UHURU MAANA YAKE NI NINII? SHEIKH ABEID AMANI KARUME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ต.ค. 2012

ความคิดเห็น • 27

  • @mohammedabdallah9821
    @mohammedabdallah9821 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH akulipe kwa mujibu wa amali zako,KAMA NYERERE hukukuchongea michongo ya kukuuwa Zanzibar tusingekua na unyonge huu tulonao.
    baba huko uliko ujue koti alivuki na limetubana haswaaaa

  • @teddymashells2601
    @teddymashells2601 ปีที่แล้ว

    Mungu akurehemu Mkombozi wetu,baadala yako wamekuja wengine Wana nyoyo tofauti na zako.

  • @yussufally2935
    @yussufally2935 6 ปีที่แล้ว +4

    Namuamini Allah tuu akisema kun fayakun inshaallah

  • @jumagora3462
    @jumagora3462 ปีที่แล้ว

    Mungu amuhifazi shujaa abedi karume kapambania haki ya zanzibar

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 6 ปีที่แล้ว +2

    Allah atupe salama kwahii znz ya leo

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 6 ปีที่แล้ว +3

    Mm hukaa na watu wanajidai ccm mfano km mm ula hawana uchungu na nchi hata kidogo wao wapo kimaslahi tu

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 ปีที่แล้ว +1

    Huyo ndio aliyepoteza uhuru kamili ya wazanzibari NA kuleta ukoloni wa nchi jirani kwa sababu ya maslaha yake kasababisha kuuliwa watu raia bila ya hatia hatia wakati ilikuwepo serekali ya halali halali ilichaguliwa nawenyewe NA wazanzibari wenyewe ilitoka uvamizi kutoka tanganika nyerere NA ungereza

  • @abdulpaku2576
    @abdulpaku2576 9 ปีที่แล้ว +7

    The biggest criminal nyerere in east Africa he killed Zanzibar people because of them country.

  • @khamismaulid6839
    @khamismaulid6839 6 ปีที่แล้ว +1

    Hao wanao jita ccm ndo hao akina okello bado wapo zanzibar

  • @abuusantos1593
    @abuusantos1593 5 ปีที่แล้ว

    like

  • @pastoryconrad3075
    @pastoryconrad3075 9 ปีที่แล้ว +2

    That was the really aim of the revolution of Zanzibar ::: freedom!!!

    • @yousufharthy6876
      @yousufharthy6876 5 ปีที่แล้ว +1

      Pastory.
      Kawaulize.
      Hanga. Saleh sadala.
      Othman Sharif.
      Twala. Jaha. Freedom gani walipata

  • @suleimaname2250
    @suleimaname2250 5 ปีที่แล้ว

    Leo tunaletewa doza Nungwi jomba si ndo dhulma

  • @westbrook6081
    @westbrook6081 9 ปีที่แล้ว +2

    Best of Zenjbar rest in peace

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 ปีที่แล้ว

    Karume alikua mjinga sana baharia kadanganwa NA nyerere nyerere ni mjanja sana mwehu tu

  • @AbdulNassir-jk1jf
    @AbdulNassir-jk1jf 3 หลายเดือนก่อน

    Naskitika damu za waislamu wengi zime mwagika kwa huyu jamaa

  • @davidarabian5004
    @davidarabian5004 5 ปีที่แล้ว +1

    Karume alikua akipiga kofi kwenye harusi hakujua kama mshenzi mwana wa mshenzi fisadi Nyerere anamuoa.

  • @alimussa2655
    @alimussa2655 5 ปีที่แล้ว +4

    Ah mwenyez mungu hakosei lakini kifo chako faza kei ndio pigo kubwa kwa wazanzibar na sijuw kama ipo siku tutapat mtu kama wewe

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 ปีที่แล้ว

      Kapoteza uhuru wazanzibari akaleta utawala wa tanganika ikapotea nchi baada ya kupata uhuru kamili kutoka ungereza sasa wanalia

  • @abkhamsalshamte429
    @abkhamsalshamte429 ปีที่แล้ว

    BASI HATUNA UHURU MAANA DHULMA ZIPO KUOGOPA TUNAOGOPA KIUFUPI TUMERUDI KULEKULE NA TUNA ANGALIA TUU!

  • @user-gd2xj3xd1b
    @user-gd2xj3xd1b 3 หลายเดือนก่อน

    Mungi amlipe kwa amali zake adui mkubwa wa Zanzibar alipinduwa kwa tamaa yakutaka madaraka nae akapinduliwa mpinduzi kapinduliwa

    • @dazk7861
      @dazk7861 3 หลายเดือนก่อน

      Una kichaa wewe

  • @rehemathobias1956
    @rehemathobias1956 2 ปีที่แล้ว

    Xx xx