma2265
    @lilyjuma2265 4 ปีที่แล้ว +10

    Mhhhmhhhh da shishi nakupenda lkn kwa hilo hpn ,,heb kumbuk we yule muuza machungwa ulimrekodi ili iwe nn mxeeew kwel muongo hn kumb kumb..

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 4 ปีที่แล้ว +1

      Lily Juma Alafu tena yuko siliazi hapo kama cyeye wa machungwa

    • @kazkaz1943
      @kazkaz1943 4 ปีที่แล้ว +2

      ahahaha bongo movie wanasahu harakaaa yan kakauka kama sio yeye alotoa elfu 50

    • @lilyjuma2265
      @lilyjuma2265 4 ปีที่แล้ว

      @@veronicadaniel1122 hahahahah

    • @mariamsiraju5612
      @mariamsiraju5612 4 ปีที่แล้ว

      @@veronicadaniel1122 jamn mbon yule dada wa machungwa hakutak msaada ila shilole alichokifanya ni kumuunga mkono tuu

    • @zenamadhan2517
      @zenamadhan2517 4 ปีที่แล้ว

      Ndio wasanii baadhi yao hujiropokea tuu

  • @jumanina446
    @jumanina446 4 ปีที่แล้ว

    We mwanamke badilisha neno lako la kusema Mungu alivo mbaya

  • @mwanaidhassan229
    @mwanaidhassan229 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah akili kubwa sana

  • @prosperpuro1712
    @prosperpuro1712 4 ปีที่แล้ว +2

    Sema shishi chizi sana 😂😂😂 ndomana nakuelewq sana mama

  • @kentychristine8539
    @kentychristine8539 4 ปีที่แล้ว +2

    She is right though.. Imagine you at the lowest point of your life.. And then someone comes to help u with a camera.. People keep ur cameras at home when helping the need....

  • @halimanasihu1200
    @halimanasihu1200 4 ปีที่แล้ว

    Nice salama na shishi

  • @hadijasalimu1808
    @hadijasalimu1808 4 ปีที่แล้ว +7

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂shishi pole yani kama wanieleza mm yalinikuta

  • @dollyandthedoliganeloi3025
    @dollyandthedoliganeloi3025 4 ปีที่แล้ว +2

    nyumba big brother 😁

  • @annatariq5378
    @annatariq5378 4 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye kuota nimecheka San uwii

  • @khimfarawaytz6910
    @khimfarawaytz6910 4 ปีที่แล้ว

    Nakupend buree dada yanguu zuwena

  • @amriyaaziz2199
    @amriyaaziz2199 4 ปีที่แล้ว +4

    Dada ulimpa dada machungwa elfu hamsini tunakumbuka ukamrekodi

  • @emmynjeri2478
    @emmynjeri2478 4 ปีที่แล้ว

    Woow Salama na Shishi pendaaa sana

  • @hawamtambwa402
    @hawamtambwa402 4 ปีที่แล้ว +14

    Nilikuwa nataman sana interview Na huyu Dada Nakupenda Shishi mm nataman siku Moja nikutane Na ww

  • @aliabraj688
    @aliabraj688 3 ปีที่แล้ว

    Salama jaribu kuwaambia wageni wako wasiongee huwa wanakula huwa wanatukirihisha.

  • @hadijagere
    @hadijagere 4 ปีที่แล้ว +3

    Yani shishi nampenda

  • @atienograce7564
    @atienograce7564 4 ปีที่แล้ว +3

    Shilole nakupenda😭😭😭😭😭😭

  • @sakinaomar4855
    @sakinaomar4855 4 ปีที่แล้ว +2

    Love shish

  • @elizabethjoseph2116
    @elizabethjoseph2116 4 ปีที่แล้ว +2

    Daah shilole ananipa raha sana anavitukoo hahahahaa

  • @albanokomba5363
    @albanokomba5363 2 ปีที่แล้ว

    Nampenda sana huyu dada

  • @jamilaathumani9004
    @jamilaathumani9004 4 ปีที่แล้ว +2

    Story ya shishi inafanana nayakwangu nampaka sasa mwanangu anamiaka 14 Yupo form one

  • @halimaaasaeed8785
    @halimaaasaeed8785 4 ปีที่แล้ว +1

    Shi shi mtam we we nakupend sn ila pole kwa mitihani iyo sio yamoja mm pia imenikuta ila Allah atusaheh

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 4 ปีที่แล้ว +3

    Hii stoli imenigusa mm miezi 7 ndo najua km mjamzito na siku aliotoa bikra na mimba 😭

  • @abujuhaifah7461
    @abujuhaifah7461 4 ปีที่แล้ว +2

    Ah stori hii ya mchezo hakuna lolte shishi kama uongo flani

  • @hamidalihumbo1612
    @hamidalihumbo1612 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda shishi

  • @justdee6086
    @justdee6086 4 ปีที่แล้ว +1

    Halafu huyu mdada ana miakili mashallah

  • @hatibuchaka5494
    @hatibuchaka5494 4 ปีที่แล้ว +2

    Nice interview

  • @bahajajuma5947
    @bahajajuma5947 4 ปีที่แล้ว +6

    Kweli Salama unampenda Shish😍co kwa kufurahi huko😂😂😂!!.....happy life

    • @IlhaamMarshed
      @IlhaamMarshed 4 ปีที่แล้ว +1

      Bahaja Juma firigisi za kuku rosti th-cam.com/video/pjqOur9SMn4/w-d-xo.html naomba subscribe tafadhal

    • @bahajajuma5947
      @bahajajuma5947 4 ปีที่แล้ว

      Nishasubscribe

    • @jaychagagaltv659
      @jaychagagaltv659 4 ปีที่แล้ว

      Subscribe kwenye TH-cam channel yangu BONYEZA hiyo picha kushoto hapo dear

  • @aronnyboy_tz7785
    @aronnyboy_tz7785 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama unaamin salama alikuwa danger BCC like yako

  • @user-ye3nh4vm3p
    @user-ye3nh4vm3p 4 ปีที่แล้ว +2

    Wallah hawa watu wawili minawapenda hahahahahaha

  • @xizojr
    @xizojr 4 ปีที่แล้ว +3

    Quality of sound is dope...