Kikongwe wa miaka 106 Afariki/Padre bahati awafariji wafiwa"Kila mtu abebe majukumu yake"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Homilia ya Padre Salutars Bahati Paroko wa Parokia ya Manushi jimbo katoliki la Moshi kwenye Ibada ya Mazishi ya Bibi Theresia Mwacha aliyefariki akiwa na Umri wa Miaka 106.
    Katika homilia Hiyo Padre Bahati amekemea vikali Vijana wanaoyakimbia majukumu yao, ikiwemo wasiotaka kuoa na kuolewa huku akisema wengine hawataki hata kuzaa licha ya kuwa na uwezo mzuri wa kiuchumi.
    "Kila kitu kifanyike kwa wakati na kwa ufasaha kwani kila mtu amepewa kibarua chake hapa duniani,m, tatizo ni kwamba wengine wanafanya kiholela ili kutimiza wajibu"
    #daressalaam #moshi #breezonlinetv #restinpiece

ความคิดเห็น •