Baddest 47 - Nikagongee(official music video) SMS SKIZA 7916686 to 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 410

  • @mtaalamwamambo2099
    @mtaalamwamambo2099 5 ปีที่แล้ว +387

    Kwa wale waliotoka kuisikia kweny "amplifaya" Ndio wakaja apa nataka kuona like zenu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
    Ngoma Kaliii aseee

    • @olympiaolympian5525
      @olympiaolympian5525 5 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂

    • @dshynermcongo1564
      @dshynermcongo1564 5 ปีที่แล้ว +5

      Oyooo tuliomsikia kwa Millard ayo tukuje apaaaa

    • @kopoluwiko6013
      @kopoluwiko6013 5 ปีที่แล้ว +1

      Prince Mushy we lazima mtoto wa mama ila wakitaa hii ndo hit yetu

    • @mtaalamwamambo2099
      @mtaalamwamambo2099 5 ปีที่แล้ว +1

      @@kopoluwiko6013 we Unazngua sasa, Inategemea Uko mazngira gan

    • @flaxhdoa5144
      @flaxhdoa5144 5 ปีที่แล้ว +2

      Duh hii htr xan

  • @jaytheboy2393
    @jaytheboy2393 5 ปีที่แล้ว +44

    Huwezi amini ngoma ina miezi kama 8 lakini sasa hivi ndiyo bonge la nyimbo kitaa #Nikagongeeee

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 5 ปีที่แล้ว +18

    Wangapi tumeijua hii ngoma baada ya remix na shilole ., . Nzur....nimependa mdundo

  • @footmobonline
    @footmobonline 5 ปีที่แล้ว +27

    Nilivyoisikia kwa mara ya kwanza nikadhani mwana Mkenya, kumbe mbongo.
    Ngoma kali mzee baba.

    • @leahmwangoka7982
      @leahmwangoka7982 5 ปีที่แล้ว

      hahahahaha tena kutoka kyela mbeya hatariii

  • @scholaelias2429
    @scholaelias2429 5 ปีที่แล้ว +1

    Yan huyu badest kipind nasikia wimbo wake nilijua anasula mbaya kumbe handsome mmoja fresh tu

  • @abduwakilizaidi700
    @abduwakilizaidi700 5 ปีที่แล้ว +88

    Tuliomletea mwana Salamu kutoka kwa Millard Ayo wa amplifayani sasa hivi 23/8/2019…tugonge like zetu hapa👍

    • @theblackhandentertainment7673
      @theblackhandentertainment7673 5 ปีที่แล้ว +3

      Sijaelewa kwann ilitoka muda afu Promo ndo imepata juzi Claudz ndo mi nimekuja huku, huyu mwana namjua si wa kyela mbeya anaitwa Pizzo pia ni producer nk.. Huu wimbo ndo nashtuliwa na clouds hapa juzi kati. Kwanza nikajua ni MOTRA THE FUTURE kapita kwa floo zake

    • @abduwakilizaidi700
      @abduwakilizaidi700 5 ปีที่แล้ว +1

      @@theblackhandentertainment7673 Nahisi connection pia zinamatters …😁😁

    • @samiarajabukiulashalila3737
      @samiarajabukiulashalila3737 5 ปีที่แล้ว +1

      Nc

  • @josephatjohn2390
    @josephatjohn2390 5 ปีที่แล้ว +1

    Aisee wimbo huu siuelewagi kabisa

  • @gabrielson9182
    @gabrielson9182 5 ปีที่แล้ว +164

    Aisee hii ngoma ni kali sana haijapewa promo za kutosha tuu sahz ingekua na views zaidi ya 1milion

    • @reyham1722
      @reyham1722 5 ปีที่แล้ว +1

      Kweliii ngoma tamuu kinyamaaa promo tu ndo shidaaaa

    • @rosemarycharles175
      @rosemarycharles175 5 ปีที่แล้ว +2

      Kukagongeea nyani ndonn

    • @yasinimbeju6110
      @yasinimbeju6110 5 ปีที่แล้ว +1

      kweli

    • @2116-n
      @2116-n 5 ปีที่แล้ว +2

      @@rosemarycharles175 nyagi, siyo nyani

    • @rosemarycharles175
      @rosemarycharles175 5 ปีที่แล้ว

      @@2116-n nyagi

  • @mfaumenachuli429
    @mfaumenachuli429 6 ปีที่แล้ว +20

    Petfect, Ngoma kubwa sana Video Imetishia

  • @thabitmolly6957
    @thabitmolly6957 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbeya stand Up.. kijana uko vizuri hii ngoma mimi na mke wangu toka siku ya kwanza tumeisikia imekuwa ndio ngoma yetu.

  • @binakinanga9015
    @binakinanga9015 ปีที่แล้ว +2

    Once tulipiga sherehe Tanzania... This song was hitting differently 🔥🔥 love from 254🇰🇪🇰🇪

  • @inspectornakamula7149
    @inspectornakamula7149 5 ปีที่แล้ว +23

    bravo
    kaz nzr mwamba
    keep moving""""

  • @Adisonblade
    @Adisonblade 11 หลายเดือนก่อน +1

    Weeeeeddd 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @festomwakatuma3030
    @festomwakatuma3030 6 ปีที่แล้ว +35

    Kali sana nta kusaidia kusambaza japo kua hanifa ham

  • @paschaldaud5597
    @paschaldaud5597 2 หลายเดือนก่อน +7

    2024 like here..😁

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 5 ปีที่แล้ว +32

    Ngoma Kali Weka like apa twende sawa

  • @zakayomoshi1270
    @zakayomoshi1270 5 ปีที่แล้ว +39

    Mbn ngoma Kali xana bro cjui ka uliipromote xana cz xio watu wte wanaijua

  • @vancigger5977
    @vancigger5977 5 ปีที่แล้ว

    Hiii ngomaa unaeza jikuta upo geto na Irene uwoya gafla af unagongeaaa nyagiii mamae walaiiiii

  • @shamsahmohd3921
    @shamsahmohd3921 5 ปีที่แล้ว +1

    NIMESISIMKA .....UR A SUPERSTAR BILA NGUVU ...LINDA STATUS YAKO

  • @umojamedia4167
    @umojamedia4167 5 ปีที่แล้ว +118

    Hii nyimbo umeshutia wap mbona kama nje ya nchi

  • @Adisonblade
    @Adisonblade 11 หลายเดือนก่อน +1

    Umetisha father

  • @mariamchikoko5498
    @mariamchikoko5498 5 ปีที่แล้ว +3

    😍😘 napenda iyo lafudhi ya keny bonge la hit

  • @e_j1official341
    @e_j1official341 5 ปีที่แล้ว +23

    From amplifaya ya clouds fm #meenaaly $ #millardayo ni mm mr supporter of good music umetisha mzee

  • @lizbertydidas4137
    @lizbertydidas4137 5 ปีที่แล้ว +2

    yaani me chakusema sina shd huyu mkaka mzuri adi nyimbo nzr

  • @charlesased
    @charlesased 6 ปีที่แล้ว +14

    Mwanzo mzuri kijana,keep on doing great stuffs

  • @Rogasiandesmond6
    @Rogasiandesmond6 5 ปีที่แล้ว +7

    Nyagiiiiii
    Nikagongeeeee
    Weeeeeee
    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @fahmsaidi1010
    @fahmsaidi1010 5 ปีที่แล้ว +1

    Milango ndyo imefunguka hvyo mwanangu hili goma la moto sana

  • @salmamohamed5849
    @salmamohamed5849 5 ปีที่แล้ว

    nimgongee nani nimgongee kuzuna yaani naiyangalia Mara kumi.kumi.hamu haiishi ngoma zuri sana

  • @johnmbuge618
    @johnmbuge618 5 ปีที่แล้ว +3

    Aaaaaaah ingomaaaa hatarii ivii wew ni mtanzania

  • @venansmoses
    @venansmoses ปีที่แล้ว

    Waoh unawakilisha nyakyusa ❤️❤️❤️

  • @olunguh
    @olunguh หลายเดือนก่อน

    🎉Ndo nakutana na hii ngoma 2024...cant imagine iko 6yrs old..!😂

  • @joelymhega9969
    @joelymhega9969 6 ปีที่แล้ว +28

    Ngoma Kali sana ilete wasafi TV breeeee

  • @damaleo5137
    @damaleo5137 5 ปีที่แล้ว +3

    Huu mzigo sio wa kitoto umezipindua ngoma kali nyingi

  • @rebeccaedward6795
    @rebeccaedward6795 5 ปีที่แล้ว

    Anakulaga mashemeji..... Huhuhu we kagongee tu

  • @godluvmtegajr.6154
    @godluvmtegajr.6154 5 ปีที่แล้ว +1

    nlpoiskiaa tuu ikabd niitafute... 😃😃 ngoma kali kp it up

  • @balitazariwiso367
    @balitazariwiso367 5 ปีที่แล้ว +1

    Hiiii kumbeee nawe upooo cjui nikagongee nyagii huwiii sijui nikagongee veve umetsha mzeew

  • @maryamkhamis5213
    @maryamkhamis5213 3 ปีที่แล้ว

    Nimeijua kupitia bss Yusufnizar👌👌👌👌👌👌👌🥰🥰😍

  • @hadijalukas5959
    @hadijalukas5959 4 ปีที่แล้ว

    nikagongee nyagi nimemisi sana kusikia vitu vyako towa moto 🔥🔥🔥🔥🔥 mwingine utulipuwe mashabiki zako uko juu 🙌🙌🙌🙌

  • @johnshayo7926
    @johnshayo7926 3 ปีที่แล้ว +3

    This song Melody, brought revolution, the way Tz rappers flows now days has something to do with this Song..

  • @denisdismas6864
    @denisdismas6864 5 ปีที่แล้ว +1

    Hii mara ya tatu nairudia hii ngoma ni nzuri kinomaaaaa

  • @gwandumimtuhuru189
    @gwandumimtuhuru189 5 ปีที่แล้ว

    tisha saaana...si kisenge kyela hadi world wide

  • @kharounngavason7930
    @kharounngavason7930 5 ปีที่แล้ว +5

    Safi Sanaa ucshie hapa BAC toa vitu

  • @rudeboyjames5249
    @rudeboyjames5249 5 ปีที่แล้ว

    Asee hii ngoma kali balaaa huyu jamaa kafunika noma

  • @irambonaericwamakamba6659
    @irambonaericwamakamba6659 3 ปีที่แล้ว +1

    Bad man baddest tz NAKUBALI FROM 🇧🇮🇧🇮🇹🇿

  • @devothachuma6740
    @devothachuma6740 5 ปีที่แล้ว

    Hii ngoma ninoma maana huku kitaan mpaka watoto wanaimba kaz nzur kaka

  • @tillerbizzy2779
    @tillerbizzy2779 6 ปีที่แล้ว +214

    ngoma Kar sana kama unaipenda piga like

  • @beddahboy7757
    @beddahboy7757 5 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa sijui ana undugu Na Lil ommy au mnasemaje wadau macho yangu 😀😀😀😀

  • @coletashirima2193
    @coletashirima2193 3 ปีที่แล้ว

    Namkubali badest jmn

  • @Barnizeboy
    @Barnizeboy 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hit song 🔥🔥🔥🔥

  • @sarahmtewele1899
    @sarahmtewele1899 5 ปีที่แล้ว +1

    mtoto wa mchungaji noma sanaa Ngoma kalii sana

  • @saidysaleh7421
    @saidysaleh7421 5 ปีที่แล้ว

    Nyimbo lakiboya sana ila lina mzuka sana aiseeee nimelikubali kusema kweli

  • @flaxhdoa5144
    @flaxhdoa5144 5 ปีที่แล้ว +1

    Umekill mwan xhavu kwako nakagongea ucwaze

  • @alexkapelesylvester1597
    @alexkapelesylvester1597 5 ปีที่แล้ว

    nikangongee nyag heeeee na mwana akachukua namba akabonda,,,,,,,,,,,,like

  • @legawayz6093
    @legawayz6093 5 ปีที่แล้ว

    Nilijuaga wakenya ndo wameimba aise upo juu bad man🙌🙌🙌🙌🙌💪💪

  • @nelsonmwombeki5243
    @nelsonmwombeki5243 5 ปีที่แล้ว +1

    ebwana badman katisha, video kali afu goma linaamsha, 💥💥

  • @flaviusmwemezi9961
    @flaviusmwemezi9961 5 ปีที่แล้ว +1

    How comes hii ngoma haijahit
    Salute sana wenye akili tumeelewa

  • @laulatkhalid3815
    @laulatkhalid3815 4 ปีที่แล้ว

    hili ngoma nishidaaa sana hongeraaaa😚😚😚😚

  • @LishaboyTz-sf7fo
    @LishaboyTz-sf7fo 7 หลายเดือนก่อน

    Ngoma Kari San salut kwa produced baddest 47 nom

  • @fettyomary8907
    @fettyomary8907 5 ปีที่แล้ว +1

    Crazy crazy.... Iyo sound na beat.... Yaan daaaah nice ngoma watch DEC 25 2019

  • @mkapaliberatus3636
    @mkapaliberatus3636 5 ปีที่แล้ว +3

    Mzee baba kali kuliko an noma kwel hii

  • @clemmyamani7220
    @clemmyamani7220 3 ปีที่แล้ว

    Mshindi wa BSS amenifanya nitafute hii nyimbo nizar yusufu 🙌🙌

  • @paulnyanda9572
    @paulnyanda9572 5 ปีที่แล้ว +2

    An nimeisikia na kuielewa hapo 1000%
    Noma sana

  • @hamisrungu3178
    @hamisrungu3178 5 ปีที่แล้ว

    Bigup badest 47. Umetixhaa xn brother

  • @oswardkamendu6648
    @oswardkamendu6648 6 ปีที่แล้ว +9

    Umetixha xn Mzee baba kaza utafika malengo yako 💪

  • @luganomwakapala6744
    @luganomwakapala6744 6 ปีที่แล้ว +6

    Love it...... Do well my blood.

  • @eliaslema5176
    @eliaslema5176 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana kijana tupe vitu kama ivyo

  • @petersimon2115
    @petersimon2115 5 ปีที่แล้ว

    Hii ngoma mmetishaa hatar huku kitaa now kila inasikilizwa

  • @tommyflavour9829
    @tommyflavour9829 5 ปีที่แล้ว +16

    Haya mabanger ndo yanatakiwa saiv...em leta yawe mengi mengi na promotion za kutosha .plus juhud na ubunifu ..lzma kieleweke mwamba .wahuni tuko pmj nawe......em twende kwenye usuparstar....

  • @katulawadeus8328
    @katulawadeus8328 5 ปีที่แล้ว +2

    Ni Club peke yake ikipgwa ndo wanapoteana kitaa haisikiki lkn kama umeielewa Gonga LIKE 2aminie.....

  • @phestorycharles7644
    @phestorycharles7644 5 ปีที่แล้ว

    Naupenda sana sijui nikangongee nyagi

  • @irenepreciousy7365
    @irenepreciousy7365 5 ปีที่แล้ว +1

    hongera the baddest

  • @bafaello2619
    @bafaello2619 5 ปีที่แล้ว

    Aki sawa Tu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💃💃💃💃💃💃

  • @gilibertlaizer9618
    @gilibertlaizer9618 5 ปีที่แล้ว

    Ngoma ni 🔥🔥🔥🔥🔥 budaaaaa kaza butiii mjubaaaaa

  • @katotalifestylemedia1789
    @katotalifestylemedia1789 5 ปีที่แล้ว +1

    Baddest 47 thé GREAT ONE
    mi nakujibu kwa txt
    Kagongee banana

  • @LambeDon_
    @LambeDon_ 2 ปีที่แล้ว

    Sikumfahamu baddest nikaja kumjua kwa hili goma na nilihisi mkenya 🇰🇪 2022 still inabamba

  • @johnzambi8447
    @johnzambi8447 5 ปีที่แล้ว +1

    Ngomaa iko on fireee Tanzania

  • @collinscosmas9484
    @collinscosmas9484 5 ปีที่แล้ว +9

    sijui nikakunyue maziwa ehh 2019 any one watching...

  • @malijanihamadi8310
    @malijanihamadi8310 5 ปีที่แล้ว +3

    Bad man on fire wauwe mzeee

  • @charlzstans7987
    @charlzstans7987 6 ปีที่แล้ว +1

    me pia sijui,tisha sana boy.

  • @sureladykiba5608
    @sureladykiba5608 5 ปีที่แล้ว

    Wooow huo mdundo sio wa kitoto hatarii mabaharia 😁😁😁

  • @hellenimmaculate5953
    @hellenimmaculate5953 5 ปีที่แล้ว +53

    Tuliokuja after remix na shilole like hapa

  • @augustinepaul9692
    @augustinepaul9692 5 ปีที่แล้ว

    Anaejua wimbo huu huu tu wa baddest nione like plz

  • @allanmzomozi3424
    @allanmzomozi3424 5 ปีที่แล้ว +1

    Ngoma kali sana.Big up!

  • @collinsonchariauto
    @collinsonchariauto 4 ปีที่แล้ว +3

    This song is baaaaad❤kenyans loves it ....kenya give me likes before hii ngoma ifike 1 million views

  • @Chiefmukama
    @Chiefmukama 5 ปีที่แล้ว +1

    #milardayo #minaly ndo walionileta hapa.
    Kazi nzuri ile laana, sema nini mzee baba, ipigie promo sasahivi iwe kama imetoka leo

  • @sixbertkigomakwetu7742
    @sixbertkigomakwetu7742 5 ปีที่แล้ว +2

    Ya moto sema cjui imekosa promo 💪💪

  • @blessingdeblessious2501
    @blessingdeblessious2501 5 ปีที่แล้ว +1

    shishi hiingoma anaikubal san na mm cwez ikataa aseee

  • @nicksonsamwelvumu4068
    @nicksonsamwelvumu4068 5 ปีที่แล้ว

    Umetisha sana mwamba karibu east west by Nickai Rasta

  • @tusamwangasa3156
    @tusamwangasa3156 6 ปีที่แล้ว +14

    Ngoma Kali video nzuri mungu akubaliki ufike mbali

  • @bintitaibo6638
    @bintitaibo6638 2 ปีที่แล้ว

    ngoma nimeikubali sanaaaaaaaaaaa

  • @zuhuramwambalo1767
    @zuhuramwambalo1767 5 ปีที่แล้ว

    Ngoma kali sana gongea guzuna tuu hahaaa

  • @tunechedward4960
    @tunechedward4960 5 ปีที่แล้ว +2

    Kama umemskiza Badman Leo kiss FM nA ukaja ku prove video yake please let me know, hit like......

  • @emmanuelbuyamba9375
    @emmanuelbuyamba9375 6 ปีที่แล้ว

    no noumaaaaaaaa!! mmetusha wazeeee

  • @stanleystella2961
    @stanleystella2961 5 ปีที่แล้ว +2

    Watanzania bhana tuache kuzubaa nyimbo Kali Kama hii Yani Haina views wa kutosho jamani ila ujinga ujinga saivi milioni 5/6/7/8 jamani tuwasapot nao wakue

  • @abdimaimu3748
    @abdimaimu3748 5 ปีที่แล้ว

    Aaah mwanangu we hatr

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 5 ปีที่แล้ว

    sijui nikagongee wapii!!

  • @matridampeligwa6195
    @matridampeligwa6195 6 ปีที่แล้ว +2

    hatariiiii kazi nzuriiii

  • @amongidion652
    @amongidion652 6 ปีที่แล้ว +4

    gud music....🔥🔥🔥
    kp it up 💪💪

  • @annameryladislaus3048
    @annameryladislaus3048 5 ปีที่แล้ว

    Ngoma Kali kinyama kangonge bananaaa

  • @sizaulomi1478
    @sizaulomi1478 5 ปีที่แล้ว +14

    promote Mzee ngoma nikali ile mbayaaaa watu bado hawajaimanya wote