KUWAANGAMIZA MAKUHANI WA KICHAWI - Askofu Gwajima Ep 4/4

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 พ.ค. 2016

ความคิดเห็น • 253

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 3 ปีที่แล้ว +6

    Makonda anahubiri Mungu huyu mzuri Sasa Tena Gwajima ameacha injili na kwenda siasa hawezi tumikia Mabwana wawili .pole tunampenda ngwajima arundi

  • @ntezumwamijeremie7064
    @ntezumwamijeremie7064 3 ปีที่แล้ว +6

    Nakusalimu Mchungaji J.N kazi njema Mungu akubariki sana.Nakupenda sana

  • @kimewakamoviesproducts609
    @kimewakamoviesproducts609 2 ปีที่แล้ว +2

    Wapigweeee kwa jina la Yesu Christo

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 3 ปีที่แล้ว +5

    Kimeumana 🔥🔥🔥tuchawi tunajua kupindisha sentensi hutu..Damu ya Yesu iwafunike

  • @mgenitawah3501
    @mgenitawah3501 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu nitoe kila kitu kibaya ktk mwili wangu ameeen

  • @user-yn9in5em4i
    @user-yn9in5em4i 7 ปีที่แล้ว +5

    walio niteza nisisome wamepigiwa kwa damu ya mwana kondoo pamoja na wote wenye wananiteza nisikae namume wangu wamepigiwa kwa jina la Yesu ninaimani kubwa sana be blessed bishop in Jesus name Amen am witching you from Saudia arebia Amen.

  • @tubulubahati8477
    @tubulubahati8477 2 ปีที่แล้ว +1

    Mh gwajima unawesa mungu akuongoze utuongoze tz unawesa 🙏🙏🙏 baba 🙏🙏

  • @user-me3ee4fu8w
    @user-me3ee4fu8w 4 ปีที่แล้ว +7

    Pole kwa huyu mama kwa ajili ya mtoto wake na pole kwa ajili y a huyo msichana kwa ajili ya mamake

  • @IreneMugwe
    @IreneMugwe 2 หลายเดือนก่อน

    Aki simtuwekee hizi mahumbili za kitambo wakati was mwamvri juu,,kwangu ilisaidia Santa na nikajua kuomba na ,,,wapigweeeee

  • @maniraguharadjabu8807
    @maniraguharadjabu8807 3 ปีที่แล้ว +3

    Nami ninaomba. musada wa maombi baba nabii Gwajima

  • @frenksospitar880
    @frenksospitar880 6 ปีที่แล้ว +13

    Alafu mtu anakuja na anapinga nakusema kwamba ni uongo PIGA kazi Dady Gwajima

  • @user-if3dh2lr3t
    @user-if3dh2lr3t 11 หลายเดือนก่อน

    Wasichana wa kazi wengi ni wachawi..Mungu tusaidie niliwahi kupata wasichana wa kazi wa hivi.

  • @yuntokumanta.5777
    @yuntokumanta.5777 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Mtumishi hao kwakweli na wapigwe tuuuu!

  • @Milley2024
    @Milley2024 3 ปีที่แล้ว +2

    Dady bwana eti haka kachawiii kwakweli kama wanampokea yesu na kuacha kazi Mungu awarehem

    • @tumainsamwelysekooboy8941
      @tumainsamwelysekooboy8941 2 ปีที่แล้ว

      kwakely uchaw yio dir jamani tuache natusimame kwenye maombi yakwely na rohooo

  • @uwasenadia855
    @uwasenadia855 7 ปีที่แล้ว +6

    wachawi wapigweeeeeeeeee kwajina la yesu krist

  • @ashashaphy9413
    @ashashaphy9413 3 ปีที่แล้ว +6

    Hhhhhhhhh anaongea km yesu cristu msalabani🤔🤗🤗

  • @dadambareba739
    @dadambareba739 6 ปีที่แล้ว +10

    Walie nilotesha ndoto mbaya kila usiku wanachomwa namoto wa Yesu muweza yote Amen

  • @mecktildakazinduki5360
    @mecktildakazinduki5360 4 ปีที่แล้ว +3

    Ubalikiwe Mchungaji Mungu azidi kukutia nguvu

  • @victoriastephano4075
    @victoriastephano4075 3 ปีที่แล้ว +4

    Hautakufa 😃😃😃😃😃😃😃😃😃 mtoto jaman

  • @marymary8313
    @marymary8313 3 ปีที่แล้ว +2

    Wachawi wakufe wametusumbua sana

  • @barakamatinda3043
    @barakamatinda3043 2 ปีที่แล้ว +3

    Gwajima fire wood

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu wa wambinguni saidiya watuyako

  • @dativamushi4835
    @dativamushi4835 ปีที่แล้ว

    yes yaani ungewakurupusha wachawi wa bungeni ingekuwa raha

  • @eunnyjanes1440
    @eunnyjanes1440 7 ปีที่แล้ว +1

    Amen sana Bishop kwa huduma ii ya Mungu n.a. Mungu aendelee kukuinua unapo tunufaisha sisi.honestly nimejifunza men go tangu nianze kukufuatilia n.a. kiukweli Mungu amenitendea n.a. n kwa ajiri ya kufuata mashart unayoyasema.Nina mengi ningeweza kuyasuhudia lakini naamini wakati mmoja tutakutana Ana kwa Ana nikusimurie yote.Amen amen.

  • @anchortechnicx5014
    @anchortechnicx5014 6 ปีที่แล้ว +4

    Hakika mungu anaweza yote na hii. Ndio saa ya wokovu MUNGU tunakuomba uzidishe neema yako
    Maishani mwetu pekee yetu hatuwezi tazama watesi wetu wanavyotuonea lakini wewe mungu wetu utapigana na wanaopigana nasi utanena na wanaonena nasi tunakuhitaji AMENI

  • @mwigulureuben3531
    @mwigulureuben3531 2 ปีที่แล้ว

    Kwa Yesu Kuna Raha wachawi wanagonga ukuta

  • @ephraimtibrius9757
    @ephraimtibrius9757 3 ปีที่แล้ว +6

    Kwa Dam ya Mwana kondoo Tunawafyeka Maadui Kwa Jina la Yesu

  • @chimyornyvette3883
    @chimyornyvette3883 3 ปีที่แล้ว +3

    Wanachomwa na moto wa yesu kabisa

  • @jacksonsimoni3698
    @jacksonsimoni3698 3 ปีที่แล้ว +1

    Dady mungu akubariki sana na azidi kukutumia kama apendavyo

  • @radiusbakashaya2801
    @radiusbakashaya2801 3 ปีที่แล้ว +5

    Kama kweli kwa jina la Yesu waangamizwe wachawi wote

  • @nasragerald5494
    @nasragerald5494 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ndie Kinga yetu

  • @agnesswilliam637
    @agnesswilliam637 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen sana baba nibark mm merina

  • @dicksondickson4862
    @dicksondickson4862 3 ปีที่แล้ว +1

    Ashindwe nawame. Umbuka katika jinalayesu

  • @niyonsabasaada7831
    @niyonsabasaada7831 3 ปีที่แล้ว +3

    Jaman iyinikwel awo wa mewafos kusema

  • @susanmusyoki7937
    @susanmusyoki7937 3 ปีที่แล้ว +1

    Thanks kuwakomboa watu wamungu naomba ubarikiwe sana

  • @OmanOman-gp7xm
    @OmanOman-gp7xm 3 ปีที่แล้ว +3

    Sasa gwajima mbona unawashika vibaya

  • @uwasenadia855
    @uwasenadia855 7 ปีที่แล้ว +3

    afeeeeeee babu kwajina la baba wambinguni amin

    • @marysteven605
      @marysteven605 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwa jina la Yesu, sio kwa jina la baba

    • @happypa2027
      @happypa2027 3 ปีที่แล้ว

      @@marysteven605 🤣😂

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana mtumishi wapigwee

  • @desmamasitsamusambayi7552
    @desmamasitsamusambayi7552 8 ปีที่แล้ว +5

    Nipe nguvu ya kushinda Baba.

  • @derickkatto9944
    @derickkatto9944 3 ปีที่แล้ว +2

    Bwana YESU asifiwe....

  • @zaninikaro7838
    @zaninikaro7838 3 ปีที่แล้ว

    Wanatupata hawaa kutuazibia watt wetu Mungu awhukum hapahapa dunian akhera tukahisabu tuuu

  • @fatumakadzo1346
    @fatumakadzo1346 3 ปีที่แล้ว +2

    Hatari mttomdogo naomba maombi

  • @bornfacemukaria5654
    @bornfacemukaria5654 3 ปีที่แล้ว +4

    Amen amen

  • @rajipamrema7732
    @rajipamrema7732 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mkubwa azidi kutulinda

  • @mbabazialice7652
    @mbabazialice7652 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu utuyirinde warozi💔

  • @victorvedastus2638
    @victorvedastus2638 3 ปีที่แล้ว +2

    Apigwe kwa jina la YESU

  • @deokamasho3463
    @deokamasho3463 3 ปีที่แล้ว

    Baba askofu fanya kazi yako bila uwoga

  • @carolyneoirere4748
    @carolyneoirere4748 3 ปีที่แล้ว +2

    Yesu atupiganie

  • @abelicharles3514
    @abelicharles3514 2 ปีที่แล้ว

    Asante mungu wewe ndie wa pekee

  • @perufamily6941
    @perufamily6941 8 ปีที่แล้ว +4

    Amen walionitesa wamepigwa kabisa ubarikiwe daddy

    • @faithfaith4782
      @faithfaith4782 6 ปีที่แล้ว

      Peru Masala
      Amen wapingwe wote wachawi kwa Njina ya yesu christo tusiogope kamwe maadui faith Asante mtumishi Barikiwa Sana mungu alikunjangua kwa wana kondoo wake

  • @elizabethjakobo279
    @elizabethjakobo279 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda mno mchungaji gwajima

  • @christinekisochi8357
    @christinekisochi8357 4 ปีที่แล้ว +4

    Apigwe tena sana

  • @ashaamir4585
    @ashaamir4585 3 ปีที่แล้ว +2

    Wasamehew wengine wanatumikishwa bila kujuwa wanapotubu itoke moyoni

  • @lissahrichard439
    @lissahrichard439 3 ปีที่แล้ว +5

    Wapigweee

  • @beatriceshao5678
    @beatriceshao5678 2 ปีที่แล้ว

    Jaman mungu atusaidie

  • @phabianmathew9484
    @phabianmathew9484 2 ปีที่แล้ว

    Amina wapigwe

  • @benadetamwasomola4910
    @benadetamwasomola4910 2 ปีที่แล้ว

    Aminaaa mungu anaweza endelea kutumika mtumishi kwa Imani nami naomba mungu wale wanaoniroga wapigwe kwa jina la yesu Kristo ameeeni

  • @christinahyai7249
    @christinahyai7249 2 ปีที่แล้ว +2

    Ameen 🙏

  • @zuumdigital8080
    @zuumdigital8080 3 ปีที่แล้ว +4

    Shale The Prince KiLyan ⭐🌟

  • @doricekazoba3182
    @doricekazoba3182 3 ปีที่แล้ว +2

    Wachawi wite lazima wafeeeee

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 3 ปีที่แล้ว +4

    Uyu dada anaongea Kama analiwa mashine.

  • @frenksospitar880
    @frenksospitar880 6 ปีที่แล้ว +3

    Wapigweeeeeeeeeeee kwa jina la Yesu

  • @durakamil263
    @durakamil263 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungutu hulumie

  • @samimugeni2669
    @samimugeni2669 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mungu tu

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 3 ปีที่แล้ว +6

    Ameeeeeen

  • @joelkabyemela8755
    @joelkabyemela8755 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mwema

  • @sophiezakaria
    @sophiezakaria 2 ปีที่แล้ว

    Nimeogopa watanzania 🙆🙆🙆🙆yani watoto wadogo wanaroga hivi

  • @ashashaphy9413
    @ashashaphy9413 3 ปีที่แล้ว +5

    Hawa wakristu hawaaminik uskute ni mipango tu uyo ya kuvuta watu ktk dini yao maana ndo kawaid yao hawachelew awa

    • @farhadhassansaid8830
      @farhadhassansaid8830 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaa, hiyo ni biashara tu wanaoifanya

    • @hamisirashid1819
      @hamisirashid1819 3 ปีที่แล้ว

      Amjui mnacho kiongea. Yesu anaponya

    • @farhadhassansaid8830
      @farhadhassansaid8830 3 ปีที่แล้ว

      @@hamisirashid1819 Yesu ni nani kwani ww venye unajuwa

    • @farhadhassansaid8830
      @farhadhassansaid8830 3 ปีที่แล้ว

      @@hamisirashid1819 ww alikuponya na nn, manake mm ni navyojuwa Yesu ni Nabii wala sio venye nyie mnafikiria

  • @ntakirutaimanaemmanuelle6076
    @ntakirutaimanaemmanuelle6076 3 ปีที่แล้ว +1

    We mchungaji mbaya kuliko wachawi

  • @siyatalimo5836
    @siyatalimo5836 3 ปีที่แล้ว

    Wameshindw kwajina la yesu

  • @maimonamaimona1177
    @maimonamaimona1177 2 ปีที่แล้ว

    mm nashangaaga uchawi unafaidagani 😭😭😭

  • @dimotamkuchu5306
    @dimotamkuchu5306 2 ปีที่แล้ว

    Sasa Askofu kwanini usiwaumbue wachawi wa bungeni tuu

  • @biyakakiliti9362
    @biyakakiliti9362 2 ปีที่แล้ว

    Jini linanitesa katika maishayangu

  • @tumainimwakasungu9145
    @tumainimwakasungu9145 6 ปีที่แล้ว +12

    Ahsante yesu

  • @yudashine9408
    @yudashine9408 7 ปีที่แล้ว +6

    wapigweeeeeeeeeee

  • @dorotheachami4044
    @dorotheachami4044 3 ปีที่แล้ว +5

    Ameeen dady nakupenda baba

  • @shaallyabdully75
    @shaallyabdully75 3 ปีที่แล้ว +3

    Bunge la katiba tundulisu

  • @barnabasilvery3563
    @barnabasilvery3563 6 ปีที่แล้ว +1

    kiraraheli mtumishi katika kazi ya MUNGU.

  • @charlesgasper2243
    @charlesgasper2243 3 ปีที่แล้ว

    Na hao nao au kwakuwa niwapenda fedha!

  • @biyakakiliti9362
    @biyakakiliti9362 2 ปีที่แล้ว

    Nyama yamwanangu

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 ปีที่แล้ว +3

    mchawi afai kuishi

    • @shazmamatonda4256
      @shazmamatonda4256 3 ปีที่แล้ว +1

      Sasa wafanyweje? Maana anatutesa mno kwa kweli

  • @abdallamtumbuka6897
    @abdallamtumbuka6897 3 ปีที่แล้ว

    Mpumbavu weunataka kuleta vulugu yakiimani munguatakuukumu

  • @elizabethmwakalobo3842
    @elizabethmwakalobo3842 3 ปีที่แล้ว

    acheni uchawi mungu anawaona

  • @ptvpublic4289
    @ptvpublic4289 6 ปีที่แล้ว +5

    AMEENIIII!!!!!!!! Thank u JESUS

    • @morriswambua9861
      @morriswambua9861 3 ปีที่แล้ว +1

      Hakika Mungu mkuu,naomba nambari za mchungaji za Watsup nipo nchini Kenya, tafadhalini

  • @everlynmisara612
    @everlynmisara612 2 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @farhadhassansaid8830
    @farhadhassansaid8830 3 ปีที่แล้ว

    Eti ndio baba jinga sana tu

  • @louis8474
    @louis8474 3 ปีที่แล้ว +3

    Eti gwajima 🤣🤣🤣🤣

  • @gladysgesare9549
    @gladysgesare9549 3 ปีที่แล้ว +2

    Maaajabu hayo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rapstarkroz1358
    @rapstarkroz1358 6 ปีที่แล้ว +1

    mbona wewe unae jihita mchungaji mara zingine unasema shardebaba nani huyo.. jamani mungu wewe ndio mchungaji mwema na mwaminifu hao wengine ata acha ikaye wanadamu twaenda wapi jamani na nyie wapubafu mwapangawa na miujiza bila ya kujali roho zenu zitaenda wapi mnaabiwa shardebaba na mnarudia ole wengu jahanam yawasubiri na shardebaba wenu ndipo kutakapo kuwa na kulia na kusaga meno

  • @jeyshillyjack4470
    @jeyshillyjack4470 3 ปีที่แล้ว

    Kachawi Ka mwanafunzi dar

  • @user-jn7pi4fl5m
    @user-jn7pi4fl5m 3 ปีที่แล้ว

    Mmmh tutaogopa maana hospitali pa kujifungulia mapaka kitao

  • @agnesrobert8253
    @agnesrobert8253 2 ปีที่แล้ว +1

    God is great

  • @past.heritierwamisanga4759
    @past.heritierwamisanga4759 ปีที่แล้ว

    God is so powerful

  • @zaudatyabdallah5613
    @zaudatyabdallah5613 2 ปีที่แล้ว

    Asante mungu

  • @rajipamrema7732
    @rajipamrema7732 2 ปีที่แล้ว

    Nitetee mungu wangu

  • @sarahwaswa5819
    @sarahwaswa5819 3 ปีที่แล้ว

    Washindwe kwa jina la yesu

  • @espoirmene7120
    @espoirmene7120 6 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli ama ni filamu

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 3 ปีที่แล้ว

    Siku hizi Kuna move nzuri makanisani

    • @annasilayo1405
      @annasilayo1405 3 ปีที่แล้ว

      Achatu awamananii wauongoo wanatumiwa nashetani alafu kanisani ndokichaka

  • @blysontytus2146
    @blysontytus2146 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @p-five.6679
    @p-five.6679 3 ปีที่แล้ว +3

    Ajabu sana