IKIWA MUSA NA ELIYA NI MIZIMU ILIMTOKEA YESU KUNA UBAYA GANI WAKRISTO KUIOMBA MIZIMU?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.พ. 2024
  • #specialthanks to my spritual father H.E HON. DR. GEORDAVIE PEACE AMBASSADOR.
    Je una swali lolote gumu kutoka ndani ya biblia linakusumbua na umekosa majibu kabisa? basi usisite kuuliza Mwalimu Isaya Benson yupo kwa ajili ya kujibu maswali yako yote yanayokusumbua. Andika swali lako kwenye comment nalo litajibiwa bila shaka yoyote.

ความคิดเห็น • 46

  • @BatonRichard
    @BatonRichard 3 หลายเดือนก่อน

    Shalom mtumishi una darasa kwa ajiri ya wachungaji mitume manabii nataka kujifunza zaidi nakukubali

  • @AwardHakimu
    @AwardHakimu 5 หลายเดือนก่อน +1

    😢Kumbukumbu la Torati 34:7
    Musa alikuwa mtu wa miaka mia na ishirini alipokufa; jicho lake halikupofuka, wala nguvu za mwili wake hazikupunguka.

  • @samuellubunga1728
    @samuellubunga1728 5 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @andersonchongoma1723
    @andersonchongoma1723 5 หลายเดือนก่อน

    NECRoMANCY si ibada ya wafu ule ni uchawi ( spiritism) na hata sasa kuna maeneneo inafanyika ni uchawi si ibada

  • @mathewkilapilo4599
    @mathewkilapilo4599 16 วันที่ผ่านมา

    taf naomba kujua kupaa kwa eliya na kuzaliwa kwa Yohana Mbatizaji
    maana imeandikwa kabla ya kuja Yesu atatanguliwa na eliya na sio yohana

  • @AwardHakimu
    @AwardHakimu 5 หลายเดือนก่อน

    Kumbukumbu la Torati 34:5
    Basi Musa, mtumishi wa BWANA, akafa huko, katika nchi ya Moabu, kwa neno la BWANA.

  • @ruderesangara7300
    @ruderesangara7300 20 วันที่ผ่านมา

    Mwalimu asante kwa elim nzuri. Naomba nieleweshwe juu ya majina ya kwenye bibilia yalitumika majina 2 kwa sasa yanatumika 3 je imetokea wapi?

  • @user-ni7ke3hp1q
    @user-ni7ke3hp1q 5 หลายเดือนก่อน

    Swali mwalimu.kuna venye sielewe jinsi kulivyoundelea Kwa miaka 400 katikati ya kitabu Cha Malaki na mathayo,inasemekana mungu alikimya hio mioka yote, mwalimu hio Iko na maana fiche ama Kwa kweli ilikua maisha ya kawaida

  • @maikasokoine6485
    @maikasokoine6485 4 หลายเดือนก่อน

    Leo nimesikia kitu tofauti kwamba kuna tafauti yesu kiristo na Issa bini mariamu

    • @carolinederi5690
      @carolinederi5690 4 หลายเดือนก่อน

      Well my dear Issa bin Mariam alikufa akaoza bado yuko kaburini 😂ila Yesu wetu yu hai

  • @FadhilaHaki
    @FadhilaHaki หลายเดือนก่อน

    Social media inawaibia watu mda wa kua karbu na mungu ,utakuta mtu anatafuta content za kuutafuta attention lakin anakosa mda wa kua karb na mungu katika sala binafsi

  • @victorkwemboi3725
    @victorkwemboi3725 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe two witnesses of revelation are old and new Testament

  • @user-ni7ke3hp1q
    @user-ni7ke3hp1q 5 หลายเดือนก่อน

    Swali mwalimu.kuna venye sielewe jinsi kulivyoundelea Kwa miaka 400 katikati ya kitabu Cha Malaki na mathayo,inasemekana mungu alikimya hio mioka yote, mwalimu hio Iko na maana fiche ama Kwa kweli ilikua maisha ya kawaidanaitwa Daniel mackenzie

  • @thadeombani7869
    @thadeombani7869 23 วันที่ผ่านมา

    Ah mwalimu huyo tunakusikiliz wahumini wako mwalimu

  • @AwardHakimu
    @AwardHakimu 5 หลายเดือนก่อน

    Kumbukumbu la Torati 34:6
    Akamzika bondeni, katika nchi ya Moabu, kukabili Beth-peori; lakini hapana mtu ajuaye kaburi lake hata leo.

  • @renatustheophil4809
    @renatustheophil4809 5 หลายเดือนก่อน

    Swali : Mtu akifa anaenda kuzimu au paradiso kulingana na matendo yake? Je Yesu atakaporudi mara ya pili atawahukumu watu gani ikiwa wengine tayari wapo kuzimu na wengine paradiso

  • @KulwaMbogoMpai
    @KulwaMbogoMpai 3 หลายเดือนก่อน

    Mwl kwann tunaisoma bibilia hii wakt imepitia ktk mikono ya binadam kama ulivyo sema kwa mfalme wa uingereza na kupelekea kupunguzwa vitabu hadi kufikia 66?

  • @victorkwemboi3725
    @victorkwemboi3725 4 หลายเดือนก่อน

    Na Wakatoliki wanafanya hiyo ibada

  • @lukapastory
    @lukapastory 4 หลายเดือนก่อน

    UTAENDA JEHANAMU WE ISSAYA BENSON, USIPO TUBU

    • @andersonchongoma1723
      @andersonchongoma1723 4 หลายเดือนก่อน

      Mfundishe kweli awekwe huru ...

    • @izzahboe1442
      @izzahboe1442 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni pepo mchafu sana jihanam utaenda wewe mwenyewe imeandikwa usihukumu na wewe utahukumiwe

    • @user-jn7co3nx1v
      @user-jn7co3nx1v หลายเดือนก่อน

      Umechanganyikiwa wewe

  • @victorkwemboi3725
    @victorkwemboi3725 4 หลายเดือนก่อน

    Ecclesiastes 9:5

  • @user-yt9xs9ol2v
    @user-yt9xs9ol2v 5 หลายเดือนก่อน

    je waliokuwa wamekufa lkn awakuzikwa au wanaochomwa moto kwa sasa awaendi kuzimu

  • @marionoti5760
    @marionoti5760 5 หลายเดือนก่อน

    Pole waichimba sana biblia, lakini ufahamu wako haupo ktk kweli yake. upo kwenye tafsiri ya huyo umtumikiaye yaani
    Nabii Mkuu. Musa alikufa, unajikanyaga kanyaga. unaposema MUNGU wa Abrahamu, Eliya na Yakobo sio ibada ya Wafu? Ndio maana hakuna popote Mungu alipo amuru vitabu(biblia) vikusanywe pamoja. ukristo ulikuwapo kabla ya biblia kwa zaidi ya miaka takribani 1400. vikusanywe😮

  • @user-sl7ze5ph1v
    @user-sl7ze5ph1v 5 หลายเดือนก่อน

    Mwalimbmim naitwa neema david maomba utufundishe kuhusu ivf na surrogacy yaan in vitro fertilization je ni sahihi

  • @user-yt9xs9ol2v
    @user-yt9xs9ol2v 5 หลายเดือนก่อน

    Je wanaochomwa moto wanaenda wap

  • @victorkwemboi3725
    @victorkwemboi3725 4 หลายเดือนก่อน

    Si jude 1:6 buy jude 1:6

  • @LovelyBabyOctopus-vs1ms
    @LovelyBabyOctopus-vs1ms 5 หลายเดือนก่อน

    mtumishi mtu akifa je roho ya pia inakufa au inaenda wapi pia mizimu nini

  • @LovelyBabyOctopus-vs1ms
    @LovelyBabyOctopus-vs1ms 5 หลายเดือนก่อน

    mwalimu lkn pia yesu alikufu je tukimuomba nivibaya au nayeye nimzimu

  • @RoseMwanga
    @RoseMwanga 5 หลายเดือนก่อน

    Shekina kwa kiebrania looooo kama sio Mwalimu Isaya wa Chuokikuu tungejuaje maana yake? Nimtu Smart Akilini na kwa muonekano anaweza kufichua haya

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 5 หลายเดือนก่อน

    Lazaro na tajir ilikuwa Ni halisi au Ni mfano tu?sjakuelewa unaposema zaman wenye haki na wasio haki walikuwa wanaenda sehemu moja kuzimu kivp?

  • @user-kv3pq5gs5y
    @user-kv3pq5gs5y 5 หลายเดือนก่อน

    Hivi ni kitabu gani sura ya ngapi inasema Musa alipiga Mwamba mara mbili?

    • @victorkwemboi3725
      @victorkwemboi3725 4 หลายเดือนก่อน

      Numbers 20 (KJV)
      ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
      ¹⁰ And Moses and Aaron gathered the congregation together before the rock, and he said unto them, Hear now, ye rebels; must we fetch you water out of this rock?
      ¹¹ And Moses lifted up his hand, and with his rod he smote the rock twice: and the water came out abundantly, and the congregation drank, and their beasts also.
      ¹² And the LORD spake unto Moses and Aaron, Because ye believed me not, to sanctify me in the eyes of the children of Israel, therefore ye shall not bring this congregation into the land which I have given them.
      ¹³ This is the water of Meribah; because the children of Israel strove with the LORD, and he was sanctified in them.

  • @victorkwemboi3725
    @victorkwemboi3725 4 หลายเดือนก่อน

    Eliya never died,,, moses was resurrected by God,, so moses and Elijah are not dead people kindly. Ibada ya wafu ni mafundisho potovu ya Wakatoliki kudanganya dunia buree

  • @andersonchongoma1723
    @andersonchongoma1723 5 หลายเดือนก่อน

    NENO mizimu umeongeza wewe wale hawakuwa mizimu Musa alikufa kifo cha kawaida Na Eliya alpaabila kufa 😅

    • @izzahboe1442
      @izzahboe1442 2 หลายเดือนก่อน

      Wabongo bwana kweli vichwa vigumu kumuelewa mtu🤣🤣🤣

  • @heritier5119
    @heritier5119 5 หลายเดือนก่อน

    Mzimu Ni shetani

  • @ayoubmwangonji2357
    @ayoubmwangonji2357 5 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu najua umesoma vitabu vingi swali langu je ni kweli wana wa israel walikaa misri miaka 430 ? Kama bible navyo sema ? Je inawezaka vipi miaka yote hiyo wakati musa alizaliwa kwenye kizazi cha nne tu ?

    • @hudumablack9339
      @hudumablack9339 5 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ni miaka inayojumlisha utumwa wote waliyoenda Israeli ikiwemo hiyo Misiri, Babeli, Ashuru, nk..

    • @ayoubmwangonji2357
      @ayoubmwangonji2357 5 หลายเดือนก่อน

      @@hudumablack9339 soma kutoka 12 :40 bible imesema ndani ya misri

    • @gla-mc3mh
      @gla-mc3mh 5 หลายเดือนก่อน

      Utumwa wa misri ndyo miaka 430

  • @tazbernardmanda5176
    @tazbernardmanda5176 หลายเดือนก่อน

    tai yako tu

  • @victorkwemboi3725
    @victorkwemboi3725 4 หลายเดือนก่อน

    Na Wakatoliki wanafanya hiyo ibada