NINI KINATOKEA UNAPO AMUA KUFUNGA SEH 2 (OFFICIAL VIDEO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 42

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen bwana akubariki pastor Na akupe afay njema Na ulinzi siku zote Wewe familia yako

  • @kenedymusheiguza3950
    @kenedymusheiguza3950 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli unapothani unajua ndo hujui, nimekuwa msabato mwaka wa 9 huu, sikuwahi Kutana na somo kama hili, asante Mungu.

  • @nginamugwe8093
    @nginamugwe8093 4 ปีที่แล้ว +4

    Asante mchungaji kwa kukumbuka kenya yetu ni dunia yote kwa jumla...God bless you

  • @sisterolivia9874
    @sisterolivia9874 3 ปีที่แล้ว +2

    Wakenya twashukuru kwa maombi.
    God bless you.
    Watching from Doha Qatar.

  • @queenbaweza8361
    @queenbaweza8361 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ niunge kwa group

  • @jeannekatembe6396
    @jeannekatembe6396 2 ปีที่แล้ว

    Amen baba twa ya weza katika yeye atutiaye nguvu. Ubarikiwe. Tupo pamoja.

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 3 ปีที่แล้ว

    AMEN🙏barikiweni sana mchungaji na waumini wote wako kwa kutuombea narikiweni sana mungu awe nanyi ...AMEN;🙏

  • @maureenjovial6083
    @maureenjovial6083 4 ปีที่แล้ว

    Amen nabarikiwa sana asante mchungaji Mwenyezi Mungu azidi kukutumia kwa utukufu Wa jina lake

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 4 ปีที่แล้ว

    I thank God because when I need any message in my heart God does for me in my inbox or when I open TH-cam l it fast before others l give glory and honor. Mwalimu mimi nikifunguwa uwa natumia maji Moto na nimeweka lemon baada ya saa moja hivi ndiyo nile je nakosia kutumia maji Moto ya dimu? nisaidiye muchungaji. ubarikiwa ni mafunzo nilikuwa nimetaka nashukuru.

  • @user-mn6ej3cv3p
    @user-mn6ej3cv3p 10 หลายเดือนก่อน

    Amina mchungaji ila je vitabu vyako vinapatikana madika yapi hasa iringa????????

  • @alfrednamai2877
    @alfrednamai2877 ปีที่แล้ว

    Mafunzo mazuri Asante🙏

  • @hawamusumba431
    @hawamusumba431 4 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed pastor l learn something

  • @euniceqrinjesusmightynameb217
    @euniceqrinjesusmightynameb217 2 ปีที่แล้ว

    Mchungaji na ukifunga masaa kumi na mbili huez kunywa maji

  • @rubennathan8804
    @rubennathan8804 4 ปีที่แล้ว

    Nakuelewaga sana na ninazid kukuelewa na ni nabarikiwa mtumishi wa MUNGU 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @angelicagulake3361
    @angelicagulake3361 4 ปีที่แล้ว

    Matumbo hayaingii upepo ha ha ha AMINA PR TUSAIDIEEEE BARIKIWA MTUMISHII

  • @watwegopnina6480
    @watwegopnina6480 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mchungaji, Mungu akubariki na atusamehe makosa yetu.

  • @tumainudomsdachoir
    @tumainudomsdachoir 4 ปีที่แล้ว

    Ujumbe wa kipekee..Mungu aibariki hii huduma.

  • @anastaziafrancis191
    @anastaziafrancis191 4 ปีที่แล้ว

    Nazidi kubarikiwa na mahubiri tv, naomba Mungu anipe nguvu, barikiwa pr

  • @irenemakokha7615
    @irenemakokha7615 4 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe mjungaji, nafuatilia mafundiasho

  • @samsonngweina5048
    @samsonngweina5048 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @raphaelkija5303
    @raphaelkija5303 4 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukubariki mchungaji

  • @mnakobunde315
    @mnakobunde315 4 ปีที่แล้ว

    Pr . asantee nazidi kuimalika ktk kukua kiroho

  • @esternaftari4553
    @esternaftari4553 4 ปีที่แล้ว

    Amina mchungaj

  • @christinapeter7131
    @christinapeter7131 ปีที่แล้ว

    Kama unanyonyesha je? Nifanyeje??

  • @barakajoseph1816
    @barakajoseph1816 4 ปีที่แล้ว

    Hallelujah

  • @maureenkahito6227
    @maureenkahito6227 3 ปีที่แล้ว

    Pliz can I get pastors contact I pray if pastor can visit my home place in Kenya to save my family my neighbours too I love them all Nd I need all to be baptized in the name of Jesus Christ pliz hawataseme hawakusikia neno I need arrangements with pastors pliz

  • @beatricemageka7972
    @beatricemageka7972 4 ปีที่แล้ว +1

    Good morning pastor, am happy and blessed to be in mahubiri TV. I've a question of which Ive tried to seek for answers but the reactions i get are not convincing me .Is it spiritually ok to fast on a Saturday/worship day?plz make me understand

  • @davidthomas2402
    @davidthomas2402 4 ปีที่แล้ว

    Mchungaji nilikuwa naomba uangalie hii video ikionesha jinsi movie inavyoaribu mawazo na matendo ya wakristo wengi duniani th-cam.com/video/qbCbyf16iYc/w-d-xo.html
    youtube channel yao inaitwa "little light studios" wana masomo mengi yakionesha jinsi shetani anavyowatumia watu kiingiza uongo na kutekaakili za watu kwanjia ya hypnosis ambayo imekatazwa katika moja ya kitabu charoho ya unabii "MIND,CHARACTER AND PERSONALITY VOL. 2"

  • @tumainimathayo3767
    @tumainimathayo3767 4 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @judithmakoye8766
    @judithmakoye8766 4 ปีที่แล้ว

    amina

  • @maureenkahito6227
    @maureenkahito6227 3 ปีที่แล้ว

    Nina swali can I ask someone who is sick to fast with me pliz can I pliz get pastors number cause I need prayers for my mum who is suffering from cancer bt behind that need more prayer because imani ya my mum is not strong like before Nd sometimes I cry whenever I remember my mum made me to believe in GO D bt now I can’t explain what’s going on pliz I need prayers more

  • @judithmakoye8766
    @judithmakoye8766 4 ปีที่แล้ว

    kama nina shida ya kuongea na pastor nampata kwa namba ipi

  • @davidthomas2402
    @davidthomas2402 4 ปีที่แล้ว

    Mchungaji nilikuwa naomba uangalie hii video ikionesha jinsi miziki movie inavyoaribu mawazo na matendo ya wakristo wengi duniani th-cam.com/video/o2l_3gm0TBs/w-d-xo.html

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  4 ปีที่แล้ว

      ASANTE SANA!! Nitumie link kwenye infomahubiritv@gmail.com

    • @davidthomas2402
      @davidthomas2402 4 ปีที่แล้ว

      @@MahubiriPrMmbaga sawa

    • @davidthomas2402
      @davidthomas2402 4 ปีที่แล้ว

      Mchungaji nilikuwa naomba uangalie hii video ikionesha jinsi movie inavyoaribu mawazo na matendo ya wakristo wengi duniani th-cam.com/video/qbCbyf16iYc/w-d-xo.html
      youtube channel yao inaitwa "little light studios" wana masomo mengi yakionesha jinsi shetani anavyowatumia watu kiingiza uongo na kutekaakili za watu kwanjia ya hypnosis ambayo imekatazwa katika moja ya kitabu charoho ya unabii "MIND,CHARACTER AND PERSONALITY VOL. 2"

  • @mwanawambeli7771
    @mwanawambeli7771 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @riobachacha6117
    @riobachacha6117 4 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @selfaakinyi512
    @selfaakinyi512 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @edisahabonimana6612
    @edisahabonimana6612 4 ปีที่แล้ว

    Amen