Mimi nasema bwana jot badilisha mtindo wa muvi zako weka zaidi za kufundisha kuliko hizi zinamatusi sana haiangaliki ukiwa na watoto au na watu tunao heshimiana nao kama ni vichekeo sawa au kufikisha ujumbe Fulani itapendeza zaidi hizi ziache kwa sasa. Mimi ni mfuasi wako naboleka kwa hili
Tangu nina miaka 10 adi sasa miaka 22 bado Joti yuko kwenye kiwango chake kilekile this guy is a legend...😂😂😂
Bado unaishi kwenu?
😂😂
Et Bado unaish kwenu😂😂😂😂😂
Sylvester ❤❤❤❤
@@Whitegold7555 Bro Nimerent na siishi Tz Kwa Sasa...
Mama amekuwa na miguu minne, amekuwa ngombe😂😂😂
😂😂😂
From Japan Kuma Moto I love you YANGA bingwa
😂😂😂😂😂 senge kweli ww
Yaani Joti anatisha kama Yanga chama kubwa
Excellent brother joti natokea Moshi❤❤❤❤❤😊
Umesahau Kiboga sana. Bring back the character!
Kabisaaaaa @joti
😂😂😂😂😂😂😂 nishai mtomba ngwile kitwango mikazo 💯
Joti huna mpinzani kama Yanga😅😂✋🔥🔥🔥🔥
Ihefu je😂
@@agnesjohn9382🤣🤣🤣
Sasa yanga imeingiaje hapo ..
Jamani jirani eleweka basi😂😂😂😂chelewa chelewa mpaka mumeo karudi sasa😂😂😂😂😂😂mtoto wako mwenyewe andunje😂😂mtihani😂😂😂
Hiyo bathroom ndo self-contained,ipo juu 😂😂😂mama naye yuko na miguu mnne kama ng'ombe 😂😂😂😂😂
Hahahahah
"Ndo unaenda?"😆🤣😆🤣😆😆🤣🤣
Mwanangu hizo nyange ulizopiga sio poa huyu hukuuuuuu karuka ukuta hhahaha😂😂😂
Joti unatisha na mzee Mbembe naye moto 🎉🎉🎉🎉
Baba wewe ni fundi ndugu yangu. Nakukubali Sana.
Ni nani anakumbuka enzi zile Kila alhamisi tulikuwa tunaenda kuangalia orijino komedi ili tuone asha ngedele😂😂😂😂
Nakumbuka Yan duuuh😂 kitambo sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Et langu haliwezi kukaa na siri umetsha joti
Kwa mara ya kwanza mzigo nimeuwahi tena bado wa motooooo
Maua ya joto nipewe nimpelekeeeee❤❤😂😂😂😂
Hmna joto siku hizi
@@mohamedsheealom8745 😀😀😀😀😀
Koo baba ake ni koromeo haliwezii😂😂😂😂😂😂
❤😂🎉😢😮😅😊 umetishaass mwamba jotiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiuuuuuiiiiiii
We zito weeeeeeee duuuu noma sana iraa andunjeee duuuu😀😁😂😀😁😂😀😁😂
Mama ana miguu minne amekuwa ng'ombe😂😂😂
Nikasema labda n'gombeee😅😅🖐️💔,tetesaclean🖐️
🤣🤣🤣 Mama ana miguu minne amekuw ng'ombe 😂
Jamani joti noma sana nione like zangu
Joti senge sana khaaa😂😂😂😂😂😂
Mama ana miguu minne karudi ng"ombe😂😂
Joti na timu yako mnajuwa sana😂😂😂😂
Jot safi sana,hawa watu usiwaache,mama ana miguu MINNE,.safu yote uliyokuwanayo nzuri sana wanajua kucheza sehemu husika.❤❤❤❤👍👍👍🙏🙏
Duh joti noma sana
Tagu na mjua joti ze comedy ndiy show ndy nilikutana na mume wangu 2009 kweli joti uzeeki
Joti😂😂😂😂😂😂mwana kuri taka more love❤❤❤❤❤❤
Joti anajua ku ekti jamani 🤣🙌
Namie leo nmewah kila siku nakuwa wa 2900 huko😂
Hongera 😊
@@kadabramoses8467 😊😊asante jamon
Hongera
Watu wafupi hamutoiyona pepo 😂😂😂
Mama ana miguu minne....
Miguu ya mama myeupe ile mingine ina rangi kama Tetracycline 😂😂😂😂😅😂
Itakuwa mkono unachota kopo 😂😂😂😂😂
joti fala eti wanaenda kuoga na baba🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Ila joti mjinga?? Anapenda Sana masihara penye ukwer
Mimi nasema bwana jot badilisha mtindo wa muvi zako weka zaidi za kufundisha kuliko hizi zinamatusi sana haiangaliki ukiwa na watoto au na watu tunao heshimiana nao kama ni vichekeo sawa au kufikisha ujumbe Fulani itapendeza zaidi hizi ziache kwa sasa. Mimi ni mfuasi wako naboleka kwa hili
Utakua mkono huu nchota kopo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Andunje 😂koromeo siunalo mbna vitu vyapita kwa upepo
Hiyo angazi ya choo naikubali😂
Chap tunamaliza jambo..😂😂😂😂
Mama ana miguu minne kama ng'ombe😂😂
Mama anamiguu minne amekuwa ngombe😂
Wa mwisho km kawaida yangu niko hapa kuwasubir wale wa kwanza wakuomba like tugawane maokoto waliyopata😂😂😂
Nakupenda bure jotii
Joti never disappoint
Mtoto hasara huyo, angetafutwa pa kwenda kula labda mpishi nisiwe mm atakula makoko kila siki huyo mtoto kwa umbeya wake😂😂😂
joti nomaaaaa jamani nikichukia namuangalia joti tuu
Eti anaoga na baba, joti ni noma
Mbembe kashawapiga wengi Baharini yeye ni Baharia😅😅😅
😂😂😂eti nikiwa naongea muangalia mama duuh mbaya hiyooo
Mbona naona miguu minne imekua ng'ombe
Good Job Mr Joti With Your Team
Nakubali sana tm jot😁😁😁😁😁😁
Miguu mi nnee kawa ng'ombeee😂😂
Kashaharibu joti😂😂😂😂😂
Never disappoint jotiiii😂😂😂😂😅🎉
mama anamiguu 4 amekuwa ng'ombe 🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Joti unstoppable
Eeheee mama ana miguuu mineee amekuwa ng'ombe
Mwanafunzi yuwachelewa shule 😁
ni kwere jamaa kama kaowa vile😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 joti never disamppoint 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
joti furaha yangu
Location za sanaa ya Joti ni motto.Koromeo Kama tenga.
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 kila siku unataka
Kwelii kaoga na mama😂😂🤣🤣🤣🤣😂
Zito Leo umeyakanyaga kudadadadeki utakua msafiiiiiiiii
Mungu azid kuwaweka Toto mbea
Joti mbn kiboga umemsahau sana tuletee clip hat moja bhas
MAma ana miguu 4 amekua ng'ombe😅
Joto tisha Sana mzee ❤❤
Miguu Kama oxytetracyclin😂😂😂
Eti hee Leo kazi ipoo
Wakati nasimulia muangalie mama😂😂
Friji haligandishi jotiii😂😂
Joti mmbea khaa 😂😂😂
Ila joti😂😂😂😂😂😂😂
Mama ana miguu minne Kawa ng'ombeee
Nakuandaa 😂😂😂
Joti warudishe sopa, kipande na mwamba tumewakumbuka sana
😂😂😂😂😂 km mzee gusi
Nakubali joti
Cha chooni aisee
Hahahahha miguu 4😂😂😂😂
Aka katoto mbona adabu hamna yaani Andunje ww hauwezi kufisha Siri ya mamayako kkkkkkkkkkkkk katoto kabaya kkkk
Mtoto huna kaba wewe jamani 🤣
Koo langu haliwezi kuficha Siri. 😂😂😂
Mama anamiguu 4 amekuwa ng'ombe 😅😅😅😅😅
Joti kwa kweli unastahili 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Andunje ni hatali😂😂
Mama ana miguu minne kama ngombe😂😂😂😂😂
Maziwa yapo Lita 1🤣🤣🤣🤣🤣🤪
Hahahaha joti bas tena wallah
Dah nimekuwa wa kwanza leo
Jotii Mungu akutunze
Mama ana miguu 4,😅😅😅😅.
Hii inatakiwa iwe miongoni mwa 10 bora za mwaka 2023😂😂🎉🎉🎉