#1# AINA HII YA IMANI UKIWA NAYO UTAONA MENGI (Seh ya 1)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 มี.ค. 2021

ความคิดเห็น • 77

  • @DIANAMAGEMBE-dy9um

    Soma Hilo linadhidi kunibadilisha katika maisha yangu ya Kila siku.mimi naenda nitoe ushuhuda huu kuhusiana na masomo yangu,Kuna masomo mawili nilikuwa sijafikisha course work kwa ajili ya mitihani ya mwisho. Saiv nimekuwa miongoni wa wanafunzi tutakaofanya mitihani yote. Ninacho washauri watu wa Baba tuwe na Imani iliyo dhabiti. Nashukuru pastor mmbaga kwa somo hili nzuri

  • @mariawambui3918
    @mariawambui3918 3 ปีที่แล้ว +4

    Mafundisho yako ni mazuri sana pliz pastor nakuomba siku moja uongee kuhusu wanjane mayatima

  • @user-lz6zs6oe9w

    Ubarikiwe sana pastor,unanibariki sana

  • @georgemoshi7642
    @georgemoshi7642 3 ปีที่แล้ว +11

    Viewer wa kwanza. All the way from china 🇨🇳. Amina.

  • @donatngarukiyintwari8282
    @donatngarukiyintwari8282 ปีที่แล้ว

    Asante sana mchungaji kwa mahubiri yako. Yesu ndiye ambaye tunamhitaji kuliko pesa.

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen. Ubarikiwe sana pastor Mbaga.

  • @happymaxwell6764
    @happymaxwell6764 3 ปีที่แล้ว +1

    Mafundisho mazuri pastor, Mungu akubariki

  • @janemoraaadogo2189
    @janemoraaadogo2189 ปีที่แล้ว

    Praise God. I am blessed by the Word coming to us in this manner.

  • @amosgidion3430
    @amosgidion3430 3 ปีที่แล้ว +3

    AMEN, Ahsante kwa Neno, Barikiwa zaidi

  • @irenemakokha7615
    @irenemakokha7615 3 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante kwa somo nzuri asubuhi hii , barikiwa mtumishi wa Mungu🙏

  • @lindaogada8760
    @lindaogada8760 3 ปีที่แล้ว +1

    Glory be to God.....mafundisho mazuri sana 👏👏👏

  • @philipomasanja2373
    @philipomasanja2373 ปีที่แล้ว

    Amina MUNGU atusadiesana

  • @maureenjovial6083
    @maureenjovial6083 3 ปีที่แล้ว +3

    Asante Mungu kwa neno hili bariki mtumishi wako hadi ashangae

  • @rizikichigodi4316
    @rizikichigodi4316 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina barikiwa Kwa Neno la asubuhi, nimebarikiwa Sana , naomba maombi Boc wangu hataki niende kanisani Kwa sababu anasema Kuna Corona Na yeye Ananda kazini Na watoto wakitaka kutoka Wana toka

  • @themessage3508
    @themessage3508 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sn pastor najifunza mengi xn

  • @esternaftari4553
    @esternaftari4553 3 ปีที่แล้ว +1

    Unachosem ni kweli kuna saa unatakiw kusimam wew kama wew maan vita ni kubwa sana

  • @otiliahaule5180
    @otiliahaule5180 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mchungaji nimejifunza kusali nakuomba 🙏🙏

  • @neemaapange4216
    @neemaapange4216 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe pasta

  • @DIANAMAGEMBE-dy9um

    Jina la yesu kristo litunzwe milele zote