KIPINDI HOTUBA YA MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT JOHN MAGUFULI 13 DEC 2016

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2016
  • KIPINDI HOTUBA YA MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT JOHN MAGUFULI 13 DEC 2016

ความคิดเห็น • 14

  • @seniorriganya590
    @seniorriganya590 7 ปีที่แล้ว +3

    CCM Mbele kwa Mbele!!!!

  • @johnmacha2194
    @johnmacha2194 7 ปีที่แล้ว +2

    CCM oyeeee!

  • @freadoctor4459
    @freadoctor4459 7 ปีที่แล้ว +1

    nawatakia wapendwa woote christmas njemana heri ya mwaka mpya.nawapenda wote.

  • @mzeruhusseinabdallah1756
    @mzeruhusseinabdallah1756 7 ปีที่แล้ว +1

    . .

  • @ashrafmberwa8740
    @ashrafmberwa8740 6 ปีที่แล้ว

    ninoma

  • @maishatv7514
    @maishatv7514 7 ปีที่แล้ว

    kidumu chama cha mapinduzi..

  • @SalmaSalma-nb2cv
    @SalmaSalma-nb2cv 4 ปีที่แล้ว

    Apo mulipoondoka ndio mafisad yakaanza membe,kinana nawengine

  • @barakambise9052
    @barakambise9052 7 ปีที่แล้ว +2

    Nina swali kidogo, mbona hotuba zote za mheshimiwa Rais zinafanana, kila mahali anasema watumishi hewa, wanafunzi hewa, uchumi unakua kwa 7.2% /7.9% , tunajenga reli, tumenunua ndege, n.k na hakuna mtu anamweleza kuwa tayari wananchi wanajua tayari, washauri wake wana kazi gani? kila mahali anahutubia the same. hata alivyokua anapiga campaign, the same speech, mshaurini Rais, this is information age, so hakuna haja ya kurudia hotuba moja mwaka mzima.

    • @kiharasadiki7009
      @kiharasadiki7009 7 ปีที่แล้ว

      baraka mbise ,wekahutuba yakotuisikie,huendaikawayamana

    • @barakambise9052
      @barakambise9052 7 ปีที่แล้ว

      Kihara Sadiki Nielewe tu kaka, mim wala sina shida na Rais, anafanya kazi nzuri sana, ila pale anapokosea lazima tuseme, so wew unaona ni sawa anavyorudia kitu ambacho alishakisema na watu wakaskia? haipendezi kila anapokua kwenye mkusanyiko wowote ule, hata alipokua kenya, anaongea the same speech, !

    • @modernfarming5938
      @modernfarming5938 7 ปีที่แล้ว +1

      baraka mbise
      sometime mnakosa maswali ya msingi ..weka hotuba yako tuisikie

    • @barakambise9052
      @barakambise9052 7 ปีที่แล้ว +1

      Basi wew baki ulivyo tu sasa naona tunapishana maoni

    • @dr.erickjmazyala8905
      @dr.erickjmazyala8905 6 ปีที่แล้ว

      Baraka, watz hawakawii kuyasahau yaliyopita, hivyo ni lazima aendelee kuwakumbusha changamoto anazoendelea kuzitatua, na pia kuwakumbusha dira ya awamu yake ili hata mtoto mdogo ajue hivyo na wanaomsaidia waelewe na kutekeleza hivyo!