LISSU AFUNGUKA MAHUSIANO YAKE NA MBOWE: "HALI SIO NZURI SANA TUNATUKANWA MATUSI YA NGUONI..."

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @geazielemia9512
    @geazielemia9512 วันที่ผ่านมา +2

    Lissu yupo siliasi siyo kidogo

  • @lucresiamsoffe9646
    @lucresiamsoffe9646 วันที่ผ่านมา

    Upendo ndo kila kitu kwa mwanadamu maisha yetu ni mafupi sanaa. Upendo huvumilia, upendo hauoni mabaya. Yote tumwachie Mungu.

  • @MediatrixNgabona
    @MediatrixNgabona วันที่ผ่านมา +2

    Lissu mwambaaa kabisa,swali mbowe aje nae aseme akishinda atawafanyaje wenzake

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji วันที่ผ่านมา +3

    Hawa NDIO wapewe nchi 😢😢😢😢😢😢😢😢NO WAY NI WAHUNI WOTE

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 วันที่ผ่านมา +2

      Kuliko watekaji na wauaji? Mbona uwezo wa kupima ni dhaifu sana?

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz วันที่ผ่านมา

      Ww ni mjinga kabisa na hujitambui.

    • @emmanuelkajiba8035
      @emmanuelkajiba8035 วันที่ผ่านมา +1

      Hata elimu yako inaonekana niyakiwango cha madrasa mambo mengine waachieni wenye akili za kuchakata taarifa

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji วันที่ผ่านมา +1

      @ afadhali elimu ya madrasa kuliko ya TEC ukimaliza huowi wala kupiga vitu zaidi ni kupotosha wagala 🤧🤧🤧🤧

    • @admaumsengi4230
      @admaumsengi4230 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Msenge mkubwa hujitambui

  • @CelinTonny
    @CelinTonny 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nakumbuka kipindi cha kifo cha magu anazunguka kenya sis tunapitia maumivu huyu baba siwezi msamehe ,CHAMA KIFUTWE TU

  • @healingsschool4630
    @healingsschool4630 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakuna mtu Duniani anayeweza kuunganisha watu, vitu, Duniani, Mbinguni na mahali popote ila YESU tu ndiye aliyepewa hiyo Neema na Mwenyezi Mungu. Ukitaka kuunganishwa popote anza kujiunganisha na YESU Kristo Kwanza

    • @swalehejuma6611
      @swalehejuma6611 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Umesahau kitu, Yesu mwenyewe alishindwa kujiuanganisha na watu, wakamtengenezea fitna, akaomba kwa baba yake ili aepuke kikombe kile. Waislaam wanasema baba yake alimkubalia na akamuokoa kwa namna anavyoijua yeye na hakuuawa. Wakristo mnaamini watu walimtwanga kinyama hata kumuua na baada ya siku tatu baba yake akamfufua na kumnyanyua juu. Hivo wakufungamana nae ni baba yake Yesu, ambaye pia ni baba yako na baba yetu sote, ambaye ndiye anapaswa kuabudiwa kwa haki, ambaye ni Allah, ambaye kwake sote tutarejea na kuhukumiwa

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pesa ni mbaya sana hata kwenye mahusiano ya kawaida usaliti ukipata nafac mambo uhalibika chadema kama awatakua makni kwa mtazamo wa mbowe chadema inaweza kuwa ndo mwisho wao mbowe kashafka mwisho wa kufikili

  • @samsonmwijage1869
    @samsonmwijage1869 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaliojitokeza kule CUF kati ya mwenyekiti Lipumba na katibu wake Maslim Seif naona kama pia yananyemelea chadema. Ni suala la kusubiri na kuona.

  • @philemonsnyanda9450
    @philemonsnyanda9450 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa ushauli wangu, kaeni chini kabla ya uchaguzi

  • @amirjuma9395
    @amirjuma9395 วันที่ผ่านมา +1

    Nishaanza kuona mkono wa nje kwani mnapovuana nguo mnamaanisha nini?

  • @amirjuma9395
    @amirjuma9395 วันที่ผ่านมา

    Mbana unamwaga mboga kabisa kwani maisha baada ya uchaguzi mtaishije au mnataka kutufanya watanzania tusiwe na pakukimbilia ndo mnamaanisha kamwe hamuwezi kua na suruhu vyeo sio sababu ya kuvunja umoja

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    hivi haya niyakusema hadharani?
    huyu c mzima

  • @Selemlaki132
    @Selemlaki132 วันที่ผ่านมา +1

    Asingechukua fomu ya kugombea haya yote yasingetokea

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 วันที่ผ่านมา

    Yaani Tundu leo hujui kiswahili?? Maskini CHADEMA hamkufa wakati mkilalamika kuwa mnalengwa kuuwawa Sasa MNAKUFA Naturall Death poleni SANA.

  • @melch3097
    @melch3097 วันที่ผ่านมา +1

    Lisu unataka kuua chama, huo ndio ukweli

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward วันที่ผ่านมา

      Kwa nini asiwe mwingine. Hata mbowe pia anaweza kua chama. Isitoshe kakaa hapo miaka mingi.

    • @josephatfedrick693
      @josephatfedrick693 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      pole mpendwa maana Kama humuelewi Lisu ujue kabisa wewe hauko ni mnyama

  • @MakameAly
    @MakameAly วันที่ผ่านมา

    Ipo dalili kubwa ya kukiharibu chama kwa dalili zinavyoonekana

  • @jacksonsawe2301
    @jacksonsawe2301 วันที่ผ่านมา +1

    Ustarabu zero

  • @melch3097
    @melch3097 วันที่ผ่านมา

    Kwenye maridhiano lisu ulikuwepo, heche alikuwepo

  • @AboubakarRashid
    @AboubakarRashid วันที่ผ่านมา

    Kwel nyie chadema munaznguwa san nn ss munafanya kwa wanachama

  • @AthumaniAbeid
    @AthumaniAbeid วันที่ผ่านมา +2

    Weeee lisu mnafiki sana

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward วันที่ผ่านมา

      Unafiki kipimo chake nini?

  • @KopiscoIsaya
    @KopiscoIsaya วันที่ผ่านมา +3

    Nonsense kwani ukinyamaza utakufa??? Tundu LISU,udhaifu wako mkubwa ni kufyatuka,muda mwingine kaa kimya,hacha kuropoka.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward วันที่ผ่านมา

      Akae kimya Mungu kampa mdomo wake. Wewe kimya. Mwache yeye ajisemee.

    • @CelinTonny
      @CelinTonny 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nakumbuka kipindi cha kifo cha magu anazunguka kenya sis tunapitia maumivu huyu baba siwezi msamehe

  • @hamadmakame6040
    @hamadmakame6040 วันที่ผ่านมา

    Yani mnataka kua chama hivi hivi duu