KUHUSU WASAFI LISSU AMJIBU NAPE "WANAONGEA MAMBO YA MDOMONI/NILIJIULIZA KAMA WANAUBAVU WA KUNIALIKA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 44

  • @HermanJoseph-mi2og
    @HermanJoseph-mi2og 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ongereni interview nzuri sana mnafanya kaz nzuri

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 10 หลายเดือนก่อน +3

    Nikawa najiuliza...."mbona huyu mwanaume mwenzangu anayatakia nini...."? Haya Mheshimiwa!!!

  • @JustinKachewa
    @JustinKachewa 10 หลายเดือนก่อน +4

    Tuwe wakweli tanzania akuna demoklasia yakweli aiwezekani ccm tu watawale pekeyao inchi nandio wanatuletea umasikini awa ccm watu wamataifa mutambue tanzania aina demoklasia yakweli

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 10 หลายเดือนก่อน +1

      Hunaakili kama unadhani demokrasia niuchaguzi

    • @williamuaza7541
      @williamuaza7541 10 หลายเดือนก่อน

      Hkn democrasia ww​@@emmanuelmlowe-ew7gx

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 10 หลายเดือนก่อน

      Mpaka hapo wewe ndio umeonesha huna akili
      Kwa maneno yako mwenyewe
      Umejidhihirisha huna akili
      Emmanueli

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 10 หลายเดือนก่อน

      Kushindwa uchaguzi haruhusiwi na demokrasia. Kushindwa uchaguzi yenyewe tu ni demokrasia tosha.

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wahuni hao kwa nin walivyopiga cm hawakutoa hizo sababu???

  • @bundalamabula6264
    @bundalamabula6264 10 หลายเดือนก่อน +2

    Lissu piga kazi kuna watu fuse zilishakatika na hawajui inchi hii iko wapi na inaenda wapi

  • @chuwafashion1912
    @chuwafashion1912 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kamanda.waburuze.maakamani.kwakutumiya.jinalako.kujinufaisha

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 หลายเดือนก่อน +1

    Haongei lolote positive.Kamtuksna Mama Samia Japo kajaribu kuwa mzuri Kwake .Siku zote huongea mabaya Tu.Sera hana zaidi ya chuki 😢

  • @JoyceMora-p1f
    @JoyceMora-p1f 10 หลายเดือนก่อน

    Acha kumtaja Magufuli muache mzee wawatu alale

  • @machakayohana9200
    @machakayohana9200 10 หลายเดือนก่อน

    Lisu ukome kumtaja magufuli

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwandishi vipi?

  • @SamwelMdamanyi
    @SamwelMdamanyi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kama una mbaya wako na wewe utamchukia tu na kumtaja

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 10 หลายเดือนก่อน

    Maelekezo kutoka juu ni juu ya wasafi na huyo ni Diamond anajaribu kulipa kisasi 7bu mlimkataa kipindiflani alikuwa anawania tuzo kubwa duniani. Hakuna juu nyingine zaidi ya hyo

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 10 หลายเดือนก่อน +2

      Acha utoto chadema wamzuie Daimond kushinda Tuzo

    • @malkavoice2570
      @malkavoice2570 10 หลายเดือนก่อน

      @@zebedayokatamaduni9676 we kupe nn inamaana hujui. Sio chadema ni wanaharakati akiwemo Lisu hawakupenda Diamond anavyosaport ccm alafu aje kushinda tuzo za Bet mbele yao walimnyuka nahisi hadi leo anaugulia mshenzi,Maagizo kutoka juu kwa pale Wasafi unadhani yangota kwa nani?

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @gasperelasto8842
    @gasperelasto8842 10 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @RamaHRIzmaelov
    @RamaHRIzmaelov 10 หลายเดือนก่อน

    Wamekudanganya

  • @JumaShimende
    @JumaShimende 10 หลายเดือนก่อน

    Kidini haipendez kumsema marehemu yeyote vbaya.c kwa waislam c kwa waristo.Nashauri kama itawapendeza hembu tusiwe tunawazungumzia marehemu vbaya.tuwaombeeni dua walipo kosea kwa mapungufu ya kibinadam mungu amsamehe.chakufanya kunamaziri waliyo yafanya na yanatija kitaifa yaendelezwe walipo kosea tuyaache.cvema hapaongelewi siasa au jambo ni marehemu flan ni baya nimbaya hayupo sasa na hawezi kuamka kujibu hizo tuhuma inakuaje!!!?

    • @JumaShimende
      @JumaShimende 10 หลายเดือนก่อน

      Kwani bila kutajwa yeye siasa haziendi? Kuna viongoz wangapi ambao nimarehemu mnataka kusema wao walikua ni watakatofu na wele walio hai hawana walipo kosea?upande wangu tukiacha mungu hapendi.kibinadamu tuangalie familia zao wanajisikiaje kwakuondokewa na mpendwa wao halafu watoto wazaz wanasikia kila siku mpendwa wao anasema vibaya wanajisikiaje hatulioni hilo!!?au mnataka kusema sooote niwatakatifu hakuna mkosefu nani c mkamilifu!?au nyie hamtakufa je familia zenu wakiwasikia watu wanawanenea vibaya watoto wenu na familia zenu watakisikiaje?sikatai mana hakuna mkamilifu sasa kunamana Gani kila uchao flan alikua mbaya mflan alikuabaya.tumuogopeni mungu kwamtazamo wangu naona sisawa tujengeni hoja Kwa Yale ambayo tunaona hayapo sawa.matehemu hao washaenda mbele za haki tuwawache wapumzike Kwa Amani🤲🤲🙏

    • @johnmligo6966
      @johnmligo6966 10 หลายเดือนก่อน

      Ajenda ya huyo bwana haiwezi kamilika bila kumtaja Magufuli YAFUATAYO yanawezekanaa... A. Inawezekana anatumikab
      B. Labda anapsychogical effects, lisasi zile hata kama ni feki lazima zilimuathiri.

    • @allyvindili9099
      @allyvindili9099 10 หลายเดือนก่อน +1

      Yakikukuta utamtaja uyo marehem mpaka cku na ww unatokwa na roho
      Kinachotakiwa ni kutengeneza kesho yako isemwe vzur
      Unataka uuwe watu. Udhurumu haki zao alafu utajwe Kwa wema?

    • @allyvindili9099
      @allyvindili9099 10 หลายเดือนก่อน +1

      Ndugu zangu Hawa jamaa wamefaulu kubadili njia ya kufikisha ukweli
      CCM watasemwa wawe hai au laa wamekufa kwakua wanafanya dhambi wakiwa wanaijua

    • @williamuaza7541
      @williamuaza7541 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kama ulifanya ubaya kwenye uhai wako usitake uongelewe vzr ukiwa maiti ubaya upo na unaishi na haufutiki kwa gharama yoyote ile Kama mtu alikua mbaya ataongelewa kwa mabaya mpk mwisho wa dunia

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 หลายเดือนก่อน

    Wasafi Lissu NI chizi Baada ya risasi kuminasita..Kachanganyikiwa. Hana Shukrani.Atawachafulia biashara yenu.. Never entertain such s person 😢

    • @salambafrancis6840
      @salambafrancis6840 10 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndo chizi maana unaonyesha una utindio wa ubongo

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli chizi huongea uchizi
      Kamanda Lisu tunakupenda sana

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 10 หลายเดือนก่อน

      Hivi katika maelezo kama hayo kuna shida gani mpaka unaona hafai?

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 10 หลายเดือนก่อน

      Yeye hampendi tu
      Lakini sisi tuna mpenda Lisu

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 10 หลายเดือนก่อน

      Alafu Grace una maneno yasiyo endana na Jina lako kabisa.
      Hivi Grace chama cha Siasa unacho kipenda kitakupa uzima wa milele

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyumjinga bilakumtajaMagufuli hawezikuongea

    • @geey7893
      @geey7893 10 หลายเดือนก่อน

      Anamuonea Wivu mke wa Magufuli😅

    • @ezekielkiduge8730
      @ezekielkiduge8730 10 หลายเดือนก่อน

      Mjinga hajijui kuwa ni mjinga nionavyo mimi mheshimiwa LISU Ana akili timamu

    • @othmarluwawilo8308
      @othmarluwawilo8308 10 หลายเดือนก่อน

      We ndiyo mjinga wa kutupwa, Vitendo vya mauaji vya Magufuli ndivyo vinavyomhukumu, Lisu kabla hajafa akaonyeshe ulemavu uliosababishwa na Makonda kwa amri ya Magu, Mungu aliamua kutoa hukumu hapax2 duniani, ili watu wajifunze "Ubaya ni deni" Mungu humlipa yeyote aliyetenda ubaya.