Shilole Feat Aslay - Ukintekenya (Official Video) SMS SKIZA 7917810 to 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • #Shilole #Ukintekenya #Aslay
    Shilole Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    ffm.to/shilole
    For Bookings: OfficialShilole@gmail.com | mxcartertz@gmail.com
    Follow Shilole on:
    / officialshilole
    / shilolekiuno
    / officialshilole
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz

ความคิดเห็น • 2.1K

  • @muhamedyjairos6906
    @muhamedyjairos6906 ปีที่แล้ว +6

    Wapili mie hapa nausikia nikiwa Lusaka Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 I need All like for this one

  • @shikuf2975
    @shikuf2975 5 ปีที่แล้ว +3

    Jamani kutoka +254 sijawahi pata likes..nipeni tuu juu ya hiyo nguo ya yellow alovaa shilole

  • @jacquelinethadey1805
    @jacquelinethadey1805 5 ปีที่แล้ว +144

    Vile nampenda Shilole kila wakati najikuta tu naongoza viewers ili afike kileleni.Kama unampenda shilole kama mimi gonga like hapa twende sawa

  • @aishaelias3867
    @aishaelias3867 5 ปีที่แล้ว +142

    Nyimbo kali sana hii, Aslay ameuteka wimbo dah congratulations 🎉 shishi and Aslay wimbo ni motrooo imepenya hadi Germany

    • @jinomo_ss
      @jinomo_ss 5 ปีที่แล้ว

      Dah huu wimbo siuchok penda san asly

    • @iddmohamed8179
      @iddmohamed8179 5 ปีที่แล้ว +1

      nice3ee bwana Axileeeiiii

    • @Fly_mountain
      @Fly_mountain 5 ปีที่แล้ว

      Aisha Elias good song👍👍👍

    • @mankamush1280
      @mankamush1280 5 ปีที่แล้ว +1

      Iko poa saanaaa

    • @saidjuma5944
      @saidjuma5944 5 ปีที่แล้ว

      haa

  • @horseedchanel59
    @horseedchanel59 5 ปีที่แล้ว +319

    Wenye wanapenda nyimbo ya Aslay hit like ❤🔥💪

  • @sedrickjack8678
    @sedrickjack8678 5 ปีที่แล้ว +310

    Wakwnanza mimi hapa I need all my like right here 🇺🇸🇺🇸🇺🇸

  • @evareturn6439
    @evareturn6439 5 ปีที่แล้ว +221

    From Kenya.nacomment kwa shishi ila likes mbili sijapata😭😭😭😭😭

    • @bettywanjiru6040
      @bettywanjiru6040 5 ปีที่แล้ว +2

      Nko ndani

    • @evareturn6439
      @evareturn6439 5 ปีที่แล้ว +2

      Betty Wanjiru nakulola🔥💞

    • @adillhabib2006
      @adillhabib2006 5 ปีที่แล้ว +1

      Shilole nataka kuimba na ww nimependa life stail yko nichek Whatsap +258849447771

    • @samohboy9937
      @samohboy9937 5 ปีที่แล้ว +2

      eva return soma hiyo😂😂

    • @salmaaidan169
      @salmaaidan169 5 ปีที่แล้ว +1

      Kanyimbokatmu

  • @goodluckevarist7644
    @goodluckevarist7644 5 ปีที่แล้ว +5

    Ngoma kalii kuliko jomonii shishi baby mwanamke jasiri ww Penda Saana 😘😘 ,weka like yako hapa tujuane basi team shishi 💪💪💪💪

  • @khamisrashidy1348
    @khamisrashidy1348 5 ปีที่แล้ว +1

    Mombasa hapa twende pamoja na shishi baby

  • @sakinahussen6196
    @sakinahussen6196 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani naipenda mpaka naumwa💯

  • @Buterajm25
    @Buterajm25 5 ปีที่แล้ว +375

    Aslay’s voice is the reason why I’m listening to this song he made the song lit 🔥 where’s team Aslay??

  • @sialo8624
    @sialo8624 5 ปีที่แล้ว +85

    Aiseee Hii ni Hit.....Daaaah nimerudia zaid ya mara 10....Mpaka nasisimka....Asante shilole

    • @sophiamose1328
      @sophiamose1328 5 ปีที่แล้ว +1

      Khaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pole 🤣🤣🤣🤣🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️🏃🏾‍♀️

    • @lovenesreuben6179
      @lovenesreuben6179 5 ปีที่แล้ว

      Kama mm APA❤❤

  • @mariamhaidari7170
    @mariamhaidari7170 5 ปีที่แล้ว +19

    shishi wangeee 😘😘😘ujawaikuniangusha big up mumy 😍😍😍'👌👌👌

  • @rweyemamukiobya4569
    @rweyemamukiobya4569 5 ปีที่แล้ว +1

    Ila aslay jamani hujawai kufanya makosa,ufundi kama woteee, good song madam

  • @emilyachieng5327
    @emilyachieng5327 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kumbariki huyu aslay

  • @ochiengjoseph9125
    @ochiengjoseph9125 5 ปีที่แล้ว +32

    #Ukinite ukiongeza nchi yangu #Kenya =ukinitekenya ngoma moto

  • @nurumahsein8645
    @nurumahsein8645 5 ปีที่แล้ว +33

    Kalii sanaaa shishi bby.From +254.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @einothseverine2678
    @einothseverine2678 5 ปีที่แล้ว +57

    Ngoma kali shishi, sauti ya Aslay basi tena unazidi kutekenya

  • @nunuabdallah423
    @nunuabdallah423 5 ปีที่แล้ว +1

    Noma sanaaa Aslay fund kwakweli

  • @irenegitonga9925
    @irenegitonga9925 5 ปีที่แล้ว +1

    congratulations aslay.. kasa tuko

  • @zayntana297
    @zayntana297 5 ปีที่แล้ว +16

    Shilole jamani , I swear I love it....ukintekenya🔥🔥🔥.Aslay√√√ nawapenda nyote

  • @calebkimatu7631
    @calebkimatu7631 5 ปีที่แล้ว +29

    Safi sana dada Shilole,,, 🔥 🔥 🔥,,,,from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪,,,naskia ka wasema waja Kenya,,# ukite Kenya!!!

    • @eshakroo7593
      @eshakroo7593 5 ปีที่แล้ว +1

      Aisha Athman .mimi mzaliwa kutoka Kutoka 🇰🇪🇰🇪,lakini sai ninaishi swissland🇨🇭🇨🇭 its five years .safi sana Shilole🍹🥧❤❤❤❤

  • @rachelernest6874
    @rachelernest6874 4 ปีที่แล้ว +1

    Katika nyimbo zote za shishi, hu kajua kuimba kwa kutulia sanaaaa.... kali sana

  • @shaibuhemed5720
    @shaibuhemed5720 5 ปีที่แล้ว +1

    amazing one yaan n hatari watapata tabu sana ww tekenya°°°°°

  • @hafidhifaridi1184
    @hafidhifaridi1184 5 ปีที่แล้ว +46

    Ila madada hao wamecheza vzr,pamoj maduu wananikataa sn.Ila hao madada wanajua kucheza sn.Ila watu wan matatz

  • @pampamie2375
    @pampamie2375 5 ปีที่แล้ว +46

    Wakubalio Aslay 254 pitia huku

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 5 ปีที่แล้ว +67

    Woow ongera shishi 🤗 umejitaid aslay namuamini hakoseagi nyimbo tamu sna 😋👌🙌

  • @風一樣自由
    @風一樣自由 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa Sana performance Yao wote aslay na shilole munaweza Sana

  • @CeeIgamba
    @CeeIgamba 5 ปีที่แล้ว +1

    Naona rahaaa....weeuwewe,kweli umetolewa utoto😋😋

  • @vivaidaramsy7415
    @vivaidaramsy7415 5 ปีที่แล้ว +140

    Team Shishi Na Aslay Wapi Likes Zenu😍😍

  • @djdepercriper1854
    @djdepercriper1854 5 ปีที่แล้ว +671

    Embu nataka nizione like za aslay hapa faster ..........

  • @estherakinyj9392
    @estherakinyj9392 5 ปีที่แล้ว +22

    Congrats shishi baby

  • @rosemarystanford6385
    @rosemarystanford6385 5 ปีที่แล้ว +1

    daah mwanikosha mie nyie da shishi baby and aslay star nawapenda mie mwaaaaaa%

  • @balkcefedemircan1519
    @balkcefedemircan1519 5 ปีที่แล้ว +1

    huu wimbo mzuri sehemu aliyoimba aslay tu

  • @mkudetv934
    @mkudetv934 5 ปีที่แล้ว +63

    Ngoma kali sana bt Aslay anaogopa kulisogelea zigo hilo au unamuogopa mzee wa vyuma

  • @wh0is3lla63
    @wh0is3lla63 2 ปีที่แล้ว +10

    Ukinitekenya 😍😍😍😍2022 na bado Niko hapa☺️dada Shilole na kaka Aslay Kenya 🇰🇪 tunawapenda🥰

  • @oneandonlyjanuary7579
    @oneandonlyjanuary7579 5 ปีที่แล้ว +9

    Omg! Shiii x Aslay mapenzi tele toka 254. Hii wimbo kali jamani kenyans let hit that like button. This ngoma deserves millions of views. I love you 😘❤️

  • @Evansmaldini
    @Evansmaldini 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli penzi n kidonda.... Much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @vivianchao9421
    @vivianchao9421 5 ปีที่แล้ว +1

    Am impressed very impressed.piga msamba mpaka nichanike shishi baby imeweza hii from+254.

  • @tsoniesilk6540
    @tsoniesilk6540 5 ปีที่แล้ว +6

    Ok
    👏👏👏👏
    nimetekerenyeka hapa 254...
    Good job shishi na aslay

  • @nemnem7431
    @nemnem7431 5 ปีที่แล้ว +113

    Mashallah Nawapenda wawili hawa hadi naumwa..... mimi ni mnyonge sijiwezi naombeni likes zao...

  • @khalidyngwembele1164
    @khalidyngwembele1164 5 ปีที่แล้ว +11

    Sema uchebe kaniwah tu me nlikuwa na plan za kukuowa,, mamae unanikosha sana like hapa kama unamkubali SHISHI MAGU

  • @lucywanyiri3572
    @lucywanyiri3572 4 ปีที่แล้ว

    Ukinitekenya naona rahaa..
    Its so sweet..naipendaaaa

  • @haulefidelisydamian2807
    @haulefidelisydamian2807 5 ปีที่แล้ว +1

    Nime ikubarii ngoma kariiiiiiiiiiiii

  • @amani2555
    @amani2555 5 ปีที่แล้ว +481

    *Kama hii nyimbo imefanya u subscribe Chanel hii ya Shilole gonga like tujuane* 👍👍

  • @muslimkalokola771
    @muslimkalokola771 5 ปีที่แล้ว +255

    Kama umependa kipande alicho Imba aslay kama..mm tujuane

    • @farajasamwel1898
      @farajasamwel1898 5 ปีที่แล้ว

      jack Nelly nzriii hatari

    • @amnemkubwa7353
      @amnemkubwa7353 5 ปีที่แล้ว +1

      Kamoyo kanachonyota🔥🔥❤👌😁😁😂🤣

    • @evareturn6439
      @evareturn6439 5 ปีที่แล้ว

      Nyimbo yote kaandika aslay...

    • @lankalankaa8294
      @lankalankaa8294 5 ปีที่แล้ว

      kipande cha aslay niatari kimenizingua sana

    • @annfaida2300
      @annfaida2300 5 ปีที่แล้ว

      Ukojuu aslay

  • @philiposhilingi7288
    @philiposhilingi7288 5 ปีที่แล้ว +7

    hooo nimechelewa namba like lakini
    👍👍👍💟song iko fire
    kiuno ft aslay

  • @johnbumija3801
    @johnbumija3801 3 ปีที่แล้ว +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿tupende vya kwetu🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @barakakomba6171
    @barakakomba6171 4 ปีที่แล้ว

    Ukinitekenye usiniguse kwenye mbavu good Sana brk hapa

  • @jerrybaba5228
    @jerrybaba5228 5 ปีที่แล้ว +12

    jaman shishi unakoelekaea c utaimba na masufuria!!! ha ha ha ! ila nimeipenda sana shishi

  • @hassanmbaki
    @hassanmbaki 5 ปีที่แล้ว +53

    BONGE LA NGOMA ASLAY FUNDI SANA MWENYEZ MUNGU AZIDI KUMFUNGULIA INSHALLAH 🙏

  • @karenrophina9919
    @karenrophina9919 5 ปีที่แล้ว +23

    Ukintekenya usinguse kwenye mmmmmh😄,,,,maana naona Raha..😍!!This hit is on anatha level,real talent..anatha collabo plzzzz,,great job👏?😘..nimedata..aisee@+254..

  • @benjakulungu4491
    @benjakulungu4491 5 ปีที่แล้ว

    ngoma kali tamu mmekutana wote mnajua yani ukintekenya da! bonge langoma

  • @ciajoseph9555
    @ciajoseph9555 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwaa ukinitekenya naona raaaaha😘😘😘😘

  • @ramadhanigholoji5312
    @ramadhanigholoji5312 5 ปีที่แล้ว +10

    Mama mpambanaji Safi Sana 🙏 🙏
    Team shishi igunga home nataka like

  • @lilianmori4289
    @lilianmori4289 5 ปีที่แล้ว +9

    Auuuuuch.... ouuch motoooo xana.mpaka natekenywa tabasamu ndo za kwangu

  • @getrineandove2380
    @getrineandove2380 5 ปีที่แล้ว +13

    Inaisha naanza tena can't stop listening 😭😭😍😍😍🔥🔥🔥🔥💌

    • @melissajoyce3335
      @melissajoyce3335 5 ปีที่แล้ว

      Same here ..adi neighbour amecomplain Leo😂😂😂😂😂😂

    • @wh0is3lla63
      @wh0is3lla63 2 ปีที่แล้ว

      Same

  • @raheemraheem3486
    @raheemraheem3486 5 ปีที่แล้ว

    Wow iko rada hi song......Shi bby 254 nimeikubali saaaaaana.

  • @sumaabushir1179
    @sumaabushir1179 5 ปีที่แล้ว +1

    (Ukinitekenya shilole )ngoma iko sawa na natabir hii inaenda kuwa ngoma bora ya mwaka kwako

  • @kubec.b.o7016
    @kubec.b.o7016 5 ปีที่แล้ว +293

    Waoow nc song
    +254 nahua hamnipi like zenu watanzania jamn plz!

    • @vibonzotv2342
      @vibonzotv2342 5 ปีที่แล้ว +1

      Pamoja sana very simple

    • @asiaally3105
      @asiaally3105 5 ปีที่แล้ว

      Together

    • @aishasaidi1526
      @aishasaidi1526 5 ปีที่แล้ว

      Asley katisha sana kama mnamkubali asley gonga hap

    • @mariamumsenduki231
      @mariamumsenduki231 5 ปีที่แล้ว

      bigap mnapendeza sana namnaimba kwa hisia zaid

  • @muringoliz4699
    @muringoliz4699 5 ปีที่แล้ว +16

    My favorite collabo ya Aslay ever✌️👌💖💖

  • @omarysuleiman7187
    @omarysuleiman7187 5 ปีที่แล้ว +412

    Team shishi tia like yako hapa

  • @alexwiliam7875
    @alexwiliam7875 5 ปีที่แล้ว +1

    me napenda wale wadada wanaocheza wamecheza vzr sana hongereni

  • @christinerebeca6612
    @christinerebeca6612 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani nishida ila nakubali ngomayako 💋👌🙏💋

  • @husnangapu502
    @husnangapu502 5 ปีที่แล้ว +67

    Mapenz kipimajoto ukanipima bariidi ulipo na mm Nipo Kikubwa nifaiidii

  • @josephwarioba4904
    @josephwarioba4904 5 ปีที่แล้ว +119

    Jamani aslay ni fire naombeni like zenu kama unamkubali aslay kanachonyota

  • @joymarcus5640
    @joymarcus5640 5 ปีที่แล้ว +60

    Shilole is the one lady Tanzanians have 😂😂shes so real and just sweet by nature. Big up boo

    • @kaliamin7130
      @kaliamin7130 4 ปีที่แล้ว +2

      She's been nice, and I loved her since that song with q chillah ametoka mbali huyu dada Respect 👸

    • @wh0is3lla63
      @wh0is3lla63 2 ปีที่แล้ว

      Sana hadi wa leo🥰

  • @shaadenshaduni7755
    @shaadenshaduni7755 5 ปีที่แล้ว +1

    Raha kweli 👌

  • @mzeesabhos9984
    @mzeesabhos9984 5 ปีที่แล้ว

    kanachonyoota,ukinitekenya naona rahaaaaaa

  • @magrethjames6811
    @magrethjames6811 5 ปีที่แล้ว +57

    Bingwa wa ngeli anachonyotwa jamani tumpe sapoti ya nguvuuuuuuu!!!

  • @martinebelinda1347
    @martinebelinda1347 5 ปีที่แล้ว +135

    Safi Sana kazi zuri nipeni hata na mimi like

  • @elizabethjames5281
    @elizabethjames5281 5 ปีที่แล้ว +6

    waoooooh jamaniiii shishi food & Aslay...ukinitekenya naona rahaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @eveliynejoseph7944
    @eveliynejoseph7944 ปีที่แล้ว +2

    One of my fav,haijaw kuchuja wallah ❣️❣️❣️

  • @chidrashid3797
    @chidrashid3797 5 ปีที่แล้ว +1

    Abanaaaa hii ngoma nibalaaaa aksanteee kanachoootaaaaa🕺🤸🤸🤸🤸

  • @sunshinesuleiman4782
    @sunshinesuleiman4782 5 ปีที่แล้ว +40

    Love you shishi 🥰🥰🥰💕 all the way from USA Minnesota

  • @salymsadick254
    @salymsadick254 5 ปีที่แล้ว +167

    Kama ASLAY kauuuaaaa, kafunikaaa tupia like apa...

  • @naheerally9019
    @naheerally9019 5 ปีที่แล้ว +31

    Nyimbo katam gonga like tujuane ❤️❤️

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 ปีที่แล้ว +5

    Waoooooh 🔥🔥🔥🔥🔥 Mpaka basi,Hongereni yani Shishi na Aslay .

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 5 ปีที่แล้ว +1

    shiiishiiii beeeeiiiibiiiiii🤙👌

  • @bardygang3507
    @bardygang3507 5 ปีที่แล้ว

    uchebe najua hakuwa mbariiiii.!!

  • @khadijadjuma5411
    @khadijadjuma5411 5 ปีที่แล้ว +11

    Eeeeeh wallah kweli penzi nikidonda love u shishi bby ❤❤❤

  • @gaburica7307
    @gaburica7307 5 ปีที่แล้ว +156

    Nice song🎶.
    Jamani like sionagi. Natokea Kenya🇰🇪

  • @careemmzigira5392
    @careemmzigira5392 5 ปีที่แล้ว +4

    Nimesikilza Mara kumi na tono mpaka umesababisaha nilitaka kuingia kwenye mtalo shishi na asley msifanye hivi jamanii yaniii nyinyi ni zaidi ya mafundi shishi shikamoooooookooo....katika nyimbo zako zote hii yangu nzuriiii Sana Sana....

  • @Vince-kw9hu
    @Vince-kw9hu 5 ปีที่แล้ว

    Manze shishi naipenda ii, naikubali, kazi mufti, Mara ya hamsini kusikiliza.. Kenya represented

  • @princeamani3860
    @princeamani3860 5 ปีที่แล้ว +1

    Tisha sanaaaa

  • @africanboyamani8640
    @africanboyamani8640 5 ปีที่แล้ว +3

    Shishi umeua hii nzuri sana tabora tuna kukubari sana marikia wa nguvu.

  • @samohboy9937
    @samohboy9937 5 ปีที่แล้ว +3

    Aslay Mtu mbaya sana gonga like 👇👇hapa kama umeikubali ngoma

  • @mwanahawajumannealipoteaki5570
    @mwanahawajumannealipoteaki5570 5 ปีที่แล้ว +12

    shishi kwenye hili song umeuaaaa

  • @kenyancoolkid5436
    @kenyancoolkid5436 2 ปีที่แล้ว +1

    GISTOFF MUSIC New label in Nairobi Kenya we like this collaboration

  • @debrahseme4194
    @debrahseme4194 5 ปีที่แล้ว

    Ukinitekenya naona raha....aaaauuch

  • @princekingson2888
    @princekingson2888 3 ปีที่แล้ว +3

    Wow..!! You kill it ma people..so sweet voice from both of you.

  • @toureskepta3924
    @toureskepta3924 5 ปีที่แล้ว +20

    Jamani kila mtu waitisha likes nami sijai wacha niitishe leo iam from 254 lkn wamekataa kunipatia lke 255 twendeni

  • @ashasaid7636
    @ashasaid7636 5 ปีที่แล้ว +6

    Yani hii nyimbo iko sawa yani nimeiwatch karibu mara 10 👌👌👌👌👌

  • @danitownofficial4182
    @danitownofficial4182 5 ปีที่แล้ว +2

    Eee bwana eee ngoma kali shishi wangu jaman

  • @العبريالعبري-ف4ه
    @العبريالعبري-ف4ه 5 ปีที่แล้ว +1

    Waoooh tamu mno

  • @bekamsodoki5420
    @bekamsodoki5420 5 ปีที่แล้ว +79

    team aslay malike kama yote yan gongelea ma LIKE tujuane wazee

  • @racheallempoko4742
    @racheallempoko4742 5 ปีที่แล้ว +38

    Woooow🔥🔥🔥🔥🔥🔥😘😘💃💃💃💃💃💃💃👊👊👊👊👊👯👌

  • @zanzi_7591
    @zanzi_7591 5 ปีที่แล้ว +13

    Asly Chilol 👌👌❤❤❤❤❤💃💃💃💃💃💃

  • @polesanakakabenjamini4719
    @polesanakakabenjamini4719 5 ปีที่แล้ว +1

    waaaaao shishi wangu mwaaa mwaaamwaaa

  • @kahawathungu
    @kahawathungu 5 ปีที่แล้ว +1

    piga msamba mpaka nchanike 🔥 🔥