Shafi mwanangu nakupenda sana kwa ajli ya ALLAH na hio duaa ulioiomba ni haswaa....nawaombea IKHLASW na wepesi kwa kila munalolidhamiria...mwenye enzi mungu awafanyie wepesi hp duniani na kesho akhira...amiin
Waallah leo patakua hapatoshi Allah awasimamie katika kazi zenu mnazo fanya tena hata mimi imefurahi sana kwenda kufanya dibeti shafi,mazinge,nawakubali wahadhili wetu kapungua doctor sulle
Mkiona hivyo mjue dini yenu imekosa kibali kwa Mwenyezi Mungu ndio maana mioyo ya Waislamu haiwafungukii wahadhiri wao: sisi Wakristo tunajua fedha na dhahabu ni Mali ya Bwana na kwake twamrudishia zikafanye kazi yake:
Allahu Akbar! Allahu Akbar! Allahu Akbar! Maneno yenye tamu nyingi na msisimko sanjari na burudani ya kutosha toka kwa Ostadh Shaffi. Wallah huwa napata raha na ilmu ya aina yake kila nikimsikiliza Shaffi na Mazinge. Allah Awalipe pepo,In Shaa Allah!
Mashegh hawa hawana majungu kwa waislamu wenzao..kazi yao dawa kusonga mbele…ila wengine kazi yao kubwa kuwaradi wenzao tu!! Kama wao ndio dini wameishusha 😢
Dear viewers. You are my brothers and sisters in the universality of mankind. We have been created by the same God, who in Islam is called Allah and by Jesus as Elaha in the Aramaic language. Look it up if I am lying. There is only ONE GOD. Muslims love Jesus more than lip-service Christians. We keep a beard like Jesus did. He never ate pork, neither do Muslims. He prostrated to God, like Muslims do. Our ladies wear Hijab, a head-cover, like Mother Mary. If by believing that only through Jesus, you will be SAVED, then what about those prophets and good people mentioned in the Bible who came BEFORE Jesus? They will go to hell? Ask yourself: if the Bible was not tampered with, what is the last name those revelations coming through Paul? Of Mathew? John? Luke? Will you be allowed to travel with a passport without your last name to give your name validity? Think without BIAS. We are monotheists. Let not SATAN lead you to hell my dear. I love you for the sake of the ONE GOD. Please seek the correct way to Heaven.
Baada ya kufuatilia watoa mada wa pande zote mbili naona kila upande unaposoma aya za mwingine husoma nusu na kuifanya maana ionekane tofauti na mbaya zaidi wengi wanakoment hawafuatili jambo hili katika yote kila mtu aamini anachokiamini Na hapa mm nasema Yesu kristo ndie njia kweli na uzima inatosha
Yesu alizaliwa na Mariam yesu kiumbe Cha Mungu Hana sifa ya uungu Mungu ametuumba Kwa mfanano wake hakuzaa Wala hakuzaliwa yesu mnamuuita mwana wa Mungu Kwa kuwa alizaliwa Kwa miujiza yake Mungu pasipo kukutana gameti x na y Mungu ameonyeesha utukufu wake
@@mwanahamis5487 wametangaza wenyewe na mm nilikuwepo mskitini jana wamesema kishki katoa msaada wa gari nzima la kishki tv na litaonesha live kongamano lote sasa kama wewe ulikuwepo mskitini na hikuskia ivo basi mi sina maneno
Tatizo matajiri wengi utajiri wao si wa halali ndy maana wanakua wazito kuchangi maana pesa ya haramu kidini haina faida mbele ya ALLAH imani zao za uongo
Waislam atujielewi kabisa nawambiwa live waislam wengi awajui thaman ya uislam uwa nawashangaa Sanaa kama mtu anaslimu kama hana Imam basi anaeza Rudi alipo toka waislam ni kichwa cha mwenda wazimu
Siku wislam tukiacha majungu mbona tuta fika mbali sana, maana kinacho tuponza wislam ni uchunguzi yaani tunakuwaga na uchunguzi sana panapo tokea swala la kuchangisha mchango 😃😃😃😃🙌🏃
We juma kateleza wap shekhe kusema wahadhir ndio wamebeba uislamu Tanzania,kama ww juma muislam uislam wako umeufanya nn kwa watanzania,hao mashekhe wanafanya kaz kubwa Sana kulko unavyowafikiria
@@saidswalehe2807 acha ujinga wewe walikuwepo kina Abubakary, Umar,At human, Ally (R.A) na wengineo wengi ,pamoja na mchango wao mkubwa wa hali na Mali katika kuupeleka mbele uislam lakini hatujawahi kuona kumbukumbu zikionyesha kuwa walidai kuwa wao ndio waliubeba uislam wa madina\makka au wa dunia kwa ujumla,,,,,,kwahiyo uache ujinga wewe!
@@saidswalehe2807 uislam si sawa na dini nyingine, ambazo mtu anaamua kuanzisha kanisa lake , kwa juhudi zake na mpaka anaweza kujiita nabii na watu wakamuamini , mifano hiyo ipo, kina T.B Joshua, kina mzee wa upako DSM, na wengineo wengi wakiwa na makanisa yao, hao wakidai kuwa ndio wanayabeba makanisa yao hatushangai,,,,,lakini sio kwa uislam ni dini ya Mungu na yeye ndio anaoulinda, wengine wote wanafanya jitihada tu lakini wasijivune kuwa eti wao ndio wanaoubeba .NB: ikumbukwe kuwa sio kwamba napinga juhudi zao , la hasha! ninachopinga Mimi ni kule kudai kwao eti wao ndio wameubeba uislam wa Tanzania, hapo ameteleza!
@@hamisimfaumenamwewe193 na ndio Mana nimesema Masalaf ni wale walio pita sio nyinyi wazee wa matusi na maneno ya shombo na kujiingiza peponi na wenzenu kuwaingiza moton na kulifanya dhehebu kuwa na nguvu kuliko dini yenyewe na ukimuona muislam ana jinasibisha na dhehebu lolote lile tambua huyo bado ajajua uislam ni kitu gan?
Yaani mashAllah tabarakallah nafurahi sana kuona hawa magwiji wako pamoja ❤ alhamdulilah ALLAHU AKBAR
Shafi mwanangu nakupenda sana kwa ajli ya ALLAH na hio duaa ulioiomba ni haswaa....nawaombea IKHLASW na wepesi kwa kila munalolidhamiria...mwenye enzi mungu awafanyie wepesi hp duniani na kesho akhira...amiin
Mashaallah MASHEKHE, zetu ALLAAH,awahifadhi AMIN🙏🙏✨🌙
Nko Kenya but nawapenda wote mashehe wa tanzania
Mashaallah mashekhe zetu Allah awape umri mrefu
Allah awape afya na maisha marefu wahadhiri wetu. Muwe live basi sisi wa mbali tuone.
Amiin allahumma amiin
Amin yarabi
th-cam.com/video/cP19I2lEkoI/w-d-xo.html
Waallah leo patakua hapatoshi Allah awasimamie katika kazi zenu mnazo fanya tena hata mimi imefurahi sana kwenda kufanya dibeti shafi,mazinge,nawakubali wahadhili wetu kapungua doctor sulle
Masha allah nawapenda sana kwa kazi ya mmiliki wa viumbe
Allah awape muongozo mwema imsha allah
th-cam.com/video/cP19I2lEkoI/w-d-xo.html
Mashaalllah ALLAH awalinde mashekh wetuu kwa kazi nzuri ya kuitangaza dini ya ALLAH
Amiin
Mkiona hivyo mjue dini yenu imekosa kibali kwa Mwenyezi Mungu ndio maana mioyo ya Waislamu haiwafungukii wahadhiri wao: sisi Wakristo tunajua fedha na dhahabu ni Mali ya Bwana na kwake twamrudishia zikafanye kazi yake:
Hahahaa mash Allah ma sheikh zetu,Allah awalinde na awajaalie umri in shaa Allah
Shekhe Shafi uko vizuri sana. porojo zako zina amsha amsha ya kutosha.
Allah Awape kherinyingi duniani nakesho akhera inshallah
walaikum msalam warahatullahi wabarakatuh. MashaAllah MashaAllah. Jazzakh Allahukum mashehe mungu awaongoze
Mashaallah mungu amtilie wepesi amiin amiin amiin
Allahu Akbar! Allahu Akbar! Allahu Akbar! Maneno yenye tamu nyingi na msisimko sanjari na burudani ya kutosha toka kwa Ostadh Shaffi. Wallah huwa napata raha na ilmu ya aina yake kila nikimsikiliza Shaffi na Mazinge. Allah Awalipe pepo,In Shaa Allah!
Nimimi Hassani Burundi Bujumbura USTA DH mwenyezimungu pekeyake
Allaah Allah... wallah inabidi tubadilikeeee sisi waislam... kutoa ndy dini....
ALLAHUMMA AMIN YA RABBI 🤲🤲🤲🇧🇮🇧🇮🇧🇮🕋🕋🕋🇸🇦🇸🇦
Mashallah shekh shafi Allah Barik
Mashegh hawa hawana majungu kwa waislamu wenzao..kazi yao dawa kusonga mbele…ila wengine kazi yao kubwa kuwaradi wenzao tu!! Kama wao ndio dini wameishusha 😢
Jazaka Allah khaira shekh shafii
Nimeipenda hiyo inshallah kura ilimladi kushiba
Insha allah allah atufanyie wepess hio Siku kanisa loote liingie ktk uislam
MashaAllah tabarakallah huyo ndie SHAFIH...
Naam sheikh shafi wambie ukwelikabsa na Allah akupe kiralakher shafiwetu upewe umlimulefu na Allah subhanahu wataallah
Amina Yarab alamin
Masha Allha
MashaAllah Allah.awalipe.kwakujitolea.kwenu.na.awavushe.kutokana.na mitihani
Allah akuokoeni na madhalala ya safari zenu wapiganiaji dini yakweli
Mashallah Allah 💕
USTA DH SHAFI Hatunacakukuripa mwenyezimungu pekeyake
penda sana wahadhiri wetu maashaallah maashaallah
th-cam.com/video/cP19I2lEkoI/w-d-xo.html
Wallahi mpaka nalia kwa maneno ya Sheikh Shafiiy Wallahi nalia maneno makali. Wallahi Waislamu laiti wangeyasikiliza maneno na kuyatia akilini wangelia Msikiti mzima.
th-cam.com/video/cP19I2lEkoI/w-d-xo.html
Ustadhi bwana pesa shetanii wee Allah atufanyie wepesi
Aamin
Shukraan Sana jazaka Allah khaira
Allahu maswali alaalih MUHMAD walaalih Muhamed kamaswa atayta alaalih ibrahmu
Mashallah shekh Shafii
MA SHA ALLAH
Mshaallah tabarika allah
Nawapenda sana ,dini ya haki
Alhamdulillah kwakuwa mimi muislam
Tuwashuru Sana wahaziri na tuwaombea duwa kwa mwenzi mungu hawaongoze katika dini ya haki
Ukampa pepo 😍😍😍😍😍
Barakallahu fiykum
Swallallahu alayhi wasallam
,🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲dini yakweri uyisiramu1√
Toa japo ni kidogo, wallahi weww ukitoa waona ni kidogo lakini mbele ya ALLAH ni kikubwa
Swadakta maneno yako
@@sabraabdilnasir8826 sasa mbona wajibu hivyo?kuna kitu kimekuudhi kwa comment?
Incha allah
mashaalah
Mashaallah tabarak allah
Mashallah
mashaallah sheikhi huwa napenda sana mihadhara yako
Shafe unajua sana
Shekh shafi tembea Kenya tafadhali
Twasbri hio kazi sana masheikh wetu
Amin
Alhamdulillah
Shafi mashallah
Amen
Mashaallah sauti inanikimbusha kipindi cha ngaliba na kawemba jamani mpe huyoooo
Allah awarehem
Allah awape nguvu
Taybu taybu 🎉🎉❤
Kweli
Al'hamdul'LLAH...
Subuanah allah
Amiin Amiin🙏
MWENYEZIMUNGU awajaalie wahathiri awakinge na Kila baya
Itakuwa live ???
Allah Akbar
subhnllh
Shekh unakubalika
حياك الله
Walllah nimecheka kuanzia usiku mpaka asubuhi
Allahu Akbar
Jamini isije ikawa mpango yakutumalizia ma sheikh's wetu
Ukimuamini MwenyeEzMungu kwa dhati humuogopi binadam ,Majini,mashetani na yeyeto isipokuwa Allah tu
Dear viewers. You are my brothers and sisters in the universality of mankind. We have been created by the same God, who in Islam is called Allah and by Jesus as Elaha in the Aramaic language. Look it up if I am lying. There is only ONE GOD. Muslims love Jesus more than lip-service Christians. We keep a beard like Jesus did. He never ate pork, neither do Muslims. He prostrated to God, like Muslims do. Our ladies wear Hijab, a head-cover, like Mother Mary. If by believing that only through Jesus, you will be SAVED, then what about those prophets and good people mentioned in the Bible who came BEFORE Jesus? They will go to hell? Ask yourself: if the Bible was not tampered with, what is the last name those revelations coming through Paul? Of Mathew? John? Luke? Will you be allowed to travel with a passport without your last name to give your name validity? Think without BIAS. We are monotheists. Let not SATAN lead you to hell my dear. I love you for the sake of the ONE GOD. Please seek the correct way to Heaven.
Baada ya kufuatilia watoa mada wa pande zote mbili naona kila upande unaposoma aya za mwingine husoma nusu na kuifanya maana ionekane tofauti na mbaya zaidi wengi wanakoment hawafuatili jambo hili katika yote kila mtu aamini anachokiamini
Na hapa mm nasema Yesu kristo ndie njia kweli na uzima inatosha
Subir Moto ukakuchome
Yesu alizaliwa na Mariam yesu kiumbe Cha Mungu Hana sifa ya uungu Mungu ametuumba Kwa mfanano wake hakuzaa Wala hakuzaliwa yesu mnamuuita mwana wa Mungu Kwa kuwa alizaliwa Kwa miujiza yake Mungu pasipo kukutana gameti x na y Mungu ameonyeesha utukufu wake
Shafffiiiiii acha tu
Mmeboa Kama nn mshidwa kua live
live ipo shekh
@@alimbarouk9353 chaneli gani Jamanii wako live Mie ni Ukhty mwanaisha pls nitajie chaneki
@@mwanahamis5487 kishki tv
@@alimbarouk9353 hakuna mhadhara live kwenye Chanel ya kishik
@@mwanahamis5487 wametangaza wenyewe na mm nilikuwepo mskitini jana wamesema kishki katoa msaada wa gari nzima la kishki tv na litaonesha live kongamano lote sasa kama wewe ulikuwepo mskitini na hikuskia ivo basi mi sina maneno
Kwa team hiii makafili hawachomoki nakwambia uislam dio dini.
Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yang hapo kama hautojli
Jamani mlete cd ya iyo siku uku kenya penda nyinyi sanah
Tatizo matajiri wengi utajiri wao si wa halali ndy maana wanakua wazito kuchangi maana pesa ya haramu kidini haina faida mbele ya ALLAH imani zao za uongo
Tusije tukachomwa kanisani kama museveni alivio choma wafasi wakanisani Mmoja kule Uganda
Asalam alaikum minilikua nauliza muislamu akiritadi hakuna atua zinazo takiwa kufatwa kabla yakumuua
Itakua live channel gan
Au online TV gan
kishki tv
MashaaAllah
Waislam atujielewi kabisa nawambiwa live waislam wengi awajui thaman ya uislam uwa nawashangaa Sanaa kama mtu anaslimu kama hana Imam basi anaeza Rudi alipo toka waislam ni kichwa cha mwenda wazimu
Siku wislam tukiacha majungu mbona tuta fika mbali sana, maana kinacho tuponza wislam ni uchunguzi yaani tunakuwaga na uchunguzi sana panapo tokea swala la kuchangisha mchango 😃😃😃😃🙌🏃
Jamani Sulle hayupo! Kaogopa atasanifika,
😂😂😂 unayoyaongeya nikweli kabisa
"Eti vichwa vya wahadhiri hawa ndio wamebeba uislam wa Tanzania" hapo kidooogo sheikh umeteleza!!
Mtihani kweli kweli
We juma kateleza wap shekhe kusema wahadhir ndio wamebeba uislamu Tanzania,kama ww juma muislam uislam wako umeufanya nn kwa watanzania,hao mashekhe wanafanya kaz kubwa Sana kulko unavyowafikiria
@@saidswalehe2807 acha ujinga wewe walikuwepo kina Abubakary, Umar,At human, Ally (R.A) na wengineo wengi ,pamoja na mchango wao mkubwa wa hali na Mali katika kuupeleka mbele uislam lakini hatujawahi kuona kumbukumbu zikionyesha kuwa walidai kuwa wao ndio waliubeba uislam wa madina\makka au wa dunia kwa ujumla,,,,,,kwahiyo uache ujinga wewe!
@@saidswalehe2807 uislam si sawa na dini nyingine, ambazo mtu anaamua kuanzisha kanisa lake , kwa juhudi zake na mpaka anaweza kujiita nabii na watu wakamuamini , mifano hiyo ipo, kina T.B Joshua, kina mzee wa upako DSM, na wengineo wengi wakiwa na makanisa yao, hao wakidai kuwa ndio wanayabeba makanisa yao hatushangai,,,,,lakini sio kwa uislam ni dini ya Mungu na yeye ndio anaoulinda, wengine wote wanafanya jitihada tu lakini wasijivune kuwa eti wao ndio wanaoubeba .NB: ikumbukwe kuwa sio kwamba napinga juhudi zao , la hasha! ninachopinga Mimi ni kule kudai kwao eti wao ndio wameubeba uislam wa Tanzania, hapo ameteleza!
Aujaelewa!. Uliza kwanz kwann kasema vile
Ucunguuu wa Islam
Leo inapeperushwa wapi jamani nataka kuitazama lakini
Sheikh shaffi tosha
Mikwara hatutaki kaka majibu ya sabato mwanzo 2:1-3 hapo kuna EGW
5:15 kumbukumbu la torat
Musa anapewa asali sabato atakumbuka alikuwa mtumwa nnchini misir .Sasa wew ulikuwa mtumwa wapi ?
Mai zumo
Wewe shafii unahoja.zaifu za kizamani Sana ,na unawadanganya waislamu
Sawa unamuiga dr sule
We pepuni 😂😂😂😂
UISLAMU UMEBEBWA NA MASALAFI
Salafy yupi ?
Nikwer din wamebeba masalaf ila wale walio pita sio nyinyi wa sasa
@@abilugome7461
umenena kweli
@@abilugome7461 Sisi hatushiriki kwenye mikusanyiko ya watu wa Bid'aah, Maulidi Hitima 40.