Namna ya Kushinda Hofu na Hatia Sehe 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 54

  • @sarahwambui879
    @sarahwambui879 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana pst tumebarikiwa zaidi.tafadhali Niko kenya nawezaje kupata vitabu vyako.be blessed.

  • @jeanefelix70
    @jeanefelix70 3 ปีที่แล้ว +3

    Wanao barikiwa na haya mahubiri mpaka ivi tujuane hapa 👍, ubarikiwe sana Mchungaji 🙏

  • @MarimaAlez-kc5rj
    @MarimaAlez-kc5rj 3 หลายเดือนก่อน

    bwana yesu afiwe kwaupendo wamahajabu ario nao pr bwana hakubariki sana Asante namimi kwakubarikiwa nimebarikiwa nikiwa zambia

  • @fredmakambo7160
    @fredmakambo7160 5 ปีที่แล้ว +19

    VIJANA mpooooo..... Hakika ni kweli mimi ni SHUHUDA.... Yesu Anapenda Vijana tuache pombe., Mabinti Waache Uchangudoa... Vijana Tuache bangi... Mimi nilikuwa muuza madawa YA kulevya,, nilikuwa jambazi zoefu... Mungu Akanichagua Akanipeleka kwenye kanisa linalomkataa Mwanae... Na sasa Akanitoa huko Akanileta SABATO kanisa la kweli... Hivyo basi Vijana kaeni TayAli... Kristo Yesu kupitia mtumishi wake Pastor mbaga nitatoa Shuhuda kupitia MAHUBIRI TV

  • @ericsonsteven4094
    @ericsonsteven4094 4 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe sana mtumishi Mungu, nivigumu sana kwa mwanadamu kukuelewa asipo ongozwa na roho wa kweli. Nakuombea Mwenyezi Mungu azidi kua nawe maishani mwako na kukupa nguvu maishani. Mungu akubariki.

  • @jeanefelix70
    @jeanefelix70 3 ปีที่แล้ว +2

    Wanao barikiwa na haya mahubiri mpaka ivi tujuane hapa 28.6.2021👍, ubarikiwe sana Mchungaji 🙏

  • @mossesjoseph2202
    @mossesjoseph2202 2 ปีที่แล้ว +1

    Roho yanguu na ikuimbiee jinsi wewe ulivyo mkuuu🙏🙏🙏🙏

  • @danielpaul9296
    @danielpaul9296 5 ปีที่แล้ว +3

    Amina pr ubarikiwe sana ili uzidi kutuhubiri,nimebarikiwa sana sana

  • @barakajoseph1816
    @barakajoseph1816 5 ปีที่แล้ว +2

    Upendo wa Mungu ni wa kushangaza hakika,ahsnt Mungu kwa kunipenda nisiestahili

  • @watwegopnina6480
    @watwegopnina6480 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante mchungaji, Bwana Mungu wetu atusaidie na kutuongoza. Amen

  • @nancymnkeni284
    @nancymnkeni284 5 ปีที่แล้ว +3

    Asantee Yesu kwa neno lako kupitia mtumishi wako,nimebarikiwa hakika

  • @shimwekagwiza2300
    @shimwekagwiza2300 5 ปีที่แล้ว +3

    Hakika Mungu nipendo, ubarikiwe San pastor unanifunza kila niangaliapo mahubiri yako

  • @nelsonemmanuel8539
    @nelsonemmanuel8539 5 ปีที่แล้ว +3

    pastor nabarikiwa sana na mahubiri haya,Mungu aendelee kukutia nguvu, Amen

  • @feyndungu5567
    @feyndungu5567 5 ปีที่แล้ว +4

    Nakubaliana na pastor Amen .barikiwa .penda ww sana

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 5 ปีที่แล้ว +2

    Amen thank you good teaching may God

  • @esternaftari4553
    @esternaftari4553 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtumish unanibarik sana tukikutan mbinguni nitakusimulia mengi

  • @HlLh-g9r
    @HlLh-g9r 9 หลายเดือนก่อน

    God bless you pastor

  • @lucynyigana2801
    @lucynyigana2801 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mchungaji Mami pia nabarikiwa na mafundisho yako!!!!

  • @yohananyabu4040
    @yohananyabu4040 4 ปีที่แล้ว +2

    Amina

  • @glorymarandu5426
    @glorymarandu5426 4 ปีที่แล้ว +1

    Roho yangu naikuimbie jinsi wewe ulivyo mkuu haleluyaaa

  • @SigwaLusaja
    @SigwaLusaja 2 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu kwa upendo wako kwangu

  • @nyaluluntemi2778
    @nyaluluntemi2778 2 ปีที่แล้ว

    Toka sawewe tabora bwana akubaliki Sana mtumishi

  • @godsongirl9740
    @godsongirl9740 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu azidi kukutumiya pastor, mahubiri haya yanabadili maisha yangu. ubarikiwe sana

  • @rachelraphael1355
    @rachelraphael1355 2 ปีที่แล้ว

    Amem amen

  • @angenizigama8861
    @angenizigama8861 3 ปีที่แล้ว

    Amina baba mcungaji huwa unanifundisha mengi kwa kila somo

  • @yakobofumbuka-ry4mh
    @yakobofumbuka-ry4mh 6 หลายเดือนก่อน

    Bwana azidi kukutumia pastor

  • @lennyfrank
    @lennyfrank 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen Ameen

  • @violetjoseph8649
    @violetjoseph8649 5 ปีที่แล้ว +2

    Somo zuri sana,,barikiwa mchungaji

  • @dianajepkorir3821
    @dianajepkorir3821 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu aturehemu Sana

  • @queennosh3563
    @queennosh3563 4 ปีที่แล้ว +1

    Alleluyah mungu wangu

  • @kalebujacob8323
    @kalebujacob8323 5 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana pastor

  • @marthabuhele8429
    @marthabuhele8429 5 ปีที่แล้ว +2

    Mchungaji unanibarik sana sana kwa mafundisho

  • @roselineonyango3159
    @roselineonyango3159 5 ปีที่แล้ว +2

    moyo wangu umebarikiwa sana mchyngaji - Nairobi

  • @jovinachacha233
    @jovinachacha233 5 ปีที่แล้ว +2

    mtumishi wamungu ubalikiwe

  • @CelineGervas-kl3xd
    @CelineGervas-kl3xd ปีที่แล้ว +1

    Balikiwa

  • @samsonngweina5048
    @samsonngweina5048 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂 nimefurahi pia Mama aliyeaidiwa blanket la hata zikiwepo ahadi za wanadamu tutamshangilia tu Mungu

  • @CelineGervas-kl3xd
    @CelineGervas-kl3xd ปีที่แล้ว

    Amen

  • @CelineGervas-kl3xd
    @CelineGervas-kl3xd ปีที่แล้ว

    Balikiwa sana

  • @neybeneth6370
    @neybeneth6370 5 ปีที่แล้ว +2

    Aminaaa mtumishi wa Bwana Mungu

  • @juliusstephen5753
    @juliusstephen5753 5 ปีที่แล้ว +2

    Mchungaji masomo haya unayoendea kuyatoa yananibariki sana ndio maana nimeamua lazima nibatizwe.Niko ubungo NHC dar es salaam.

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  5 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki sana. tuma number kwenye email infomahubiritv@gmail.com ili tukuelekeze

    • @piusraphael9622
      @piusraphael9622 5 ปีที่แล้ว +1

      Asante pastor

    • @denismodest1540
      @denismodest1540 5 ปีที่แล้ว

      @@MahubiriPrMmbaga barikiwa sana pr

  • @margaretmatuku1182
    @margaretmatuku1182 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimevuta machozi ya tumaini natamani niwe kwa lile kundi litafutwa machozi na yesu pastor ni ombi langu tuwepo wote

  • @claudinebatamuriza7804
    @claudinebatamuriza7804 5 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🙏🙏🙏

  • @abrahamkaika7376
    @abrahamkaika7376 4 ปีที่แล้ว

    Huwa najiuliza muda mwingine kama naweza kuelewa mahubiri yako yote pastor paka ningekuwa mkristo halisi.ila nitabadilika tu barikiwa mtumishi wa BWANA.

  • @emmanuelmathias2875
    @emmanuelmathias2875 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Mungu ni pendo

  • @gedionkalumbu1995
    @gedionkalumbu1995 5 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @jovinachacha233
    @jovinachacha233 5 ปีที่แล้ว +2

    mtumishi Wang ubalikiwe