Wapiga vyombo wote mmekonga moyo wangu mungu awabariki na kuwainua juu juu zaid, bass limeburuzwa, solo ndo usiseme, dram ndo kabisa mpaka vinanda vimesikika mbarikiwe
Kwa heshima na taadhima kuu, napendezwa na wacheza-vyombo katika wimbo huu. Mola aibariki mikono yenu hususan vyanda vyenu mzidi kutuletea uhondo wa kumtukuza Mungu katika utukufu wake. Mkuu John Lisu, nakuhongera kwa juhudi zako katika tasnia hii ya nyimbo za sifa. Karima akukirimie takrima ya karama zake aushini mwako. Ni miye mcheza-kinanda kutoka hapa Kenya.
Wapendwa hivi mmeona kitu bassist na drummer wamefanya kwenye dakika ya 11:1 mpaka 11:8 ? Daaah nyie mziki wa Yesu mtamu sana.. aisee mziki wa kilegend ssna huu.. big up instrumentalists na the legendary Lissu mwenyewe.. Mungu azidi kuinuliwa sana kuliko kitu kingine chochote kile
The lady at the back with short hair. I feel deeply in my spirit that you need to rise you have a powerful ministry within you..if you haven't started , write your songs you are a minister of God
Brother. John Lissu 1. Kusema ukweli Kazi zako huwa Unaziarrange vzri sana. 2. Mziki huwa unachambuka ....radha ya vyombo inapatikana... vyombo vinaachiwa nafasi. 3. Vocal Safi pia. Kiujumla Bila shaka huwa Unatulia sana na Unazingatia sana. Kwa maneno haya NAKUPONGEZA. MUNGU AZIDI KUKAA NAWE.
Does the guy on the bass guitar have a TH-cam channel?...This guy is amazing, i need listen to him sanaaa....Can he kindly drop the tutorial for this song....❤🔥❤🔥
Haleluya 🙌🔥🔥🔥 Nimefurahi kuona JEHOVA YU HAI ikipiga hatua za kwenda mbele, maana kila kitu kimetendewa haki kwelikweli. Kiu yangu ya kusikia magitaa yakilia ipasavyo imetoshelezwa mno. Sir John Lisu pamoja na Team mmefanya kazi bora sana kwa utukufu wa kanisa na Mungu wetu. Hongereni sana kwakweli 🙌🙌🙌🙌 #JEVOHAyuHAI
I love the way they have staged themselves in a free style to dance as they sing...the soloist is still a vibe...they are happy according to their facial expressions...the instrumentalists are playing cool music...the church too is still responding nice. Eish ....God bless you all🙏💕💕💕
Mungu akubariki sana Kaka John Kweli Jehova Yu Hai
Ndioo kaka hata huduma zako piaa
Huyu ni John lisu not Boaz danken
Mbarikiweee wote nyie watu wamuhimu Sana
what's the name of the bassist sir?
The guy on the bass🥳🥳💥💯 understood his role 😁✨
This guy is is is is is is is just is 🔥🔥
That bassist deserves a vacation .Blessings sir Lisu
the bassist is on another level🙌🔥🔥🔥much love from kenya🇰🇪❤🇹🇿🙌🙌
Exactly🔥🔥
Niko na wewe hapo kwa bassist. Wueh!!
Bassit katisha
The only issue with this arrangement is that it had to have an ending 🔥🔥🔥
So powerful, papa bassist you've just my evening
He has nailed it on my behalf..
Yhe bassist is going to Heaven 😅😅
Mpiga bass ni fire 🔥
Where else can you get this sweetness if it's not in the lord..
-vocals check ✔️
-sound check ✔️
-instrument check ✔️
Wapiga vyombo wote mmekonga moyo wangu mungu awabariki na kuwainua juu juu zaid, bass limeburuzwa, solo ndo usiseme, dram ndo kabisa mpaka vinanda vimesikika mbarikiwe
Ahhhh Its the basist🔥🔥🔥 for me ... .. Great song John.
Huu wimbo ni bassist featuring the rest 😀Kazi safi sana
I conquer with you sir
Bassist umenibariki sana🤩🤩
Kwa heshima na taadhima kuu, napendezwa na wacheza-vyombo katika wimbo huu. Mola aibariki mikono yenu hususan vyanda vyenu mzidi kutuletea uhondo wa kumtukuza Mungu katika utukufu wake. Mkuu John Lisu, nakuhongera kwa juhudi zako katika tasnia hii ya nyimbo za sifa. Karima akukirimie takrima ya karama zake aushini mwako. Ni miye mcheza-kinanda kutoka hapa Kenya.
Bass guitarist..❤️❤️❤️
Drums..❤️❤️❤️
Bassist Mungu akubariki Sana 🔥
Bass imeongea🔥🔥🔥🔥
This is the music you dance to alone, unafunga mlango. Ukijua yale Mungu ametenda Jehova Yu Hai. Much love from Kenya
❤❤❤
Bassist is a music kind of KDB, throwing in those assists like ooooh🥵
Eeeh😀 the basist understood that Jesus is alive🔥
Bassist is lite🔥
The bassist is out of this world💥
David Jordan 💫eyyy ....kazi safi ♥️
Kila neno nililotaman kulisema naona kama halitabeba uhalisia wa kazi iliyofanyika. Nmeishia kusema Jehova yu hai.
This is lit...🔥big up to the instrumentalist 🎉🎉. 🎸🎹🥁
Wapendwa hivi mmeona kitu bassist na drummer wamefanya kwenye dakika ya 11:1 mpaka 11:8 ? Daaah nyie mziki wa Yesu mtamu sana.. aisee mziki wa kilegend ssna huu.. big up instrumentalists na the legendary Lissu mwenyewe.. Mungu azidi kuinuliwa sana kuliko kitu kingine chochote kile
Excellence in everything even dressing code💯 Jehovah yu hai 🔥
The bassist ✨✨
This bass player shocked me wow wow congratulation guys
The lady at the back with short hair. I feel deeply in my spirit that you need to rise you have a powerful ministry within you..if you haven't started , write your songs you are a minister of God
Brother. John Lissu
1. Kusema ukweli Kazi zako huwa Unaziarrange vzri sana.
2. Mziki huwa unachambuka ....radha ya vyombo inapatikana... vyombo vinaachiwa nafasi.
3. Vocal Safi pia.
Kiujumla Bila shaka huwa Unatulia sana na Unazingatia sana. Kwa maneno haya NAKUPONGEZA. MUNGU AZIDI KUKAA NAWE.
Bassist wueeeeeeeeeh wacha tuuuuu
I am so impressed with all of you especially the arrangement of the music, however, the basist is on fire.
Hallelujah, Jehovah Yu hai 💃💃💃💃💃💃💃💃, wimbo unapenyapenya kati ya mifupa 👏👏👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌
God bless John Lisu and the team 🙏🙏🙏
Jehovah Yuhai mtumishi Mungu akubariki Kwa ujumbe mwema Kwa mataifa yote Duniani
#Groile Bass Mmoja Tu🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
Hahaah kaka micho, tuletee hivi vitu mwenge 😅🔥🔥🎸🎸
WATU WOTE TUMSIFU JEHOVAH YU HAI
The bass man carried the song 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
that bassist👏
Huyu bassist is very knowledgeable man.Anapiga vitu vigumu sana.He deserve to play in American churches.
Don't demean Africa,Let him bless Africans
Anaitwa nani?
@@itikamwaseba4156glore Muna
Big up David Jordan on drums ..God bless you 👏
THE INSTRUMENTALISTS AISHHHHH💥💥💥💥ITS FIRE IN HERE. FAYAYA FOR JESUS EISHHH. WE LOVE YOU
NAMKUBALI BASS GUITAR 🎸 ♥️ KAWASHA MOTO
Does the guy on the bass guitar have a TH-cam channel?...This guy is amazing, i need listen to him sanaaa....Can he kindly drop the tutorial for this song....❤🔥❤🔥
Glory to God,if you are blessed just give me a like🙏🙏
Hongera sana Godwin Kila siku unapiga hatua bro Mungu akuinue na kukupa utulivu katika maisha yako tu
Barikiwe sana Mtumishi wa BWANA kwa wimbo mzuri wa utukufu wake MUNGU
💥💥💥💥David
bassist!!!! You're congolese tell us the truth😆😆😆😆
Haleluya 🙌🔥🔥🔥
Nimefurahi kuona JEHOVA YU HAI ikipiga hatua za kwenda mbele, maana kila kitu kimetendewa haki kwelikweli. Kiu yangu ya kusikia magitaa yakilia ipasavyo imetoshelezwa mno.
Sir John Lisu pamoja na Team mmefanya kazi bora sana kwa utukufu wa kanisa na Mungu wetu. Hongereni sana kwakweli 🙌🙌🙌🙌
#JEVOHAyuHAI
Solo ya 🔥 kak endrw
john lisu ni nani😅🔥
The bass guy understood his assignment quit well, the drastic changes and different... Wait is that guy from kama naota by Bella kombo 😂😂
Yaah
Bassist,drummer na solo guitar 🔥🔥🔥🔥 barikiwa sana mtumshi na team nzima
Huyo mpiga solo na bass n mapacha
Sound engineer BigUp sana, Lisu na Team nzima... Ila Musicians wamekamatana sana... Guitar, Bassist** kaua zaidi. niko naendelea kucheza hapa
😇😇
Kweli Yu hai
Big up to the lead guitarist Andrew,bassist and the drummist the seben is so heavenly.Big up to the whole crew.Lots of love from Kenya❤❤❤
Kaz nzur David on a drum
👍👍👍👍👊👊👏👏
Leo ndio nimesikia bass la Kongo kabsa
Be blessed John Lisu. Remix imejaa Utukufu.
Gloire bass 🎸🎸🔥🔥🔥🔥,,, mbarikiwe sana kwa kazi njema 👏👏
I cannot express how blessed I am. God bless this whole team. Glory to GOD
the base guitar is lite ,,great praise
The drummer! yoh!! 🔥🔥🔥 the chops! and the way he's looking at the bass guitarist! Eish!
Wow wimbo huu umebariki moyo wangu, instrumentalists kongole mmefanya kazi nzuri
East afrika is on fire for Jesus..Hii ni moto..Glory to God Forevermore 🙏 🙌..
magitaa yamelia aisee basee na solo
Pitieni kwa mangi hapo mywe pepsi nakuja kulipa 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Wonderful praises there. it was indeed a blessing having you man of God on 2nd January 2023 at CFC Ngong tulibarikiwa kweli kweli sana
Wow. Ni moto
N kwel kaka, huyu jehova yuko hai Leo na hata milele..
Yu hai Milele 🙏
Bassist 🎸 📋💢
Kaz njema mtumishi wa Mungu
Baba Mungu akulinde nakuombea mafuta mabichi kila wakati kweli Jehovah yu hai
The reinvented John Lisu. I like. This song was already saved in my playlist before I even listened to it. Wonderful.
Wow… powerful.
Mungu akubariki sana mtume kwa ibada hii🙏 2:17
Kwa kweli Huu wimbo ulipatana na wapishi 🔥🔥
Wimbo taamu
Bassist is truely born again
More grace my brother Lisu....i love this..
Bass guitar, solo guitar bro Andrew Mungu awabarki, yaaaan nimekubali.🙏🙏🙏🙏
The bassist carried the day
Mtumishi wa Mungu kaka John lissu. Soon Dodoma tunakuhitaji uje kuhudumu
Kazi njema, Mtumishi wa Mungu Lisu.
🎉❤❤🎉JEHOVAH Yui (KRISTO YESU UHAI KWETU NA MIKA YOTE 🎉❤❤❤❤
Hakika Jehovah you hai milele ...
Mungu akubaliki kwa huduma yako...✔️✔️✔️✔️✔️✔️🔥🔥🔥
Higher level of praising
Fire
Who is the guy on Bass 😂😂😂❤ JBL..
Jehovah Yu hai milele
I love the way they have staged themselves in a free style to dance as they sing...the soloist is still a vibe...they are happy according to their facial expressions...the instrumentalists are playing cool music...the church too is still responding nice.
Eish ....God bless you all🙏💕💕💕
Indeed
The bassist is ✨💯💯🔥🔥🔥anatoka moto
Bassist .killed it
Waambieni wapigaji, tukutane mbinguni tafadhali.......wajitahidi sana tukutane mbinguni.....🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌
Ya moto sana hii barikiwa sana kaka John Lisu keep up the good work of the kingdom
Sebene la bwana Yesu, Amen 🙏 🙌 👏 ♥️
Ubarikiwe mtumishi Jehovah Yu hai
Saf sana My Classmate Godwin Mlambo.. Am always proud of u....
Andrew 🙌