Half nyie mnao omba like eti kama unamkubali joti sasa kama mtu hamkubali joti atakuja kufanya nn hapa toeni maoni ushauri wapi kuko sawa wp hakuko sawa ili joti aone wp anakosea wp ajitaidi na sio kukaa na kusema naomben like kama unamkubali joti sote tuko hapa tunamkubali joti na timu yake yote
Loo jot mwizi wa mafuta,safi sana yaa nimecheka hadi michozi haki ya mungu❤❤👍👍👍❤❤😁😁😁😁😁
Joti kweli ww ni mkali sana respect brother 👊👊🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯
Joti kabakisha watu kidogo agonge 1m
Woohf big up Sana 💪 kwenu utamkta sheli
Hahaha FULL TANK noma sana, Nakimbizwa namajambazi hahaha 😂😂
Karibuni Sana ZANZIBAR muje mufanye utalii wa ndani 🫶🏝️
Tutakja😂
@@olicej7837 💯🔥🔥🏝️
Best comedian 🤣🤣never disappoint joti
HAHHA
Your the best joti ❤❤❤
Mwamba endelea kuwa kimbiza as 🔥🔥
Kama unamkubali joti na hujawahi jutia kumchk gonga like ap😂😂😂
kugongwa jee hutaki?
like unazipeleka wapi kenge wewe?
acha ushamba 😏
Sema akiigizaga mwanamke (kiboga) daah mi nakuwa si enjoy sana
@@officialkamdudu duuuh😂😂
@@mugheiry 😂daah
Kazi nzuri mlewa leo haujawa snich umefany kaz nzuri ✊
Leo wa kwanza et naombeni like zenu jott utafika mbinguni ukiwa umechoka sana🤣🤣🤣🤣
sijaona cha kuchekesha, unaomba like...bwana jee hutaki?
like unazipeleka wapi kenge wewe?
acha ushamba 😏
Sio shell
Ni petrol station bhnaaa
Mnatuangusha etiii
Bora kituo cha police 😅 RIP 🤣🤣😭😭😭
Huyu ni kichaa kabisa jmn 😂😂😂😂
Joti bingwa Kama YANGA kula kwaza cake 🎂🍰🍷❤❤😂😂😂 usije ukawa mwizi kweri .......,
Bado hamjawa mabingwa nyiny🙄🙄
Hahaaa😂😂😂😂😂😂😂😂 joti mwiziii umepatikana leo
Nachekaga kabla ya kuangalia 😂😂😂😂😂
Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮
Jamani ee sio shell,ni kituo cha mafuta,Shell ni kampuni na kibongo bongo sijaiona
Ilikuwepo zamani kampumi ya shell tz karibia nchi nzima ndio sababu imekuwa mazoea vituo vya mafuta baadhi ya watu wanaita Shell
Uyo traffic ni mjinga sana, kwani haoni badge ya hao jamaa😂😂😂
Kwani Jambazi havai Badge, Hujui Mjini mipango, Ni ngumu afande kuamini mtu kwa mavazi ndio maana akasema aseme ukweli na waende kituoni
Joty kakubali yaishe mwenyewe 🤣🤣
Jitaidi Bana ufikiliye 1million ❤
Half nyie mnao omba like eti kama unamkubali joti sasa kama mtu hamkubali joti atakuja kufanya nn hapa toeni maoni ushauri wapi kuko sawa wp hakuko sawa ili joti aone wp anakosea wp ajitaidi na sio kukaa na kusema naomben like kama unamkubali joti sote tuko hapa tunamkubali joti na timu yake yote
😂😂😂😂 nimecheka kinyama
Najiulizaga Kuna hela labda inatolewa ukiwa na likes? Isije kua napitwa
Watachukua Sheria mikononi halfu anaonyesha Kwa ishara kama anataka kupiga punyeto hahaha
Nishai mtombangire kitwango 🤣🤣🤣🤣🤣
WAHUNI sio WATU wazuri! Manina! Ha ha ha .... wameondoka naye mbele ya macho ya polisi! MAE!
Chizi joti kaonda na pingu 😂😂😂😂😂
Nimefanikiwa kuwa kwenye 10 wa kwanza😂😂
Nimewahi leo like 10 tuu kama umewahi kama mimi 🤣🤣🤣tunainjoi tuu na jott
like unazipeleka wapi kenge wewe?
acha ushamba 😏
😂😂😂😂😂 wametokea kwenye majani 😅😅😅😅😅
Tanzania #1
Yan Mlewa hz scene za kudeal na wezi pamoja na matapeli anaziwezea kisawasawaa😂
Utamkuta sheliiiiiiiii 😅😅😅😅😅
Alafu Ume Shoot kinondoni Bisha Ufe😂😂✌🏽
Habiba,sopa,kipande warudi kazi la sivyo sita watch video yko,am frm nairobi kenya
Sopa,kipande na habiba wko wpi?hao unafanya kwa sasa hawatufai joti,mlewa ako sawa ila rudisha teem yko ya awalu
Wii wiki vipi jamn mbona hamna mpya
Jamani wa pili leo naombeni like zangu
Jot noma San 🎉🎉🎉🎉
Mchuz umepoa huu waleo😢
TBT ipo kwenye history yangu iyo nilikimbizwa Ila hawakunipata kipindi kile hakuna pikipiki
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 joti noma sana😂😂😂
😂😂😂nimejifunza mm kama mfanyakaz
Ulipwe kwanza ndio utoe bidhaa😅😅😅
Joti bonge la mbunifuuuuu
Unyama sana💪💪
Joti ulikuwa wapi mbona unatuheba🤣🤣🤣
Kaz nzuri sana
Pigaaaaaaaaa Huyooooooooooooo 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
I like it
😂 joti nakukubl xn dah
Never disappoint jotiiii 😂🤣🤣
Umeuwaaa mwambaaaa jotiiiiiiiiiii
😅😅😅🇹🇿👍👍
Kwa mbali nauona msikiti wa kinondoni
Mimi sijawahi kujutia kuntazama joti
Wa kwanzaaa kabisa. 😜
Jot anakwepa wananchi wenye asira kali
😂😂😂😂am done with joti wallah 😅😅😅
Joti 😂😂😂😂umeuwa mwanetu 😂😂😂😂
Du kakimbia sheri
Eti we ongea nao tu😂😂😂
Mambo ya joti hayo😂😂😂
Namba moja leo
I watching this from Pluto you guys on earth are so funny wallah 😂😂😂😂
Kwenye vipindi vyako inabidi uwe unatumia vijigari kama hivyo,,unakuwa unavibadilisha tu
Hvi joti magari huwa unatoa wap
Malaika wa mungu kaninusuluu😂😂
Very Good Mr Joti
Nomaaa 😂
Ati full ni mafuta 😅😅😅 au fuel ⛽️
Hahaha 🤣 joti ww balaa na nusu
Hahahahah hatar yaan
Namkubali sana😂😂😂😂😂
Joti kazi😅
Much appreciate bro.
Joti bhaana noma sana 😜😜😜😜
Jotti mrudishe Kipande kaka
Jambazi wa mafuta sasa😂
Yaaan kaz ya sheliii jmn
Hatar Sanaa😂😂
Nyiiiieeeh....utamkuta shelly
Alivo wageuka jotii😅😅😅
Anajua 🔥
Moja
leo akuna kitu 😮
Hii gari imefanana na uvaaji
Joti mbona hujaingia Ze comedy mpya?
Tushamisi vichekesho post video nyingine😢
Gar lenyew linalokutesa sasa 😢
Joti😅😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yani uyu muaya
Achelewi kulia
Hujawahi kufeli
Jamani namm leo wakwnz
We mlewa body hio unatishiwa na anduje
Nimeona unaichomekea defender
utamkuta shell 😀😀😀😀
Joti turudishie sopa
Sopa alikuwa fayah
@@traptyrant6771 Yah alkua moto afu anajua
Akir ya joti anaijua yeye
Inafunzo kwa wafanyakaz wa vituo vya mafuta muwe makn !
Kbsaa wakae chonjo na pengine Kuna watu yashawakuta😢
Joti nakukubali