Sheikh kwanza ningependa kukushkuru kwa mafunzo yako uliyotupa ela niko naswali ningependa nikuulize ili unifahamishe nami vzr kwakifungu cha hiki cha wazazi wa Mtume kuingia Motoni,Swali langu ni hili kwakosa gani wazazi wa Mtume kuingizwa motonii na hali yakua kuna Aya katika Suratul Israi inayosema Wamakunna Muadhibina hata nab atha rasula na nnavyofahamu mm Mtumi alipopewa Utumi wazazi wake walikua washakufa Sheikh vipi hapoo Shukran
Kwa kumalizia swali langu sheikh vilevile ni kwa Qur an tukufu pale Mola aliposema tumbo liombemba Mtumi kuanzia la mwanzo hadi la mwisho lakuzaliwa Bwana Mtumi ni Twahara vipi liwe litaingizwa Motonii naomba Sheikh kufamishwa
Then tena Sheikh kwenye sura Dhuha Allah vilevile amwambia Mtumi wala saufa yuutwika Rabuka fatardhwaa kweli Mtumi Moyo wa Mtumi utakua na waswaa iwapo wazazi wake watakua Motonii
Msema pweke hatolewi makosa wapoteze waislam utasimamishwa mbele ya hukmu siku moja , unasema haifai kutoa dhikri kwa pamoja wakati mtume asema inna Allaha malaikatan sayyaratun fudhlaa yabtaghuna majaalisa dhikri faidha wajuu kaaduu maahum wahafa baadhuhum baadha biajnihatim , mungu asema Yadu Allaha maaljamaa ,wewe unataka kutenganisha mpaka watu wasishirikiane katika mungu Yaani mawahabi sera zao ni kutenganisha kutetesha mpaka ibada pia watu wawe mbali mbali
Shida bi kwamba wewe wanazuoni ulotegemea sio hao pekee kuna na wanazuoni ambao wewe wafikra zako hukubaliani nawo wenzako wanakubaliana nao, mfano kusoma juzu mzima kila swala ya tarawehe kisha ramadhani ikiisha kuhitimisha juzu 30 mtume hakufanya nyinyi mnafanya fanya , imam kuswalisha huku ameshika spika na quran huku yuwaswalisha nyinyi mnafanya mtume hakufanya , mashindano ya musabaka ya quran na kulipa washindi pesa mtume hakufanya nyinyi mawahabi mnafanya , bidaa mzuri mtakazo nyinyi mnafanya lakini wakifanya wengine ni bidaa mbaya vipi nyinyi hamueleweki
We sheikh utasemaje kwamba wazazi wa mtume wako motoni! قال تعالى وما كنا معذبين حتى نبعث رسولا وقال تعالى لتنذر قوما ما أنذر ءاباءهم فهم غىٰفلون وقال تعالى ولسوف يعطيك ربك فترضى Allah ashasema kwamba hawezi kuwa yeye ni mwenye kuadhibu mpka atumilize mtume. Kisha yeye allah akasema kwamba mtume alitumilizwa kwa qaum ambayo hawajamhofishwa baba zao ndo wakaghafilika kwa maana hawajatumiliziwa mtume kabsaa.kisha allah ashamwambia mtume kwamba atampa mpaka aridhie.sasa allah akimtilia wazazi wake motoni ataridhia kweli. Hadithi ya kusema kwamba mtume alimwomba allah azuru kaburi la mamake akakubaliwa kuzuru tu ila akakatazwa kuomba msamaha hadithi hii ina mushkil.Aloipokea alikuwa i mtu (thiqah)yaani ambaye hupokea makosa makosa. Na pia ingekuwa ni kweli ankatazwa kumwombea mamake msamaha maanake labda mamake hakuwa ana madhambi maana alikua ni miongoni mwa ahlul-fatrah.Watu ambao hawajapata kabsaa mafundisho ya uislamu. Hadithi ya pili aloisema ambayo iko katika swahih muslim ati mtume alposema babake na babake yule swahaba wako motoni ni kwamba alokusudiwa hapa ni abuu lahab maana neno ABII kiarabu maanake si baba tu bali hata amii,babu waeza kuitwa hivo. Kwa hiyo tuweni makini kwenye mazungumzo yetu ili tusije tukasema yasostahiki kwenye dini ikawa ni balaa kwetu sisi wenyewe. قال تعالى إن ٱلّذين يؤذون ٱللّه ٱللّه ورسوله لعنهم ٱللّه في ٱلدّنيا وٱلئاخرة وأعظ لهم عذابا مهينا Allah asema Hakika wale watakao muudhi allah na mtume wake,allah amewalaani katika dunia na akhirah na amewaandalia wao adhabu kali. Sasa kuwahukumiwa wazazi wa mtume moto ni kuwaudhi allah na mtume wake ama sivo?Bila shaka ni kuwaudhi maudhi makubwa sana.
@@abdirahman_hasn wajua kuna tafauti baina ya nabii na rasuul. Manabii ni wale walokuwa wakija wakati ambapo diin haijasahaulika na Marasuup ni wale walokuwa wakija time diin insahaulika wakija na scripture ya uislamu mpya kama kina Nabii Nuuh,Muusaa,Isa na Muhammad na wingineo. Sasa mtume yy alikuja time ambayo hakuna mtume kabsaa kwa zaidi ya miaka 570+. Sasa wakati wote huo ilkuwa dini ishapotea kabsaa sasa mtume ametumilizwa kuja kuifufua na ushahidi uko ndani ya quran pale allah alposema لتنذر قوما مّا أُنذر ءابآئُهم فهم غىٰفلون ili ukawaogopeshe wale ambao hawajaogopeshwa baba zao wakawa ni wenye kughafilika Hii ayah yatuonesha wazi kwamba wao hawakupata mtume wa kuwaonya wala hakuna hata watu wowote wasokuwa mitume ambao walkuwa wakiwaonya Na pia Allah ashasema kwenye quran kwamba hawezi kuadhibu mpaka atumilize mtume وما كنّا معذّبين حتّىٰ نبعث رسولا Hatukuwa sisi ni wenye kuadhibu mpaka tutumilize mtume na ayah nlotangulia kuitaja yaonesha kwamba hawakupata mtume Hii ni dalili tosha ya kuonesha kwamba wazazi wa mtume walkuwa ni ahlul fatrah na hawakupata wa kuwaonya na hwatokuwa na hisaab yaumul qiyaamah. Ikiwa hadith ametoa huyu sheikh kuonesha kwamba zaonesha kwamba ni dalili tosha ya kuwa wazazi wa mtume wako motoni basi twafaa tujue kwamba Quraan ina nguvu kuliko hadith Hadith kuna baadhi zimetungwa na kuna baadhi si za kweli ila Allah ajua zaidi Tumwombe Allah atuongoze sote Amiin.
فقد روى الإمام أحمد في مسنده عن العرباض ابن سارية، عن النبي صلى الله عليه وسلم، قال: إني عبد الله في أم الكتاب لخاتم النبيين، وأن آدم لمنجدل في طينته، وسأنبئكم بتأويل ذلك: دعوة أبي إبراهيم، وبشرى عيسى قومه، ورؤيا أمي التي رأت أنه خرج منها نور أضاءت له قصور الشام، وكذلك ترى أمهات النبيين صلوات الله عليهم. ورواه الحاكم وصححه، ووافقه الذهبي. Naomba mtafute Bafana akueleze hii hadithi au akudhaifishie pia ni sawa. Kisha ndio upime munayoelezwa na hawa watu yapo ama ni uzushi??? Na hii hadithi Bafana ataidhoofisha vipi ama ataifahamisha vipi, ama hakuwa ameiona? Bafana huna heshima na Mtume Muhammad wewe. Waongea nini
Wahabi ni wale wanaofuata mafunzo ya Sheikh Muhammad ibn Abdulwahhab. Lakini Sheikh kuna mambo mawili yananitatiza. 1. mbona waislamu timepuuza dua za jamaa? 2. Mbona Masheikh wamepuuza kutamka Bismillahi Rahmani Raheem?
ALLAAH YAHFADHK YAA AKHIL HABIYB
ManshaAllah sheikh wangu, Allah akuifadhi, wewe ni mtu wa sunnah
Allah atuzidishie Elimu tuzid kubainikiwa ili tusifanye bida'a
Na hawa Masheh zetu Allah awape umri mrefu wazid kuzungumza Hakki
Mashallah Sheikh saidi bafana allah akupe wepec.
"وقل جاء الحق وزهق الباطل ان الباطل كان زهوقا"
MaashaAllah yaa Sheick
Namuomba Allah akuzidishie nguvu upate kuielimishe Umma zaidi
Allah atuepushe na bidagha na atustir
Maa shaaa Allah.
Allah akuzidishie ufasaha wa kuongea Sheikh.
Allah atubainishie haq tuweze kuifuata na atubainishie batil tuweze kuiacha
Manshallah tabarakawatallah
MashaAllah sheikh...Allah yahfadhuk
Jazzakka Allahu khyern 🤲❣️🌹❣️
Subhaanallah ALLAH atusamehe makosa yetu
Masha Allah tabaraka Allah, wazi kabisa, kwa hakika ukweli ukija uwongo hukimbia
MashaAlla najifunza mengi sn kwa mawaidha Yako Alihamundulilahi
Bahthi ilio nyooka maashallah
Jazakallahulkheyr Ya Sheikh Allahu Bareek
Masha Allah , baarak llah fiyk..
mashaallah ilimu muhimu
🙏🙏🙏
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatu.
Ma shaa Allah.
Uko sawa shekhe
MashaAllah tunepata part 2 inshaAllah
Tungepata*
Mungu akuongoze sheikh maana naona wapotea sasa
Ww ndo unahitaji kuongozwa
sheihk issa bin maryam hakuacha dini ya kikristo hapo umechemsha
Sheikh kwanza ningependa kukushkuru kwa mafunzo yako uliyotupa ela niko naswali ningependa nikuulize ili unifahamishe nami vzr kwakifungu cha hiki cha wazazi wa Mtume kuingia Motoni,Swali langu ni hili kwakosa gani wazazi wa Mtume kuingizwa motonii na hali yakua kuna Aya katika Suratul Israi inayosema Wamakunna Muadhibina hata nab atha rasula na nnavyofahamu mm Mtumi alipopewa Utumi wazazi wake walikua washakufa Sheikh vipi hapoo Shukran
Walikuwa makafiri wakiabudu masanamu na uislamu ulikuwepo hawakuufuata
masha Allah
Assalamu aleikum Part two please
Waambie
Kwa kumalizia swali langu sheikh vilevile ni kwa Qur an tukufu pale Mola aliposema tumbo liombemba Mtumi kuanzia la mwanzo hadi la mwisho lakuzaliwa Bwana Mtumi ni Twahara vipi liwe litaingizwa Motonii naomba Sheikh kufamishwa
Assalam alaykum wa rahmatullah wa barakatuh mnaweza kunipa sehemu ya pili. Shukran
Then tena Sheikh kwenye sura Dhuha Allah vilevile amwambia Mtumi wala saufa yuutwika Rabuka fatardhwaa kweli Mtumi Moyo wa Mtumi utakua na waswaa iwapo wazazi wake watakua Motonii
Inaingia akilini kabisa Bila SHAKA. Ila sijui Hawa watu wa bid aa wapo vipi wallah.
Watajua wenyewe na Bid'aah zao
Muhamad ibnu wahab na ibnu taimia asema mashia na watu wa bidaa ni waovu kuliko mayahudi na manaswara jee sheikh ni sawa kuamini hivo?
Mtu wa bidaa anazua jambo halafu anasema hii ni ibada Tena ibada kubwa itakua amemzulia uongo mtume
Msema pweke hatolewi makosa wapoteze waislam utasimamishwa mbele ya hukmu siku moja , unasema haifai kutoa dhikri kwa pamoja wakati mtume asema inna Allaha malaikatan sayyaratun fudhlaa yabtaghuna majaalisa dhikri faidha wajuu kaaduu maahum wahafa baadhuhum baadha biajnihatim , mungu asema Yadu Allaha maaljamaa ,wewe unataka kutenganisha mpaka watu wasishirikiane katika mungu
Yaani mawahabi sera zao ni kutenganisha kutetesha mpaka ibada pia watu wawe mbali mbali
Shida bi kwamba wewe wanazuoni ulotegemea sio hao pekee kuna na wanazuoni ambao wewe wafikra zako hukubaliani nawo wenzako wanakubaliana nao, mfano kusoma juzu mzima kila swala ya tarawehe kisha ramadhani ikiisha kuhitimisha juzu 30 mtume hakufanya nyinyi mnafanya fanya , imam kuswalisha huku ameshika spika na quran huku yuwaswalisha nyinyi mnafanya mtume hakufanya , mashindano ya musabaka ya quran na kulipa washindi pesa mtume hakufanya nyinyi mawahabi mnafanya , bidaa mzuri mtakazo nyinyi mnafanya lakini wakifanya wengine ni bidaa mbaya vipi nyinyi hamueleweki
ndugu yangu yaan unaelekezwa maana hlo jna lkn bado unalirejea? tumuogope Allah
We sheikh utasemaje kwamba wazazi wa mtume wako motoni!
قال تعالى
وما كنا معذبين حتى نبعث رسولا
وقال تعالى
لتنذر قوما ما أنذر ءاباءهم فهم غىٰفلون
وقال تعالى ولسوف يعطيك ربك فترضى
Allah ashasema kwamba hawezi kuwa yeye ni mwenye kuadhibu mpka atumilize mtume.
Kisha yeye allah akasema kwamba mtume alitumilizwa kwa qaum ambayo hawajamhofishwa baba zao ndo wakaghafilika kwa maana hawajatumiliziwa mtume kabsaa.kisha allah ashamwambia mtume kwamba atampa mpaka aridhie.sasa allah akimtilia wazazi wake motoni ataridhia kweli.
Hadithi ya kusema kwamba mtume alimwomba allah azuru kaburi la mamake akakubaliwa kuzuru tu ila akakatazwa kuomba msamaha hadithi hii ina mushkil.Aloipokea alikuwa i mtu (thiqah)yaani ambaye hupokea makosa makosa.
Na pia ingekuwa ni kweli ankatazwa kumwombea mamake msamaha maanake labda mamake hakuwa ana madhambi maana alikua ni miongoni mwa ahlul-fatrah.Watu ambao hawajapata kabsaa mafundisho ya uislamu.
Hadithi ya pili aloisema ambayo iko katika swahih muslim ati mtume alposema babake na babake yule swahaba wako motoni ni kwamba alokusudiwa hapa ni abuu lahab maana neno ABII kiarabu maanake si baba tu bali hata amii,babu waeza kuitwa hivo.
Kwa hiyo tuweni makini kwenye mazungumzo yetu ili tusije tukasema yasostahiki kwenye dini ikawa ni balaa kwetu sisi wenyewe.
قال تعالى
إن ٱلّذين يؤذون ٱللّه ٱللّه ورسوله لعنهم ٱللّه في ٱلدّنيا وٱلئاخرة وأعظ لهم عذابا مهينا
Allah asema
Hakika wale watakao muudhi allah na mtume wake,allah amewalaani katika dunia na akhirah na amewaandalia wao adhabu kali.
Sasa kuwahukumiwa wazazi wa mtume moto ni kuwaudhi allah na mtume wake ama sivo?Bila shaka ni kuwaudhi maudhi makubwa sana.
Kulikuwa na mitume kabla ya mtume Muhammad (saw) wazazi wake walikuwa wanatakiwa kufuata mitume hao
Asalaam alykum.allah akuongoze na akupe maisha malefu.yenye mafanikio
@@abdirahman_hasn wajua kuna tafauti baina ya nabii na rasuul.
Manabii ni wale walokuwa wakija wakati ambapo diin haijasahaulika na Marasuup ni wale walokuwa wakija time diin insahaulika wakija na scripture ya uislamu mpya kama kina Nabii Nuuh,Muusaa,Isa na Muhammad na wingineo.
Sasa mtume yy alikuja time ambayo hakuna mtume kabsaa kwa zaidi ya miaka 570+.
Sasa wakati wote huo ilkuwa dini ishapotea kabsaa sasa mtume ametumilizwa kuja kuifufua na ushahidi uko ndani ya quran pale allah alposema
لتنذر قوما مّا أُنذر ءابآئُهم فهم غىٰفلون
ili ukawaogopeshe wale ambao hawajaogopeshwa baba zao wakawa ni wenye kughafilika
Hii ayah yatuonesha wazi kwamba wao hawakupata mtume wa kuwaonya wala hakuna hata watu wowote wasokuwa mitume ambao walkuwa wakiwaonya
Na pia Allah ashasema kwenye quran kwamba hawezi kuadhibu mpaka atumilize mtume
وما كنّا معذّبين حتّىٰ نبعث رسولا
Hatukuwa sisi ni wenye kuadhibu mpaka tutumilize mtume na ayah nlotangulia kuitaja yaonesha kwamba hawakupata mtume
Hii ni dalili tosha ya kuonesha kwamba wazazi wa mtume walkuwa ni ahlul fatrah na hawakupata wa kuwaonya na hwatokuwa na hisaab yaumul qiyaamah.
Ikiwa hadith ametoa huyu sheikh kuonesha kwamba zaonesha kwamba ni dalili tosha ya kuwa wazazi wa mtume wako motoni basi twafaa tujue kwamba Quraan ina nguvu kuliko hadith
Hadith kuna baadhi zimetungwa na kuna baadhi si za kweli ila Allah ajua zaidi
Tumwombe Allah atuongoze sote
Amiin.
@@HabibaMussa-mf3ny Amiin
Aaaah kumbeee jina la Wahabi walilitowa huko! kumbe sio mbaya! Basi wanajiona wame tutusi kumbe wala wala
فقد روى الإمام أحمد في مسنده عن العرباض ابن سارية، عن النبي صلى الله عليه وسلم، قال: إني عبد الله في أم الكتاب لخاتم النبيين، وأن آدم لمنجدل في طينته، وسأنبئكم بتأويل ذلك: دعوة أبي إبراهيم، وبشرى عيسى قومه، ورؤيا أمي التي رأت أنه خرج منها نور أضاءت له قصور الشام، وكذلك ترى أمهات النبيين صلوات الله عليهم. ورواه الحاكم وصححه، ووافقه الذهبي.
Naomba mtafute Bafana akueleze hii hadithi au akudhaifishie pia ni sawa. Kisha ndio upime munayoelezwa na hawa watu yapo ama ni uzushi???
Na hii hadithi Bafana ataidhoofisha vipi ama ataifahamisha vipi, ama hakuwa ameiona?
Bafana huna heshima na Mtume Muhammad wewe. Waongea nini
Wahabi ni wale wanaofuata mafunzo ya Sheikh Muhammad ibn Abdulwahhab. Lakini Sheikh kuna mambo mawili yananitatiza.
1. mbona waislamu timepuuza dua za jamaa?
2. Mbona Masheikh wamepuuza kutamka Bismillahi Rahmani Raheem?
Huyu sheikh wakiwahabi akubali kuwa wafuasi wa ibn wahab ni wahabi
m.th-cam.com/users/shortsmTF8QWEBFwI
Hiyo clip ya sheikh ibnu baaz imekatwa tunataka ikiwa full plesae