KIMENUKA MAKONDA KUWATAJA MAWAZIRI WANAOTUMA WATU KUMTUKANA RAIS/IKIENDELEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 148

  • @benolduka
    @benolduka 5 หลายเดือนก่อน +4

    Hakuna cha comred afanye kazi yake .what he is talking is irrelevant ukilinganisha na event iliyokutanisha watu. Seems hajitambui kwa kuongea bila mipaka!

  • @borysaronge1493
    @borysaronge1493 5 หลายเดือนก่อน +5

    Watu ambao wanambeza komred makonda katika kazi anazofanya ni wale watu wasioitakia mema nchi na maendeleo yake watu hawa hawafai kabisa katika nchi hii.

  • @baraka-qt7jw
    @baraka-qt7jw 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kumbuka makonda iri uzariwe mama yako arikunywa dawa zamugaga usitukane wakunga muurize mama yako uzanzi

  • @HeriMohamedi-p6g
    @HeriMohamedi-p6g 5 หลายเดือนก่อน +4

    Makonda unakiherehere sanA kama vile unamnyonya mama

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 5 หลายเดือนก่อน +2

    Anapita tu,tulikuwa na akina mwenda zake Leo imekuwa sitori,sembuse huyu kibaraka

  • @MhojaJussa
    @MhojaJussa 5 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda unafaa sana kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania tuna kuombea sana

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 5 หลายเดือนก่อน +2

    Loo! kwahiyo tusikili,izie tumbua tumbua mpya ikifuatiwa na mkeka mwingine mreeefu!!!!

  • @StevenGendo-vx9jo
    @StevenGendo-vx9jo 5 หลายเดือนก่อน +6

    Mista misfa asiyekujuwa atakushangila mbulula kabisa

  • @vincentmhoro1952
    @vincentmhoro1952 5 หลายเดือนก่อน +9

    Kwa maoni yangu, hotuba ya mkuu wa mkoa wa Arusha imetoka nje kabisa na kusudio la hadhara iliyokusudiwa. Badala yake ametumia jukwaa hilo kujielezea yeye binafsi.
    Hajaitendea haki hadhara husika, maana aliyoyasema hayahusiki kabisa na lengo la kumbukizi ya hayati Sokoine.
    Yaani amekuwa off point by 100%

    • @ibrahimsaad617
      @ibrahimsaad617 5 หลายเดือนก่อน +1

      Si kweli ujamsoma marehemu sokoine nakushauri nenda ukasome historia yake makonda yopo sahihi

    • @MadilishaSimon-sb9kk
      @MadilishaSimon-sb9kk 5 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ndo hujielewi

    • @ramadhanibahati2829
      @ramadhanibahati2829 5 หลายเดือนก่อน +1

      Huna lolote

    • @smallscaleminingsupplies9670
      @smallscaleminingsupplies9670 5 หลายเดือนก่อน +1

      Watanzania ni watu wakupenda umbea ndio maana wanamsifia huyo mpiga umbea, inasikitisha nchi kua inaviongozi wa hivi

    • @petermatabwa2133
      @petermatabwa2133 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna watu walimfuta kwenye utawala kwa hiyo lazima atoke

  • @mangukasasali7614
    @mangukasasali7614 5 หลายเดือนก่อน +3

    Uchonganishi tu na kujikomba

  • @EliaoniTerry
    @EliaoniTerry 5 หลายเดือนก่อน +2

    Hivi mheshiwa Rais umeenda monduli kama mama, au umeenda kama Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania? Makonda anapata wapi ujasiri wa kukuita mama yake, si mara moja anarudia mama mama, protocol ya wapi anatumia kutambulisha watu wake baada ya katibu mkuu kiongozi kutambulisha wageni wote na ye ye mwenyewe akiwa mtambulishwa?

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 5 หลายเดือนก่อน +1

      Ni mama wa Taifa zima ajakosea kumuita mama. Mbona wengi tu umuita Mama Samia ni kitu cha kawaida tena ni heshma. Unaitaji protocol ipi haswa... sioni kama mna kosa au shida hapo....

  • @lucaschisamalo2852
    @lucaschisamalo2852 5 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa kumekucha sasa kumekucha arusha mchungaji mwanamapinduzi alisema joka Lili kuwa kwenye chupa sasa limefunguliwa picha limeanza ngoja tuone

    • @HasnaSawaid
      @HasnaSawaid 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu akutagulie

  • @jamesnyamila2165
    @jamesnyamila2165 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo hatufai, ungekuwa wewe Rais hapo sawa. Yani hata kama kitu kibaya tusiongee. Nakubali yote ila Rais samia sijawahi kumuelewa hata siku Moja nisiulizwe Kwa nini ila automatically tu ilitokea

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 5 หลายเดือนก่อน

      Ukimuelewa makonda tosha......ni mtumishi Rc wa Arusha anapokea maelezo ya moja kwa moja na Rais wa Taifa.❤️🇹🇿🤝

  • @hashimuuhehwa4252
    @hashimuuhehwa4252 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli Mkonda ni mwehu kabisaa

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183 5 หลายเดือนก่อน +5

    Ameongea vzr ila hili la kuwataja Viongozi wenzake wanaowatuma kumtukana Rais kupitia mitandao ya kijamii, hakustahili kuliongea hadharani hivi. Rais amejengewa HOFU ya kweli kuwa kuna wateule wake hawako naye kabisa. Hofu hii itamtesa sana Rais na hata kukwazika kufanya maamuzi SAHIHI. Aidha, Rais inampelekea kuwaza kuwa washauri wake Wakuu wa masuala ya Ulinzi na Usalama (wa kwake binafsi au wa Nchi kwa ujumla), SIO wa kuwaamini, isipokuwa Makonda. Rais kazi anayo. Kuna jamaa alisema "....jini limetolewa ktk chupa, LITAWAMALIZA..."

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo ndiyo kivuruge,mpaka kufikia 2025 atakuwa.amewavuruga Arusha na shobo zenu Dar,ilimshindahuko ccm kwenyewe ndiyo kabisa,kusini alimanusura wamtoe roho,na ndiyo kisa cha kuibukia Arusha

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 5 หลายเดือนก่อน

      Jipeleke mirembe utibiwe maana umeandika pumbaa

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ulithubutu hata kumnyooshea mh. Waziri Mkuu kidole! Wengi tu kama kina Bashe na wengine. Hivi unajisikiaje Bw Makonda?

  • @JacobWilsony
    @JacobWilsony 5 หลายเดือนก่อน

    Brother sifa zitakuponza achana nao

  • @abdillahhassan6271
    @abdillahhassan6271 5 หลายเดือนก่อน +1

    Natabiri makonda hatodumu kwenye nafasi hii

    • @geofreymilinga2965
      @geofreymilinga2965 5 หลายเดือนก่อน

      Unajuwa uyu mtu kitu kidogo sana kakosa nimtu mzur Tu tatizo dogo sana angebadilika ata Uenezi asingetumbuliwa

  • @MaryamShabani-n2u
    @MaryamShabani-n2u หลายเดือนก่อน

    Viongozi tunao wanaojitambua

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ukiwataja halafu wewe utakuwa mjadala wao Acha majungu kijana Fanya KAZI

    • @lucaschisamalo2852
      @lucaschisamalo2852 5 หลายเดือนก่อน +1

      Yani huyu jamaa anamajungu Sana sijuwi atabadilika lini

    • @CostantinoCostantinoammiburra
      @CostantinoCostantinoammiburra 5 หลายเดือนก่อน

      Wala so majungu kwa uzalendo.shida watanzania tunaishi kwa uwoga na unafki hatujiamin ktk ukwel ndo maana ni wategemez wachache.wanajishibia rasilimali za nchi through black market

    • @petermatabwa2133
      @petermatabwa2133 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kama kawaida yake ni kutaja tu

  • @quicksuperdealer8678
    @quicksuperdealer8678 5 หลายเดือนก่อน

    Hajatambu uwepo wa masheikh.... viongozi wakiroho katambukisha mara2..........

  • @evaemil856
    @evaemil856 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi nasikitika Sana, kipindi cha maziko ya Mhe. Lowassa ilionekana Makonda kuingia mtu wa mwisho na kundi la walinzi wake kwenye msiba ilikuwa ni kuvuta attention kwake haikupendeza na akaanza kusalimu huyu na yule viongozi wakatetemeka. Pia ilileta picha km huyo anakitu katumwa Arusha. Kweli haikuchukuwa mda akachateuliwa mkuu wa Arusha. Sawa yeyote anaweza pewa cheo na cheo ni thamana. Sasa kuongea aliyoongea siku Ya kumbukumbu Ya miaka 40 Ya Mhe. Marehemu Sokoine kwa kweli haijapendeza, hapo ameenda kuchafua Hali Ya hewa siku Ya kumbukumbu kubwa kama hii, je mama kweli huyaoni haya. Hii imethibitisha mama anapenda huu uchafu kwani huku ndio kukichangamsha "Chama cha Mambuzi".

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 5 หลายเดือนก่อน +1

    Na Huyu Mama yake anamwamini Huyu Choko kumpa Majina?

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 5 หลายเดือนก่อน

      Choko???? Na unajiita tanzanite. Yes!! Anamuamini na ndio kampa Rc Arusha.❤️🇹🇿

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huu Udegbe wa kujipendekeza kwa Rais wakati mwenyewe ni Jambazi kubuhu na Mbabe huku mtaani kuna siku itakoma

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 5 หลายเดือนก่อน

    Hizo gharama za,kumbukmb zina sabbisha,vitu kutoshuka,petroliam,matbb,sukar,, Tozo vat zipo juu,

  • @elipidhugotesha1909
    @elipidhugotesha1909 5 หลายเดือนก่อน

    Nchi hii had unawaza usijue uende kushoto au kulia tuliomjua sokoine tukiwa wadogo.alikuwa kiongoz mazubut kwelikweli hakuwa na utan wala hakupenda uchawawachawa alipinga vita ya Rushwa magendo walanguz. Wanyoyaji makupe kwa vitendo na kwa moyo wake wote. Tujitathimin kweli tunatekeleza japo kwa asilimia ngap ya mia. Tano au ngapi
    Tusijikute tunakazia hiana ,unafik kujipendekeza
    Tufanye kaz kwelikweli ya kynsaidia kaz mama
    Viongoz wengi kwenye sekta nyingi wamependa ubinafsi kuteka kaz za wenzao kujipendekeza na kutumia madaraka yao vibaya. Kugawa wanaowaongoza kwa maslah yao
    Mungu atujalie upendo uchapakaz kwa maendeleo ya Nchi yetu Tanzania na bara löte la africa .

  • @Mnyamisiselumamala
    @Mnyamisiselumamala 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwaio wataka kusema nni ,kwamba tanga tuna waganga wengi au mheshimiwa wamaanisha nini😂😂😂

  • @YassinRajabu
    @YassinRajabu 5 หลายเดือนก่อน +3

    mama kazikwako hatakipindi cha magufuli walianza hivyohivyo kujifanya wao bola sana kwa mkuu kuliko wengine tukashuudia watu wakiumizwa na wao wakimsifia mkuu lakini baada ya kufa magu haohao waka badilika leo mama ameifungua nchi mala mama anaupiga wingi ushauli wangu mama simama na mungu wako

    • @elibarikimollel7149
      @elibarikimollel7149 5 หลายเดือนก่อน

      Hilo hawatalionaa! Kwasababu walishalianza,na kufitinika litaendelea....!

    • @elibarikimollel7149
      @elibarikimollel7149 5 หลายเดือนก่อน

      Hilo hawatalionaa! Kwasababu walishalianza,na kufitinika litaendelea....!

    • @rithaurassa
      @rithaurassa 5 หลายเดือนก่อน

      Mh, MAKONDA hoyeeeeeeeee Tuna Imani saaaaana na wewe RAIS mtarjiwa hoyeeeeeeeeee

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 5 หลายเดือนก่อน

    wabongo kuongea ndo kazi yao kuwa makini mama tunakuamini wewe ni kama malkia balqis tumia akili sio porojo za umbea za watz umbea ndo kazi yetu nataraji hilo unalielewa

  • @galluskanenge4898
    @galluskanenge4898 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kama wakubwa wanataka kuchongeana SISI watoto tutachongeana kwanani jamani !! 😢😢😢😢

  • @Cde_zubeir
    @Cde_zubeir 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa namuona WAZIRI MKUU

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 5 หลายเดือนก่อน

    Yaan watanzania tunadanganywa kweupee hiv mnamwamini makonda 😂😂😂 uyu kachaguliwa lini mpaka akagundua wabaya wasamia
    Anyway hivi anashindwaje kumnongoneza Rais mpaka haeleze mbele ya umma uoni uongo uo😅😅

  • @abuusaid3297
    @abuusaid3297 5 หลายเดือนก่อน

    Eti shekhe wamkoa hujui alipo lkn kiongozi wa imaniyako yuko ubavuni mwako kulikoni😢, wanao mtukana raisi,unamaana raisi asimwamini mteule wake ispokua wewe !

  • @tashone7884
    @tashone7884 5 หลายเดือนก่อน

    Alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na hayati magufuli alianza kutaja orodha ya wauza Madawa ya kulevya Naona hii Kwake ni staili yake ya uongozi

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 5 หลายเดือนก่อน

    Kama serikali haikutimiza wajibu wake wa kupima ardhi nchi nzima ili kuiweka nchi katika miundombinu bora, wananchi wana kosa gani wakijipimia wajenge ili wasiishi kama enzi za mtu wa kale?! msianze kutuvuruga mtuondoe kwa gharama zenu, isipokua waliojenga sehemu hatarishi tu!

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 5 หลายเดือนก่อน

    Unafiki tu na Uchonganishi sema Samia sio JPM alyekuwa anaenda kwa sifa

  • @hawaa341
    @hawaa341 5 หลายเดือนก่อน

    Makonda tunakuombea sana mungu akulinde wenzio wanasikiliza utawataja maana kimeumana

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 5 หลายเดือนก่อน

    Kikwete mbaka anajilaumu kwann alimwingiza makonda kwenye Siasa

  • @hadijasalmini
    @hadijasalmini หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ni mchonganishi sana hataki mtu ashine katika kazi yake mama amuangalie sana

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 5 หลายเดือนก่อน

    Mama Samia Rais mpendwa inashangaza hawa wanaume wamekuwa zaidi ya wanawake kwa kuchukiana sasa kazi za nchi hazifanyiki ila ni kuchongeana tu ..Wewe ni mama una watoto hivyo unajua watoto wanavyokuwa na wivu wa kutaka kupendelewa wao tu hivyo ufanye kazi kwa uadilifu hawa walafi watakuletea matatizo kwa ulafi wao wa madaraka.

  • @SeifSaid-m9y
    @SeifSaid-m9y 5 หลายเดือนก่อน

    Hivi makonda .unajua .kuwewe nimupumbavu.unajikosha kwarais Irish. Iweje .wewe nimiongoni.mwawanao .mutukana.wakati wakwanza niwewe

    • @JonathanSimon-k5r
      @JonathanSimon-k5r 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndio mupumbavu babayako kashindwa hata kukufundisha

  • @CostantinoCostantinoammiburra
    @CostantinoCostantinoammiburra 5 หลายเดือนก่อน

    Kwel kaka makonda mambo mengin ni ya kiutawala na viongoz wengi wanageuza utatuz wa matatiz ya watu kuwa fedha

  • @saimondede6044
    @saimondede6044 5 หลายเดือนก่อน +8

    Kazi imepamba moto ndyo sela uongozi bora big up.

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 5 หลายเดือนก่อน

    UKIWA KIONGOZI LAZIMA UJUE VYAKUSEMA NA VISIVYO VYA KUSEMA

  • @CornenciaFaustine-pd2rc
    @CornenciaFaustine-pd2rc 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa wenye majoho nao kwenye siasa vipi au ndo ule mchanganyo.

  • @mtatiromagwe
    @mtatiromagwe 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ila kuna watu wanapenda sifa aisee

    • @NixonGerson
      @NixonGerson 5 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu ni tatizo kabisa ujue tofauti na muonekane wake

    • @NixonGerson
      @NixonGerson 5 หลายเดือนก่อน

      Shukrani kwa mungu na shukrani nyingi kwako . Duuuh ni zaidi ya kumheshimu mungu...

  • @ElishaMtakii
    @ElishaMtakii 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda chapa kazi jaman fatilia utaona kazi zake

  • @raphaelnambombi3709
    @raphaelnambombi3709 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hiyo na hizo ajali zilizotokea hazihusiani na hiyo siku ya sokoine

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 5 หลายเดือนก่อน

      Ajali ni ajali imeshapangwa na Allah saa na wakti. Wacha imani potofu ndugu.

  • @JacobWilsony
    @JacobWilsony 5 หลายเดือนก่อน

    Watanzania bado tunakupenda komledi makonda

  • @malembobulongo3856
    @malembobulongo3856 5 หลายเดือนก่อน

    Acha kujikomba buana we mtoto wa kiume

  • @AbdulNgakolwa
    @AbdulNgakolwa 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu jamaa nilikuwa na mkubali sana kwa utendaji wake lakini kwa ili alilolisema kuwataja wenzaki wasioo kubaliana na utendaji wake rais Samia 'Eti ni kumtukana hiyo nimeshuka kwenye gari yake

  • @mothedon202
    @mothedon202 5 หลายเดือนก่อน +2

    JAMAA ANATAKA UWAZIRI KWA NGUVU!MAMA KAKUTUPA ARUSHA KWA SABABU HUFAI !!! HATA KWA CCM WAMEKUCHOKA FUNGA MDOMO KIDOGO KAMA WANAUME WENZIO SIO MAKELELE SAA ZOTE KAMA MKE MWENZA!!!

  • @johnshayo9635
    @johnshayo9635 5 หลายเดือนก่อน

    Mmhh Kwa kusifia tu hujambo mzee

  • @franklutindi4167
    @franklutindi4167 5 หลายเดือนก่อน

    Hapa kati ya dini na serikali nani kaingilia mwenzie?

  • @YassinRajabu
    @YassinRajabu 5 หลายเดือนก่อน +2

    mzee wachuki amesha anza kazi wali mchonganisha magufuli nawatu leo kaanza uchonganishi kwa mama

  • @Immanueljames-qk5dn
    @Immanueljames-qk5dn 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu Jamaa ni Komando kipensi 💪💪💪

  • @Shokolokobango9385
    @Shokolokobango9385 5 หลายเดือนก่อน +2

    Navyowajua wabongo apo kwenye mawazir apo kuwataja majina ndo watakapoanzia captions

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 5 หลายเดือนก่อน +1

    Arusha nilikuwa nawaona wajanja kumbe ni shida,mnafurahia kuletewa makombo.

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp 5 หลายเดือนก่อน

    Why serekal imetia nguvu kubwa kwenye kumbukz ya sokoine kuliko magufuli inamaana wazir mkuu ana heshma kubwa kuliko rais??

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 5 หลายเดือนก่อน

      Inategemea na wanaFamilia wanavyo lichukulia uzito jambo lao. Mkilipa uzito na serekal aitakuwa na budi ila kuwaunga na ndio sheria🤝❤️🇹🇿

  • @ismaelgadiye4488
    @ismaelgadiye4488 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hatari sana

  • @NAMAYANINANYARO
    @NAMAYANINANYARO 3 หลายเดือนก่อน

    Nakupendasana makonda

  • @aronmtui597
    @aronmtui597 5 หลายเดือนก่อน

    Maisha yanaendelea

  • @yokoi3970
    @yokoi3970 5 หลายเดือนก่อน +1

    Who is he jama ana shobo sana mpka aibu.

    • @JoyceSarufu
      @JoyceSarufu 5 หลายเดือนก่อน

      Ona aibu naweye😢😢😢😢😂😂😂😂

    • @yokoi3970
      @yokoi3970 5 หลายเดือนก่อน

      @@JoyceSarufu kwa lipi acha ukicha umekosa kazi

  • @goodluckswai7496
    @goodluckswai7496 2 หลายเดือนก่อน

    Kichaaaa

  • @axmedcumar6196
    @axmedcumar6196 5 หลายเดือนก่อน +3

    Angalau Makonda umeliongea hilo maana wengine ni wanafik tuu
    Umepiga kwenye mshonooo big up 👏🏿👏🏿👏🏿

  • @benolduka
    @benolduka 5 หลายเดือนก่อน

    Mama yako?

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 5 หลายเดือนก่อน +6

    SAMIA DADA YANGU UTAKE USITATAKE UMEPEWA NA ALLAH HUYO MWANAO WA HIYARI! SEMA ALHAMDULILLAH TAFAKALI SUJUDU UKWELI UTAUONA INSHALLAH!!

    • @emmanuelfari8924
      @emmanuelfari8924 5 หลายเดือนก่อน +1

      Amen

    • @hellen9056
      @hellen9056 5 หลายเดือนก่อน

      Kweli ndugu

    • @elibarikimollel7149
      @elibarikimollel7149 5 หลายเดือนก่อน

      Hata waamini msio na maarifa wala utambuzi wa kumuelewa vema utukufu wa Mungu ambao ni kweli na amina katika haki,usawa,na Upendo,watabariki tu hata wasiyoyajua vema kwa undani!

    • @yaronaWilliam
      @yaronaWilliam 5 หลายเดือนก่อน

      Umh!

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 5 หลายเดือนก่อน

    Mawaziri?😢

  • @makariosnkya
    @makariosnkya 5 หลายเดือนก่อน

    This guy😂

  • @benedictkiduga479
    @benedictkiduga479 5 หลายเดือนก่อน

    Hay

  • @StephenMbatia-y4j
    @StephenMbatia-y4j 5 หลายเดือนก่อน

    A gifted orator

  • @mlebesitv2628
    @mlebesitv2628 5 หลายเดือนก่อน

    kakipande kadogo hako ni kapi???

  • @francismadirisha3511
    @francismadirisha3511 5 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda mungu akurinde

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 5 หลายเดือนก่อน +3

    Ni kikwete na genge lake

    • @scorasticaclement6308
      @scorasticaclement6308 5 หลายเดือนก่อน

      Sasa kikwete anawatuma aki nan???
      Wakati yupo Upande Wa MAMA 😂

  • @xxxl-jf2ji
    @xxxl-jf2ji 5 หลายเดือนก่อน +4

    Makonda nakupenda sanaa kaka angu mungu akufanyie wepesi kwenye jambo lako

  • @ThomasfrancisMvella
    @ThomasfrancisMvella 5 หลายเดือนก่อน +1

    God bless u poul makonda,,,,and someday u mighty bcome a very great leader in our country...

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nimekula nikisikia sauti inayosema Kuna jambo gumu mbele ndani ya nchi hii.
    Namwomba Mungu atupitishe salama

  • @ziadamarcus9699
    @ziadamarcus9699 5 หลายเดือนก่อน +2

    Chuma kinatema cheche❤❤❤❤❤

  • @cosmaslunyembeleka251
    @cosmaslunyembeleka251 5 หลายเดือนก่อน

    Makonda huwa haitaji kazi ili aseme huwa anaitaji nafasi tu

  • @alexmachare6495
    @alexmachare6495 5 หลายเดือนก่อน

    Mkwara.

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 5 หลายเดือนก่อน

    ?

  • @mozejcs9160
    @mozejcs9160 5 หลายเดือนก่อน +2

    Daaaaaa yani unaongea ww mm naona aibu! Naona hadi kikwete anaona aibu kukaa na ww karibu

    • @JoyceSarufu
      @JoyceSarufu 5 หลายเดือนก่อน

      Ssa aibu Yann na wewe acha ushamba duuuh!!!!😢😢😢😢

    • @mozejcs9160
      @mozejcs9160 5 หลายเดือนก่อน

      @@JoyceSarufu sio ushamba unaona anayoongea hapo ni sawa! Kwann asintafute private akamwambia! By the way yy ni mkuu wa mkoa habari za mawaziri wa nchi anazipataje km sio mchonganishi

    • @johnmichaellukindo21
      @johnmichaellukindo21 5 หลายเดือนก่อน

      Kuna clip mama anaonyesha mikono kichini "kata picha"

  • @NoelMmbando-sg2ev
    @NoelMmbando-sg2ev 5 หลายเดือนก่อน +2

    Chuma hicho.big up kubwa makonda.Mungu akulimde

  • @jeremiahnestory
    @jeremiahnestory 5 หลายเดือนก่อน +3

    Mh makonda naoneshwa miaka ijayo lazima ukae kwanye kiti cha urais.

    • @FintanMkesha
      @FintanMkesha 5 หลายเดือนก่อน

      Mm wakwanza kumpa kura

  • @Shokolokobango9385
    @Shokolokobango9385 5 หลายเดือนก่อน +1

    Makonda a k a SURA YA CHUMA

  • @floramsacky3929
    @floramsacky3929 หลายเดือนก่อน

    Ardhi haitazaa mapooza Cardinal Pengo umefika kila kitu kitaenda sawa

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ni nape n makamba

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 5 หลายเดือนก่อน

    Makonda wape vidonge vyao wameze wanafiki hao eti mama unaupiga mwingi huku wanamtukana wacha watumbuliwe Makonda kiboko yao 💪💪💪💪

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 5 หลายเดือนก่อน +3

    MMMHHHHH!HIKI NI CHUMA AISEEEEEE!MUNGU AKULINDE MWAMBA.

  • @mariamsajiti4763
    @mariamsajiti4763 5 หลายเดือนก่อน

    Mheshimiwa Raise mama mwenyew huruma tuangalie wakaz wavkimara hatuna pa kuishi nyumba zetu zimebomolewa bila sababu

  • @sabinajoseph9297
    @sabinajoseph9297 5 หลายเดือนก่อน

    Safi sana jembe letu chapa kazi endelea kutatua kero zetu hasa za ardhi big up boss

  • @borysaronge1493
    @borysaronge1493 5 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo wewe ulitaka asiseme kama ulivyo mnafki

  • @dastanjrk1811
    @dastanjrk1811 5 หลายเดือนก่อน

    Makonda raisi mwaka 2025 kauli hii nairudia tena

  • @hassanmeidimimollel1874
    @hassanmeidimimollel1874 5 หลายเดือนก่อน

    Karibu sana mh rais wetu mkoa wa Arusha

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 5 หลายเดือนก่อน

    Jembe la Kia
    Ngazi

  • @borysaronge1493
    @borysaronge1493 5 หลายเดือนก่อน +1

    Shobo unayo wewe mpumbavu acha komred afanye kazi yake

  • @Princewaweru
    @Princewaweru 5 หลายเดือนก่อน

    Rais Ajaye ❤❤❤❤❤❤

  • @BraytonMwakitalima
    @BraytonMwakitalima 5 หลายเดือนก่อน

    Genge la wahuni limeketi

  • @JacksonJoram-o5k
    @JacksonJoram-o5k 5 หลายเดือนก่อน

    Nakukubari makonda