JPM unanipa FARAJA sana moyoni kwa namna unayvo hutubia kwa hisia kali na uchungu wa taifa lako halafu unayatekeleza kwa vitendo!Nchi yetu ilishaoza kwa baadhi ya viongozi na raia kuifanya ya kwao pekee!JPM TUMBUA MAJIPU HATA KUKATA MGUU MIMI NITAKUSAIDIA KUYATUPA KWENYE SHIMO LA TAKATAKA!U'RE GREAT MAN IN THIS CENTURY!
Ingawa CCM (sio wote) Walimchagua Magufuli ili Wampande Kama lifti ya Kupata Madaraka, He is a Good Man! God Bless Him.
mh rais .nakuombea sana .mungu akupe kila la kheri na akuondoshee kila la shari
mh tunakupenda sana sis vijana .tunakuwahid hatutokuangusha
safi sana. mola akulinde .raisi wetu
may Almight GOD be wz u our Prezdaa, amen
Nitakukumbuka daima shujaa wetu
tuombeeni taifa letu
Tutakukumbuka daima
Mungu wetu ni mwema atakulinda Rais wetu na Mabayo yote.
tunakuombea maisha bora marefu madarakani from Canada
Jishusheupandishwe.
JPM unanipa FARAJA sana moyoni kwa namna unayvo hutubia kwa hisia kali na uchungu wa taifa lako halafu unayatekeleza kwa vitendo!Nchi yetu ilishaoza kwa baadhi ya viongozi na raia kuifanya ya kwao pekee!JPM TUMBUA MAJIPU HATA KUKATA MGUU MIMI NITAKUSAIDIA KUYATUPA KWENYE SHIMO LA TAKATAKA!U'RE GREAT MAN IN THIS CENTURY!
Huyu ndiye tulikuwa tunamsubiria
very diplomatic not offensive.......shame on you guys who are not for him.....he's a great guy history never seen in Tanzania
Pumzika kwa aman mzee wangu,dr John joseph magufuli
Tunaomba kwa ajili yake Mungu amwekee nguzo ya moto mbele na Nyumba na ngao ya shaba maadui wake wajikwae waanguke
Mungu akulinde na akusimamie raisi wetu ili uliyoyakusudia yatimie
Jembe letu mungu amlalaze malipema
Never seen and we will wait 4 long time libarikiwe tumbo la mama yake kwa kuzaa mtu wa watu
Me
tunashukulu kbsa
Kama Mungu anachagua kifo nice mm Jpm abakii nakupenda mpaka nataka kufaa
Ahsante
Nimejikuta nalia kwa uchungu mwingi,
Pumzika kwa AMANI kipenzi chetu
Mungu akulinde raisi hata tuione Tanzania mpya. Tutatimiza wajibu wetu.
magufuli ni mfano wa kuigwa barani Afrika maana nchi hii ilikuwa imefika pabaya kila mwenye nafasi kujichukulia atakavyo .
Da
Baba Magufuli kamatia juu usishuke chini you are the prophet people of Tanzanian have been waiting for
NI MUNGU WA MBINGUNI TU NDIO ANAJUA. RIP Dkt JPMagufuli
Buriani baba angu,daima watanzania hawakusahau,tunakuombea pumzika kwa amani
Pumzika kwa amani
hahahahaha, 'unatakiwa ukafungwe, ' magufuli unanifurahisha sana, dah kura yangu
salute juu yako Rais wetu ndani ya mda mfupi umefanya mambo makubwa mungu akulinde milele daima Amen
,,😉😉😉😉,,0,
Mfano bora wakuigwa na ma rais wengi wa inchi zetu wa afrika
Tumpate wp ten e MUNGU mkumbuke laisi wet kipenzi popote alipo usimuache
Uzoee
kenya
makufuri chapakazi huyu mbunge mwimbaji hapajuzi arifikiri akikusema hovyohovyo bungeni arifikiri tutamsikiriza hatumsikirizigo atafutehoja zingine makufuri chapakazi
TUNAKUOMBEA USIKU NA MCHANA UONGOZE MIAKA MIA MOJA
kiboko yao
Ulivyokuwa Unapendwa na Wananchi,WAKAKUONEA WIVU.HATATOKEA,KAMA DR.JOHN POMBE MAGUFULI.,duh!!,"INAUMASANA".