RAIS SAMIA ASIMULIA KISA CHA NABII MUSA, AMTAJA SHEIKH MZIWANDA, WANAWAKE TU SURA YETU KWENYE QUR'AN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • • RAIS SAMIA ASIMULIA KI... #KHIDMATV #raisamiasuluhuhassan #salamuzamwakampyawakiislamu

ความคิดเห็น • 9

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 3 หลายเดือนก่อน +3

    MashaALLAH tabaraka LAAH, ALLAH ampe afya njema rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Kiongozi wa aina yake katika Africa mashariki

  • @ZuhuraMarande-fl2zw
    @ZuhuraMarande-fl2zw 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Mashallah Amina presdent wetu❤❤❤

  • @salahhddindasuvic6447
    @salahhddindasuvic6447 2 หลายเดือนก่อน

    Allah amuhifadhi Raisi wetu.amin

  • @mohammededy7086
    @mohammededy7086 3 หลายเดือนก่อน +1

    mama unajua wajib wa kiongoz bas panga siku nenda katembee pemba sikuambii kitu majibu utayapata mwenyew hal ilivo me nakukumbusha tu mana utaenda kuulzwa juu ya uwongoz kila la her

  • @2003hintay
    @2003hintay 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mama ni jembe so mchezo anajua kuyapanga Mungu akupe afya njema na uzima

  • @FridayMwassa
    @FridayMwassa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Musa wa kwenye koran hajulikani alizaliwa wapi wala mzazi wake hajulikani

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 3 หลายเดือนก่อน

      Huna ujualo kaa kimya

    • @kasimkassam9565
      @kasimkassam9565 3 หลายเดือนก่อน

      musa wa biblia ni moses sio wetu pls

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@kasimkassam9565upo sahihi Musa wa kwenye koran ni mwarabu tofauti na Moses aliyezaliwa kwa waebrania