Mkeo ni Malkia zingatia haya usije sema hukuonywa - Sheikh Othman Maalim

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 เม.ย. 2022
  • Sheikh Othman Maalim akitoa nasaha kwa wanandoa ‪@kalamuMedia‬

ความคิดเห็น • 180

  • @allyngoda761
    @allyngoda761 2 ปีที่แล้ว +56

    HUYU SHEIKH OTHMAN MAALIM HACHUJI KILA SIKU NI MPYA HAISHI RADHA KUMSIKILIZA MASHA ALLAH.. ALLAH AMPE UMRI MREFU ZAIDI TTUWEZE KUFAIDIKA

  • @abubakarially059
    @abubakarially059 2 ปีที่แล้ว +12

    Allah akupe mwisho mwema shekhe wetu🙌🙌🙌🙏

  • @TausiSinaela
    @TausiSinaela 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah mawaidha mazuri mungu akupe umri mrefu uzidi kutoa darasa maana wengi wetu hatujui majukumu yetu

  • @mwanayamumambo2837
    @mwanayamumambo2837 2 ปีที่แล้ว +8

    Mashallah shekhe wetu m mungu akuweke akujaalie afya njema uendelee kutupa elmu ishaallah

  • @siwemangalunda4655
    @siwemangalunda4655 5 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda. Sana mawaidhayako nilikuwa nimekata tamaa kwenye ndoa Allah atujalie mwisho mzuri ila ninamtianisana kwenyendoa

  • @mrboogie255-dr2kh
    @mrboogie255-dr2kh 2 ปีที่แล้ว +11

    MashaaAllah Darsah lipo vyema kwakwel may Allah blessings us and this media...TV

  • @ZuwenaAlvin
    @ZuwenaAlvin 2 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akupe umli mlefu sheikh othuman

  • @sangokipozi4611
    @sangokipozi4611 2 ปีที่แล้ว +27

    Ma shaa Allah! Mawaidha mazuri sana. Raha ilioje kwetu kuwemo ktk kundi hilo la wanawake. Lakini shekhe kuna wenzetu ambao hujitolea kwa hali na mali kutunza familia zao akiwemo mume. Mara nyingi waume kurudi nyumbani wakichunguza mezani kuna chakula gani ingawa yeye kwa kawaida haachi matumizi yoyote. Haya ni maisha ya kila siku kwa wanawake hao. Je, nini hukumu yao wanawake hawa kwa mola wao? Na hawa huwajali sana waume zao, wakiwatumikia kwa maisha yao yote. Kama kuna maelezo kuhusu wao, bila shaka watafurahi kusikia darsa linalohusu mchango wao huo. Jazaakumullahul kheir Shekhe wangu.

    • @fawziaabdurrahman2251
      @fawziaabdurrahman2251 2 ปีที่แล้ว +6

      Ndio maana mwanamke anafaa akichagua mume aangalie tabia na dini. Zote mbili ziwe zimekuridhisha ndio posa ikubaliwe. Bila hivyo, wadada watajipata wameolewa na wanaume ambao wanafikiri kuwa mume ni kuvaa trouser hawajui kuleta chakula wala kuangalia familia na bado hao waume watarajia wewe dada Haki zao zote uwatimizie. Kuweni makini madada mnapo chagua waume

    • @faridamkwizu3333
      @faridamkwizu3333 2 ปีที่แล้ว

      Mashallaah allaah akupe umri mrefu wa kheri uzidi kutunufaisha na elimu yako. Inshaallaah

  • @latifahnassoro17
    @latifahnassoro17 2 ปีที่แล้ว +2

    Mie tangu nainukia naanza kusikiliza mawaidha namkubal mpk leo huyu shaikh jaman maa shaa Allah tabaraka rahman Allah akuweke shaikh quran yake sasa subhanallah akisoma

  • @armankassim5906
    @armankassim5906 2 ปีที่แล้ว +2

    MASHAALLAH nampenda sana othaman maalim kwa ajili ya ALLAH kila ninaposikiliza mawaidha ya SHEIKH Othman maalim lazima nibubujike na machozi

  • @jimilamuzanga2551
    @jimilamuzanga2551 2 ปีที่แล้ว +9

    Masha Allah mwenyezy mungu hawungoze mwanaume

  • @mukreemhassan7347
    @mukreemhassan7347 2 ปีที่แล้ว +6

    MASHALLAH 💯 jamani maneno ya ALLAH Msiandik kwa harufi ndog yandiken kwa herufi kubw mfn km INSHALL. N.K mshanielew ndg zanguni tn sehem yeyet panapo stahik

  • @athmaniathmanisimba4976
    @athmaniathmanisimba4976 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mawadha mazuri.sana.huwa ninapo sikiliza.nkua.katika utulivu.allh.akup.nuru.sgh

  • @bushraaljadidi7747
    @bushraaljadidi7747 2 ปีที่แล้ว +5

    Maa shaa Allah darsa nzuri sana

  • @yusraabdullhaji7923
    @yusraabdullhaji7923 5 หลายเดือนก่อน +1

    Aslm alykm warahmatullah wabarakat mashallah hasbiyyallah Allah akujaze her na Imani na akupe umri mref wenye mwish mwema inshallah amn half shekh kama na mwanamke ana jitihada Kwa kila alivy pangiwa kwenye miongozo mema na lakin Bado hapati kizur kwa anae mtegemea zaid ya maumivu usiyo yategemea 💔

  • @AbdallahHassan-hy2rm
    @AbdallahHassan-hy2rm 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asalam alaiqum mashallah hadithi nzur

  • @bilalybarisesa5206
    @bilalybarisesa5206 2 ปีที่แล้ว +12

    Allah akujaze kheri sheikh wetu, pia akupe mwisho Mwema Aaamin 🤲

  • @fauziaabdalla7925
    @fauziaabdalla7925 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashaalla Allah akupe umr shekhe wetu uzidi kutuelimisha inshaallah🤲🏼🤲🏼🤲🏼 ila sauti kdg imekua na kukwamakwama mamodereta hakikisheni mnaset speaker vzr plz ndio sauti tuiskie clear🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @user-lt4db8df6e
    @user-lt4db8df6e 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sheikh napenda sana kusikiza mawaida yako

  • @bushraaljadidi7747
    @bushraaljadidi7747 2 ปีที่แล้ว +8

    Maneno mazuri sana. Allah atujaliye wanawake wema

  • @bushraaljadidi7747
    @bushraaljadidi7747 2 ปีที่แล้ว +6

    بارك الله فيك شيخ

  • @samirasadasalum5974
    @samirasadasalum5974 2 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh Othman Maalimu nakupenda sn yani Nakupenda kwaajili ya ALLAH,huwa unazungumza kwa upole sn jmn Duh yani unaeleweka

  • @malombemunyithya9341
    @malombemunyithya9341 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi Mungu akujaalie umri na afya njema shekhe wetu Inshaallah

  • @zubedamselem7217
    @zubedamselem7217 2 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah.maana kuna wanaume hawajitambui kutwa kutesa wake zao.

  • @bammboomm7763
    @bammboomm7763 2 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah Shukran jazakAllahu kheir

  • @MwakishaStella
    @MwakishaStella 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ma sha Allah

  • @aaliyahholden9282
    @aaliyahholden9282 2 ปีที่แล้ว +4

    Wanaume hao hawapo ukae yeye akahangaike mmh! utasimbuliwa mpaka ujute kuzaliwa Allah atujalie mwisho mwema yarabi

    • @mirajiissa4603
      @mirajiissa4603 3 หลายเดือนก่อน

      Wapo ikiwa wewe hukujaaliwa kumpata mume wa namna hiyo si wote

  • @InssasulaiRachide
    @InssasulaiRachide หลายเดือนก่อน +1

    Machalaa cheik weitu ntukufu

  • @rayasaid7400
    @rayasaid7400 2 ปีที่แล้ว +1

    BISMILLAAHH MAA SHAA ALLAH ALLAH AKUPE UMR WENYE KHEYR AKUWEZESHE KAMA ALIOWAWEZESHA AKUNYANYUWE KAMA ALIOWANYANYUA ATUPE MANUFAA KWA UWEPO WAKO TUNUFAIKE NA IL'MU YAKO NA MWISHO NAKUOMBEA KWA ALLAH AKUTUNUKIE JANNATUL FIRDAUS AAMIN

  • @hamidamhanaya8126
    @hamidamhanaya8126 2 ปีที่แล้ว +9

    ALLAH ATUJAALIE TUPATE RADHI ZA WAUME ZETU INSHALLAH

  • @InssasulaiRachide
    @InssasulaiRachide หลายเดือนก่อน +1

    Macha Allahu

  • @ummiali1208
    @ummiali1208 2 ปีที่แล้ว +4

    جزاك الله خير

  • @fatmamasafu8606
    @fatmamasafu8606 2 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah Allah akujaze🤲

  • @universitylink
    @universitylink 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah sheikh Othman Maalim

  • @user-ge6gu4fh7x
    @user-ge6gu4fh7x 3 หลายเดือนก่อน +1

    MASHAALAH

  • @salimmariga149
    @salimmariga149 2 ปีที่แล้ว +2

    Ma Shaa Allah darsa zuri sana

  • @user-xy2qj1gc9p
    @user-xy2qj1gc9p ปีที่แล้ว

    Sichokag kumsiliza na wala sijawahi kuwa mvivu kumsikiliza allha akupe maisha marefu 🙏

  • @sergemassamba5677
    @sergemassamba5677 2 ปีที่แล้ว +1

    Alhamdullilah Najivunia kua muisilam Maana Elimu yote duniani ipo katika Qur'an 🙏
    insha'Allah god bless you maalim os

  • @swaummukonjero7352
    @swaummukonjero7352 ปีที่แล้ว

    MashaAllah...ila waume wengi wa kiislamu siku hizi wame fail katika majukumu..ila wana weka uzito katika ruhusa ya kuoa zaidi ya mmoja..

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah shekhe wetu

  • @fatumaabdallah7541
    @fatumaabdallah7541 2 ปีที่แล้ว +3

    Swadakta sheikh uthman maalim Allah akulipe inshaallah

    • @marygoshashy9954
      @marygoshashy9954 2 ปีที่แล้ว

      Jamani mm nampenda sana huyu sheikh saaa dooo natamani nikutane nae live doooo ♥️

    • @suzanokila3612
      @suzanokila3612 ปีที่แล้ว

      Mashalla .mungu akupe mwisho nzuri inshallah

  • @kulthumally881
    @kulthumally881 2 ปีที่แล้ว +2

    Ma sha allah

  • @asmaanassoro7842
    @asmaanassoro7842 ปีที่แล้ว

    Maashallah sheikh mungu akutunze kwa. Ajil yetu amiiin

  • @SANATVTZ
    @SANATVTZ 2 ปีที่แล้ว +3

    MASHA ALLAH

  • @ivyroses9019
    @ivyroses9019 2 ปีที่แล้ว +6

    Nakupenda,mimi mkristo,laah namiini kwenye Islamic na ukristo,niweke sawa hizi dini mbili naamini, kwenye ukweli,Napenda kusikia wakiabudu,hadithi na mawaidha,natamani kuilewa Quran na bible tena bila kubagua,nazipenda hizi dini mbili ,bila dharau wala kejeli,Namshukuru Mungu kwa dini ya Islamic na Christian's nawapenda wote 🙏🙏✍✍🙏🙏

    • @abassmohammedmohammed5948
      @abassmohammedmohammed5948 2 ปีที่แล้ว

      labda nikupe wasia mzuri iwapo utatia akili katika maneno yangu...uisilamu ndilo dini pekee la haki mbele ya Allah. na Kwanini uamini Hilo kwasababu ukristo si dini ni jina ambalo walianza kuitwa miaka nyingi baada ya kufa yesu ambalo tena katika sehemu panapo itwa antokia yaani walikuwa ni watu wa yesu --kristo-- wakaitwa wakristo kama vile kusema watu wa Kenya tukawaita wakenya sijui unanielewa ila tangu kuanzia utume mpaka kukoma kwake Allah alikuwa ajawahi kulipa jina dini yake mpaka ilipofika mwisho wa utume ndio akasema katika qurani kuwa na nimewaridhia uisilamu kuwa ndilo dini lenu

    • @abassmohammedmohammed5948
      @abassmohammedmohammed5948 2 ปีที่แล้ว

      pili... yesu nimtume aliyekuwa sahihi ila Sasa Hawa wanaoitwa watu wake yaani wakristo wametia mishkeli na makosa mengi katika dini Yao Kila siku ndio Kwa maana mpaka leo utaona wanatoa bibilia mpya ambalo Hilo mpya ni improved yaani emekuwa modernized imefanywa kuwa ya kisasa kwasababu Hilo zikawa bibilia Moja hutofautiana na nyingine katika baadhi ya mashala hivyo Sasa ndivyo wanavyo chafua mafundisho ya yesu mpaka wengine washa fikia kumfanya ni mungu wengine wamemfanya ni mtoto wake wengyaaniine wamemfanya ni mtume tu na wengine wamemfanya ni mungu na nimtoto wa mungu na nimtume

    • @abassmohammedmohammed5948
      @abassmohammedmohammed5948 2 ปีที่แล้ว

      yaani hawaekeweki kwamsingi wa Imani Yao na Cha ajabu ukienda israil ambapo yesu alikuwa akiishi utawakuto wanao amini hakusulubiwa yesu nao pia niwakristo na wanao amini kuwa alisulubiwa Kwa msalaba na wengine wanaamini alisulubiwa Kwa mti straight tu lakini ukisoma historia hakuna watu walio wahi kuwa na Mila la kusulubisha watu Kwa msalaba kama + ilikuwa ni hivi tu | tu sijui wanielewa ila ishu ya msalaba huu ilianzia Rome mbalisana na Israel ajabu sana wakasema eti wameamisha administration ya wakristo mpaka Rome ndio kukaanza ukatoliki

    • @abassmohammedmohammed5948
      @abassmohammedmohammed5948 2 ปีที่แล้ว

      ndio Sasa ukitaka kujua ukweli ulioko katika bibilia ukweli ambao haujatiwa nakshi yeyote ni Yale yanao afikiana na qurani tuna qurani imehifadhika na kutiwa dosari kwasababu jibril alipo muhifadhisha mtume nao waisilamu Waka ihifadhi Kwa kichwa Allah alijaalia hivi Ili iwemiongoni mwanjia ya kuitakasa qurani isije ikachafuliwa kama zilivyo chafuliwa vitabu vingine Sasa Leo hata herufi Moja tu ukiisoma sivyo Kila mwisilamu aliye hifadhi Hilo sura atakwambi koma Hilo umetia makosa

    • @abassmohammedmohammed5948
      @abassmohammedmohammed5948 2 ปีที่แล้ว

      ila Sasa bibilia Zina mambo ya ajabu angalia bibilia ya wakatoliki Kuna vita takriban kumi na mbili za ziada
      .....na ukisoma king james bible historia yake ilipotungwa ilitungwa miaka zaidi ya saba tena na wasomi walugha sio wasomi wadini akiwa king huyu anawalipa Kila siku Kwa kazi Yao kwahiyo hapa lazima mapungufu yawepo

  • @saidimkopi9273
    @saidimkopi9273 2 ปีที่แล้ว

    Mungu amuhifadhi shekhe wetu huyu

  • @aseefpa1461
    @aseefpa1461 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah mashallah mashallah.Allah akuzidishie hapa na pengine

  • @user-jv1ch4tr8q
    @user-jv1ch4tr8q 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallaaah shekh ila sikuhizi wanaume hawajuwi thamani ya ubikra mume wangu wa1 aliniowa nikiwa bikra ila alinishika km mtumwa tuliishi kwa mwaka1na nusu nikizaa mtt1 ila Ndowa yangu ya2 naishi natamani tele ndo kaniowa na mtoto

  • @hafswaomar2841
    @hafswaomar2841 2 ปีที่แล้ว +13

    Jamanii kumbesisi tuna thamani lakini waume wengine hawaiyoni thamani yetuu wanatufanya kama watumwa waoo

    • @hamidamhanaya8126
      @hamidamhanaya8126 2 ปีที่แล้ว

      😁

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      ulikuwa hujui

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว +2

      sasa hivi ni utumwa kwa kwenda mbele au ukae kisela 😂😂😂

    • @arafatmaphox8612
      @arafatmaphox8612 2 ปีที่แล้ว

      Wapi

    • @khadijamgambo6874
      @khadijamgambo6874 ปีที่แล้ว +2

      Ndio mana tunashauriwa tuolewe na wanaoijua Dini na c wenye magari na maghorofa mengi.

  • @juneithartony9543
    @juneithartony9543 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah

  • @rayasaid7400
    @rayasaid7400 2 ปีที่แล้ว +2

    RABBY TUWEKEE vipenz vyetu walimu wetu masheykh wetu wallahy tunanufaika Allah atukutanishe peponi na Sheykh WETU aamin

  • @mallulu9086
    @mallulu9086 ปีที่แล้ว

    Masha Allah sherkh othman kweli kabisa

  • @user-dp3cu8dv3y
    @user-dp3cu8dv3y 8 หลายเดือนก่อน

    MàshaAllah jazakallahu khayr

  • @afric01
    @afric01 ปีที่แล้ว +1

    Aslm alkm ww... Haiwezekani mmeo akushughulikie na kukupenda alafu wewe ukose kumpenda mmeo Hilo haliwezekani sheikh. Ndoa za sikuhizi hazina mawadata Wala rahma. Mke anasubiri kifo, majuto na uvumilivu labda amezaa anahurumia watoto wake wasiteseke. Nabii Muhammad S. A .W . Alikaa na wakeze vizuri na lau wanaume wangeiga mfano wake, basi pepo ingewepo hapahap duniani. Ndoa ni pepo sheikh wangu. Lakini pole hakuna ndoa iliobaki ni ndoana. Shukran sana sheikh. Jazakallah kheir 🙏

    • @adilaibrahim2069
      @adilaibrahim2069 6 หลายเดือนก่อน +1

      Allah alete kheri zake in sha Allah

    • @user-jv1ch4tr8q
      @user-jv1ch4tr8q 2 หลายเดือนก่อน

      We Acha tu ndugu yangu hata ujishushe aje atakupelekeasha tu

  • @abubakarially059
    @abubakarially059 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah💓

  • @dallamanzanzibar8685
    @dallamanzanzibar8685 ปีที่แล้ว

    Marshall mungu atuongoze sote kwa ujumla

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran shekhe

  • @binthamoudshariff5492
    @binthamoudshariff5492 2 ปีที่แล้ว +3

    Wallahi naam maneno kuntu👌

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 2 ปีที่แล้ว +1

    Allah barik

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 2 ปีที่แล้ว +3

    MashaaAllah walhadulilah ❤️😘

    • @halimamnyati9311
      @halimamnyati9311 2 ปีที่แล้ว

      Alhamdulilahi mawaidha mazr sn shee mungu akuzidishie inshaa allah

    • @halimahalima1488
      @halimahalima1488 2 ปีที่แล้ว

      @@halimamnyati9311 amiiiin 👏 wajina wa mie

  • @shefumasanja-wn6lj
    @shefumasanja-wn6lj ปีที่แล้ว

    Asante shekh othaman

  • @mahramarswad6041
    @mahramarswad6041 2 ปีที่แล้ว +3

    Sasa vipi kuhusu wanawaje wanapowafanyia waume zao mazuri nahuku tunaitwa washenzi na huku twawapikia

  • @asiaswedi8945
    @asiaswedi8945 2 ปีที่แล้ว +12

    Mawaidha mazuri japo yameegea sana kwa wanawake...lkn wanaume wa siku hizi pasua kichwa hawawajibiki ktk familia.ni chanzo cha kuvuruga ndoa zao.

    • @hamidamhanaya8126
      @hamidamhanaya8126 2 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      sasa hivi wanawake wasipotafyta watoto wafa njaa yaan imekuwa kazi ya wanaume zimekuwa za wanawake majukum tumebeba ss wanawake wao kaxi ni kubwa huwa ni kuongeza wake kuzalisha bila huduma mpaka kichefuchefu

  • @fitness8330
    @fitness8330 2 ปีที่แล้ว

    Shukran sheikh

  • @rashidimatogwa-rr3rj
    @rashidimatogwa-rr3rj ปีที่แล้ว

    Alláâh akuhifadhi

  • @kakamama5104
    @kakamama5104 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallahحفظهلله

  • @karimukoriwa6520
    @karimukoriwa6520 ปีที่แล้ว

    Hakika mwenyezi mungu ampe nuru

  • @kamilyaibrahim9784
    @kamilyaibrahim9784 2 ปีที่แล้ว +3

    Sikuhizi wanaumme hawataki wake waloshika dini, wanataka mvaa uchi ukiwa unajistiri unaonekana sio mke so naona shekhe wangu hao enzi za Mitume waumme hao hamna kabisa waumme hao

  • @AbdulazizJuma-qu2tk
    @AbdulazizJuma-qu2tk 8 หลายเดือนก่อน

    mashallaH
    🕌

  • @kineromakame7295
    @kineromakame7295 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah 😊

  • @sharifshek7240
    @sharifshek7240 2 ปีที่แล้ว +1

    Aslkm vp hali yako sheikh letu laukweli?alhmdllh mawaedha matamu sana mungu akupe umri mrefu uzidi kutuelimisha amiin..sasa niipi hukmu yamwanaume ambae mkewe yuwamtaka katika tendo la ndoa nayy hataki??yuwamkatalia?

  • @hanaalsiabi2821
    @hanaalsiabi2821 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @jumamohammed5378
    @jumamohammed5378 2 ปีที่แล้ว

    mashaAllah

  • @jumamohammed1818
    @jumamohammed1818 ปีที่แล้ว

    Masha Allah mawaiza mazur sanna tungepata namba yake kwakweli tunamaswala mengi kukuuliza

  • @jenifamtima9325
    @jenifamtima9325 ปีที่แล้ว

    Utandandawazi umeharibu utamaduni wa kidini,,,haki sawa ,,50kwa 50 ,,,mfumo wa maisha umetubadilisha ...mmebaki wachache ,,,kwa sasaa utasikia mwanamke kijishughulisha na sio kubweteka,,imebaki ni shidaaa!

    • @khamismohdkhamis4680
      @khamismohdkhamis4680 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa sababu wanaume hawataki kubeba majukumu yao

  • @zubedahassan409
    @zubedahassan409 7 วันที่ผ่านมา

    2024🙏

  • @alawimkonga5557
    @alawimkonga5557 2 ปีที่แล้ว

    INSHALLAH

  • @naimajeddara8687
    @naimajeddara8687 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤💖💖💖💖💯

  • @Dasoor-tt3vf4dj8i
    @Dasoor-tt3vf4dj8i 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona wanaume wengi wamesoma dini ila wazifatilii wake zao uteseka kutwa nafamiliya kula kuvaa kulala kuu yote juu yamwanamke je awo wanaume wanayo yafanya nihaki?

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว +1

    kwa hiyo wasiozaa wasiolewe duh mtihan maana kuna wanaume uwezo wa kumpa mimba hana na wanawake wapo hawana uzazi jee hawapaswi kuolewa na kuolewa ni lazima shekhe watoto ni mpka mungu atake

    • @Rydah389
      @Rydah389 2 ปีที่แล้ว

      Nmekua na swali hilo ila mola ndo ajuae zaidi maana c maneno ya shekh hayo

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      @@Rydah389 pia kwenye kuridhika c mabikira pekee sasa hivi mabint wengi hawaridhiki kivyovyote aidha kipesa mpaka kimwili naweza kusema kuridhika inatengemea na mty mwenyewe tena binti usimwambie huna pesa ya kitu fulan atakuumbua ndugu ni kuomba ty umpate mwenza alokuwa mwema bac

    • @Rydah389
      @Rydah389 2 ปีที่แล้ว

      Hii generation tulio sasa mambo yanaenda speed sana kila gender imejisahau....mola atufanyie wepesi tukae kwnye mipaka ya dini

  • @meandme3437
    @meandme3437 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah shukran ya sheikh. Yaani mwanamke ukiwa na ilmu ya dini hakuchezei mwanaume au mumeo unamuweka sawa hadi anajiona bora atulie tu. Wanawake tafteni waume wasomi wa dini. Kisha nyie kazi ni kumpatia mahaba full full.

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      wanaume wenye dini wako wapi pombe tupu

    • @meandme3437
      @meandme3437 2 ปีที่แล้ว

      @@heyumi2340 🤪🤪😬😬

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 ปีที่แล้ว

      @@meandme3437 😂😂😂😂😂na bangi halafu wao wanataka au wanaambiwa waoe wenye dini kweli dini na pombe wapi na bangi kuswali kwenyewe Ramadhani hadi Ramadhani ssa hivi misikiti iko full subiri iishe 😂😂😂😂😂swafu tatu

    • @meandme3437
      @meandme3437 2 ปีที่แล้ว

      Msiba fauka muswiba.

    • @aasiyaasia338
      @aasiyaasia338 2 ปีที่แล้ว

      Waweza kumpata wa hvyo lakin kutwa msktin hatoki kutafuta ridhki

  • @basilkaslingi441
    @basilkaslingi441 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini ndoa ya kwanza huwa na migogoro

  • @mwerochindoro2910
    @mwerochindoro2910 2 ปีที่แล้ว +2

    Assalaam aleikum warahmatullahi,, naomba mnijuze Ndungu zangu in Islam,,, niwakati gani unaofaa kustarehe na mkeo, katika Usiku WA Ramadhan? Swaum maqbul

    • @munirasuleiman2006
      @munirasuleiman2006 2 ปีที่แล้ว +1

      Ikisomwa adhana tu hata kama wataka umfuturie yy ruksa hadi kabla ya adhana ya mwanzo aallahuaalam

    • @mwerochindoro2910
      @mwerochindoro2910 2 ปีที่แล้ว

      MashAllah, Shukrani @ munira

    • @jamamvoni4053
      @jamamvoni4053 2 ปีที่แล้ว

      Wee munira hhhhh daah

    • @sabraabdilnasir8826
      @sabraabdilnasir8826 2 ปีที่แล้ว

      Visa nyie 🤣🤣

    • @AA-gt7bv
      @AA-gt7bv ปีที่แล้ว

      Wakti wa usku na hatkama itawafikia asbh mnaog Josh alfu mnaendlea n funga mashallh

  • @donitoalberto3154
    @donitoalberto3154 ปีที่แล้ว

    Sheikh #Othman neste vídeo muito agressivo, será é por caso do assunto, meus irmãos constataram isto?

    • @AA-gt7bv
      @AA-gt7bv ปีที่แล้ว

      Yeah!! Tumeliona mashallh❤

  • @abkhamsalshamte429
    @abkhamsalshamte429 ปีที่แล้ว

    me juzi nilimuona na mvii nyingi, nilingia huzni kdg.

  • @farris_2549
    @farris_2549 หลายเดือนก่อน

    🤌💚

  • @CuteGirl-og2mr
    @CuteGirl-og2mr 2 หลายเดือนก่อน

    Nini hukumu ya mwanaume kumhama mke wake chumba

  • @mr.waziri9992
    @mr.waziri9992 2 ปีที่แล้ว

    Hata kama anaziniwa nje, 😂

  • @ruznaabdullah2050
    @ruznaabdullah2050 ปีที่แล้ว

    Nawale tusie zaa hatuta olewa na utajuaje kama nikfa

  • @mallulu9086
    @mallulu9086 ปีที่แล้ว

    Ya Arab tujalie mwisho mwema

  • @omaraliy6144
    @omaraliy6144 2 ปีที่แล้ว

    Assalam alykum. Ya lini haya mawaidha

    • @asiahamza9495
      @asiahamza9495 2 ปีที่แล้ว

      Assallam alley kum, 6 days ago (Siku sita zilizopita).

  • @jumatandiko7597
    @jumatandiko7597 ปีที่แล้ว

    Hachuji kwa kuwa sio mvivu wa kusoma,wengine wamechanganya na mambo yao ndio maana Mungu nae huwashusha

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc 2 ปีที่แล้ว

    Usicheze na mwanamke, hebu muulize yeye mwenyewe Sheikh kashaoa akiacha wangapi?

  • @allyissa7163
    @allyissa7163 2 ปีที่แล้ว +12

    Masha Allāah...Shkh Othman Maalim bado Wamoto... mawaidha mazuri alhamdulillah... shukran

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 2 ปีที่แล้ว +3

    MASHA ALLAH

  • @husnaibrahim2107
    @husnaibrahim2107 ปีที่แล้ว

    Mashaallah darsa nzuriii

  • @saidkanda8870
    @saidkanda8870 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @mwanamkasi5278
    @mwanamkasi5278 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah