Bwana huyu pia ni mwanadamu ni kijana mzuri lazima atasumbuliwa sana na wadada, ni kumuomba Mungu amvushe salama ktk hilo, na hekima busara itumike, Kazi anayofanya ni kubwa na ina vita kubwa shetani yupo kazini muda woote, ni maombi yetu Mungu aliyekupa huduma hii akutetee na kukuinua zaidi ili kusudi uliloitwa kwalo lifanikiwe🙏
Jaman kiukweli huyu kaka ananibariki sana nna mdogo wangu na mwanangu wa miaka 3 woiii aiseee wanapenda sana kuimba nyinbo zake tena ile ya MAJESHI YA MALAIKA YANAPAZA SAUTI WAKISEMA MTAKATIFU NI BWANA WE LOVE YOU SO MUCH MTUMISHI WA BWANA ZORAVO
Mungu azidi Kukuficha,una hekima mno,ndio waimbaji au mwenye huduma inayotokana na Mungu lazima awe na vita mno.Mungu akufunike na ngao yake hata yakija hayo mabaya hayatakuweza/kufika.
He is a man that has chosen for a certain work that has to be done from the Heaven to The world 🌎. May the Lord continue to protect him and give him strength 🙏
Mungu anaangalia ndani ya moyo wako umebeba niniiii.... Wangapi wanapona moyo juu ya ujumbe wa uimbaji wako.. BIG UP mtumishi... Na barikiwa sna na nyimbbo zangu.. Weee stail yako ya nywele haimfanyi mtu asipokeee ujumbe🙏
Mungu ni mweminifu sana alimwamini mtu hushugulika kwa kila kitu siyo kama mwanadamu mimi huwa nakuombea sana uendelee kunyenyekea ili upate majibu yko yote y ufalme ili Mungu ajitukuze mwenyewe Amen
@@chulelubella2819NASEMAJEEEE WEWE NA SHETANI WAKO ANAEKUTUMIA KUKASHIFU WATU WA MUNGU BADO HUJASEMA NA UTASEMA YAANI MPAAAKA USEMEEE😂😂😂 Yaani unaingiwa hasira adi unatukana huoni aibu babu 😂😂😂🤪🤪🤪
Hakuna mtu amekamilika hata kama ikitokea ni kweli hatutashangaa kwa sababu bro pale ni binadamu kikubwa ni kuendelea kumuomba Mungu na kukimbia kila aina ya vishawishi aendelee kublock wadada wasiojielewa.
Huwa napenda sana nyimbo za huyu kaka wa MUNGU kuna nguvu kwenye nyimbo zake wanawake tuache kuwachafua watoto wawanawake wenzetu kama kuolewa tutaolewa kwa kudra za mwenyezi Mungu tu na sio bla bla
Brooh Zoravo tusamehe sisi wadadaa.. Nadhan ni mihemko tu,na upande mwingine shetani anatumia watu kuangusha watu..ila most of us tunakukubalii tuu😢😢 May THE MERCY OF GOD BE UPON US😢🙇...
@@mwakipiano4568 Ni kweli yaniii..wadada Mungu aturehemu tuu,coz wengine we fancy him as our brother 😔ila wengine wanampa shetani nafasi awatumiee.. Hili swala limenigusa sanaa,coz naelewa hii vita inakuwaje kwa Mtumish wa MUNGU ( haswa MBEBA MAONO WA UFALME WA MUNGU)😢
Aaah if its true acheniiiiii but kama n uongooo take as advantageee munguu anawavushaaa mahaliiiii,,,,,lkn ingependezaa zaid kama ungeliwaambia face to facee na sio kuweka public as u did........!!!!
@@sarahsesa8851uliwashika unajua kwa kujikuta mtakatifu sana huku ukizusha vitu . Imagine kwende kuzimu kisa uzushi😂 uzushi tu dah unachomwa pamoja na Osama 😂😂 Acha umbea lipa maden ya watu punguza stress
Ukiongozwa na roho wala hauko chini ya sheria...msipende kujaji watumishi MUNGU,sisi ni mwili mmoja mguu hauwezi ng'oa jicho kisa umejikwaa be careful sana😂😂😂😂
Am just disappointed with Zoravo..it's either black or white.. He ought to address his status with urgency ,as a minister that matters.Many peopleare looking up to him..the devil shall us that to destroy him if he won't move with speed..all the best as he is praying for a life partner..
Amna kwani wanaojiita wachungaji ni wachungaji wa watu au binadamu? Amna mchungaji ni uongo mtupu hasa wengi wanataka kupooza roho za watu na kufarijiana kwa uongo.pia hata nyie wanafiki katika hii video acheni hizo
Umebarikiwa sana mtumishi wa Mungu ZORAVO, songa mbele katika BWANA💪
Bwana huyu pia ni mwanadamu ni kijana mzuri lazima atasumbuliwa sana na wadada, ni kumuomba Mungu amvushe salama ktk hilo, na hekima busara itumike, Kazi anayofanya ni kubwa na ina vita kubwa shetani yupo kazini muda woote, ni maombi yetu Mungu aliyekupa huduma hii akutetee na kukuinua zaidi ili kusudi uliloitwa kwalo lifanikiwe🙏
Jaman kiukweli huyu kaka ananibariki sana nna mdogo wangu na mwanangu wa miaka 3 woiii aiseee wanapenda sana kuimba nyinbo zake tena ile ya MAJESHI YA MALAIKA YANAPAZA SAUTI WAKISEMA MTAKATIFU NI BWANA
WE LOVE YOU SO MUCH MTUMISHI WA BWANA ZORAVO
I like that quote "JUSTIFICATION IS FOR THE WEAK "💯💯💯💯
Wooooow!!! Nimependa vile Zolavo anajibu, Mungu akutunze
Mungu akuinue zaidi mtumishi watu wataongea sana ila ili dhahabu ing'aee lazima ipite kwa moto
Mungu azidi Kukuficha,una hekima mno,ndio waimbaji au mwenye huduma inayotokana na Mungu lazima awe na vita mno.Mungu akufunike na ngao yake hata yakija hayo mabaya hayatakuweza/kufika.
my dear brother being protected by the precious blood of Jesus Christ always
Hekima Hekima yako ni kuuu ndani yako, Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu zaidi🙌
Kijana kweli Mungu aku baliki sana kwa majibu ya ki utu uzima
I am from Congo muandishi wa studa TV Line média
Nikipomo cha imani na Mungu akutie nguvu shetani anatafuta kilichopo ndani yako tuu napenda vile unaimba na najifunza pia Mungu akubariki
Mungu akuvushe kwenye hilo eneo usijeangushwa na Wanadamu ukamkosea Mungu.
I love the way anajieleza na song zake uubariki moyo wangu ❤🎉
Zoravo is so wise.... May God's Favor, Grace and prosperous be upon your ministry 🎉🥳
Be blessed wherever you are.
The way zoravo is responding to the questions, is just wisdom.Endelea kutumikia mungu na ubarkiwe
He is a man that has chosen for a certain work that has to be done from the Heaven to The world 🌎. May the Lord continue to protect him and give him strength 🙏
🙏
Mungu anaangalia ndani ya moyo wako umebeba niniiii.... Wangapi wanapona moyo juu ya ujumbe wa uimbaji wako.. BIG UP mtumishi... Na barikiwa sna na nyimbbo zangu.. Weee stail yako ya nywele haimfanyi mtu asipokeee ujumbe🙏
Mungu ni mweminifu sana alimwamini mtu hushugulika kwa kila kitu siyo kama mwanadamu mimi huwa nakuombea sana uendelee kunyenyekea ili upate majibu yko yote y ufalme ili Mungu ajitukuze mwenyewe Amen
Napenda nyimbo zako yani ninazo Kama Zote .nikutue tu moyo endelea kunyenyeke Sana na hekima ya kiMUNGU iwe juu yako
Ribarikiwe tumbo lilokuzaa
Mungu azidi kukutunza minister Zoravo I'm always blessed by your ministry
Muombe mungu akuvushe katika hilii
Be blessed mtumishi umejibu vizuri kwa hekima usipungukiwe na chochote kwa jina la Yesu 🙏
KUNAE HEKIMA IKO NDANI YA ZORAVO ADI HUWA NAOGOPA UKUU WA MUNGU NDANI YAKE 🙇🏾♂️🙇🏾♂️🙇🏾♂️🤍🤍🤍
Sana Zoravo amejawa na Roho ya MUNGU ndani yake
Bwana akutendee kadri utakavyo
🙌🏾
Acheni ujinga na kuwa na akili ndogo ukuu wa Mungu gani alionao nao huyu fala
@@chulelubella2819NASEMAJEEEE WEWE NA SHETANI WAKO ANAEKUTUMIA KUKASHIFU WATU WA MUNGU BADO HUJASEMA NA UTASEMA YAANI MPAAAKA USEMEEE😂😂😂 Yaani unaingiwa hasira adi unatukana huoni aibu babu 😂😂😂🤪🤪🤪
Nabarikiwa mno na uimbaji wake,huwa wimbo ameniona naupiga kila weekend nikiwa home Kwangu siku nzima Yani siuchoki
Nakupenda Sana mtumishi wa Mungu zoravo maisha malefu my brother
Hakuna mtu amekamilika hata kama ikitokea ni kweli hatutashangaa kwa sababu bro pale ni binadamu kikubwa ni kuendelea kumuomba Mungu na kukimbia kila aina ya vishawishi aendelee kublock wadada wasiojielewa.
Unaakiri sana ww malack
Waooooo ubarikiwe sana majibu yako ni tofauti nawengine endelea kupondeka
Mungu akubariki
Nakupenda Sana zoravo kaka
Wisdom in another level,,God bless u ad protect u frm all evil
Amen 🙏🙏
Huwa napenda sana nyimbo za huyu kaka wa MUNGU kuna nguvu kwenye nyimbo zake wanawake tuache kuwachafua watoto wawanawake wenzetu kama kuolewa tutaolewa kwa kudra za mwenyezi Mungu tu na sio bla bla
Me nakupenda
Mungu akutunze na upate kile uombacho
Man of God. Blessed minister Zolavo
Uko vizuri sn
Endelea mbeleee,, huduma Yako njema,,
Uko vizuri kihuduna ila Biblia inasema usinyoe denge , pembe za vichwani,Wala msihalibu pembe za ndevu zenu.mambo ya walawi 19;27
We endelea kuelezea kunyoa nywele sahau utakatifu kitakupata kitu😂
Sheria haikuweza kumuokoa mwanadamu...neema ya Mungu inatukamilisha
Ukiongozwa na roho wala hauko chini ya sheria😂
@@atupelemsomba5451 Yaan kuingia mbingun sio kaz ndogo kunyoa peke yake sio kibali cha kwenda mbingun ni muunganiko wa utakatifu
Keep on humble yourself Bro,Mungu ataendelea kukuinua,Pray and pray and pray and keeping on praying.
Mwamba ananda huyo kinoma na anaimba kiroho❤❤❤❤
Anaitwa zovoo😃
This is very humbling ..may GODS GRACE be sufficient upon all his endevours
Zoravo be blessed
Ladies behave yourself haki...
Anyway am always blessed by his ministry
The wisdom 🔥🔥🔥❤️ God bless you
I love your work #Zoravooo
BE BLESSED BY JESUS
Your intelligent brother
Amina sana
God bless you brother
Mbona mesg maelezo mingi...
Vimeumana😂
Mr Big Brain zovoo
Nikiwa Burundi huwana msikilizasana kama ana Rejesha
Wisdom upon Man of God
Brooh Zoravo tusamehe sisi wadadaa..
Nadhan ni mihemko tu,na upande mwingine shetani anatumia watu kuangusha watu..ila most of us tunakukubalii tuu😢😢
May THE MERCY OF GOD BE UPON US😢🙇...
Nimepanda umeongea Kwa hisia sana
@@mwakipiano4568 Ni kweli yaniii..wadada Mungu aturehemu tuu,coz wengine we fancy him as our brother 😔ila wengine wanampa shetani nafasi awatumiee..
Hili swala limenigusa sanaa,coz naelewa hii vita inakuwaje kwa Mtumish wa MUNGU ( haswa MBEBA MAONO WA UFALME WA MUNGU)😢
Mungu azidi kukutumia ili vijana tujifunze
A wisely minister ❤🎉
Nyoa nywele vizuri kama mtumishi wa Mungu
Nyoa zako uwe mfano ufanye interview uwe maarufu ajifunze kwako
Watumishi wana nyoa aje
Beartice pls ss ni barua tunaosomeka
Zoravo kakangu kila mti wenye matunda mazuri lazima urushiwe mawe, wewe unawahudumia na kuwabariki watu.
Zoravo imba lakin pia uwe unachana nywere kaka chana sana
Wambieni backup wenu waache kuvaa suruali
Aaah if its true acheniiiiii but kama n uongooo take as advantageee munguu anawavushaaa mahaliiiii,,,,,lkn ingependezaa zaid kama ungeliwaambia face to facee na sio kuweka public as u did........!!!!
The chosen one blessing 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
God bless you my dear brother
Shucxy umeganda au 😂😂😂
Kabisa kaka
I understand you bro,
barikiwe mno kaka
Kizazi hiki nishidaa tupu.
Waseja wakasema iih!😂😂😂
Yesu azidi kumtunza🎉
Nimekaa kimya
Kwel umejbu kama mtumishi wa Mungu ume present ulichobeba sio wengne watumish kanisan ila wakhojiwa wanjibu jibu tu utafkri anahojiiwa konde
Ila bro ukioa unakuwa umemaliza hizo kesi😂,,Oa bhana 😂😂😂 au unapenda hizo gossips?
Son Of the King
Mi nina mashaka kwa nini ajawa straight kuhusu mchumba.
Tutawatambua kwa matendo yao....
Hakikaaaa
Kijana huyu ni mtumishi wamungu kbs
Huyo ni msanii aneimba ujumbe wa gosple ila sizani kama uwepo wa mungu
Uwepo wa Mungu unapimwaje kwani?
Sawa yesu msaidizi
Ala!🤷
@@angellwehela4303😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@@angellwehela4303 😂😂😂
Bado ujaokoka hakuna mahusiano ya mwenza wamaisha bila ndoa jibu liko pale pale huu ni uzinzi 😅
😂😂😂😂
@@happymaneno135 😜😜😜
Una kosea sanaa
@@KingSolomon-jo3dh nimekosea nin hapo huu unaitwa uzinzi mwanaume na mwanamke wakikutana kiwili kabla ya ndoa hao niwazinzi
@@sarahsesa8851uliwashika unajua kwa kujikuta mtakatifu sana huku ukizusha vitu . Imagine kwende kuzimu kisa uzushi😂 uzushi tu dah unachomwa pamoja na Osama 😂😂 Acha umbea lipa maden ya watu punguza stress
Its better you get married all those fights will cease
which is which una mchumba au huna mchumba? Majibu yenu yawe ndiyo au sio hata bible inasema ivo, ukiona mtu anaanza kujiumauma inatupa ukakasi kidogo
Hey
Bro nawez pata no yako?
Block, block, block coz Delilas are many on the way!
MFUMO..
✍️✍️
Jamani nahitaji namba za huyu mtangazaji
0788581367
Never justify yourself zoravo.
Ila Mimi sipendi alivyo shave nywele duuuuh hata Kama Mungu anamtumia Ila badilisha muonekano wako ili vijana wengne wajifunze
Makubwa, mwengine atasema Mimi sipendi anavyovaa
Ukiongozwa na roho wala hauko chini ya sheria...msipende kujaji watumishi MUNGU,sisi ni mwili mmoja mguu hauwezi ng'oa jicho kisa umejikwaa be careful sana😂😂😂😂
@@aronjosephndaki6563umenena
Amen for the glory of our God... Jus a soft advice bro
ili akufurahishe😂😂 Acha ufarisayo hizo nywele hazina shida wew mbambana na roho yako iende mbingun
Ila zoravo jamani mbona utukule bloku😅
Vizuriiii Block kabisa
Am just disappointed with Zoravo..it's either black or white.. He ought to address his status with urgency ,as a minister that matters.Many peopleare looking up to him..the devil shall us that to destroy him if he won't move with speed..all the best as he is praying for a life partner..
It's private life. why does he need to publicly address it?
please Man of God you have to marry ,you're mirror that people look after they dress up to get out .come on...
Amna kwani wanaojiita wachungaji ni wachungaji wa watu au binadamu? Amna mchungaji ni uongo mtupu hasa wengi wanataka kupooza roho za watu na kufarijiana kwa uongo.pia hata nyie wanafiki katika hii video acheni hizo
Be honest bro already you have shown a negative attitude regarding that simple question means you have sooo many girls
Nakupenda Sana mtumishi wa Mungu zoravo maisha malefu my brother