Dr. Chris Mauki: Kwanini Mpenzi Wako Anabisha na Kujitetea Kwenye Kila Kitu?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025
  • Kama ulikuwa hujui ni ngumu sana na inakera sana kuwa na mpenzi ambaye anabisha na kujitetea kwenye kila kitu. Shida inakuja pale ambapo hujui sababu ya huko kubisha hovyo. Sasa, usipojua itawasumbua na kusumbua penzi lenu. Hapa nakupa sababu za ukweli

ความคิดเห็น • 3

  • @AidanpastoryAndrea
    @AidanpastoryAndrea 20 วันที่ผ่านมา

    Tunashukuru sana Dr kwa chakula hiki cha ubongo🤝🙏na Mungu akutunze kwa ajili ya mamilion ya watu wanopitia haya.

  • @IsabellahKayuni
    @IsabellahKayuni 20 วันที่ผ่านมา

    Heee doctor Mimi umenigusa yaani mpenzi wangu ni mbishi sanaaa na kila kitu anabishaa kukubali hawezi yaani jamani Mimi ad nikackoka ad tunapishana mara tumekosana mara tunasameheana mmmh umenigusa kabitha

  • @AidanpastoryAndrea
    @AidanpastoryAndrea 20 วันที่ผ่านมา

    Tunashukuru sana Dr kwa chakula hiki cha ubongo🤝🙏na Mungu akutunze kwa ajili ya mamilion ya watu wanopitia haya.