MTOTO WA MIAKA NANE MCHAWI AKIELEZA ANAVYOLOGA Part 3/5 - Bonyeza SUBSCRIBE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2016
  • Description

ความคิดเห็น • 384

  • @justindaniel2424
    @justindaniel2424 2 ปีที่แล้ว +10

    Ubarikiwe mtumishi.kazi ya MUNGU unaifanya kweli kweli.natamani na Mimi nikaifanye kazi ya mungu

  • @marinamarina4425
    @marinamarina4425 2 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂 huyu mtoto anajuwa mambomengi Haki mungu amwondowe katika ulimwengu wa giza mungu nana weza 💪

  • @stellahoyiellah454
    @stellahoyiellah454 3 ปีที่แล้ว +5

    Achilia moto,Fire Fire 🔥 🔥 🔥,Moto wa Yesu, Mapepo yashindwe In Jesus Name

  • @stellahoyiellah454
    @stellahoyiellah454 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu we ni mkuu,Hakuna linalo kushinda,🎂Simama na watoto wetu,Shetani hana maamulaka kwa maisha ya watoto wetu,Amina Mungu nimkuu.

  • @alisaalis9218
    @alisaalis9218 6 ปีที่แล้ว +19

    Mungu kumbuka watoto wetu,wazingire na damu yako ,AMEN

    • @chaomiriam528
      @chaomiriam528 4 ปีที่แล้ว +1

      AMEEEEEN in JESUS CRIST NAME AMEEEEEN!!!!!

    • @mariyaal5366
      @mariyaal5366 4 ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @bagashekifelix5556
      @bagashekifelix5556 3 ปีที่แล้ว

      Wewe mch. Gwajima acha kumlisha motto maneno mdomoni hajasema katoliki wewe unalazimisha aseme wanachukua maji ya baraka kanisani katoliki kweli.? Acha kuaminisha kuwa wakatoliki ndiyo wana maji ya baraka tu.

  • @carolyneoirere4748
    @carolyneoirere4748 3 ปีที่แล้ว +1

    God bless u Bishop haya mambo yako wenye kupinga wacha waendelee kupinga sisi tuko nyuma yako kiroho in Jesus name

  • @devothamwapinga7383
    @devothamwapinga7383 3 ปีที่แล้ว +5

    Damu ya yesu iwafunike watoto wetu

  • @selinaingado2669
    @selinaingado2669 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapo nimambo mbaya nikubaya wah ehe

  • @heppyfulenki6266
    @heppyfulenki6266 2 ปีที่แล้ว +2

    Jaman mung atusaidie

  • @marynjeri8500
    @marynjeri8500 7 ปีที่แล้ว +11

    Amen Amen.Mungu azidi kukutumia na akuongee vipawa vya roho mtakatifu.Mtumishi wa mungu.

  • @briemusa5968
    @briemusa5968 7 ปีที่แล้ว +13

    Dah barikiwa sana mtumishi wa mungu akuzidishie nguvu uzid kuokoa roho za watu

  • @helenebeatrice8756
    @helenebeatrice8756 7 ปีที่แล้ว +8

    Pastor thank such for bringing people back again.

  • @fatmaabdara2294
    @fatmaabdara2294 3 ปีที่แล้ว +1

    Eeh mungu vinusuru vizazi vyetu na mapepo maovu

  • @BabyRas5927
    @BabyRas5927 4 ปีที่แล้ว +11

    😂😂🤔duh mtoto anaongea huyu....mungu wngu 🙆‍♀️

  • @europowertoolstz8395
    @europowertoolstz8395 7 ปีที่แล้ว +11

    ASKOFU GWAJIMA,katika umri wa huyo mtoto na ufahamu wake havina uwiano.Huyo mtoto ana uwezo mkubwa sana kiakili.Mungu ana kusudio na maisha yake na kanisa pia.Naomba tumsaidie asome huyo kwa mapenzi ya mungu aweza kuwa mtumishi mwema na ana maono makubwa kwa umri alionao.Huyo ni askofu ajaye na ikiwezekana akae katika makazi yako ya kulelewa kiroho na kusaidiwa kwa karibu kubadili tabia na kucoupe na maisha mapya ya ukristo.

    • @julianamwita7175
      @julianamwita7175 7 ปีที่แล้ว

      mimi naitwa juliana steven naishi msasani nasalikatika kanisa la wasabato. ILa kwasasa nimechoka nailo kanisa kwasababu mm niliolewa na mume msabato.mimi nilikua nasali kanisa la pef.Napenda sana maombi yako mchaganji maana nimekuwa nimtu mwenye misusuko natamani kurudi kwa yesu niokolewe

    • @lovedawin4105
      @lovedawin4105 7 ปีที่แล้ว

      Juliana Mwita nguvu ya Mungu IPO ndani yakila mwanadamu,usingojee mpaka Fulani akuombee,jiombee mwenyewe na uangalie mienendo yako isivunje amri za Mungu,hapo unakua umefanikiwa katka sala zako

    • @loematluway1664
      @loematluway1664 6 ปีที่แล้ว

      paMungu atukuzwe nason .;enterprises

    • @loematluway1664
      @loematluway1664 6 ปีที่แล้ว

      panason enterprises haleluyaaaaaaa

    • @emmanuelmbelele8954
      @emmanuelmbelele8954 2 ปีที่แล้ว

      👍

  • @dominickmakanjila2579
    @dominickmakanjila2579 6 ปีที่แล้ว +6

    Mtoto huyu ni genius kwa vile anavyojieleza! Jamani apelekwe shule maalumu!

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 5 ปีที่แล้ว +1

    Waa maajabu God bless you pastor

  • @emajonasani3798
    @emajonasani3798 ปีที่แล้ว

    Afanyiwe maombi uyo mungu amponye

  • @emaesthermuchiri6208
    @emaesthermuchiri6208 7 ปีที่แล้ว +10

    Amen....Baba Mungu akubariki kwa kzi hio" sio wengi wanaweza kujitolea kama,,hivi wewe barikiwa sana...Amen

    • @lucyhussein7126
      @lucyhussein7126 3 ปีที่แล้ว

      Mchungaj mungu akuongezee miaka ming dunian nakukubal

  • @lawrencemuriithi4786
    @lawrencemuriithi4786 7 ปีที่แล้ว +11

    may almighty God bless you pastor for work of Jesus ministry

    • @chaomiriam528
      @chaomiriam528 4 ปีที่แล้ว

      AMEEEEEN!!!!!

    • @lisahhans295
      @lisahhans295 3 ปีที่แล้ว +1

      Mwenye namba ya ngwajia pls naombenii

  • @angelpetro4032
    @angelpetro4032 3 ปีที่แล้ว +2

    Ameen kubwa! Mungu ni mwema!

  • @sifangwira90
    @sifangwira90 4 ปีที่แล้ว

    Nyinyi mnao mtukana mchingaji naomba leo katika jina la yesu,matatizo yaje kwenu full na yesu ajidhihilishe kwa hao matatizo maana watu wa dunia hamuamini mungu mpaka mpate mitihani.mungu awaone,nimesikia uchungu sana mtu mzima kuandika matusi,Mimi simjui huyu mchungaji Ila naamini yesu yupo na amafanya kazi kupitia wachungaji.

  • @aminaosman9777
    @aminaosman9777 2 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah!Mtoto huyu wazazi wake wako wapi,Hawaoni vile ana teseka.

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 7 ปีที่แล้ว +10

    Dah..hii kali ya mwaka.!!

    • @faithfaith4782
      @faithfaith4782 6 ปีที่แล้ว +1

      Zahra Munir mtoto mzuri Sana akawa mwaka njamani Mungu muokoe saidia haanchane na uchawi huu 😅😭😭😭😭😭😭😭😱 faith nasikitika Sanaaaaa Jesus Christ you are so faithful
      Amen faith nkiwa
      Qatar

  • @vesitinalevocatus4886
    @vesitinalevocatus4886 6 ปีที่แล้ว +14

    huyu mtoto yawezekana nikweli angekuwa mtumkubwa ningesema kanunuliwa lakini hapa nikweli

    • @naomichisunga1613
      @naomichisunga1613 5 ปีที่แล้ว +1

      vesitina levocatus Ni kweli kabisa wala si maigizo hayo tumuombee huyu mtoto azidi kuamini katika Bwana na walaaniwe waliokuwa wamemteka kichawi

    • @martinluambano4366
      @martinluambano4366 4 ปีที่แล้ว +1

      vesitina levocatus awa watu wapo tena sana sema nini dunia inazalau

  • @zuhuramembe1165
    @zuhuramembe1165 6 ปีที่แล้ว +4

    Subhanallah hii niigizo,aliyemfundi mungu amlaan mpaka cku yamwisho

    • @alicebullet4862
      @alicebullet4862 6 ปีที่แล้ว

      Zuhura Membe acheni kuniongeleeni vitu msivyokuwa na uhakika navyo je? alivyokuwa anafundishwa ulikuepo watu wengine mnajichote mjidhambi wenyewe mmmmchuuuuw ambu nipishe huko

    • @hawankungu7649
      @hawankungu7649 6 ปีที่แล้ว +1

      Alice Bullet ndio kafundishwa,,,hata kwa akil za kawaida we huon kama huyu mtoto kameza

    • @ashurahaji3475
      @ashurahaji3475 5 ปีที่แล้ว

      Zuhura ivi mwalimu gani atakaye mfundisha maneno yote hayo ??

    • @imejachunga9958
      @imejachunga9958 5 ปีที่แล้ว

      Mungu akusamehe mno

    • @ivonaanthony4386
      @ivonaanthony4386 3 ปีที่แล้ว

      Nawe una mapepo

  • @marimarimu3697
    @marimarimu3697 7 ปีที่แล้ว +3

    mtt mdogo huy nyie mlomfundisha mungu awape adhabu kali

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 5 ปีที่แล้ว +7

    Kwamimi nasema ivi uyu mtoto ajatengenezwa asingeweza kujibu kwa uraisi na alaka anajibu kilicho moyoni mwake na alichokifanya na kukiona mbere yake uyu ajafunzwa tuache kupotoshana wakati akili tunazo

    • @secymasanjatv.4819
      @secymasanjatv.4819 4 ปีที่แล้ว

      Awadhi Rajabu kweli kabisa bora wewe umeliona hilo kwenye ukweli maagent wa shetani hupinga daima

    • @silviagithinji1592
      @silviagithinji1592 4 ปีที่แล้ว

      Ukweli kabisa uyu mtoto hajafunzwa ni kitu iko ndani yake watu tumuamini mungu

    • @silviagithinji1592
      @silviagithinji1592 4 ปีที่แล้ว

      Uyu mtoto amepeanwa kweli kwa mapepo

    • @dorrymutheu6717
      @dorrymutheu6717 4 ปีที่แล้ว

      N kweli kabisa alikuwa ajielewi bt vile amefunguliwa anazo fahamu.

    • @toomaaloufi6221
      @toomaaloufi6221 2 ปีที่แล้ว

      Mmhhh watu wengine ni wapofu dunia hii

  • @hayleym4023
    @hayleym4023 7 ปีที่แล้ว

    Amen amen Bishop GWAJIMA mungu aendelee kupa nguvu,ili watu waendelee kuponya kuitia kwako amen amen

  • @jabaktv8423
    @jabaktv8423 4 ปีที่แล้ว +5

    Uongo huo utakutana na mungu tu gwajima utajieleza

  • @mimilenge9548
    @mimilenge9548 5 ปีที่แล้ว +2

    Acheni usanii namimi piya ninamtoto mwenye kipaji icho wanawezakuzungumzaa mambo ukashangaaa toweni upumbavu wenuuu nyieeeeeeee

  • @vannesadevid6670
    @vannesadevid6670 6 ปีที่แล้ว

    Vanessa David mungu azidi kukutendea mengi mtoto mzurii ubalikiwe nguvu zagiza zimeshindwa

  • @masoudhassanghege9530
    @masoudhassanghege9530 3 ปีที่แล้ว +1

    Ooooh uongo mtupu huyu mtoto ametreiniwa na huo ndio ukweli

    • @toomaaloufi6221
      @toomaaloufi6221 2 ปีที่แล้ว

      Wallah mwenye akili yake anaona sema mtt wenyewe mjanja lkn inaonyesha km ni uongo

  • @burtonsatshop2061
    @burtonsatshop2061 7 ปีที่แล้ว

    Miujiza ya Mungu,Mungu ndio kila kitu na vita yetu sio ya mwili bali niya rohoni.

  • @wandonyewakamau5230
    @wandonyewakamau5230 3 ปีที่แล้ว

    Amen God protect our kids

  • @feristerkadodi6228
    @feristerkadodi6228 2 ปีที่แล้ว +2

    Fr

  • @stellahoyiellah454
    @stellahoyiellah454 3 ปีที่แล้ว

    Shetani hana uwezo kwa maisha ya watoto wetu,Ashindwe

  • @user-dr7ug7iv9s
    @user-dr7ug7iv9s 4 ปีที่แล้ว +6

    Ameeni emen mungu nmwema naomba namba za Josepht Gwjima

    • @stellajoseph5681
      @stellajoseph5681 2 ปีที่แล้ว

      Ni nyakat za mwisho jaman mungu atusaidie

  • @suzanjohn954
    @suzanjohn954 3 ปีที่แล้ว +1

    Eee mungu iangalie hii dunia na watu wake

  • @rashidyngassa1014
    @rashidyngassa1014 6 ปีที่แล้ว +1

    daaaaah

  • @raviniajoseph7162
    @raviniajoseph7162 3 ปีที่แล้ว

    Mungu uwalinde watoto wetu shetani hana mamlaka

  • @iminzaiminza5813
    @iminzaiminza5813 5 ปีที่แล้ว +3

    Yaani huyo mtoto 😂😂😂😂😂😂halafu kiswahili cha Tanzania kitamu😘😘😘😘😘😘😘Aki nabambika😁😁😁😁😁

  • @AnaAna-ti4fb
    @AnaAna-ti4fb 6 ปีที่แล้ว +3

    amen

  • @stellahoyiellah454
    @stellahoyiellah454 3 ปีที่แล้ว

    Hallelujah

  • @sheillaterrykerryterrykerr6166
    @sheillaterrykerryterrykerr6166 7 ปีที่แล้ว +5

    pastor God bless for a good work

  • @Ararat_Christ_Ministry.
    @Ararat_Christ_Ministry. 3 ปีที่แล้ว

    Ameen Mbarikiwe

  • @winfredakinyichuchu6380
    @winfredakinyichuchu6380 7 ปีที่แล้ว +1

    how do i download this video???

  • @godfreysalaho3388
    @godfreysalaho3388 4 ปีที่แล้ว +3

    Hii kama imetengenezwa aliye tengeneza adhabu inamhusu

    • @Zaikadena
      @Zaikadena 3 ปีที่แล้ว

      Hii haijatengenezwa mana ni mtoto uyu lzma angesahau

  • @maryangela107
    @maryangela107 5 ปีที่แล้ว +4

    ila hii inaweza kuwa kweli maana mtoto mdogo unapomshirikisha mambo mabaya anakariri kishezi kuliko mazuri ila tumwachieni mungu

  • @giftqueenandwizzking4194
    @giftqueenandwizzking4194 5 ปีที่แล้ว +4

    Wow he is so funny but I thank God because he saved his life

  • @emmienyarnoah5039
    @emmienyarnoah5039 7 ปีที่แล้ว +14

    can his mother come back.. so painfull.. n may you pastor take this child as your own n let him b under Lord's care

    • @reyneshjamanreynesh8933
      @reyneshjamanreynesh8933 5 ปีที่แล้ว

      mimi naomba namba yako mchungaji kwa maomb

    • @musashija5186
      @musashija5186 5 ปีที่แล้ว

      kuna ukweli kidogo sana mnaigiza

    • @chachadr1
      @chachadr1 2 ปีที่แล้ว

      @@musashija5186, hakuna kuigiza hapo! Ibilisi anataka usiamini ili usichukue hatua ili aendelee kukukandamiza na kukutesa!

  • @sifasanga7866
    @sifasanga7866 7 ปีที่แล้ว +16

    mmmmmmh my God.....Gwajima angekua mtu mzima...wangesema umemlipa na kumtrain...sasa huyu je????? chukua huyo mtoto....awe wako

  • @queenramadhan2293
    @queenramadhan2293 7 ปีที่แล้ว +6

    mswibaaa

  • @alexanzuruni1965
    @alexanzuruni1965 4 ปีที่แล้ว +3

    Amen 🙏

    • @happykimaro1080
      @happykimaro1080 3 ปีที่แล้ว

      Jmn mungu yupo ebu tumwamini mungu kwa kila kitu

  • @williamkomba2710
    @williamkomba2710 4 ปีที่แล้ว

    Amina baba

  • @josephmaunde3695
    @josephmaunde3695 6 ปีที่แล้ว +6

    in tha name of jesus

  • @reginarhina6837
    @reginarhina6837 7 ปีที่แล้ว +10

    Amen Yesu yu mwema. thank you Jesus you Lord.

  • @lameckfabian5317
    @lameckfabian5317 6 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akupe hekima jinsi ya kumuingizia ufahamu wa Mungu ndani yake,kwamaana bila Mungu kuna kaugumu kidogo.

  • @kapyelumusic344
    @kapyelumusic344 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu yupo

  • @hoodnation4807
    @hoodnation4807 6 ปีที่แล้ว +6

    Uongo huo acheni fix ngumi za pua nini😂😂😂😂😂

    • @iminzaiminza5813
      @iminzaiminza5813 5 ปีที่แล้ว +1

      Shetani ananinunia😁😁😁😁

    • @toomaaloufi6221
      @toomaaloufi6221 2 ปีที่แล้ว

      Yaani watu wanadanganywa hivi hivi wanaamini mtt wenyewe anaonekana ni mjanja tu na kafundishika kufanya matangazo ya kanisa🤣🤣🤣

  • @iminzaiminza5813
    @iminzaiminza5813 5 ปีที่แล้ว +4

    Nikapata ujanja nikapiga shetani ngumi😁😁😁😁😁napiga napiga Na siongei😂😂😂

  • @samwelimasogi7882
    @samwelimasogi7882 4 ปีที่แล้ว

    Hatariii

  • @zaididimka6873
    @zaididimka6873 4 ปีที่แล้ว

    Elimu ya wachawi ni mwisho.mbele ya Yesu mwisho

  • @AntonySamuel-nd1fs
    @AntonySamuel-nd1fs 6 หลายเดือนก่อน

    Good

  • @anoldamkumba9237
    @anoldamkumba9237 6 ปีที่แล้ว +2

    Wanaochukia uamuzi was makonda ndio walotelekeza watoto makonda ziba masikio Fanya kazi

  • @atukuzwemungudaimaariseand6156
    @atukuzwemungudaimaariseand6156 7 ปีที่แล้ว +5

    Mungu saidia watt wetu amen

  • @roseroselyn3182
    @roseroselyn3182 3 ปีที่แล้ว

    Mungu kumbumka watoto wadogo

  • @kiwanukanikwanduka9631
    @kiwanukanikwanduka9631 4 ปีที่แล้ว +9

    Mambo ya kiroho ni magumu.... Na binadamu ni kiumbe ambacho ni complex. Only God knows the truth.

  • @maimunafadhil3364
    @maimunafadhil3364 4 ปีที่แล้ว +1

    Mamaa yangu weee

  • @nabiiesterdonald4205
    @nabiiesterdonald4205 4 ปีที่แล้ว +1

    Hadi, raha nimecheka kweli big up man of living God be blessed for rever

  • @medidathiva4261
    @medidathiva4261 4 ปีที่แล้ว +1

    Nihatari sana kbs

  • @deograciakashaigili5973
    @deograciakashaigili5973 3 ปีที่แล้ว

    HAYA ni kweli kabisa. Mtoto hasemagi uongo. WAZAZI TUWAPELEKE WATOTO WETU MADHABAHUNI MWA BWANA Mara wanapozaliwa ILI WACHAWI WASIWAPATE. NIMESHAWAHI KUPANGA NYUMBA MJUKUU WANGU NUSURA AUNGANISHWE HUKO. SEMA NI MTOTO WA MADHABAHUNI AKAWA ASUBUHI ANATUHADITHIA KILA WAKIMJIA KUMWIMBIA NA KUMHADITHIA HADITHI ZAO.

  • @user-me3ee4fu8w
    @user-me3ee4fu8w 4 ปีที่แล้ว +1

    hope mtoto huyu bado amesimama Mungu amuongoze

  • @justuslambert5385
    @justuslambert5385 6 ปีที่แล้ว +5

    uchawi huu una faida gani kwa jamii ?na kwanini wakazane na kazi hii kwanini hawaachi?

  • @zlfamz3540
    @zlfamz3540 3 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏

  • @isabellamutonyi6501
    @isabellamutonyi6501 6 ปีที่แล้ว +2

    This is serious

  • @hylinekemunto7963
    @hylinekemunto7963 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @fouziyapp8025
    @fouziyapp8025 4 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji Gwajima Mungu akubariki sana, naomba number yako ninamatatizo naitaji nije kanisa lako niombewe

    • @happykimaro1080
      @happykimaro1080 3 ปีที่แล้ว

      Yesu asifiw mtumishi wa mungu nahitaji maombi jmn naomba no zako babaa

  • @pascalmkolauti7136
    @pascalmkolauti7136 5 ปีที่แล้ว

    Duuh hi noma

  • @bonabonala7685
    @bonabonala7685 6 ปีที่แล้ว +3

    Jofu noma

  • @didilove1054
    @didilove1054 3 ปีที่แล้ว

    Daaaaah watanzania

  • @lilianamonmdogo6624
    @lilianamonmdogo6624 5 ปีที่แล้ว +6

    hahaaa et nika bitua nikabitua ngumi ya pua

  • @salmamohamed1769
    @salmamohamed1769 5 ปีที่แล้ว +2

    wachawi. wanamambo hatari mungu atuepushe nao

  • @zuhurakassu1427
    @zuhurakassu1427 3 ปีที่แล้ว

    Hahahaaaaaa Yani uyu mtt

  • @marimarimu3697
    @marimarimu3697 7 ปีที่แล้ว

    dahhhh maajabu ya mungu

    • @emmanuelmasoko1013
      @emmanuelmasoko1013 5 ปีที่แล้ว

      Mari Marimu hivi huo mguu kwenye profile ni wa kwako?

  • @Yusrah-bu8ti
    @Yusrah-bu8ti 7 ปีที่แล้ว +5

    hii ndio hathari..yaku angalia movie za kinigeria.

  • @sifangwira90
    @sifangwira90 4 ปีที่แล้ว

    Mungu tuhurumie

  • @silimahaji1673
    @silimahaji1673 4 ปีที่แล้ว

    subuha wallah

  • @gaboonviper9705
    @gaboonviper9705 6 ปีที่แล้ว +3

    Uongo,,,kutumia mtoto kwa kujifaidi mwenyewe

  • @asleimwenda237
    @asleimwenda237 6 ปีที่แล้ว +1

    aslei

  • @factchecker9654
    @factchecker9654 6 ปีที่แล้ว +3

    authentication .....!!!!!????

  • @nehemiaedwardmunisi5539
    @nehemiaedwardmunisi5539 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema jaman mtoto afunguliwe jaman duu

  • @jenivathobias4661
    @jenivathobias4661 6 ปีที่แล้ว

    Joofu. Nikweli mungu anamakusudi na kanisa

  • @jacklineiman8131
    @jacklineiman8131 3 ปีที่แล้ว

    Hahahahh Nmecheka anamwambia Yesu alinifia yy anamalizia eti msalabani

  • @roudragheb5798
    @roudragheb5798 7 ปีที่แล้ว +11

    A men.....

  • @bilhaauko3462
    @bilhaauko3462 6 ปีที่แล้ว

    mmetokwa na chozi aky maajabu haya Mungu wangu wee

  • @monicaisiye1837
    @monicaisiye1837 5 ปีที่แล้ว +2

    Majabu ya Mungu hayo waaaaa!!!!!!sisemi kitu

  • @tainaofficial7083
    @tainaofficial7083 4 ปีที่แล้ว +1

    Duh!

  • @suzyasenga6794
    @suzyasenga6794 3 ปีที่แล้ว

    Angekuwa mtoto wang nngemtoa sadaka

  • @salimalmarhoobi5675
    @salimalmarhoobi5675 7 ปีที่แล้ว +7

    wazazi wa huyo mtoto je wapo ? subuhanallah

    • @subiraabdalah7989
      @subiraabdalah7989 5 ปีที่แล้ว

      salim al marhoobi mama yake ayupo alishakufa na anadai kachukuriwa na bibi mmoja anamtumikisha kimazingara subhanaa allah mungu amuongoze wanamualibu mtoto

    • @wardawarda3427
      @wardawarda3427 4 ปีที่แล้ว

      😂

    • @toomaaloufi6221
      @toomaaloufi6221 2 ปีที่แล้ว

      @@subiraabdalah7989 uongo mtupu huu sema mtt ni mjanja kafundishika🤣