The Story Book: Je Asili Yetu Ni Sokwe? / Ujue Ukweli Wote ..!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
    𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
    𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 525

  • @fralex_1276
    @fralex_1276 3 ปีที่แล้ว +97

    Very professional. ..Wanamkubali huyu jamaa gonga like hapa

  • @evratvkenya9263
    @evratvkenya9263 3 ปีที่แล้ว +19

    wewe ndo sokwe , ila mimi naamini mimi ni kiumbe wa mungu , kama unaamini uliumbwa na mungu gonga like, from nairobi city kenya

  • @kulwachacha1478
    @kulwachacha1478 3 ปีที่แล้ว +75

    Ijumaa n siku inayosubiriwa kwa hamu snaa na watu wengi ngonga like tuenjoy stry

    • @shijalupondeja908
      @shijalupondeja908 3 ปีที่แล้ว

      Inakuwaga sa ngapi vile

    • @user-qp7mm3gv2r
      @user-qp7mm3gv2r 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@shijalupondeja908saa 1 na robo usiku

  • @younglee7643
    @younglee7643 3 ปีที่แล้ว +72

    Respect kwa jaml king of history hajawah kuharb nje ndani km zitaekwa tunzo miaka zote zako from Zanzibar

  • @ashirievara8542
    @ashirievara8542 3 ปีที่แล้ว +41

    Professor jamal king of the story in Africa #SwahiliNation 🚬🧯🔥🔥🔥

  • @cleverofficial5500
    @cleverofficial5500 3 ปีที่แล้ว +23

    Respect kwa proffessor Jamal April
    Naomba like zake

  • @jessegabrielkenya1914
    @jessegabrielkenya1914 3 ปีที่แล้ว +38

    It 6 asubui jamani ilinipita ucku...wapi like za professor 🇰🇪

  • @mohzuufamily
    @mohzuufamily 3 ปีที่แล้ว +9

    Hapa siezi pitwa kabisa hmna profesor kma jamal i like this stories walai the story book is the segmnt for me nani mwengn haizipitwa na story book acoment nd like my people

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 3 ปีที่แล้ว +22

    Mrengwa ni mwafrica kumtowa kwenye ramani ya kukimbizana na maisha(kutothofisha)

  • @msabahaproduction2595
    @msabahaproduction2595 3 ปีที่แล้ว +34

    Tutao mpigia vote diamond tujuane hapa like zenu

  • @mkaliwao9537
    @mkaliwao9537 3 ปีที่แล้ว +4

    #nakubali San #the story book ! Unavyo elezea ni Kwa mpingio mzuri so big up Sana ndugu. Kama una hikubali story book Tia Neno au comments.👌👀🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 3 ปีที่แล้ว +5

    I wish all the best of your life and your family jamal April teach us tufundishe kaka, kama unaamini Jamal April ni professor bora zaidi Tanzania na hata Africa gonga like hapa chapu, 👍🇹🇿❤️🙏🙏👏👏

  • @charlesnyaluke7202
    @charlesnyaluke7202 3 ปีที่แล้ว +14

    💕💕🔥💕🔥 blessed professor jamar April 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @nalingigwajeremiah4844
    @nalingigwajeremiah4844 3 ปีที่แล้ว +49

    Big up professor wewe Ni the living philosopher!!!

  • @mwanahamisbakar118
    @mwanahamisbakar118 3 ปีที่แล้ว +9

    Yote Allah amesha yataja kwenye Quran tukufu akuna mwanadamu aliyetokana na sokwe ila makafili wa kizungu na baadhi yao ndio wanao zusha ivyo lkn yote kwa yote ni kuchafua watu weusi na kumpinga mwenyezi mungu (Allah s.w)

  • @togetherchristiansmedia3437
    @togetherchristiansmedia3437 3 ปีที่แล้ว +4

    Mwanadamu aliumbwa na Mungu, Adam ndiye mwanadumu wa kwa kumbwa na Mungu hapa Duniani kisha Hawa, Ever

  • @godfreymtazama4581
    @godfreymtazama4581 3 ปีที่แล้ว +5

    Umetisha proffersor jamaly mustapha 🙏🙏

  • @joelathiambo4312
    @joelathiambo4312 3 ปีที่แล้ว +7

    Kutafuta ukweli tutoke nje ya sayansi / historia / dini. Maana mpaka leo bado nadharia zao zote zina pwaya katika akili ya mwanadamu mwenye kufikiri.

  • @kimsajudo9417
    @kimsajudo9417 3 ปีที่แล้ว +22

    Gonga Like Hapa Kama Unakubaliana na Professor Jamal👍

  • @aimeealembe2866
    @aimeealembe2866 3 ปีที่แล้ว +7

    Qur an ndo mwisho wa upuuzi allah ashamaliza zamani. Kwaiyo sina Shaka na Hilo

  • @blessmsolina3803
    @blessmsolina3803 3 ปีที่แล้ว +1

    Siku zote walioitesa Africa wakaona haitoshi nakujiona wa daraja la chini nakuwaaminisha kuwa tumetokana na nyani ilimradi tujione wanyonge zaidi,kwa rangi yetu nzuri isiyonunuliwa mpaka sasa bado wanaendelea nakujifanya ni wema kwetu,ukweli hakuna binadamu aliyetokana na nyani,wote tumeumbwa kwa udongo wamewateza mababu zetu vya kutosha nawachukia Sana wazungu amini nawambia mzungu haitakii mema AFRICA

  • @lutusigaza2148
    @lutusigaza2148 3 ปีที่แล้ว +19

    Kupitia similizi hii nimepata kugundua kwamba wanasayansi wetu wa TANZANIA bado wanasafari ndefu sana kuweza kuwafikia wanasayansi wa ulaya

    • @rishkhkhan3546
      @rishkhkhan3546 3 ปีที่แล้ว

      Kivpi

    • @manish-fp1fb
      @manish-fp1fb 3 ปีที่แล้ว +1

      Umeona... hehehhe... yaani hii mada wengi wameshindwa kuibeba kiusahihi. Hata prof hapa anachemka... ni kosa sana kusema binadamu ametokana na sokwe.

  • @sungurarichard263
    @sungurarichard263 3 ปีที่แล้ว +5

    mwanadamu hakutokana na sokwe wanadamu wa mwanzo walikuwa na maumbo tofauti na wa leo kwa sababu ya mazingira ya kale wanadamu walbadilka kulingana na mazingira hata leo bado mabadiriko yanaendelea

  • @aguerowakujidai6509
    @aguerowakujidai6509 3 ปีที่แล้ว +5

    From Congo Brazzaville watching now

  • @edwinregeye5985
    @edwinregeye5985 3 ปีที่แล้ว +10

    Professor N Mmoja tuuuu Africa

  • @panchovalentino5922
    @panchovalentino5922 3 ปีที่แล้ว +4

    Daa bonge la kipindi naqubar proffeser Jamaliiiiii💯💯💯

  • @kennychristian6882
    @kennychristian6882 3 ปีที่แล้ว +26

    42 minutes a go leo nimewahi, naombeni like jamani 😊

  • @winniethuo9736
    @winniethuo9736 2 ปีที่แล้ว +7

    Yani kuna utamu hivi kwa lugha hii hapa ya kiswahili? Jamal, pokea shukran kwa kazi zako. TH-cam is not without you.

  • @Special4uTV
    @Special4uTV 3 ปีที่แล้ว +91

    Hii mada nilimuulizaga Mwalimu wangu mmoja nilipokuwa Secondary, kidogo nile vibao.... 😂😂😂

  • @kassimgombejunior3702
    @kassimgombejunior3702 3 ปีที่แล้ว +10

    Leo wa pil naitaja like zang

  • @darkplatnum9006
    @darkplatnum9006 3 ปีที่แล้ว +5

    Wooza woza woza like kwake jamari jamna huy mtu tunamuitaj.zaid humu youtube kuliko.yeye anavyo tuitaj like kwak za kutosha

  • @blueeyes5952
    @blueeyes5952 3 ปีที่แล้ว +7

    Wazungu ni mbwa kila kitu wametuambia kuhusu binadamu ni uongo mtupu wao ni makafiri haujui Mungu. Bali nia washirikina kupitia sciences.

    • @leylasalim9380
      @leylasalim9380 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli binaadamu wa mwanzo ni baba etu Adam A.S hao wanao sema sokwe mayahud Allah SW aliwadeuza sokwe kutokana na madhambi waliyotatenda

  • @celineofficial5223
    @celineofficial5223 3 ปีที่แล้ว +2

    Hivi wazungu wataishi kutudanganya lini, twaelewa science hubishana na mungu zote twajua mwanadamu aliumbwa na mungu kutokana na mavumbi, na iwapo tulitokana na sogwe mbona wasiwachukue wawatoe chembechembe za sogwe na binadamu ili wazalishe mwanadamu huo wote sii kweli,

    • @nshishiponsian8853
      @nshishiponsian8853 3 หลายเดือนก่อน

      aliyetuaminishe yote haya ni mzungu we tulia dawa ikuingie

  • @zadokasaph5561
    @zadokasaph5561 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamali nakuombea Mungu uishi maisha marefu napenda simulizi zako.

  • @NiaKelly-sh4hj
    @NiaKelly-sh4hj 4 หลายเดือนก่อน

    Nawakubali ✊✊✊ Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯💯💯

  • @alexwangombe9156
    @alexwangombe9156 2 ปีที่แล้ว +3

    Big up Jamal .Nigetaka utuadalie ukweli kuhusu alama ya (M) kwenye kiganja

    • @user-pi3vt1lw5w
      @user-pi3vt1lw5w 9 หลายเดือนก่อน

      Hii utaipata kwa wachambuzi wa nyota

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 3 ปีที่แล้ว +4

    Nakubalisana professor na chama langu wasafi👍👍👍👍

  • @jacksonmfanyakazi1198
    @jacksonmfanyakazi1198 3 ปีที่แล้ว +12

    4Th comment: Jamali we ni jini na nusu mzee ❣️❣️❣️❣️❣️❣️

  • @aloycemwambwiga2318
    @aloycemwambwiga2318 3 ปีที่แล้ว +11

    Heshima kwako!! Haya maelezo ya kitaalamu sana. Mimi ni Archaeologist, mtu wa kawaida atakuelewa vema.

  • @christiannyamamba9089
    @christiannyamamba9089 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu pekee ndo anajua asili yetu mengine ziada tu ya kutaka sifa ya uumbaji na kutaka cheo cha Muumba

  • @_mbuya1242
    @_mbuya1242 3 ปีที่แล้ว +9

    Proffessor jamal 🙌🙌🙌🙌

  • @disantojevnco2718
    @disantojevnco2718 3 ปีที่แล้ว +3

    Hi I am watching from Buguruni city centre Tz Dar

  • @Chimbo4
    @Chimbo4 3 ปีที่แล้ว +2

    So nyc ...tuandalie pia historia ya kungfu in china

  • @abdulishaban6573
    @abdulishaban6573 3 ปีที่แล้ว +23

    Very talented man professor I got u brother

  • @amemasudi5735
    @amemasudi5735 3 ปีที่แล้ว +52

    Hakuna Binaafamu alietokana na Watu Binaadamu wa mwnzo kaumbwa Nabii Adam huo ndo ukwli tusdnganyane wazngu sio watu wazuri

    • @nasrahabibu2307
      @nasrahabibu2307 3 ปีที่แล้ว

      👏👏👏👏👏

    • @t-grapher8856
      @t-grapher8856 3 ปีที่แล้ว +12

      hao wazungu ndo walikuletea mada hyo hyo ya Adam. 😅🚶🏼‍♂️we tulia tu

    • @kaybelledavid1673
      @kaybelledavid1673 3 ปีที่แล้ว +2

      Mwambie atulie huyo

    • @t-grapher8856
      @t-grapher8856 3 ปีที่แล้ว

      @@kaybelledavid1673 katulia huyoo

    • @mussajabili6836
      @mussajabili6836 3 ปีที่แล้ว +1

      @@t-grapher8856 nyie kila kitu kupinga unamin ww ulikuwa nyan

  • @EdnaMuyegu
    @EdnaMuyegu 5 หลายเดือนก่อน

    Sokwe ni sokwe binadamu ni binadamu
    Kama vile nyati ni nyati ng'ombe ni ng'ombe, Mungu ndo aliumba vitu ziwe ivo😊

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba BASATA (Baraza la Sanaa Tanzania) na BAKITA (Baraza la Kiswahili Tanzania) wampatie TUZO YA HESHIMA Mwandishi Jamal April Professor kwa kutangaza Lugha ya Kiswahili kupitia Fasihi Simulizi za Hadithi nzuri ambazo zina mafunzo na kuongeza maarifa kwa Jamii.

  • @user-fy6ck9di1f
    @user-fy6ck9di1f 11 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sanaaa tuuuu Kwa ujumbe mzuri kuhusu MTU wa kale na mahusiano ya sokwe na species na binadam,.

  • @benedictalex6838
    @benedictalex6838 3 ปีที่แล้ว +1

    Respect kwako Kaka unajua mpaka unakera wasafi media inabidi wakujengee sanamu

  • @shukurumsebaloli
    @shukurumsebaloli 3 ปีที่แล้ว +3

    Mimi naona uyo babu wanao mtafuta ni mungu pekee 😂😂 sijuwi nyinyi mnasema aje

  • @prospermatinya3208
    @prospermatinya3208 3 ปีที่แล้ว +7

    The story book is good good, good 👏

  • @kabolya03
    @kabolya03 3 ปีที่แล้ว +2

    jamal
    wew ni the great
    💯💯💯💯💯nakupa kaka

  • @halimanassor2512
    @halimanassor2512 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakupenda tu

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 3 ปีที่แล้ว

      🥰🥰🥰🥰

  • @binjmwinyirain1133
    @binjmwinyirain1133 3 ปีที่แล้ว +5

    Professor uje utuambie hizo njia za kugundua umri wa vitu vya kale maana tumeganda kwenye carbon14 tuu. Utuambie na uhakika wake ukweli wake kuhusu udongo mifupa na hata sasa wanvyotumia kugundua umri wa mtu hususani wachezaji wanaodanganya miaka

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 ปีที่แล้ว +5

    Kwani watu weupe au wazungu na Asia. Hawajielewi et na hawana dini . Wao wanafata maneno ya watu waliotunga vitaabu.

  • @prince70863
    @prince70863 3 ปีที่แล้ว +3

    nimewah gonga like

  • @immtm4930
    @immtm4930 3 ปีที่แล้ว +1

    M.Mungu akupe kila la kheri Prof jamal.. nashkuru nimepata nakala ya kitabu cha "the origin of species" PDF.

  • @allyndingo1812
    @allyndingo1812 3 ปีที่แล้ว +9

    Respect p. Jamal..!!!

  • @saidimkopi9273
    @saidimkopi9273 2 ปีที่แล้ว

    Asalaamualaykum haliyako mzima na kuweka sawa mwanadamu wakwanza nimwqnadam hizo Historia zawatu niupotoshashi Mungu Kanumba viumbe vyote kisha Akavipa majina iweje 🐟 samaki kaumbwa samaki tu namwamadam nimwqnadam tu

  • @timochazze9845
    @timochazze9845 3 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤🔥🔥🔥 professor unatisha sana. Huwa ninakukubali sana

  • @djkbyofficial
    @djkbyofficial 3 ปีที่แล้ว +4

    Namkumbuka MTIGA we want him back I love to hear voice of this two gentleman Jamal and MTIGA

  • @shugikwigomba3160
    @shugikwigomba3160 3 ปีที่แล้ว +1

    Biblia inasema. Mungu akasema tumuumbe Mutu kwa mufano wetu .ASA kama Mungu aliumba mtu ama sokwe? 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @prince70863
    @prince70863 3 ปีที่แล้ว +3

    wa 3

  • @officialprincebaro6983
    @officialprincebaro6983 3 ปีที่แล้ว +1

    Inabidi ujitaidi piya kutafsi kwa kingereza ila ulimwengu huwa unakuelewa na baadhi ya watu piya kuelemika...
    Nina huhakika utakuwa mmoja wa mchambuzi bora ulimwenguni
    Professor jamali...
    Kuna baadhi ya history itawasaidia sana watu kuelemika na huta trending sana..

  • @history360xtra4
    @history360xtra4 3 ปีที่แล้ว +8

    Jamal April
    Likes zenu jamani

  • @kimsajudo9417
    @kimsajudo9417 3 ปีที่แล้ว +19

    Big up bro Jamal, Professor 🙌

  • @beatricejeremiah3735
    @beatricejeremiah3735 3 ปีที่แล้ว +4

    I like u professor jamal👍✌✌❤

  • @user-fo5tf1zx3l
    @user-fo5tf1zx3l 9 หลายเดือนก่อน

    Story iko makin Sana big up kwako jmar

  • @musruabdallah3563
    @musruabdallah3563 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamali 🔥🔥.wasafi🔥🔥🔥💪💪👍

  • @sheffirajab3361
    @sheffirajab3361 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wazungu wanatupumbaza wanasema watu weusi tunatokana na sokwe ndio maana sisi ni weusi
    alafu wao wameumbwa na mungu

  • @anselimswai8973
    @anselimswai8973 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice

  • @chrisboya7137
    @chrisboya7137 3 ปีที่แล้ว +21

    I was waiting for this today

  • @bakaryCMD
    @bakaryCMD 2 ปีที่แล้ว +1

    Your great professor of all time

  • @famitoissa5706
    @famitoissa5706 3 ปีที่แล้ว +5

    Binaadamu wa Kwanza ni mnabii Adam na sio nyani, na kama unaaminilo basi nyani ni babu yako wewe unae amini Hilo laana wa mungu nyie, Adam hajawai kuwa nyani ata siku 1 pumbavu zenu.

    • @fahadmudi472
      @fahadmudi472 3 ปีที่แล้ว

      Sasa unamwambia nani

    • @chipagafashion
      @chipagafashion 3 ปีที่แล้ว

      Huyo adam ulimjulia kutoka wap😂😂😂😂 hao hao wazung

  • @Androids1307.
    @Androids1307. 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna ushahidi wa kudhibitisha kwamba mwanadamu alitoka kwa sokwe. It is a theory not a fact. Ni maoni tu. Dunia na vyote vilivyomo viliumbwa na Mungu. Easy and simple

  • @mussajabili6836
    @mussajabili6836 3 ปีที่แล้ว

    Namkubari sana jamari apry Aya uyo sokwe kaumbwa na nani

  • @sambostone8173
    @sambostone8173 3 ปีที่แล้ว +2

    kwa nini tafit nyingi za kisayansi zinafanyika kwao tu na visibitisho au ushahidi unatoka kwenye nchi zao kuna baadhi ya topic ni wrong hasa swala la uumbaji , aliumbwa mtu mmoja(Adam) kisha mungu akamtowa copy akapatikana demu (Hawa)na hawakuwa watu weusi baada ya uzao kuongezeka ndio tumefika idadi tuliyonayo sasa lakini je? vipi kuhusu asili ya mtu (utaifa) tamaduni na misingi ya kitaifa. Nataka kujua mataifa yalitokeaje na kwenye taifa/nchi kuna makabila na hazifanani asili yake ilitokeaje au ilipatikana vipi??? Kama majibu hakuna basi habari ya kusema binadamu alikuwa sokwe ni UWONGO 100% !!

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 3 ปีที่แล้ว +3

    Masokwe ni mayahud waliomkufuru Mungu wakageuzwa masokwe.

  • @akimjuma2026
    @akimjuma2026 3 ปีที่แล้ว +5

    Like zangu jaman

  • @nihamdaudi6073
    @nihamdaudi6073 3 ปีที่แล้ว +2

    Big up brother sana Tena 🙏🙏 thank you for this 🥰

  • @allysaidi1044
    @allysaidi1044 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali shule imelala

  • @mahadboy5124
    @mahadboy5124 3 ปีที่แล้ว +2

    sokwe ni binaadam ambao hawajitambui ambao hawaja xom vitabu ya din wana sikiliza stry Adam ndo binaadam wa kwanza na ameumbwa kutokana na udongo xaa nyny sokwe watu mujuane

  • @mwanahawa6362
    @mwanahawa6362 3 ปีที่แล้ว +2

    Boss

  • @ismailchidako7595
    @ismailchidako7595 3 ปีที่แล้ว +8

    Professor 💥💥

  • @bettybetty8717
    @bettybetty8717 3 ปีที่แล้ว

    Very professional @Jamal thanks

  • @ramadhanihamisi3522
    @ramadhanihamisi3522 3 ปีที่แล้ว +1

    kama kweli binadamu wakwanza nyani jee binadamu wapili hawa jee nae alikua nani

  • @davidmalahya6232
    @davidmalahya6232 3 ปีที่แล้ว +5

    Professor💪💪💪💪

  • @wilbrightkisamo8560
    @wilbrightkisamo8560 6 หลายเดือนก่อน

    Nakubali professor

  • @hassanikombe9053
    @hassanikombe9053 3 ปีที่แล้ว +2

    duuuh,.basi kuna uwezakano mkubwa kuna binaadam kipindi icho walifanya mapenzi na sokwe,...?? muingiliano wa vinasaba ukaleta matokeo kama ayo

  • @slimmahmoud2310
    @slimmahmoud2310 3 ปีที่แล้ว +2

    Professor

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndio professor sasa jamaa anajua na anavigezo vyote vya kua professor hongera sana jamal

  • @hamisimkima117
    @hamisimkima117 ปีที่แล้ว

    Jamani e! Nazd kuamini Qur'an 👈 Ndie kitabu cha Haki kutoka kwa Allah 👈 Ametueleza ndani ya Qur'an kwamba Waliofanya kufuru miaka hiyo Allah akawageuza Manyani yani Masokwe Sura ya pili Baqara leo wanasayans wanaangaika kutafuta Ukweli rejeeni kwa Allah na Mtume Muhammad Hapo ndio Mwisho wa Matatzo 🙏🏿

  • @willyjulius3304
    @willyjulius3304 3 ปีที่แล้ว +2

    Wasafiiiii

  • @edgaredward5438
    @edgaredward5438 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamal April. ... hukosei mzee baba

  • @saviolasylevester9590
    @saviolasylevester9590 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamaaal ... professor..

  • @nurddinmahmud5052
    @nurddinmahmud5052 3 ปีที่แล้ว +4

    Professor 🙏🙏

  • @stiveerasto1683
    @stiveerasto1683 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna otofauti mkubwa sana kati ya sayansi na historia. lakini msimuliaji anasema wanasayansi ndio waligundua binadamu alikuwa sokwe na wakati huo sio kweli. na wanasayansi hilo swala wanalipinga.
    Na wanaosema binadamu alikuwa sokwe ni wanahistoria kwahiyo na ktk simulizi zijazo jaribu kutofautisha kati ya mambo ya kisayansi na historia.

  • @hashimlowela294
    @hashimlowela294 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂wazungu walitulisha matango pori hapo na ukitaka kujua Hilo kwahapo wapo tayari kusema binaadamu waKwanza alikua Africa Ili tu sokwe tuwe sisi sio wao washenzi sana wale

  • @domimido8460
    @domimido8460 3 ปีที่แล้ว

    Nakubal profesar

  • @lightuniversaltv2714
    @lightuniversaltv2714 3 ปีที่แล้ว

    Yes nakubali bob jamal mwezi wa nne