Hakika wewe ni zaidi ya profesa,yaani unavyosimulia nasikiliza kwa makini utafikiri naenda kufanya mtihani Mpaka chakula changu kimepoa, Asante sana profesa Jamal,keep it up...
Kila mtu anaimani yake wao wanamtukuza sisi huku hatuamini kweli mungu mkubwa kwa kutupa elimu na kipawa Cha kutupa kitu ili tumjuwe na tumwamini Asante kwa simulizi tamu Sana ubalikiwe mkono wako uwandishi na kusoma kutupa elimu
laaik zenu jemani wapendwa katika Bwana kama ninyi n washabiki wa Bwana Yesu kwa upande zote mbili Tanzania na Kenya najua wengi ni wapenzi wa move huuu wa safari ya mbinguni hvyo tujivunxe mengi kupitia story huu asanteni sanaaa
Mashaallah well done🙏 allah akuhifadhi na akupe hekma nyingi za kazi zako umeilingania pia dini ya m.mungu allah akuafkie that’s really story book of quraan
Hakuna uthibitisho wowote wa Musa na Waisraeli kuishi Misri, story za firauni sio za kweli. Professor anajua kusimulia lakini anatumia vitabu vya dini ambavyo nivya uongo. Fanyeni research zaidi. Story za Mungu na Kishirikina zote huwasio za kweli.
Hakika uwezi kuchoka story zako kwa jinsi unavyozisimulia na unavyotufikishia ujumbe naisi kama nipo live kwenye icho kisa yani nami nipo misri sasa naona vile firauni anavyofanya ukaidi wake kwa Allah ..hakika una story tam na zenye kutufunza mwenyezi akujaze upeo akinifu tujifunze kupitia kwako in sha allah
Aaaah huyu jamal Muache tu Alivyo Edigar Nilimsikia Akikoseya katika Story mmoja Ila Jamal nimefatilia kimakini sana kwa zile storia Zinazo simuliwa hata ndani ya Quran hajawahi kukosea Jamali nimemfatilia kwa zile storia Mungu anazo tusimulia katika Quran anazitoa vilivyo ilihali wanahistoria wengine unakuta wanaongezaga ilihali Mungu kasha eleza historia ilivyo kua
Nakukubali sana tena sana ! Ila usiwe unasema Quran au bibilia! Wee sema tu vitabu vywa mwenyenzi mungu ! Ni maoni yangu tu. Ili tusipendelee upande mmoja ili iyonekane kwamba vitabu vyote vinamzungumzia mungu mmoja tunae mwabudu wote
Professor.. Ama hakika elimu unayoitoa hasa hizi za masuala ya Mungu nakuhakikishia wewe ni sehemu ya kuokoa watu na wakamuamini Mungu Baba.. Unatoa mafunzo yenye kuthibitisha kuwa Mungu yupo na ndiye kila kitu kwetu na wasio amini waamini tangu sasa ...
@@willygraphics360 Ukisoma historia harisi ya kila farao utaona hakuna farao mwenye uhusiano na kipindi icho cha Musa, Yani kwa kifupi hakuna historia yoyote ya uwepo wa Waisraeli kuishi Misri.
@@herikaniugu hebu tupe historia yako na wewe tutofautishe siyo unabisha bisha tuu njoo tubishie kwa evidence,maana kama vitabu vitakatifu vimeongelea full kuhusu historia ya waisrael na wamisri halafu we unabisha tuletee ushahid wako basi
@@ezeedi871 vitabu vitakatifu? vitabu vilivyoandika ni sawa kuua wanawake wajawazito na watoto kwa Mafuriko. Vitabu vilivyoandika ni sawa kulaani wanadamu wote eti kisa watu wawili wamekula tunda. Hizi dini zifutwe tu, sion tofaut na ushirikina. Yan kwenu ni sawa tu ww kwenda mbingun kucheka na Mungu alafu mama yako akachomwa moto kuzimu. Achen kusapot ushirikina nakuuita utakatifu
Hakika wewe ni zaidi ya profesa,yaani unavyosimulia nasikiliza kwa makini utafikiri naenda kufanya mtihani
Mpaka chakula changu kimepoa,
Asante sana profesa Jamal,keep it up...
Naombeni like maalum kwa urafiki wa kenya na tanzania😉🇰🇪🇹🇿❤
Mamboo
Yaan ww
Dah kwel huyu jamaa alikuwa ni hatar
@@abubakarysuleyman5232 🇹🇿
Ah
Unatisha sana.. Jamal 💥💥..like nyingi kwakee
Nakukubali Sana Jamal Allah yupo na hakuna mungu mwengnee ambae anapaswa kuabudiwa ila Allah
Ama kwa hakika hii story imeinua imani yangu Mungu akuzidishie kwa mauwaidha yako
Natokea Kenya ninapenda sana the story book nawainulia kidole gumba wasela.
Napenda kuwa umesimulia kama ilivyo katika Quran takatifu..
Hakika kaka
Inafundisha
The storybook is so addictive. Every day I must watch an episode. Thumbs up Prof. Doing a great job.
King of the story in Africa and worldwide 🌍🌎🌏
Yes yes yes👏👏👏👏🙌🙌
Kila ki2 chako ni smart kaka mpka cmuliz aahh be blessed miaka yte
👏
Kila mtu anaimani yake wao wanamtukuza sisi huku hatuamini kweli mungu mkubwa kwa kutupa elimu na kipawa Cha kutupa kitu ili tumjuwe na tumwamini Asante kwa simulizi tamu Sana ubalikiwe mkono wako uwandishi na kusoma kutupa elimu
Story nzuri hii nimekubali from content background sound huwa inaleta hisia flani kama wakubaliananami finya like tukisonga 💥💥😊
Back ground sound ni on 🔥
Mansha Allah kumbe we ni mwislamu.
Hakika Quraan haijaacha kitu kaka #JamalApril ALLAH akuweke uendelee na hyo kazi ni nzur👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Naam
Kumita yesu mungu nako sio kukufuru?
@@idrishemed2219 Relax kijana Kasome vzri kuhusu Yesu kuja duniani, Yesu alikuwepo kabla hata ya Dunia kuumbwa
@@princegerard4704 😀😀😀😀😀😀😀pôle yako kaka
@@idrishemed2219 jamaa vp
ALLAH akbar×100
More than🥰
Mashallah umelet Jambo la maan san
Mungu amsamehe maana hakujuwa alifanyalo
Hii ndo saut watu tunataka sasa ♥️♥️♥️ More Love WCB
🙏💕💕
Nilikuwa nasubiria kweli kuhusu historia hii thanks
Natamani Sana kumwona Jamal moja Kwa moja,,kielelezo changu,,much love from Kenya😍😍😍😍😍
Safi sana ndugu
Safi sana ndugu
Wao
laaik zenu jemani wapendwa katika Bwana kama ninyi n washabiki wa Bwana Yesu kwa upande zote mbili Tanzania na Kenya najua wengi ni wapenzi wa move huuu wa safari ya mbinguni hvyo tujivunxe mengi kupitia story huu asanteni sanaaa
Mazeee huyu jamaaa anajua mi namkubaliii 1love to Jamar. He has story telling skills best❤
Can't stop following you Man Mungu aibariki kazi ya mikono yako
Mimi sijawahi kupata likes😭😭
Kwaiyo tukusaidiaje?
Zinasaidia nini
😮
😂😂😂
Uko na yangu
Kitu kmoja tuu naweza sema ikumbukwe prof Jamal is the asset huyu jamaaa ni zaidi ya noma God bless you Jamal you're the best ever know that
I like the way you provide your story ithink you deserve to proffessor
E mwenyezi mungu tunaomba utunusuru na utuokoe na mabaya yote wew ndio mungu tunaye kutegemea 😭🙏🙏🙏
I can't stop watching this💪💪
You deserve a ward 🙌🏿🙌🏿🙌🏿bless your soul
Sffffff
Pamoja sana kaka hujawahi kukosea kabisa katika kazi yako
“It’s Easier to Fool People Than It Is to Convince Them That They Have Been Fooled.” - Mark Twain
Embu gonga like hapa afu mnambiE huyu jamaa ni mtu wa kawaida kweLi let's get it 💪
Je t'adore vraiment je n'ai jamais écouté ce l'histoire merci
Mashaallah well done🙏 allah akuhifadhi na akupe hekma nyingi za kazi zako umeilingania pia dini ya m.mungu allah akuafkie that’s really story book of quraan
The hottest story ever, good news prof.
Awesome....I Really Like This Guy Professor Jamal mustafa.The Way Unatusimulia Stories Kwa Umakini Sanaa,GOD BLESS YOU Bro
PROFESSOR JAMAL YOUR AMAZING 👏 👏👏
G😂😂😘😚🥳😚
This guy needs more attention please he is not normal to me. Keep it up brother.💪🔥
Hakuna uthibitisho wowote wa Musa na Waisraeli kuishi Misri, story za firauni sio za kweli. Professor anajua kusimulia lakini anatumia vitabu vya dini ambavyo nivya uongo. Fanyeni research zaidi. Story za Mungu na Kishirikina zote huwasio za kweli.
@@herikaniugu ww tupe io yko yenye ukweli !
@@thureyaalkindy9373 hahahahahaahha
@@chuxxepcgametv3864 kunawatu wanajifanya wanajua ....na sijui dini gan uyu aliekuwa haamini maandiko ya biblia ama qur_an
@@herikaniugu ww asaaa huna akil
Thanks my GOD for keeping with good healthy
Hakika uwezi kuchoka story zako kwa jinsi unavyozisimulia na unavyotufikishia ujumbe naisi kama nipo live kwenye icho kisa yani nami nipo misri sasa naona vile firauni anavyofanya ukaidi wake kwa Allah ..hakika una story tam na zenye kutufunza mwenyezi akujaze upeo akinifu tujifunze kupitia kwako in sha allah
❤❤❤❤ yan nimewapend bure wat mnaoiskiliz hii story maan mm mwenyew napend story zinazohusish historia zilizopita za sa hv na zijaz bless u alll
Real professor ❤️👀🇹🇿
Wao since am seeing the story book today I hv seen u humble guy
Nimekua wa misho kutazama naomben like zangu
Good work Jamal 👌
Thank you professor jamal april professor my all time srory before i sleep
Mambo mazuri Sana na ya kufundishaa ,nawashukuru
Nakubali sana Jamal April ishi sana miaka mingi🥰🥰🥰🥰
I like this guy he is so talented he has nice voice he got all God blessed u jamal
Much love from Kenya
I'm from Kenya, representing 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Ananias Edgar 🌹🌹🌹
Aaaah huyu jamal Muache tu Alivyo Edigar Nilimsikia Akikoseya katika Story mmoja
Ila Jamal nimefatilia kimakini sana kwa zile storia Zinazo simuliwa hata ndani ya Quran hajawahi kukosea
Jamali nimemfatilia kwa zile storia Mungu anazo tusimulia katika Quran anazitoa vilivyo ilihali wanahistoria wengine unakuta wanaongezaga ilihali Mungu kasha eleza historia ilivyo kua
Kk vp
Yaani nimefurahishwa nahiyii story naamini mungu nimukubwa ❤❤❤❤❤❤❤
Km unakubali the story book ni 💥💥💥wa,kuotea mbali tujuane kwa,like za kufa mtu
Yaallah utupe mwisho mwema
Amazing one plz come with Bermuda triangle story❤️❤️❤️
He has already did it
Jamaal mashaallah Allah akuongoze na akusimamie kaka ktk kz yako uko sawa mia mia ntakutafuta
Jamal April is best in making story 🙌🙌🙌🙌🙌
Ahsante Kwa taarifa kutoka this story book.
Mashallah jamal u are so good wity ur job u are too smart guy
You re amazing jamal
You deserve to be called professor✊
Aki tasania
God be with u prof Jamal
Professor anajua mpaka anakera👏👏...like if you are with me
Allah Allah shukran mungu wangu ❤ from Uganda 🇺🇬
You are fire🔥
Thank you so much for the story.
Ahsante Sana Wallahi Asia ni mja mwema hadi machozi yamenitoka.
Mashallhhh mashallhhh mashallhhh mashallhhh mashallhhh mashallhhh 🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️stori nzuri xna bi hasia Allha amrehem inshaaaallha 🙏🙏🙏
Mungu nipe mwisho mwema
It's good to know our own history its exciting and act as a presitage
Sihata our president wetu ruto ndiyo ajua kesho hatakuwa yeye nomubijia tu AMEN
Unajua bro uko vizur san👍👍👍🔥🔥🔥
You're the king
Good job
wachawi wako vizuri wali jua kusudio la mungu......walishindwa kumchinja mlengwa tuu....
Mhmhmhmhmhm,
Asante nimekuelewa
Hongera sana kumbe umeisoma hata dini
SubhanaAllah...inasikitisha sana
Jamal professor unajua kakaangu.ALAH AKUWEKEEE UZIDI KUTUELMISHA.wengne twaona tabu kusoma vitabu,mambo mengi hii Dunia bora utuhadithie tu
Unachelewa sana kijana wangu jamal
Mungu akubariki professor Jamal
Professor Jamal 👍
Nakukubali sana tena sana !
Ila usiwe unasema Quran au bibilia!
Wee sema tu vitabu vywa mwenyenzi mungu !
Ni maoni yangu tu.
Ili tusipendelee upande mmoja ili iyonekane kwamba vitabu vyote vinamzungumzia mungu mmoja tunae mwabudu wote
You are the best .wish all the best
😢😢😢😢 allah akbar ya rabbi tujarie mwisho mwema Allahumma AMEEN
Maashaala tabaraka mungu akubariki
From Congo Brazzaville watching now
Mashaallah Asante saana bwana Jamal 🌙
Mungu tujalie mwisho mwema waislamu wote duniani amin
Bro unajuaa sanaa keep it🔥🔥🔥🔥
Amen mungu akubariki kwafunzo hilo
Ubarikiwe Sana Jamar 😍😍
Professor.. Ama hakika elimu unayoitoa hasa hizi za masuala ya Mungu nakuhakikishia wewe ni sehemu ya kuokoa watu na wakamuamini Mungu Baba.. Unatoa mafunzo yenye kuthibitisha kuwa Mungu yupo na ndiye kila kitu kwetu na wasio amini waamini tangu sasa ...
Sio elimu, hii nikuzidi kupotoshona. Story ya Musa sio ya kweli, Hakuna evidence yoyote na wala haithibitishi uwepo wa Mungu. Fanya research zaidi.
@@herikaniugu Sa wewe unajua story ya kweli??
@@willygraphics360 Ukisoma historia harisi ya kila farao utaona hakuna farao mwenye uhusiano na kipindi icho cha Musa, Yani kwa kifupi hakuna historia yoyote ya uwepo wa Waisraeli kuishi Misri.
@@herikaniugu hebu tupe historia yako na wewe tutofautishe siyo unabisha bisha tuu njoo tubishie kwa evidence,maana kama vitabu vitakatifu vimeongelea full kuhusu historia ya waisrael na wamisri halafu we unabisha tuletee ushahid wako basi
@@ezeedi871 vitabu vitakatifu? vitabu vilivyoandika ni sawa kuua wanawake wajawazito na watoto kwa Mafuriko. Vitabu vilivyoandika ni sawa kulaani wanadamu wote eti kisa watu wawili wamekula tunda. Hizi dini zifutwe tu, sion tofaut na ushirikina. Yan kwenu ni sawa tu ww kwenda mbingun kucheka na Mungu alafu mama yako akachomwa moto kuzimu. Achen kusapot ushirikina nakuuita utakatifu
Laanatu amelaaniwa Allah subhanna wataala
MIMI NASIKILIZA 2023 HII THE STORY NI TAMU😂😂😂😊😊❤
Mimi 2024😂haichoshi Yan
Mungu akupe hekima na maarifa zaidi kk jamal April
Nime kukubali sana Amen 😊
Much love from 🇶🇦🇹🇿♥️♥️
Professor ✍️🙌🏻❤️💖💓💓
From 🇰🇪 much love
Vizuri sana inaelimisha
Allah akujalie bro
The story book 🔥🔥🔥