TUNDU LISU AMVAA MTOTO WA RAIS SAMIA "MWAKA JANA NOVEMBA AMEKUJA KIJANA WAKE HUYU ABDUL HUYU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
    Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
    Facebook: / kusagamedia
    Instagram: / kusaganews
    TH-cam : www.youtube.co...
    Tiktok. www.tiktok.com...

ความคิดเห็น • 128

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 24 วันที่ผ่านมา +15

    Pole sana kamanda wetu Tundu at Lisu mungu huwa anajibu maombi najua kwamaombi yetu utajibuwa

  • @richardmusa1430
    @richardmusa1430 24 วันที่ผ่านมา +75

    Unae mpenda tundu lisu gonga like za kutosha apa

    • @khamisikhamisi7225
      @khamisikhamisi7225 24 วันที่ผ่านมา +4

      Watajua katiba ibadilike???

    • @user13375
      @user13375 24 วันที่ผ่านมา

      Abdul ni Nani 😮😮😮😮

    • @richardmusa1430
      @richardmusa1430 24 วันที่ผ่านมา

      @@user13375 mtoto wa raisi

    • @jumamustapha8254
      @jumamustapha8254 24 วันที่ผ่านมา

      Badala ya kunadi sela ya chama unakazana na hizi tamthilia zitakufikisha wapi, anaetaka kujiua anakushambuliaje miguuni acheni usanii huu.​@@user13375

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 24 วันที่ผ่านมา

      ​@@user13375MTOTO WA MHESHIMIWA RAIS

  • @lasttrumpetmission1262
    @lasttrumpetmission1262 24 วันที่ผ่านมา +9

    Tundu na mtangazaji odemba you are genius

  • @JamesSamatha-vi6lg
    @JamesSamatha-vi6lg 22 วันที่ผ่านมา +10

    Jifunzeni Kwa kikeke mwandishi wa habari unauliza maswali ya kitoto sana

    • @mpjozzegalvanize4926
      @mpjozzegalvanize4926 14 วันที่ผ่านมา

      Nilijua nimeliona peke yangu, "eti ulitaka kupewa shilling ngapi?" Halafu heshima ndogo kama anamuhoji konde boy bhana

  • @zulfikakalumba1977
    @zulfikakalumba1977 2 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana mtangazaji, umemuhoji vizuri sana Tundu, Mh Tundu ametudhihirishia kwamba wao basi tena awatowezakuikomboa hii nchii maana pesa chafu zipo mifukoni mwa baadhi yao, SIASA NI MCHEZO KAMA MICHEZO MINGINE YA UTAPELI

  • @zulfikakalumba1977
    @zulfikakalumba1977 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mh Tundulisu, Mh Raisi alikuambia atakuambia namna yakumtumia... Mi nafikiri ulipaswa kuwasiliana na Raisi akupatie hiyo njia yakumfikishia.
    Pia, mtoto wa Raisi alitakakukusaidia yeye binafsi, je yeyote aliekusaidia kipindi chote cha matatizo alikuhonga BELGIUM walikuhonga? Au kwasababu ni mtoto wa Raisi...?
    Mi nafikiri kazi bado ipo kubwa sana kuikomboa hii nchi,

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 24 วันที่ผ่านมา +7

    Mwandishi unaharibu interview

    • @rashidissa5887
      @rashidissa5887 24 วันที่ผ่านมา +1

      How?

    • @zamukahemele1505
      @zamukahemele1505 23 วันที่ผ่านมา +1

      Odemba unamaswali mazuri ila kwa Leo hapana

  • @henerikomico948
    @henerikomico948 7 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji ana Ton nzuri
    Nimekuwa motivate

  • @joezeno8
    @joezeno8 24 วันที่ผ่านมา +9

    Mtangazaji kaa kimya mpe mtu nafasi ya kuongea!

  • @yussufhashim4472
    @yussufhashim4472 24 วันที่ผ่านมา +7

    Huyu ndio mwandishi Hesari na anajua kuhoji bravo mwandishi

  • @cmsa1r
    @cmsa1r 16 วันที่ผ่านมา +3

    Sipendi vyama vya siasa. Wote wezi tuu. Lakini Lissu kapitia mengi

  • @BahatiIsangu
    @BahatiIsangu 13 วันที่ผ่านมา +1

    Nakupenda mh lissu

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Elewa Tundu Samia anapingwa najamaa zako huko kwenu hatakm anaimani yakutaka kufanya hivo watapinga tu yule mama nimtu anahuruma sana kalelewa yule nawaungwana mjue hilo naikosiku ataondoka mtajua hilo

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 24 วันที่ผ่านมา +5

    Usikatae hela anti pasi , hela ngumu

  • @KassimSayid
    @KassimSayid 20 วันที่ผ่านมา +2

    Tundu Lisu, Katika hali ya kawaida ulipaswa utumie maneno ya Staha, hata kama hoja zako ni za msingi na za kisheria.
    Huyu Mama Abduli au Malikia ndiye aliye jitoa mhanga kuja Nairobi na hata Ubegij kukujulia bila kujali misimamo mikali ya Boss wake hata alipo kuwa hai.

  • @safi6133
    @safi6133 24 วันที่ผ่านมา +3

    Safi sana Kamanda Lissu kuibua uhuni huu wa Samia na toto lake Abdul. Shenzi kabisa.

  • @edwardkongo410
    @edwardkongo410 วันที่ผ่านมา

    Hamna maswali hapa kama anavyouliza wana CCM, hapa wanapiga stor

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 7 วันที่ผ่านมา

    Duh nchi imejaa rushwa CCM kununua wapinzani

  • @dallasmusic6465
    @dallasmusic6465 24 วันที่ผ่านมา +6

    Tundu lisu ana madhaifu yake Ila kichwani zmetia sana huyu jamaaa ana akili kubwa sana 🎉🎉🎉🎉

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 24 วันที่ผ่านมา +1

      Watu wa singida wapo hivyo,wanaakili kubwa sana

    • @thobiasmarandu214
      @thobiasmarandu214 23 วันที่ผ่านมา

      @@dallasmusic6465 He is Not 100% Candid, Naona sababu za Siasa Chafu...Kama Ni Abdul kutaja Watu waliopewa Pesa... Alimtaja Msigwa (Na hata Msukuma Alithibitisha) Ajabu Issue ya Ruswa Lissu Aliitaja Akimkampenia Msigwa... Sasa Kama Tukimwamini Abdul, Huyo huyo Abdul Pia Alisema Mama Samia Alivyomtembelea Lissu Ubelgiji Alimpa Pesa tena Huku Mbowe Yuko Jela, Je Hizo Nazo Tuseme Ni Rushwa?

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 24 วันที่ผ่านมา +2

    ww ulivyo kuwa na njaa huwezi kuacha pesa

  • @NyumbayaWakfukkoo
    @NyumbayaWakfukkoo 16 วันที่ผ่านมา +2

    Acha kumzulia Malkia au kosa lake kuja ubelgiji? Hizo pesa mbona hukumdai Magu? Hueleweki Lissu unatafuta kiki umeshuka sana Malkia humuwezi na hamumuwezi ndio mnamtafutia uzushi

  • @thobiasmarandu214
    @thobiasmarandu214 24 วันที่ผ่านมา +7

    Je Kabahasha Ka Ugua Pole Ka Samia Ubelgiji Kalikuwa na Risiti... Siasa Buana!

  • @muhidiniabass4385
    @muhidiniabass4385 4 วันที่ผ่านมา

    Mwandishi utulii kwenye maic

  • @leonjuly8242
    @leonjuly8242 11 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mwandishi hamna kitu kabisa,hana utulivu hata kidogo

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 24 วันที่ผ่านมา +2

    Alimtumia Msigwa! We sema tu, kama msigwa ni mwema mwenzio kapokea Hela nyingi sana za ccm.

  • @barnaba3037
    @barnaba3037 24 วันที่ผ่านมา +3

    Mtangazaji unazingua muache mtu ajibu maswali

  • @user-zp3ki3cm8n
    @user-zp3ki3cm8n 23 วันที่ผ่านมา +2

    Waelewa wanamuelewa lissu

  • @am_matis
    @am_matis 24 วันที่ผ่านมา +3

    Uyu mtangazaji anasauti tu utulizu 0 kwann haachi mtu amalize kuongea ndo aulize swali

  • @ferdinandntembagara2949
    @ferdinandntembagara2949 24 วันที่ผ่านมา +3

    Uyu mtangazaji chenga sana aisee

  • @jaderkyser9389
    @jaderkyser9389 24 วันที่ผ่านมา +1

    The Advocate is so Genius sio Jini

  • @user-jc1do5gf3w
    @user-jc1do5gf3w 24 วันที่ผ่านมา +3

    Haki yako inacheleshwa tu na binadamu,ipo siku utaipata

  • @user-jc1do5gf3w
    @user-jc1do5gf3w 24 วันที่ผ่านมา +3

    Mwandishi unaboa

  • @johnwoshi3459
    @johnwoshi3459 24 วันที่ผ่านมา +3

    Mwandishi unaharibu mpe nafasi lissu

    • @joezeno8
      @joezeno8 24 วันที่ผ่านมา

      Wandishi wa michongo, badala ya kumsikiliza mtu

  • @evangelicalmiraclesfellowship
    @evangelicalmiraclesfellowship 22 วันที่ผ่านมา +1

    Ndio mjue nchi yetu inaendeshwa kihuni tu

  • @lulurubby2235
    @lulurubby2235 24 วันที่ผ่านมา +2

    Msanii hana ata adabu ya kuongea sijui kakulia mnada wa ngombe maana anajionaga mjuaji

  • @vinny.morales
    @vinny.morales 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mwandishi umezidisha misifa baada ya kusifiwa. Mpe mtu nafasi ya kujielezea

  • @loserian-mj1gj
    @loserian-mj1gj 24 วันที่ผ่านมา +2

    Ni Nani anayehojiwa mimi naona huyo jamaa ni mtani wa lisu

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 24 วันที่ผ่านมา +2

    Mwandishi kama chawa chawa vile! mbona Lissu alitangaza ktk mikutano na hatukusikia popote akikanusha hivyo ni ukweli.

  • @gloriadaniel3827
    @gloriadaniel3827 24 วันที่ผ่านมา +3

    MTANGAZAJI UNAKERA😔😔

    • @erhardwilla5415
      @erhardwilla5415 24 วันที่ผ่านมา +1

      Anaingiliaingilia hoja na kutaka asema anachotaka yeye mwandishi. Anasahihishwa mara nyingi kakaza shingo.

  • @SuzannaNdege-pj9zg
    @SuzannaNdege-pj9zg 24 วันที่ผ่านมา +2

    Mtangazaji unaboa muache muheshimiwa aongee, maswali mengi sana

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi 6 วันที่ผ่านมา

    Wee mtangazaji acha mtu ajibu

  • @gilliansiara3324
    @gilliansiara3324 24 วันที่ผ่านมา +2

    Maswali ya muandishi kama kaandikiwa

  • @AminiMoshi-cn9wi
    @AminiMoshi-cn9wi 21 วันที่ผ่านมา +1

    Líssuuu unatísha

  • @bomikassim4528
    @bomikassim4528 24 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa kifupi, Mh. Lissu anatujulisha kuwa ndani ya CHADEMA kuna ufisadi mkubwa. Swali ni, yeye amepanga kufanya nini juu ya jambo hilo?

  • @thobiasmarandu214
    @thobiasmarandu214 24 วันที่ผ่านมา +2

    Hapa Mh. Lissu anasema Abdul Alimwambia Amfuate Masaki Ampe hela... Siku zilizopita Alisema Abdul Alimpelekea Pesa Kwa Magunia au something of that Nature??? Which is Which???

  • @AbduKalimu
    @AbduKalimu 9 วันที่ผ่านมา

    We we porojo hizo tata hutaji unaruka tu huna lolote ngiri

  • @LukeloKibumo-uu2oh
    @LukeloKibumo-uu2oh 24 วันที่ผ่านมา +3

    Masaki kumbe badounaishi nyumba ya serikali

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 22 วันที่ผ่านมา +1

      Lisu ana hela acha uchawa

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 24 วันที่ผ่านมา +1

    Kwan akulipe fidia yey nd alokwamabia upoyoke poyoke babu

  • @naftarimgaya828
    @naftarimgaya828 22 วันที่ผ่านมา

    When genius met

  • @omarsirleem7105
    @omarsirleem7105 8 วันที่ผ่านมา

    Huyu ana damu yetu ya ki Kenya 🇰🇪🫶🏾 nnachoona mimi watanzania wote waoga tu kuongea haki ilipo

  • @alfredmarti3131
    @alfredmarti3131 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mheshimiwa lisu, usimruhusu tena huyo aku interview. Yupo below standards.

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Keshawahi kuwepo Rais mwema Tanzania ? Naatatokea kweli ? Nijuavyo nyote niwalewale tu

  • @martinesongelaeli2579
    @martinesongelaeli2579 24 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 24 วันที่ผ่านมา +1

    Shida serikali ilisema haijui kama Lissu anatibiwa popote na Kenya walimwona , chenga zilikuwa kibao, na leo hawaziomi barua zake.

  • @frankmosha5854
    @frankmosha5854 19 วันที่ผ่านมา

    Yani sasa hivi kazi ipo

  • @justinebalaguyu7769
    @justinebalaguyu7769 13 วันที่ผ่านมา

    Jamani mhona mtangazaji anakuwa kihelehele sana si atulie.

  • @aristidisamba1573
    @aristidisamba1573 17 วันที่ผ่านมา +3

    Yaani huyu mwandishi kaniboa sana badala ya kumpa nafasi mtu amalize kuzungumza anamkatisha katisha mtu yaani ameboa kweli kweli.

    • @mainaomar2170
      @mainaomar2170 9 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅

  • @danielsinda
    @danielsinda 24 วันที่ผ่านมา +1

    Wakulipe herazako kisingizio kikose serikari wamlipe kisingizio kikose

  • @selestinemhimbila7570
    @selestinemhimbila7570 24 วันที่ผ่านมา +1

    Humble man

  • @dr.lincolng7835
    @dr.lincolng7835 14 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂kamwambie mama Ako anilipe hela zangu🤣

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 19 วันที่ผ่านมา

    Mwandishi😂

  • @user-sh2os4yh5l
    @user-sh2os4yh5l 24 วันที่ผ่านมา +2

    Na wewe mtangazaji mbona hutoi nafac ukajibiwa????

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 12 วันที่ผ่านมา

    Pesa gani anadai si bunge ndio anatakiwa alidai maslahi yake

  • @NyumbayaWakfukkoo
    @NyumbayaWakfukkoo 16 วันที่ผ่านมา

    Ahsante Lissu umesemaje ? Mwana malkia ? Aise nimeipenda sana io kuanzia leo rais uyu namuita malkia na ww nakuita simba . Ila Lissu sheria ulifeli 4 sure

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 14 วันที่ผ่านมา

    tundu lisu kashaishiwa.
    unaitaka nchi hali yakuwa chadema umeishindwa

  • @khalidmdotta3843
    @khalidmdotta3843 24 วันที่ผ่านมา +3

    Uyu mtangazaji hajui kuhoji

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 24 วันที่ผ่านมา +2

    Lissu ni mzalendo sana

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 14 วันที่ผ่านมา

    mzee mzima bado unanyoa kiduku

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 24 วันที่ผ่านมา +1

    We sema aliletwa na msigwa😂 Kuna uhalali sana wa msigwa kunyimwa uongozi maana alikuwa analaghai sana watu kupokea rushwa za ccm

  • @mlekwamaganga2561
    @mlekwamaganga2561 19 วันที่ผ่านมา

    Brother punguza Uongo.
    Abdul akufuate wewe mara atake kukuhonga 😂😂😂😂
    Inachekesha,
    Akuhonge kama nani!!
    Kwa faida ipi!!
    Njaa hii bhana

  • @PartySekemi
    @PartySekemi 23 วันที่ผ่านมา

    Huyu mwandishi huyu hana taaluma hii ni mpiga projo aende kutangaza mpira

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 23 วันที่ผ่านมา +1

    Magufuli hakutaka upumbavu huo

    • @user-ie2sr4fi4k
      @user-ie2sr4fi4k 7 วันที่ผ่านมา

      Mtu akiwa katili ni ngum kumgundua na asa watu ambao lishe yao wakati wa utotoni ilikuwa shda

  • @brianambuyo9867
    @brianambuyo9867 22 วันที่ผ่านมา

    HUYU mtangazaji hajui kuhoji ,anakatiza semi za lisu kila mara

  • @gmkigodi
    @gmkigodi 21 วันที่ผ่านมา

    Mwandishi wa habari arudi shule akasome. Maana hapo Tundu Lisu ndo anaonekana anaongea pande zote mbili😅

  • @user-fc3og1eo3x
    @user-fc3og1eo3x 24 วันที่ผ่านมา +2

    Hakika tundu lisu ni tunu ya Taifa letu

  • @user-sp2pp9yl8g
    @user-sp2pp9yl8g 23 วันที่ผ่านมา

    Ndio Ukaenda Kuongea Kwenye Mkutano wa Hadhara

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 24 วันที่ผ่านมา +3

    Wewe ni mzee wa tamthilia tutajie hii ni Epsodia ya ngapi.

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 24 วันที่ผ่านมา +1

    Lissu bn nae hana siri

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 24 วันที่ผ่านมา

      Siri ipi sasa

    • @deokessy6596
      @deokessy6596 24 วันที่ผ่านมา

      Mzalendo

    • @kakanicodemus3632
      @kakanicodemus3632 24 วันที่ผ่านมา

      Kwenye siasa mambo ya kushawishiwa ni jambo la kawaida....

  • @edwardasumwisye3010
    @edwardasumwisye3010 21 วันที่ผ่านมา

    KUNA WATU WANA AKILI SANA HII NCHI KAMA HUYU LISU NAHISI TAIFA LINAMHITAJI,INGEPENDEZA SIKU MOJA TUWEKE TOFAUTI ZA KISIASA TUJENGE NCHI

  • @user-sp2pp9yl8g
    @user-sp2pp9yl8g 23 วันที่ผ่านมา

    Wewe Muongo Kama Nirushwa Ulikuwa Umeletewa Ungepiga Simu Takukuru Taratibu Za Kisheria Unazijua

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 24 วันที่ผ่านมา +1

    Kama kuna mtz yeyote umeiona hii video alafu ukafanikiwa kufika siku yakupiga kura ukaenda kumpigia kura samia Mungu akusamehe bure maana utakuwa sio tuu ulipendi taifa lako hata wewe mwenyewe hujipendi na kizazi chako, ebu fikiria mtoto wa Rais anazurura kwa viongozi wa upinzani kuwahonga mapesa ili mama yake abaki madarakani kwa lengo lipi? Watajilipa mara dufu 😢 mbaya zaid watz hatutajitokeza kupiga kura

    • @kakanicodemus3632
      @kakanicodemus3632 24 วันที่ผ่านมา +1

      Weweee hujawajua wana siasa wewe.....achana nao rafik angu

  • @user-sp2pp9yl8g
    @user-sp2pp9yl8g 23 วันที่ผ่านมา

    MBONA MWENYEKITI WAKO ALICHUKUWA PESA ILI AWAPELEKE WABUNGE WA VITI MAALUMU MDEE NA WENZAKE

  • @lulurubby2235
    @lulurubby2235 24 วันที่ผ่านมา +2

    Ulipwe na nani wqkati maigizo yako mwenyewe yalipitiliza

  • @user-sp2pp9yl8g
    @user-sp2pp9yl8g 23 วันที่ผ่านมา

    WEW UMESEMA HUMTAMBUI RAIS SI MTANGANYIKA HAJACHAGULIWA SASA UTALIPWAJE NAMTU AMBAE HUMTAMBUI KACHUKUWE KAMA NI MJANJA

  • @amourgwabananga1543
    @amourgwabananga1543 23 วันที่ผ่านมา

    Hatuwezi kuwa naraisi mwenye visasi kama wewe!

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 19 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu anapenda kuandama watoto wa wenzie hata ridhwani hivohivo lissu ni muongo

  • @anicethjonathan2846
    @anicethjonathan2846 22 วันที่ผ่านมา

    Huyu mwandishi mbona hawleweki anataka nini? Boring

  • @makameomar5075
    @makameomar5075 22 วันที่ผ่านมา

    Du yani ww tundu lisu unatukana serikali yake pamoja na yeye mwenyewe kisha unahitaji msaada wake unazani utalipwa? huo ni ujinga

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 22 วันที่ผ่านมา +1

    Wew bwana lisu kama mtu kakufuata private kwa nn unaanika hayo mambo sio poa acha umbeya

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 23 วันที่ผ่านมา +1

    TUNDU KAISHIWA VIDONGE INABIDI ARUDI ULAYA HARAKA SANA DAKIKA 90 AMESHACHOKA 😢😢😢😢

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue 24 วันที่ผ่านมา

    Tatizo wewe unakela kumsema magufuri Kila siku ndio sera zenu chadema hebu badilikeni tunahitaji sera ya nchi

  • @Ndu-wa.uroony2
    @Ndu-wa.uroony2 24 วันที่ผ่านมา

    POLE KAKA,USIHOFU,
    TUWALAANI WAFE WOTE.

  • @ZainabuHassan-uk2zt
    @ZainabuHassan-uk2zt 23 วันที่ผ่านมา

    Matundu ya risasi kwa tundu mi teke la chura

  • @thamani5842
    @thamani5842 23 วันที่ผ่านมา

    Mambumbu wataona unachokisema cha maana kumbe babaisha bwege, unataka kutufanya wote mabwege.huwahi. Mama Samia 5 tena. "Mwenye macho haambiwi tazama".

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 24 วันที่ผ่านมา +1

    TUNDU LISSU muwongo sana,halafu tabia zake hana shukurani!!
    kama alikuja kukuhonga si ungeenda takukuru!!
    alikuja kukusaidia maana ulikuwa unatia huruma!!sasa kosa kukusaidia,huna shukurani !!!

    • @dicksonkilupa2258
      @dicksonkilupa2258 24 วันที่ผ่านมา

      Takukuru wamkamate nani? kama angepokea hizo pesa angenyamaza kimya.

    • @ZainabuHassan-uk2zt
      @ZainabuHassan-uk2zt 23 วันที่ผ่านมา

      Lisu sio mwongo kumbuka ni mwanasheria hawezi Tunga kitu cha NAMBA hii

    • @ZainabuHassan-uk2zt
      @ZainabuHassan-uk2zt 23 วันที่ผ่านมา

      Tundu lissu sio mwongo kumbuka ni mwanasheria hawezi Tunga kitu cha nam na hii

    • @mariamfaicalhassan2890
      @mariamfaicalhassan2890 23 วันที่ผ่านมา

      Abdul hata kwa Mange kimambi alikwenda kwa ajili ya DPWORLD ili aipigie debe DPWORLD kwa hilo Lissu yupo sawa michezo ya Abdul na mama itafika mwisho

    • @issaabdi9129
      @issaabdi9129 23 วันที่ผ่านมา

      Kwani uko ndani nafsi yake. Huyu baba hana shukran ana bahati magufuli hayuko.

  • @LukeloKibumo-uu2oh
    @LukeloKibumo-uu2oh 24 วันที่ผ่านมา +3

    Unamtukana halafu akulipe

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 24 วันที่ผ่านมา

      @LukeloKibumo Katukanwa Muhammad na Yesu kuwalingania watu wapate uzima wa milele ijekua rais wspuuzi sana nyie mumeshibishwa ujinga sana nyie tatizo

    • @user-lw3tg3yg5b
      @user-lw3tg3yg5b 24 วันที่ผ่านมา

      Mwandishi mbona huachi amalize analoongea ndiyo umuulize swali jingine?

  • @mlekwamaganga2561
    @mlekwamaganga2561 19 วันที่ผ่านมา

    Brother punguza Uongo.
    Abdul akufuate wewe mara atake kukuhonga 😂😂😂😂
    Inachekesha,
    Akuhonge kama nani!!
    Kwa faida ipi!!
    Njaa hii bhana