CHENJA KALI, MAMA YANGU MAMA,LETE STORY, STORY YA MWAMEDI KUTOKA KWA PANYA MSELA ASKARI WA F.F.U
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2023
- #FahamuZaidi #RackaRhymes #PanyaMsela #MaishaYetu #PanyaMselaMamaMjane #Chenja #Mchakamchaka #jogging #mabio #mwamedi #mohamed #Jkt #jakata #Kikosi #FieldForceUnit #KikosiChaKutulizaGhasia #DarubiniKaliMedia #barakamaherithestoryteller #BongoSwahiliMedia #viral
chenja kali,chenja kali za jeshi,chenja kali za kijeshi,chenja kali za jkt,chenja kali,chenja kali za jeshi audio,chenja kali za jeshi mp3 download,chenja kali za mabio,chenja kali za nyimbo za mchakamchaka jeshi
@Bandidutv @millardayoTZA @Wasafi_Media @FAFANUOMEDIA @dplatnumz
Namkubali sana huyu jamaa napenda kusikiliza nyimbo zake zina vibe big up sana brooo 👏👏👏
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊000000000000000000000000000000000
Tunashukuru sana kwa maoni Yako Ni muhimu sana kwa ajili ya kuboresha channel Yetu, WEWE ni shabiki Yetu wa damu tunakuhaidi hatutakuangusha 🔥 🔥 #BongoSwahiliMedia
kwa hizo nyimbo unaweza kimbia miaka buku na usichoke salute kwako kamanda😃😃
Huyuu ana balaa nimekutana naye kwenye mbio za mwenge!!! Mwamba ana hatarii sanaa
Du huyu Mwamba noma Sana mistari inatoka kama yuko studio kaandika kumbe anatoa kichwani Live. Big up mwamba.
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
👍
Aa
😂😂😂
@@nelsonbyabato7686aaaaaaaaaaaaaaàaàaààa
Huyu jamaa wa kwanza ana pumzi sana nimemkubali kwa hilo 🔥💪
Mungu nilindie hawa watu ni muhimu sana kwa taifa letu
Afande uko vizuri, unanikumbusha mbali Sana, wimbo wa mama safi Sana💞💞💞
Ni hatar
Chenjaa kaliii mwamba Anajuwa niko viziri ila pumzika hyo sina. Sema Avuti sigara ndo maana
nikisikia hiii ngoma namkumbuka mwamba bugalama popote ulipo ishi Sana kaka huko Mbeya
Yeah Mwamba ana chenja hatari respect to Bugarama.
Afande uko.vizuri pumzi imesimama vizur hongera sana
MAMA ULINGEEEEEEEEEE KAMANDAAAAAAAAAAAA SAFI SANA HONGERENI SANA MAKAMANDA.
Kama unawakubal hawa MAKAMANDA Gonga like 👍 yako hapa ili tujuane tunaowaunga mkono Makomando
Wamenikumbusha JKT nyakati zile, safi sana
Mpangilio uko good sana na sauti imefunguka. Ongera sana
Yaani hapo unaweza kuzunguka TANZANIA Nzima bila kuhisi uchovu
Ahsante sana Kwa kutuamini na kufuatilia video zetu usisahau ku like na kushare video hizi wewe ni shabiki yetu wa damu hatutakuangusha @BongoSwahiliMedia 🔥🔥
Ananikumbusha Bwana mmoja Mzaramo kwa jina Bashiri 842KJ OP Miaka 50 ya Muungano. Anaweza kuimba lisaa peke yake 🔥
"Nitakutoa lindo nikuweke masijara...."😄😄🙌🏾🙌🏾
Ha ha ha ha
Hahaha u mstari umekawaa sawa 1:04
nice voice and song Gog blees him🙏🙏
Niko njaa ata siwezi taranda, hoe hae shaghara bagala, nipo tayari kulipa gharama sito simama maovu ya kiutawala🤔🤔🤔🤔
Yaani nimependa sana kamanda nimeamini kipaji popote mtoto wangu mmoja lazima awe FFU
kuw ww ucsubir mtot awe FFU
watoto wa 833KJ oljoro chugarliee💪💪 ni vile tulikuw na vibez dadeqqq✅✅✅✅mamaeeeeeeeeeeeeee
Safi sana nyimbo za morali
Huyuu mwamba anajua kuimba chenja😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌huezi choka aiseeee😄
J.3 C coy pltn no.2 kuna mwanetu wa kuitwa SUDI mkali wa hizi kazi🙌🏾
Nakubali Sana unapumz Sana bonge la song
Nimeikubali sana hyo sehemu ya WEKA HIP HOP 😀😀
Always Field Force Unity💪💪💪💪💪💪💪💪
Anajuaaa jamaaa nikikaaa nae watu hawachokii kazi nzuri mjubaaa
Nawakubar sana makamanda kwa chenje nzuri
Ebhn huyu afande yupo vzur Sana ila kipande ambacho kamueleza MAMA dah kauwa Sana hiko Safi afande
Kuna mda pumzi inakaa level aipungui aingezeki Kuna watu wanaelewa
Very nice 👍👍 Misha ya jeshi ❤❤❤❤
Kazi za majeshi ni morale tu ! Pamoja sana
Kazi nzuri sauti imenogesha wimbo
Nc xana ,field for lyf💪
Hongereni sana makamanda!! Mungu awape nguvu na utashi kulinda raia na mali
Safiiiiii moral juuuu hamna namna acha tuitumikie nnchi
Hilo neno la kumsifia mama nimependa sana
Bigup sana naona unajila kwa ajili ya jeshi safi sana full molary umetukumbuka mbali kipindi ukuruti 👍👍👍😀😀😀
Huyo kamanda wa kwanza ametisha sana hahahah.. mistari kwenzi sana.. kama vpi aingie studio.. goma kali sana.., morali kama yote
Huyu Jamaa Anaimba Sana😂😂🙌🙌🙌🙌
Jamaa ana pumzi sana!!
Jamaa wametisha sanaa...
Chenja kama hizo kuchoka utakusikia utakapo maliza route...
tena nilikuwa doja sana lkn wakati wachenja lazma niende route
Love those songs
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hizi nyimbo zilitufanya jeshi kuliona kama nyumba
🤣🤣🤣🤣🤣
Sahihi
jamaa anaweza sana saluti kwake
Love this 💕
Song zuri Molari , makamanda safi
Ndoto yangu kuwa afsa na ipo siku nitakuwa na kulindaa
Bila ya iki kitu kozi nicngetoboa kiukweli
🥰🥰
Pamoja sana mkali
Huyu ni mwamba kweli kweli
Bonge la chenjaamae jeshiiiii
🤣🤣🤣🤣hela zote kahongaa unanikumbusha mama amina
Umetisha sana
Kaka upo vizur sana,
Tunashukuru sana kwa maoni Yako Ni muhimu sana kwa ajili ya kuboresha channel Yetu, WEWE ni shabiki Yetu wa damu tunakuhaidi hatutakuangusha 🔥 🔥 #BongoSwahiliMedia
Nilikua naimba chenja 821kj back then lakini huyu mwamba🤛
Op gani
Ahsante sana Kwa kutuamini na kufuatilia video zetu usisahau ku like na kushare video hizi wewe ni shabiki yetu wa damu hatutakuangusha @BongoSwahiliMedia 🔥🔥
Mwenyewe nimesalute man, nagonga chenja lkn Kwa huyu mwamba nimesalenda kamanda
Jaman nlikua 821kj op miaka 50 ya JKT!!
Atali sana songi bomba
Nakupenda kaka wa chenja niweke ndan uache ubachelaaa😅😅😅
Tunashukuru sana kwa maoni Yako Ni muhimu sana kwa ajili ya kuboresha channel Yetu, WEWE ni shabiki Yetu wa damu tunakuhaidi hatutakuangusha 🔥 🔥 #BongoSwahiliMedia
Nakumbuka 2021 ndani ya 821kj bulombora kigoma
Unanikumbusha 833kj.2021
Ahsante sana Kwa kutuamini na kufuatilia video zetu usisahau ku like na kushare video hizi wewe ni shabiki yetu wa damu hatutakuangusha @BongoSwahiliMedia 🔥🔥
Uyuu jamaa anajuaa mpakaa anajuaa tenaa aniii daaah nmtaman gaflaaa kuaa kamanda❤
Tunashukuru sana kwa maoni Yako Ni muhimu sana kwa ajili ya kuboresha channel Yetu, WEWE ni shabiki Yetu wa damu tunakuhaidi hatutakuangusha 🔥 🔥 #BongoSwahiliMedia
Jamani na mm nataman niwe ffu
@MartybungeKhaday Asante Sana kwa kutuamini na kufatilia video zetu, usisahau ku subscribe na ku share video hizi, wewe ni shabiki Yetu wa damu tunakuhaidi hatutakuangusha @BongoSwahiliMedia🔥 🔥 🔥
@MartybungeKhaday Tunashukuru sana kwa maoni Yako Ni muhimu sana kwa ajili ya kuboresha channel Yetu, WEWE ni shabiki Yetu wa damu tunakuhaidi hatutakuangusha 🔥 🔥 #BongoSwahiliMedia
This amazing
Kaka kipajiii unachooo nimekubalii
Anatisha Sana mwamba hapo hata km 100 pow tu
Duuuh 🤔🤔..bro much respect 👊👊.. umetishaaaa
Kaka unaeimba nakupenda aiseeeee
Maamamaaaaaaa Lete story Weka Chenja
Nakubali sana hii kazi
Hahahahahahaha Paul namfahamu vyema anadali keko Kkkt ni mwimba kwaya ya vijana mshkaji sana huyu
Sana kak uliupiga mwingi ikiwezekan tunga chenja zajeshi tu
So cool
Kuna mwenzenu huko kashakiwasha🤣🤣🤣
😂😂 afandeee unajuaa
Enzii zetu uko mjibu wa sheria
Kamanda yuko vizuri sna
Kila cku naskiliza 🔥
kazi kazi pamoja sana
Daah wamenikumbusha enzi zile jkt mmetisha sana
Jambo Afande 💝💝
Nakubali chenja ase, hapo morali mpka bas
Safi kamanda
Nakubali sana wanang
Chenjaa🥰
Raha sana
Ni nomaaaa🔥🔥
Nakubali kazi brother
Yupo safi afande 👍👍👍
🎉🎉🎉hakunaaaaaaaa hakunaaa hongera sana
Chenja kali sana
Kaka umetisha ukovizuli
@@asiahasani159 q
Qqqqqq
@@asiahasani159 qq
@@asiahasani159 qq
Noma sana mistari yanguvu
Safi sana hii....
Aaah jamaa anaimba uyu👏🏼👏🏼👏🏼
Tunashukuru sana kwa maoni yako, ni muhimu sana katika kuboresha channel yetu!! Tutayafanyia kazi ili tuendelee kuwa bora zaidi 🔥 🔥 #DarubiniKaliMedia
Big up commender
Ase ...hongera saana unapumxi ase
Good afande kwa chenja nzur
Afu kuna dwaf wamepataje kazi hao🤩🤩
Singeli ya FFU
Waooo mama mungu akulinde uishi maisha marefu
I love it
Big up
Waziiiiii kamanda 🤜👉💯
Tunashukuru sana kwa maoni Yako Ni muhimu sana kwa ajili ya kuboresha channel Yetu, WEWE ni shabiki Yetu wa damu tunakuhaidi hatutakuangusha 🔥 🔥 #BongoSwahiliMedia
Dah mi naimba chenja lakin kwa hapa saluti
mfollow tiktok anaitwa #Panyamsela16
Sema mwanangu unajua
Safi kamanda bonge singeli
daah hii ngoma irekodiwe wazee au vp
Daah uyu mwamba kipaji sana