leo nimeamini huyu jamaa anasimuliaga vitu vya kweli mana sehemu aliyoitaja ni kwetu na hizo sehemu zipo tukienda kuchunga tulikuwaga tunaona hizo nyayo za mwanamalundi pia kuna mwamba mwingine alikuwa anaitwa chalya naye historia yake inasisimua pia stori ya ibamba ngulu nilisimulia na mama yangu mzazi, keep it up bro unafanya utafiti wa kina hii habari ni ya kweli kabisa.
Denis nakuelewa san mkuu. Keep up kutupa vitu vitamu havichosh kuskilza, unatufundsha vtu vng sana kuhus maisha na historia ya watu weusi. Nakuombea sik moja uje kua kiongoz Mkubwa katka hii nchi naamini utakua kam JPM kwa philosophy na mtzamo wako dhid ya Whites.
Ukweli ni kwamba sisi tulikuwa na manabii na wazungu waliwauwa manabii wetu ili kuwatangaza wa kwao na ss waafrica tumeferi ktk hill kwa zipo baraka ktk kuwatangaza manabii zenu na mbaya zaidi mmegeuza majina yao kuwa mizimu lakini wazungu wanawaita watakatifu shtuken waafrika
Hongera sana. Kupitia hii simulizi, Leo nimewasimulia watoto wangu kuhusu Mwanamalundi. Maana baba yao anapenda sana kuwasimulia kuhusu Legend stories za tamaduni yake ya Czech au Ulaya. Sasa na mimi nilivyoisikia hii nimewasimulia. Mtoto wangu wa Kiume amefurahia pale kamba ya kunyonga ilipokatika na Mwanamalundi alipojamba na wasukuma wakapata Ng'ombe wao 😆☺️. Unasauti nzuri sana yakusimulia, inanikumbusha David Attenborough akivyokuwa msimulizi mzuri kwenye makala za historia na wanyama. Endelea hivyo hivyo, kizazi chetu tunajikomboa kifikra.
Umefanya vema sasa Dada. Vijana hawa wanafanya kazi nzuri sana katika kusimulia vizazi vijavyo historia za mashujaa wetu wa Tanzania. Nimekulia Tanzania kwa miaka 30 lakini sikuweza kusikia simulizi hizi. Inanikumbusha kipindi cha miaka ya 90 ambapo tulikuwa tunasikiliza kwenye redio RTD kipindi cha “mama na mwana” saa 8 kamili mchana.
safi sana story nzuri na inamafunzo kwa watu wa africa tunatakiwa kuthamii vya nyumbani na kuvaamini kabca maana ata leo ukikutana na msukuma halisi atakuambia mwanamalundi ni mchawi wa kutupwa
DUH story nzurikabisa, tunamisi sana sauti yako, tunatamani ingilikuwa ivi kilasiku, kwamaana umeshadipote, sanasana kuusu ukombozi na kuzungumzia kuhusu viongozi wa africa.
unachosema kweli....yule jamaa aliwalisha watu kibao kwwa mikate miwili....lakina mwanamarundi anakausa mti wanamuona mshirikina yule wa israel ni uwezo wa mungu africa banaa
Omg nimesoma wasomi huru gerezani, ukombozi wa fikra, na tumbo lisiloshiba na leo nimekusikiliza bila kujua ni wewe mtunzi wa vile vitabu😥 naamini tutaikomboa jamii kwa juhudi zetu sote tukiwa wawazi!!
Hawa washkaji uwa nawasiikiliza uzalendotu ila kwamachungu mengi sana hawa majaa wameni kula hela yangu eti watanitumia kitabu paka kitabu akijafika mwezi wa6 hivi nikiwahandikia eti bado kunatatizo kwelii tatizo lisiohisha kwamyiezi yotehiyoo
napenda sana stori zako lakini ni story za juzi tuu nataka unipe story ya chief mangungo na baba yake masaki . habari zao zipo hata makaburi yao lakini yamefichwa na watu wamejua

Nikutafute unipeleke🙏
Nichek mi nkupeleke kwenye nyayo zake utaona na mti alioukausha
Ukitaka kuyajua maeneo yote haya ya mwanamalundi nitafute nikupeleke
@@simonballu1124 nice
Historia imebeba mengi , tuitafute historia, tujitambue.
Shukran kwa uchambuzi wenu .
Tatizo atutimizi marengo ndugu yangu
Denis nakuelewa san mkuu. Keep up kutupa vitu vitamu havichosh kuskilza, unatufundsha vtu vng sana kuhus maisha na historia ya watu weusi. Nakuombea sik moja uje kua kiongoz Mkubwa katka hii nchi naamini utakua kam JPM kwa philosophy na mtzamo wako dhid ya Whites.
Ukweli ni kwamba sisi tulikuwa na manabii na wazungu waliwauwa manabii wetu ili kuwatangaza wa kwao na ss waafrica tumeferi ktk hill kwa zipo baraka ktk kuwatangaza manabii zenu na mbaya zaidi mmegeuza majina yao kuwa mizimu lakini wazungu wanawaita watakatifu shtuken waafrika
Hawana uwelewa kabisa me nawahurumia sana
Great voice, narration and metaphors....kiswahili kitukuzwe
Tuliopo hapa 2024 tujuane kwa like kwa fundi ananias
Watu wengi hapa kuna kitu hawakijui (1)-Kabuli la huyu Jamaa lipo Kijiji kimoja kinaitwa SEKE IDIDI (SHINYANGA) mpk Sasa lipo
Huko ni kwetu kabisa ndio nmezaliwa huko.
SIMIYU au Shinyanga?
Hongera sana. Kupitia hii simulizi, Leo nimewasimulia watoto wangu kuhusu Mwanamalundi. Maana baba yao anapenda sana kuwasimulia kuhusu Legend stories za tamaduni yake ya Czech au Ulaya. Sasa na mimi nilivyoisikia hii nimewasimulia. Mtoto wangu wa Kiume amefurahia pale kamba ya kunyonga ilipokatika na Mwanamalundi alipojamba na wasukuma wakapata Ng'ombe wao 😆☺️. Unasauti nzuri sana yakusimulia, inanikumbusha David Attenborough akivyokuwa msimulizi mzuri kwenye makala za historia na wanyama. Endelea hivyo hivyo, kizazi chetu tunajikomboa kifikra.
,
Umefanya vema sasa Dada. Vijana hawa wanafanya kazi nzuri sana katika kusimulia vizazi vijavyo historia za mashujaa wetu wa Tanzania. Nimekulia Tanzania kwa miaka 30 lakini sikuweza kusikia simulizi hizi. Inanikumbusha kipindi cha miaka ya 90 ambapo tulikuwa tunasikiliza kwenye redio RTD kipindi cha “mama na mwana” saa 8 kamili mchana.
Salute san kiongoz unatufundish vitu tusivyovijua, mung akuongoze....
safi sana story nzuri na inamafunzo kwa watu wa africa tunatakiwa kuthamii vya nyumbani na kuvaamini kabca maana ata leo ukikutana na msukuma halisi atakuambia mwanamalundi ni mchawi wa kutupwa
Mimi nimesoma mwakilyambiti secondary school hiyo history ni ukweli mtupu mpka kwao mwana malundi napajua mwakubiringa
huo usimulizi wako uko juuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaana>>> You are a great narrator bro.. so catchy
the voice of the voiceless King Dennis
👍🏽 the voice of the faceless king D
Nimeipenda sana hii ni kumbukumbu nzur zinatukumbusha Asili yetu tuliko toka Ananias tuletee na simulizi za mwamba wengine wa tz
DUH story nzurikabisa, tunamisi sana sauti yako, tunatamani ingilikuwa ivi kilasiku, kwamaana umeshadipote, sanasana kuusu ukombozi na kuzungumzia kuhusu viongozi wa africa.
Asante sana kwa simulizi nzur
Ndani ya story yako tunapata story nyingine ndogondogo nzuri sana asanteee
unachosema kweli....yule jamaa aliwalisha watu kibao kwwa mikate miwili....lakina mwanamarundi anakausa mti wanamuona mshirikina yule wa israel ni uwezo wa mungu africa banaa
Pamoja brother big up
Chapa kazi Wadau, tunapenda simuulizi zenu katika mambo mbalimbali. Diaspora ya Watanzania UK
Kaka Danisi asanteh Kwa historia nzuri, pale kishapu secondari Kuna sehemupia yenye alama za makalio yake na mashimo ya Bao pia aliko lala mbwa wake
Safi sana hio story.wasukuma tuko juu.asante kwa kutukumbusha ntemi wetu lgulu(mbingu) mwanamalundi.wabeja sana
Hakuwa mtemi,alikuwa mcheza ngoma
Annanias uje kunifundsha kusmulia story. I really appreciate unavosimulia.
Nikirudi tz nitakutafuta nipate vitabu vyako kaka ni kwa ajili ya watt wangu hupenda sana kusoma vitabu vya histor ya waliotangulia
Historia nzuri sana.
Safi. Tunatengene filamu yake sasa
Ikikamilika Hiyo filam unijulishe ntachukua CD
Huyu ndo Yesu sasa wa kweli
Huyu ndio Yesu asee maana kaacha nyayo zake juu ya mawe kaka
😂
Great voice 👍
Naomba uniadd kwenye group la Makala za Denis MPAGAZE brother
Ananias Edgar, upo vizuri Sana,
Naomba nipate soft copy, Pia naomba nijue Kama una vitabu Aina zingine, ili niangalie nichukue vitabu vingine Pia.
Nakubali sana kaka big up 💯💯💯
Kweli kaka Denis watoto wa sikuizi wanaingilia paka maongezi ya watu wazima
Asante
Nakubali Bro hauna baya kuna watu wamelala mpaka leo
We nyoko umetisha
Kwa Uchambuzi tu Asante❤️🙏🏾🇰🇪
Wasukuma tunapenda ndege ndio maana JPM alizinunua Kwa wingi sikupingi 💃💃💃
Za masiku Joyce?? Umepotea Sana... Uje upande ndege😋😃
History inakubid uwe Makin kuitafakal maan mmmmmmmmh Asante
Nakumbuka sana nikiwa mtoto tulikua tunaambiwa mwanamalundi alikua kilima viazi ASUhi jioni anachimba viazi anaanza kura
Congratulations
Safi
That is it . GOD BLESS WE
Simulizi tamu sana..keep up good work.
Nimekuelewa sana nanimejifunza mengi ahsante sana nakubali kazi yako❤
Nimependa sana simulizi yako endelelea kupambazuwa waatu
Nikweri kaka mungu akuongoze hivovo
I had this story in my degree I respect u umeenda deep ad naogopa
Love you Grace
safi sana mwamba kwakusamini vyakwetu ama kweli umenikumbusha mbali sana ❤
I appreciate your work bro
Yaani watanzania sis tuna vitu amazing na hatuvijui
Kakah iachie sisi tuenjoi leo mana kitambo sana tumeisubiri hii
Noma sana, yani ile Historia ya Tanzania ingefundishwa mashuleni wewe ndiye ungekuwa mtu muhimu sana.
Mimi napenda sana simulizi ukisimuliwa na Ananias Edgar halafu iwe ndefu kama ile ya Thomas sankara,Mkwawa na Mirambo
Mwanamalundi ni shujaa wa Africa nzima.
hahaha unachekesha mwamba nimkwawa
Napenda kz yako ndugu mungu awe nawe kwakila jambo 🙏🙏
Umeongea point sana bro
Omg nimesoma wasomi huru gerezani, ukombozi wa fikra, na tumbo lisiloshiba na leo nimekusikiliza bila kujua ni wewe mtunzi wa vile vitabu😥 naamini tutaikomboa jamii kwa juhudi zetu sote tukiwa wawazi!!
Kuna anani s edga na Denis mpagaze mmoja mwandishi mwingine msimuliaji
Nimeipenda sana history ya mwana malundi, barikiwa msimulizi
Hawa washkaji uwa nawasiikiliza uzalendotu ila kwamachungu mengi sana hawa majaa wameni kula hela yangu eti watanitumia kitabu paka kitabu akijafika mwezi wa6 hivi nikiwahandikia eti bado kunatatizo kwelii tatizo lisiohisha kwamyiezi yotehiyoo
Hello pole sana.
Tafadhali tunaomba ututumie namba yako whatsapp +255659982764 kwa msaada zaidi.>
Nakubali good tuelimishe maana sasaivi vijana hatuna uasilia wetu
Hangera sana mzee napenda sana kukusikiliza wana jaribu kukuigizaaa lakini wanafel kabsaa.
Duuu bro upo poa sana
Nmefurah sana kupata hii story
Nikirudi Tz 🇹🇿nta tafuta vtabu vyenu ✅
Upo vizuri Sana msomaji na mwandaaji, Ni story inayofundisha Sana.
Nasubiri simulizi hili leo
Dah. Kaka nakukubali sna
napenda sana stori zako lakini ni story za juzi tuu nataka unipe story ya chief mangungo na baba yake masaki . habari zao zipo hata makaburi yao lakini yamefichwa na watu wamejua
Nakukubali sana bro
Hongera Mr Denis.nimeipenda
Hii sio historia sahihi ya Mwanamalundi- ng'wanamalūndi.
huyu jamaa hajazungumzia tumboni mwa mama yake, bali ni mjukuu wa Igulu yaani JISHOSHA.
Igulu bugomola ni nan?
Eee bhana na hyo alie kua anaacha alama ya miguu kwenye mawe ni ibhamba ngulu cyo n'gwanamalund navyo jua Mimi lakin
History ni nzuri kabisa nimeipenda ili kaburi lake lipo seke maeneoya hungumarwa sio simiyu.
Wasukum wanapend ndege 🤣 ndio maan hata hayat JPM 💔 alizinunua kwa wingi 👏
Nimekuwa nikizifuatilia sana hizi simulizi zako, kazi njema kaka. Naweza vipataje hivi vitabu nikiwa Nairobi Kenya?
Kazi nzur sana👏👏
Ni kweli yote. Mimi hapa nimeandika vitabu vitano. Lakini nimekosa wa kunifadhili kea sababu vinazungumzia mila na desturi za kiafrika
Unahitaji ufadhiri Kama tshs ngapi,?
Wafadhiri wapo wengi Sana.
Hiyo unayofanya Ni Kazi Njema Sana.
Nilishelewa kidogo brother,good good🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Good Work Denish
FANTASTIC FLOW
Hakika leo nimejifunza mengi sana kwahi story wazungu nguvu tumewapa sisi wenyewe kwa kukataa vyakwetu na kuvikubali vyakwao.
Good job 254👍👍👍
Mmmm ni kwelii
Unaeleza vizuri sana kamanda
Narration on point 👉
Nope
Uko vizuri but usimhusishe Yesu kwenye mifano..Yesu siyo mshikaji
Miongoni mwao ni wewe toka hapa
Kitangiri jiwe kuu is really home sweet home 🏡
Nakukubali Sana Annanias
Nimependa San brother
🙌🙌🙌👏👏👏👏👏 nakubali,
😂😂😂😂😂😂😂😂 Edgar akianza kusimulia tu huwezi kuchoka kumsikiliza
safi sana
Hakika mswahili alifeli kwatukuza vya weupe. Ndio maana Leo wenye chanjo wameittwa ng'ombe na mahakama za Marekani
Nzuri sana
Napenda Sana story
Fact to be told.
Safi sana mkuu
Jamaniiiiiiii
Story qalii Sana tunamisi saut yako ingekua kila siku
Nimekupenda unavyo simulia 🙏😍💓
Kali sanaa inakubalika
Nimejifunza mengi sana
Kukuskiliza ww hata kama stry sio nzuri utaona nzuri ila hii kali dah shukran
Nakubali