mnatakiwa muje na interview kuhusu afya kwa ujumla..huyu nasikia kuna vyakula hali na vingine anakula. alafu mazoezi anafanya sana..itasaidia hata watu wazima na vijana kuskia hekma yake. alafu watu wanajumlisha zaidi na kuishi maisha ya utauwa kumuita Mungu sana kila siku
Kikwete is trying hard to rewrite history alikuwa Rais wa ovyo sana watu waliiba mali za umma wanavyotaka na yeye mwenyewe alituibia kupitia safari za nje zisizo na tija tofauti na Baba Magufuli hakuwahi kwenda ulaya na maendeleo tuliyaona
Yani pale kazungumza kwa hekma sana mzee anajua hapa kuna wahuni washagawana kiwanja lakn sasa najua ninamamlaka ya kuwajibisha ila ngoja nitumie busara niende kwangu kujenga dahh lini huyu mzee tutaonana kuvuna busara zake😂🔥👍🏾
Kufanya mahojiano na mtu kwenye televisheni ukiwa umevaa miwani ya jua kunaweza kuonekana kama ni kutokuwa na weledi ama kuwa kinyume cha maadili katika uandishi wa habari.
Mh.Rais ukimwangalia nikama hazeeki ila umri inaongezeka ..soon atakuwa na 74yrs kweli kala chumvi nyingi last time nilibahatika kukaa meza kuu Moja pamoja nae pale Mlimani during Udsm marathon 2023 ..hakika Bado Mzee JK ana nguvu zakutosha.🙏
Ni mchawi na ameenda Nigeria uchawi huu mkubwa ni wa Samia suluhu Hasan, Samia ni jina la mtoto wa Rafiki yangu mama yake anaitwa Juma,e, na Hasan ya baba yake ni jina la baba mmoja amefia UK na Korona, Suluhu itskuwa ya mtu mwingine hapa Tz. Na amesema anataka nyota yangu hawezii chukuwa mpaka nife ndiyo achukukuwe anataka kuuwa watoto wangu Kila siku.
Sanura siyo mama yake Diamond anamroga Diamond amenitoga Mimi vbaya sana,Mimi Zara Farah, na juwa Sanura vuzuri alitoka korogwe, kamuuwa mama yake Diamond na Baba yake, na ameniuliya wazazi wangu wote , na mpaka Sasa ananiandama na mchawi wa Diamond ni Sanura peke yake, Sanura anaitwa Mwantumu.
Rais akasema hawa watu siwawez kwl uongoz kaz wale wenye D mbili tumemuelew mzee wa Msoga inabid tujiffunze namna ya kupata viongozi wazalendo kwl kwl hasa wale wapenda maendeleo ya watu wa chini lkn sio viongoz kama hawa ambao nachukulia raisi raisi tu vitu vya muhim kwenye jamii nzima sio kwa maslahi ya wachache

Huyu mzee mimi huwa nampendaga sana,ni mtu wa kufurahi tu muda wote,sio mtu wa kujidai.Mzee Kikwete hoyoooo❤❤❤🎉🎉🎉🌹🌹
Mstaafu KIKWETE Bado tunakupenda sana Mwenyezi MUNGU Akuzidishie umri👍
.mungu aendelee kukujahalia afya njema .The son of Africa.
Nampenda sana huyu Mzee JK, Mungu amlinde inshaallah
Mmmmm mh.Rais mstaafu tunakukumbuka sana hasa sisi watumishi wa umma. Mungu akujalie maisha marefu!
mnatakiwa muje na interview kuhusu afya kwa ujumla..huyu nasikia kuna vyakula hali na vingine anakula. alafu mazoezi anafanya sana..itasaidia hata watu wazima na vijana kuskia hekma yake. alafu watu wanajumlisha zaidi na kuishi maisha ya utauwa kumuita Mungu sana kila siku
Big brain kikwete huyu mzee anamafira mapana sana busara na hekma mungu ampe maisha marefu🤝🔥👍🏾
Jakaya ..always happier
May Lord bless you mzee
Hongera sana wa SA Fi Kwa interview yenye akili,💪💪💪
Kikwete is trying hard to rewrite history alikuwa Rais wa ovyo sana watu waliiba mali za umma wanavyotaka na yeye mwenyewe alituibia kupitia safari za nje zisizo na tija tofauti na Baba Magufuli hakuwahi kwenda ulaya na maendeleo tuliyaona
@@musa-v3f Sasa wewe ulikuwa wapi nawe si ungeba😲
Asante sana Rais Mstaafu Kikwete.
Safi sana interview inamafunzo mazuri
Yani pale kazungumza kwa hekma sana mzee anajua hapa kuna wahuni washagawana kiwanja lakn sasa najua ninamamlaka ya kuwajibisha ila ngoja nitumie busara niende kwangu kujenga dahh lini huyu mzee tutaonana kuvuna busara zake😂🔥👍🏾
Mh Jakaya Mrisho Kikwete una akili kubwa sana
Kufanya mahojiano na mtu kwenye televisheni ukiwa umevaa miwani ya jua kunaweza kuonekana kama ni kutokuwa na weledi ama kuwa kinyume cha maadili katika uandishi wa habari.
Huyo jamaa ni TIC kwahiyo miwani ni ya kiusalama zaidi
Samia Suluhu kamuuwa magufuli nimeona mpaka alivyo muuuwa, na Raisi kuondoka hapa haondoki mpaka aafe Raisi wa maisha ni Samia suluhu, Zainabu Laila.
Unaweza kutoa ushahidi huo mahakaman au Una lopoka tu 😂😂😂😂😂😂
Watanzania hata ufanye kazi vp mazuri hawayaoni..mimi ni Kati ya watu ambao nilipenda kazi na uongozi na mabadiliko sekta ya biashara ya mitandao.
My greatest , tough President , Mungu aendelee kukupa afya njema , nakukubali sana!
Mh.Rais ukimwangalia nikama hazeeki ila umri inaongezeka ..soon atakuwa na 74yrs kweli kala chumvi nyingi last time nilibahatika kukaa meza kuu Moja pamoja nae pale Mlimani during Udsm marathon 2023 ..hakika Bado Mzee JK ana nguvu zakutosha.🙏
Very charming old man
❤❤❤❤❤jakayaaa
Kinyo wa bunju@
Naomba kujua aina ya mbegu ya mahind hayo ya njano ya jk anapata wapi
Ni mchawi na ameenda Nigeria uchawi huu mkubwa ni wa Samia suluhu Hasan, Samia ni jina la mtoto wa Rafiki yangu mama yake anaitwa Juma,e, na Hasan ya baba yake ni jina la baba mmoja amefia UK na Korona, Suluhu itskuwa ya mtu mwingine hapa Tz. Na amesema anataka nyota yangu hawezii chukuwa mpaka nife ndiyo achukukuwe anataka kuuwa watoto wangu Kila siku.
Sanura siyo mama yake Diamond anamroga Diamond amenitoga Mimi vbaya sana,Mimi Zara Farah, na juwa Sanura vuzuri alitoka korogwe, kamuuwa mama yake Diamond na Baba yake, na ameniuliya wazazi wangu wote , na mpaka Sasa ananiandama na mchawi wa Diamond ni Sanura peke yake, Sanura anaitwa Mwantumu.
President HB
Ingependeza kama ingeungwanishwa picha
JK mara ya mwisho tumeonana wakati wa maziko ya aliekuwa Waziri wa Fedha Mgimwa.....
Mzee wangu na kukubali sana.
Mungu akubariki kiozi wetu
Msoga
Watanzania hata ufanye mazuri vipi,wanaangalia mabaya tu Mungu anawaona jamani.
Shati zuri nyie,dah
Rais wetu mpendwa
Raisi Bora kuwahi kutokea tz
Samia Suluhu anaitwa Zainabu na jina lake la pili anaitwa Laila
Anazeeka JK... usiseme hazeeki, anaazeeka mtu wetu
Umo ndani hiyo miwani ya Jua ya nini? Rais ana heshima yake.
JK bonge la rais awamu yake hatukusikia kutekwa mtu mungu amjaalie umri mrefu mtu wetu kwanza anapendeza
Rais bora kuwahi kutoa Tz
Tulikula na kusaza aawaumu ya nne
Tutunze afya ni mtaji
Rais akasema hawa watu siwawez kwl uongoz kaz wale wenye D mbili tumemuelew mzee wa Msoga inabid tujiffunze namna ya kupata viongozi wazalendo kwl kwl hasa wale wapenda maendeleo ya watu wa chini lkn sio viongoz kama hawa ambao nachukulia raisi raisi tu vitu vya muhim kwenye jamii nzima sio kwa maslahi ya wachache
Mimi sijui maana ya d mbili sjasoma nisaidie kk
Kikwete is trying hard to rewrite history alikuwa Rais wa ovyo sana watu waliiba mali za umma wanavyotaka na yeye mwenyewe alituibia kupitia safari za nje zisizo na tija tofauti na Baba Magufuli hakuwahi kwenda ulaya na maendeleo tuliyaona
Muache wivuu wa kimasikini😂😂
Rais kipenzi
Mbn umuamkii