Shilole Feat Darassa - Rhumba (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- #Shilole #Rhumba #darassa
Shilole Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/shilole
For Bookings: OfficialShilole@gmail.com
Follow Shilole on:
/ officialshilole
/ shilolekiuno
/ officialshilole
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Unamtumia darasa vibaya hata pesa zako unazitumia vibaya dada yangu mziki hauendi hivi unavo fanya
Wimbo mtamu mtamu Ila naskiliza kila Mara utamu sjui hata uko wapi, hongera
Kama unashindwa kuacha kuuskiza huu mziki, gonga like 🔥. So much love from 🇰🇪
Welcome to watch my Official Video(Rhumba) ft Darassa 🎉🎉🎉
Hit song hii😂
Tunaisubiri kwa hamu sana❤🎉
Hivi kumbe shilole wewe ni msaniii mbona sikufahamu na sikujuiiiiii
Kumbe shilole ni msaniiii mbona sikufahamu na sikujuiii
Asante da shilole nilikuona ukiwa na mwanao hongera
Mimi wa kwanza Léo kutoka Congo 🇨🇩 naomba liké zangu plz 🙏💪🔥🇨🇩
Umeacha kupambana na M23 upo huku kutafuta like, haupo seious kijana kama wewe unamchango mdogo sana kwenye taifa lako😂😂😂😂😂😂
umemzidi hadi mwenye nyimbo coment yake iko chini yako😂
Mbna chart yko km yakizalamo😂
@@JackMsuya-j6q 🤣🤣🤣anajifanya mcongolee
Wewendo hauko seious kabisa😂@@mbakijonas5647
Tunaoamini darassa kafanya hii nyimbo kwa heshima tu ya shilole njooni hapa tujadili
Shi shi baibe🥰🥰🥰🥰🥰nakapendaga aise
*HII NYIMBO NI MBAYA SANA..yaani msanii badala ya kuimba ANAONGEA Pls Shilole endelea Kupika mama*
Mziki ni poet ama shairi kama haujui basi jua
th-cam.com/video/totrULBEbTQ/w-d-xo.html
Nilijua ni mm tu ndo sijaielewa😂 kiukweli hamna kitu
@@danneismail5442 poet gani bwana sema tu maproducer siku hizi hawakatai hela...
@@wanusheha-u3q😂😂😂
Mom shilole keep going ur Toto isha loves u much anko boda boda tafuta mwari
Aaaaah hiii napea 1 kwa 10 akuna kitu apa
Darasa unajiharibia sana. Huyu dada chakula chake kitamu sana. Abaki huko. Mistari mibovu floo mbovu. Darasa weka mipaka. Huyu dada hamna kitu
Darasa kafanya wimbo umekuwa standard ange imba Shishi mwenyewe ingekuwa wimbo mbaya wa mwaka
Hili Goma bila darasaa utumbo tu..Darasa kapamba nyimbo🇰🇪🇰🇪♥️♥️
Darassa anajua mziki sana uyu mshikaji❤
Goma kali sanaa
Dada hajui kuimba hamna kitu kabisa
Matumizi mabaya ya darassa
Kwakweli 🤣 👌
😅
Khaaa😂😂😂
😂😂😂😂😂😂eti matumizi mabaya ya darasa😂😂😂😂
Darasa linamaana likileta hela 3:01
Safi shishi Leo ameimba kama vile ni msanii , umekwenda vizur na beat
Sjaisikiliza sema iko poa ❤
Rhumba by shilole vs darassa ni hatariii 🔥🔥🔥🙌
😂
Kabisa katisha
Shi shi ni 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Moto
Mmmmh...! Tumepigwa 😊
Drill rhumba ilianzia all the way 254 sasa ni mziki wetu EA
Of course 🙌
Ndo maana nyinmbo mbaya
Futa verse ya shilole hii song is a hit
Shishi unapambana sana,,mungu akusimamie
Huu wimbo ni kama ngoma fulani waliimbaga weusi inaitwa mdundiko like this kabsa
Drill rhumba
nakumbari homii manzese
Shilole wangu more love from Kenya Nairobi
Bonge la nyimbooo
Sema hiy ili faa kuwa movie ila nime kubali ❤noma sana
Nyimbo kama ule utumbo wa kitabu daaadeki hapa shihi umezingua
Umeua👏
Mzuka ume ni panda soo ndomana Mondi kasema anamkubali Darassa
Jemedari wangu shishi unajua
Wimbo wangu bora wa mwaka
NYIMBO MBAYA
Beat kali
Shishi kaua📍😤🤞🍾
wimbo ni wa darasa sio shilole
yan shishi ataki upepo umpite
Darassa number one ☝️ 🔥 🇴🇲 🇹🇿
Nyimbo gan mbovuuuuu shenz sana
Shishi kuimba umesahau umekalia bilianii 🎉🎉🎉😢😮
Darasa kaenda kula pilau kwa shishi kashiba akapata na vibe la mzuka umepanda😅😅
Hiviii kumbe shilole ni msaniii mbona simfahamu na simjuiiiii
another banger
Yeeeeaah nafunga mwaka
Shilole welcome to USA 🇺🇲🇺🇲🇺🇲 by maico manga from Ohio Cleveland
One of our best dada❤ happy birthday 🎉🎉kamamii
Matumizi bila bandoo ❤❤❤
Ngoma mbovu kweli
HII NYIMBO YA SHILOLE AU YA DARASSA
Shilole ujui kuimba hata kidogo bola upiketu
Kumbr chichi ni mkali nilikuwa sina hiyo habari
Leo namimi nimekuwa wakwanza❤
Nikelele ya skukuku mzee
Shishi kuimba hujui kabsaa😂😂😂 wimbo mzuri alipo imba darasa2 huu ndo ukweliii😂😂😂
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Unyama sana
Nice one from wcb fan
❤❤❤❤❤❤ uko vzr mkwe wangu 😂😂
Wapenz watizamaji kula chuma hichooo
Wish mungemweka Bien hapa...aifanyie justice🔥🔥
Alafu ndio bit zake hizi Bien
Shilole la chanteuse courage
JAMANI mmezidiwa mpka na gigy money wimbo wake unalalaje
My fav. Rhumba song 2024🎉🎉🎉
Anaefanya nyimbo na shishi uwa ana uwakika wa kula😂😂
Kwamba darasa hakusikilizishwa before???mbona shilole kaimba Boko Sana!!!!any way rumba ipo mtaani.
Nakubali🎉🎉
Shishi baki kwenye kupika misosi mziki huwezi
Iko kali❤
Creative style, good hit💯
Nyimbo yangu pendwa
ngoma k❤❤
Darassa ni mbad sana yaan kila staili ya muziki yeye yupo tu
Okay ni nzuri kabisa 😊
😅😅 ngoma ya Bien Rumba😊
Wimbo mbaya saana kwa kweliii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mbwembwe nyingi mpaka na mondy alikuepo kwenye uzinduzi linyimbo lengewe hovyo 😁😁😁
nyie nyie huyu shilole mbn ana kasi jama???????
Watau kutoka 🇨🇩🇿🇲
Big up sisters ❤️
Mbooovu
Bakokaya 🎉🎉🎉🎉
th-cam.com/video/totrULBEbTQ/w-d-xo.html
Mmmmh sijui
th-cam.com/video/totrULBEbTQ/w-d-xo.html
Congolese drill 🧐🔥
Yuesiei 😂😂 Au Yukei
Wimbo huu una uongo mwingi yaani mwanzo mwisho ni kurudilia maneno tu
skiza ngoma uwache kiherehere.
@ umeskia nini
@@alphaxard1 ww kipele sio mzima, apo kuna ngoma gani? Unafki tu.
Kipindi ajanenepa dada shishi alikua akiimba vizuri hila sahizi yeye afanye ubunifu wa vyakula zaidi tu😂😂😂
Shilole hajui kiswahili R na L ni tatizo kwake
Hii nyimbo kama SIO darasa nisingeitazama maana najua ingekuwa utumbo na HIVI cjawahi kubali nyimbo za uyu mama ntilie
Kama sio chuki basi punguza wivu haha 😄 😆
th-cam.com/video/totrULBEbTQ/w-d-xo.html
😂
Punguza wivu
Bonge la beat ila shilole kaaribu sanaaa yaaan darasaa ndo kaibeba iyo nyimbo yaaan shishii kaaribuu kbxaaaa
It's kaniba🙌😎🔥🔥
Nakuonaga bongo search telent vile unawanyia vijana nikaona kama wewe ni mkali kumbie kawaida to
th-cam.com/video/totrULBEbTQ/w-d-xo.html
Shilole akili huna nyimbo gani sasa hio😂😂😂😂km kweli gong hapa
Mr ma ujumbe😮
Jamani naombeni sapoti na mimi huu ndo wimbo wangu wa kwanza 👇👇🙏
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀
matumiz mabaya ya rhumba
Dudeeee