Uzuri wa Jeshini hata weusi tumekuwa weupe Jeshini jua la Dom nakumbuka Op kikwete 2015 na Carlos,maketu ,af Hoza dar ilikuwa Raha ila tuliinjoy pamoja na yote Makutupora nawashukuru
Mmenikumbusha JKT Makutupora Operesheni MWAKA MMOJA 1975 na Maafande "Nguvu ya Nyani, Kufakunoga, MP Kidemiti n.k" Hivyo hivyo. Naipenda Tanzania nchi yangu.
Omar hyo close and open ,mstari wa mbele na nyuma ndio wanafungua kwa kurudi nyuma hatua moja na mstari wa mbele hatua moja mbele ,ila mstari wa kati wanabaki kama walivyo tu
Hawa ndoo wazalendo sio wale wanasiasa
Safiii afandeee...wameiva hao. Wanajitahidi kukata upepo. Nzuri hioo
Kamanda na jeshi lake mafunzo walizingatia kweli wapi vizuri big apu tanzania
Mungu awape uvumilivu na afya njema awapiganie kwajili ya nchi yetu tanzania
Naipenda nchi yangu najivunia kuwa mtanzania ... Mungu ibariki Tanzania
🇹🇿🇹🇿🇹🇿 I love my country Tanzania.
TPDF is the most feared army in Africa. I love Tanzania
Feared by who!
Mungu awatunze watoto wetu na jeshi letu kwa ujumla tunawaombea sana
Majeshi si lele mama Ata mim napenda kuwa mwana jeshi nilitumikie taifa langu kwa moyo mmoja
Mungu azidi kuwalinda na awape nguvu na afya pamoja na ujasiri zaidi nimependa cana ilo gwaride
Viongozi wawe wanapigishwa kwata kwanza maana wapo wengine lelemama sanaaaa😂😂😂
Afande kamataa, big up afande, wale watu foleni,
Walee watu OP samia 😁
Memories 834 makutupora op samia suluhu mujibu wa sheria..kama kawaida AFANDE kamata nakuona n'a wale watuu
@@halimojapangani8287 yeah wale watu hahahahahah
Inanikumbusha operation Wajibu, Bulombora JKT na Service Chang'ombe JKT. Jeshi Ni sehemu nzuri ya kuwaweka vijana kuwa wakakamavu my kuwa sharp minded
Amazing job
Napenda saaana na nataman siku moja nitumikie nchi yangu
Sarudi kwa makamanda away wamekorea mafuzo kinyama Sasa ngusa Moto upingike
Nakumbuka nipo Shule ya Msingi KABOYA 21KJ hayo tumefanya sana tukiwa shuleni. Shule za jeshi👊👊
Baba yameiva hayo,nakumbuka op jiajiri Makutupora Jkt!
Mungu aendelee kuwapigania na Safar yenu mfaulu mzuri mafunzo yote mbele yenu
Wako vizuri sana wamenyoka asa kamanda
Afande kamata, Mungu akupe maisha marefu🙏🙏🙏
Nilipenda san ila naomba mungu mtoto wangu asomee
Wawooooo jmn 834 kk miss more ongeren masg na masm
Yanikumbusha kwata niliopiga mwaka safi sana
Babaaa yameivaa hayooo😅😅😅
Huku koplo Vempa ,kule kipingu lazima utajua kwata + maovyoovyo
VIVA TANZANIA 🇹🇿♥️🇹🇿♥️💪🇹🇿♥️ VIVA WAZALENDO💪🇹🇿♥️💪
mzee wa kunyonya mafuta sheli aingza kikund uwanjan daah nmemc kutundka afandee kamata
Me nlipata mafunzo msange jkt 823kj,,op kikwete,sio mchezo lazma uwe mkakamavu
Jeshi letu liko vizuri kila idara
My memory 825kj 2015 kazi nzuri
Duuuh kishindooo cha nguvu
Samahani naomba kusaidiwa kombati kareti ya mujibu wa sheria 841KJ Mafinga Op 3 ya Kikwete 2015
napenda sana kwata ila sijafanikiwa kwanda jkt
Nakubali wanangu wanjia moja
Duuuuiiiii tumbo linauma watoto walivo iva pambaneni wanangu MUNGU ibaliki TANZANIYA libaliki JESHI letu
Yaaapuu yeess saa mkuu
Safi sana Tanzania imara
Sie ktk kupanga mistari tumeshika kiuno hadi raha kwata tamu nyieee❤
Memories? memories? 2012 oljoro ilikuwa Balaaa nimemiss kwata
wewe unaonekana Ni bonge la Nanga...siku ya pass out ulienda ngoma coy ukatemwa ukaenda kujificha Bustani coy...NNANNGA KABISA NANGA BRIGADIA
Proudly Tanzanian
Nzuri sana
Bravooo 💪
Afande kamata huyu nakumbuka msemo wake kurutu akichoka ndio namshikilia
Hahaha
asa wako vizuri sana
Pared nzuri ila kasoro niliyoiona mimi Hakuna pous
vizuri
Iko sawa
Viongozi was mtaa wapgishwe kwata ndipo wafanye kazi vijana kazi nzur
Nimemisi Sana III kitu 20018 tuli Iva Sana sana
Good work
ii foot drill noma sanaa!!
Uzuri wa Jeshini hata weusi tumekuwa weupe Jeshini jua la Dom nakumbuka Op kikwete 2015 na Carlos,maketu ,af Hoza dar ilikuwa Raha ila tuliinjoy pamoja na yote Makutupora nawashukuru
834KJ
Rwamkoma hiyo 2016
WILSONI JOSEPH ARUSHA NIMEIELEWA MKUU
Oya nakubal masoja
Tanzania nguvu Moja ❤❤❤❤❤😂
Saf napenda jeshi la nchi yangu
Jamani niyakweli au
I love my tanzania rip jpm
Nayo nikazinzuri👏👏👏👏👏👏👏
Mungu awabariki
Sio siri huwa navutiwa na jesh
Natamani namim niingie lakini sina elimu yeyote
Ongeea sNa viwenzangu 🇹🇿 tuko vizur
👍
Nimekibali saluti
Salute to afande kamata wale watu.
Wale watuu
Hizii kwata baanaa Kila instructor anakuwa na code zake maanaa apoo pa mwendo wa pole kugeuka nyuma ndo nimeshangaa aisee
TPS kule kufunga na kufungua mstari hakuna double hot.
@@stn4873 Hot ndo hotpot au??? yani mnafunga na kufungua Hotpot mbili kwa mstari...okay
@@amirimbago8325 Upo Sahihi.
Mmenikumbusha JKT Makutupora Operesheni MWAKA MMOJA 1975 na Maafande "Nguvu ya Nyani, Kufakunoga, MP Kidemiti n.k" Hivyo hivyo. Naipenda Tanzania nchi yangu.
Duh 1975?
Bado upo, unakula pensheni
Mkuu kipindi hicho niko darasa la 5
Jeshi imara sana
Kweli
😍😍😍😍
Mwamlishaji anatosha
Pared kamanda uko vzr
Likely
❤a
Safi
Wameiva...wamekariri vitendo mpaka nukta.
Nizuri wazih
Safi sana ila kweny open na close order cjamanya
Safi.wameiva
Omar hyo close and open ,mstari wa mbele na nyuma ndio wanafungua kwa kurudi nyuma hatua moja na mstari wa mbele hatua moja mbele ,ila mstari wa kati wanabaki kama walivyo tu
Umri wa kujinga ni miaka mingapi?
Good
I remember 2009 Makutupora 834
Hakika ndifyo ilifyo kuwa
Hatari
Vijana wameiva kisawasawa..
Kamata afande ❤
Wale tano
Vijana wameiva drill Safi🤔
Nc on tz
My memory 823kj 2018.
Exx
❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Uzalendo kwanza
Operation WAJIBU, 1984
Passing square i
Yameiva baba afand
ee
Wale watu
Xaf sana
hii inaitwa fang fang
zuchu😂❤😢