01 - MAJIBU YA SHEIKH MUHAMMAD

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 70

  • @WahidYahya-bf4lq
    @WahidYahya-bf4lq ปีที่แล้ว

    Shida ya Muhammad. Moja. Tu Tu Tu. Majigambo nae lugh za ushindani. Alla in all he is good

  • @maulidmussa8969
    @maulidmussa8969 ปีที่แล้ว

    shukran sheikh Muhammad nassor bachu kw ufafanuz mzr

  • @Mwarain
    @Mwarain ปีที่แล้ว +2

    Hongera MTT WA kipenzi chetu almarhum Allah amuhifadhi

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Yani nawasikitia mawahabi wanapeana moyo tu. Yani bachu maskini hajui hata maana ya balagha anajirushia maneno tu. Tena wala hajui balagha ipo kwenye ngazi ngapi

  • @saidahmada9118
    @saidahmada9118 ปีที่แล้ว

    Najiskia rahaaaaaaa mie ❤❤❤❤

  • @mwaramimwarami1479
    @mwaramimwarami1479 ปีที่แล้ว +2

    Baaraka llahu fik

  • @halimaosmanmahando7793
    @halimaosmanmahando7793 ปีที่แล้ว

    Mashaclah sheikh mohammed❤

  • @nasraabdallah
    @nasraabdallah ปีที่แล้ว

    Nakubali simba langu bachu blessed brother

  • @oman6124
    @oman6124 ปีที่แล้ว +1

    بسم الله ماشاءالله تبارك الرحمان بارك الله فيك hongera sana ustadh nasser

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Sasa hongera kwa lipi.bachu karudia tu maneno yaliyopo kwenye barazanji alafu akadai hakuna Balagha lkn hakutwambia kwanini hakuna balagha. Pia kujigamba kwake bachu ni njia za kuficha ujahili wake juu ya elimu ya balagha

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว

      @@abiabi9353 Akili Yko Zima Kwel wewe Yani Upo Radhi Uwendeleze Bidaa Kitu Ambacho Mtume S,w Na Maswahaba Wake Hakufanya Ila wewe Unakubali kufanya Kwa Ushahidi Upi Hakuna Kwenye Adith Sahihi Wala Qur'an Mkiambia Nyinyi Wapiga Maulid Ni Waganga Mnaona Ni Sifa, Yani Bichwa Kubwa Lakini Halina Akili Umemsikiliza Vzl Sheikh Mohammed Bachu Ebu Rudia Vzl Tena Kma Bichwa Lako Limejaa Ujii Wacha nikuellimishe Kwenye Mistari Alio Isoma Kwa Barazanji Haikuwa na Baragha Wala Majazi Ndio Akawa Anamuliza Uyoo Muongo Mwezio kuwa Kwenye Mistari Nilio Soma Hakuna Balagha Wala Majaziii Wacha kudanganya Watu Nionyeshe Majazi Na Balagha Ziko wapi Hapa Usidanganye Watu Kwa kisingizio cha Balagha Na Majazi Akarudia Tena Sheikh Mohammad Bachu kuwa Anae Ona Anaweza Kumsaidia Sabasi Kujzijibu Japo Hoja Moja Mbona Hakuna Alie Sogea Kma Waliona Majibu Wapo Nato Wacha Kujifariji Na Bidaa Kma Haoo Wao Waganga Wenu Wanao Uza Dawa Mkiaminishwa Kuwa Ni Masheikh Mmmmmh Endeleen Kuwaminishwa Bidaaa Kwa Akili Zenu Za Kushikiwa

  • @is-haqmf8513
    @is-haqmf8513 ปีที่แล้ว +3

    Beautiful from Sheikh Bachu. May Allah preserve him.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Sasa silaha nzito zipo wapi.bachu alicho fanya nikusoma maneno ya barzanji nakudai hamna balagha lkn hajaweza kututhibitishia kwanini hakuna balagha. Mtu yeyote mwenye elimu atagundua bachu hajui hata maana ya balagha wala hajui balagha ina daraja ngapi.yani ni ujahili wakiwahabi tu uliodhihirika hapo

    • @LADHATAMU
      @LADHATAMU ปีที่แล้ว

      Mna mjaza bichwa hana lolote mtoto mdogo lakini mdomo mrefu kweli Subhnallah

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 ปีที่แล้ว

      @@LADHATAMU Narudia Tena Kusema Hakuna Sheikh Yoyote Dunian Atakae Weka Munaqasha Na Sheikh Wa Kisuuni Kisha Wapiga Maulid Akashinda Munaqasha Uwoo Hakuna Kitu Kma icho Haijawai kutokea Na Wala Haita Tokea Kamwee Mpka Dunia Inakwisha Kitu Kinacho Wafanya Masheikh wa kisuni Kushinda Kila Munaqasha Sababu Masheikh wa kisuni Awajengi Hoja Kwa Mawazo Yao Ispokuwa kutoka Kwenye Adith Sahihi na Qur'an Na sio Kma Walimu wa kupiga Ngoma Yni Maulidi Hawa Watu Ujenga Hoja Ama Swali Kutokana Na Mawazo Yake Kutoka kichwan mwake Bila Kutumia Adith Sahihi na Qur'an Elimu Ya Sheikh Mohammad Bachu Anaweza Kuwafundisha Walimu Wapiga Maulid Kina Diwani na Sabasi Na Wengineo Miaka 100 Na Bado hawata Imaliza Kataaa Kubali Iyo Utajuwa Mwenyewe ila Ukwel Utabaki Pale pale

    • @suodymmbaga6583
      @suodymmbaga6583 ปีที่แล้ว

    • @suodymmbaga6583
      @suodymmbaga6583 ปีที่แล้ว

  • @allybobsaith
    @allybobsaith ปีที่แล้ว

    MZEE BACHU KWELI AMEACHA SILAHA NZITO ❤️❤️mashallah mungu amuongoze mohamed bachu ameen🤲🏻🤲🏻🤲🏻

    • @OmanOma-xi3hm
      @OmanOma-xi3hm ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa huyo ni simba

    • @OmanOma-xi3hm
      @OmanOma-xi3hm ปีที่แล้ว

      atawatafuna watu wa maulid

    • @allybobsaith
      @allybobsaith ปีที่แล้ว

      @@OmanOma-xi3hm SI UNAMJUA SIMBA ALIESHIBA HALAFU BADO ANAKUA MKALI, ndio mohamed bachu

  • @saidjumaabdalla1789
    @saidjumaabdalla1789 ปีที่แล้ว

    Mashaallah sh bachu

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 ปีที่แล้ว +1

    SHEKH BACHU UNAJUA KUNA KESI NYINGI ZA KUDHALILISHWA WATOTO WEWE UNAHANGAIKA NA MAULIDI SHETANI ANAKUCHEZEA USIKUBALI....

  • @arrisalastriker9813
    @arrisalastriker9813 ปีที่แล้ว

    Genius

  • @ramadhanjuma610
    @ramadhanjuma610 ปีที่แล้ว +1

    Mtt wa bachu yupo vzr

    • @allyomarysuleiman5232
      @allyomarysuleiman5232 ปีที่แล้ว

      Kwaiyo uyo bachu mtume au uyo mtoto mshenzi tu hana adabu ya elimu uyo ata babake mzazi anamponda sie tunaemjua ata radhi hana uyo mshenzi tu iyo shehena sio shekh km shekhe angutumia hekima muhuni wa elimu tu uyo

    • @yahyajuma9353
      @yahyajuma9353 ปีที่แล้ว

      @@allyomarysuleiman5232 hem sikiliza tena kwa umakini huu ufasah wa muhammad ndug wacha ubish na naamini una akili na haya maneno wakat unayaskiliza yanakushtua moy kwa yalivonyook na ukwel wach ubish tunakwenda pahal pa pima

  • @ayah844
    @ayah844 ปีที่แล้ว

    👍👍

  • @hansimassirhassan8154
    @hansimassirhassan8154 ปีที่แล้ว

    Sheikh Muhammad bachu Allah akujaze kheiri nyingi kwakweli tumepata faida kubwa sana na elimu Allah azidi kukuhifadhi na kukuepusha nahasidi wasio kubali kuskia ukweli

    • @allybobsaith
      @allybobsaith ปีที่แล้ว

      MZEE BACHU KWELI AMEACHA SILAHA NZITO ❤️❤️mashallah mungu amuongoze mohamed bachu ameen🤲🏻🤲🏻🤲🏻

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      Ehe wahabi wangu nitajie moja ya faida uliopata? Maana sijaona chochote bachu alichofanya zaidi ya kukariri maneno ya sheikh Barzanji na kudai eti hamna balagha lkn hakutuambia kwanini hakuna balagha. Kwahiyo naona amedhihirisha ujahili tu

    • @allybobsaith
      @allybobsaith ปีที่แล้ว

      @@abiabi9353 nyinyi ahlu bidaaa hamna la kujitetea wala hamna lolote hamkuweza hata kutetea hoja zenu

  • @Abusalim308
    @Abusalim308 ปีที่แล้ว +2

    Watu wa maulidi wamedhalilika mchana kweupee sura zao hakuna pa kuziweka wamebaki na porojo nyingi na kelele tu

  • @WahidYahya-bf4lq
    @WahidYahya-bf4lq ปีที่แล้ว

    Ama hapa sabasi usitufanganye jibu hoja

  • @UmAkram-z1u
    @UmAkram-z1u ปีที่แล้ว +2

    Sabas ajue kuwa maulid bidaa ahayo ni maneno ya baraza ji ni ya uomgo tu

  • @omarybasho2341
    @omarybasho2341 ปีที่แล้ว

    Bachuuwezekani upovizuri

  • @allyswallehe7070
    @allyswallehe7070 ปีที่แล้ว

    kuanzia leo siendi kwenye maulidi .kama kumswalia mtume nitamswalia peke yangu kila siku

  • @TecxerBwoy
    @TecxerBwoy ปีที่แล้ว

    Tuelemisheni ma sheikhe wetu lakini acheni kutupiana maneno mabaya

    • @allybobsaith
      @allybobsaith ปีที่แล้ว

      Hakuna anaetupiwa maneno mabaya watu wa maulidi wanaambiwa ukweli

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 ปีที่แล้ว +2

    SABAS BAKI NA MAJANI AU MAJAHAZI, LAKINI HAPA UTAPIGWA KISOMO TU!

  • @MohamedMwafujo
    @MohamedMwafujo ปีที่แล้ว +1

    Hapo yajionyesha mshindi ni nani

    • @allybobsaith
      @allybobsaith ปีที่แล้ว

      Mshindi ni ahli sunnah wal jamaa🤲🏻🤲🏻

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 ปีที่แล้ว

    SHEKH BACHU BORA UPAMBANE NA MASHOGA NA MABASHA NA WASAGAJI UTAKUA UMEFANYA JAMBO KUBWA ACHA MAMBO MADOGO HN

    • @maryamtanzania9743
      @maryamtanzania9743 ปีที่แล้ว

      Hili ni lamhimu sana ili watu wamswalie mtume ilivo au wamuabudu allah ilivo wasagaji mashoga wanajua wanachofanya ni haramu na huenda wakatubia lakini bidaa ni .mbaya sana mtu anafanya anajua ku ana lipwa kwa hiyo hi ni mbaya sana

  • @khamismaggy6484
    @khamismaggy6484 ปีที่แล้ว

    Wee Bachoo mchokozi 😂

  • @w4058
    @w4058 ปีที่แล้ว

    Mindhalika wenyewe maana maulid yanasomwa ulimwengu mzima tena kwa nguvu zaidi ya hapo atakutekeni nyie kama yeye

  • @OmanOma-xi3hm
    @OmanOma-xi3hm ปีที่แล้ว

    Watu wa maulid wakubali kushindwa hawana hoja 😂😂😂

    • @w4058
      @w4058 ปีที่แล้ว

      Wanazo ila hamzitaki tuu kupotezeana muda kwa jitahada za mazayuni wamekufanikusheni kuwa vibaraka wao wa kugawa Waislam

    • @w4058
      @w4058 ปีที่แล้ว

      Watu wa Maulid hawana khabari na nyie kabisa kwa kuwa hamuyataki kwani mmelazimishwa?

  • @aliyidrisa1536
    @aliyidrisa1536 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hivyo wewe unajua zaidi kuliko mashekh woote waliotangulia?.
    Kijana unakibri ww

    • @abulhassanchannel2741
      @abulhassanchannel2741 ปีที่แล้ว

      Leteni hujja sio kashfa TU mbn mrengo wa Ahlu Sunnah Wana hujja zipo wazi tu

    • @bobdeobobdeo8026
      @bobdeobobdeo8026 ปีที่แล้ว

      Ukibishana na mjinga nawe utakuwa mjinga

  • @theglobalsociallibertyexpr6150
    @theglobalsociallibertyexpr6150 ปีที่แล้ว

    Samahanini Ndugu zangu "Muhammad Nasoor Bachu " anachanganya masomo husika kwa Darasa moja darasani , sivyo kabisaa nikinyume cha ufahamu katika kanuni kiadilifu Shida ya Muhammad Nasoor Bachu niufinyu mdogo wa elimu husika tafauti Kitabu cha Barzanji hakuandika kwa akili moja finyu na ufahamu umoja , Sheikh Barzanji ameandika kitabu chake hakuna anaeweza kuandika badala ya Barzanji nikitabu kinafaa kusoma , Elimu ya Nahwu na Sarfu , Elmul Badii , Elmul Balagha , Nk usomi na ubishi mwingi nitatizo kubwa kwa Mtoto wa Bachu Samahanini Sana Hivi amewafanya wanafunzi wema waliobobea elimu za Wanazuoni wao ni Washirikina !!!!! Sallaaale ujinga ni ulemavu mbaya sana

    • @abulhassanchannel2741
      @abulhassanchannel2741 ปีที่แล้ว

      Ushaelewa lakini walazimisha km hujaelewa n bado biidni llah mtanyooka t makhurafi polepoole biidni llah

    • @adilhabib8988
      @adilhabib8988 ปีที่แล้ว

      huna mpya

    • @muhammedomaryshembilu8539
      @muhammedomaryshembilu8539 ปีที่แล้ว

      Mtafute uweke nae mjadala acha roporopo makhulafy mkoje

    • @abdullatifkhamis9943
      @abdullatifkhamis9943 ปีที่แล้ว

      Unaweza ukatumia fani mbali mbali za lugha katika kutunga mashairi na shairi likawa halileti ukakasi wa aina yyte ile. Anachokisema bachu nikua hizo fani hazijatumika kwenye ivo vipengele alivo vionesha isipokua barzanji amezungumza kiuhalisia kana kwamba ayo mambo ni yakweli lakin ni uongo na kama nikweli basi aoneshe ushahidi kupitia wanazuoni wakubwa asitumie akili yake kama alivojitapa mwazo.

  • @zafarmohamed9413
    @zafarmohamed9413 ปีที่แล้ว

    Mbna mnakimbilia maulid tu mbna yapo mambo mengi yakufundisha umma wa kiislamu ndomana dua hazikubaliwi kila kukicha mtu anawaza ajenge Hoja yakumdhalilisha binadamu mwenzake

    • @shaabansheehabdallah8770
      @shaabansheehabdallah8770 ปีที่แล้ว

      Ndugu hujaelewa hii ni dini xio mrengo wa mtu fulani. Pokea elimu kisha hizo dua zitajibiwa Bi'idhnillah Kareem, xio kuomba dua kumbe umushrik! Ni hatari brother

    • @abuuaisha6110
      @abuuaisha6110 ปีที่แล้ว +1

      Hili la maulid pia ni muhimu kujadiliwa maana kumejaa shirk ndani yake

    • @ahmedswaleh743
      @ahmedswaleh743 ปีที่แล้ว

      Tulieni masufi munyambuliwe

    • @Almassaleem-rw5jn
      @Almassaleem-rw5jn ปีที่แล้ว

      Hakika kazi kuseman tuu wakat kuna watu hatujui ata kuchukua udhu

    • @yahyajuma9353
      @yahyajuma9353 ปีที่แล้ว

      @@Almassaleem-rw5jn pole sana lkn mwenye macho haambiw tazama