MAPYA YAIBUKA NABII KIBOKO YA UCHAWI, YASEMEKANA AME....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Baraza la Mitume na Manabii Tanzania (Bacct) limesema halimtambui Mchungaji, Dominique Dibwe maarufu Nabii Kiboko ya Wachawi na kueleza kuwa si mwanachama wao.
    Pia limesema walipojaribu kumtafuta kwa simu baada ya taarifa za kanisa lake la Christian Life kufungwa na Serikali, waliambiwa na watu wake wa karibu kuwa amekwishaondoka nchini.
    Kiboko ya wachawi ambaye ni Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, alikuwa akiendesha huduma zake Buza Kwalulenga Mtaa wa Kidagaa, kabla ya taarifa ya kufungiwa kwa kanisa lake kutolewa Julai 25, mwaka huu.
    Barua ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Ofisi ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia, ilimuelekeza Mwenyekiti wa Kanisa hilo na Mchungaji Dominique Kashoix Dibwe kufunga tawi la kanisa hilo.
    Hatua hiyo imechukuliwa baada ya kudaiwa kufanya vitendo ambavyo ni kinyume cha matakwa ya kifungu cha 17 cha Sheria ya Jumuiya, Sura ya 337 kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria ya Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali Namba 3 ya Mmwaka 2019.
    Vitendo hivyo vimesababisha kanisa hilo kufutiwa usajili wake na kuondolewa kwenye rejista ya jumuiya za kiraia zilizosajiliwa.
    Endelea kufuatilia Mwananchi.

ความคิดเห็น • 27

  • @zabibusaidi1404
    @zabibusaidi1404 หลายเดือนก่อน +1

    Nabii no oneee kiboko ya wachawiiiiii tunakuombea bb mungu akupe subira na utulivu wa nafc tutakukumbuka wanangu wanakupenda cn japo wadogo waw

  • @sisifaty9183
    @sisifaty9183 หลายเดือนก่อน

    Mungu Atakuteteya

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante serikari ❤

  • @stevenmwenda3005
    @stevenmwenda3005 หลายเดือนก่อน +1

    Ifike mahali wanawake watafute kazi za kufanya wawee busy na maisha sio kukaa na kutafuta miujiza ktk miasha na yote hayo ni ufinyu wa fikra tu elimu ndogo ndomana watu wajanja wajanja wanatumia hiyo fursa kufungua makanisa wacheze na fikra za watu wapate hela n kwann wanawake ndo wengi huko tujiulize

  • @user-lv9uf5jj3b
    @user-lv9uf5jj3b หลายเดือนก่อน +1

    Msimuhukumu mtu kwa mabaya tu...ila angalieni na mema aliyofanya...

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 หลายเดือนก่อน

    Kanisa lake lilivyo kila siku Lina watu wapya.. Anarekodi ushuhuuda wa uongo kwenye radio.. Ukishoboka tu ukaenda kichwa kichwa kanisani kwake unapigwa hela!!

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv หลายเดือนก่อน

    Baraza la mitume mnaweza kusema hamtambui lakini Mungu ndie anamtambua, kwani wapi wameandika kuna mwenyekiti au Rais wa mitume na manabii, maana mnataka kuwa na maneno yasio na maana,

  • @HusseinMalumbu
    @HusseinMalumbu หลายเดือนก่อน +1

    Xerkali utumbo wa ukuku mmemwondoa kiboko ya wachaw ili kweny uchaguz wen mfanye uxhirikina mavi nyie na atarud 2

    • @samweljohn174
      @samweljohn174 หลายเดือนก่อน

      acha ujjnga rafik yangu unaona alikua sawa ww

    • @bethmalekela453
      @bethmalekela453 หลายเดือนก่อน

      Mungu akupe macho kaka

  • @MargrethSimama
    @MargrethSimama หลายเดือนก่อน

    Mnaosema ni mganga mlipewa hirizi na tunguli? Kama mnaona rahisi na nyie anzisheni huduma kama mna kibali msimtukane mtumishikama hamjui undani wake mungu ndio anawajua watu wake

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle หลายเดือนก่อน +1

    Chama cha wanafreemason hakimtambui mtu wao nabii kiboko ya wachawi

  • @EdenMcharo
    @EdenMcharo หลายเดือนก่อน

    Mganga wa kienyeji

  • @user-xm7ce5jh2k
    @user-xm7ce5jh2k หลายเดือนก่อน

    Watu wanangamiya kwa kutojuwa mafundisho kiloho huyo kijana ni mwaminifu sana

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 หลายเดือนก่อน

    Nchii hii hakuna nabii wote ni waganga wa kienyeji tu

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 หลายเดือนก่อน

    Acha wapigwe tu si hawana akili

  • @gloryjulius2665
    @gloryjulius2665 หลายเดือนก่อน

    Wale walio pona nakufunguliwa ndo wanajua maana yahuyu mtu yani watu bwana wewe ulie mzia utashukuru kwa kuondoka kwake

    • @mtzhalisi2232
      @mtzhalisi2232 หลายเดือนก่อน +1

      Tupe shuhuda mtumishi... Wewe amekuponya nini???? Ulitumia kiasi gani??

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 หลายเดือนก่อน

      Na je muulize wanaoumwa malaria au kikohozi hawaponag bila kwenda apo .ifike mahala mtu amepona kansa stage 4 ,ukimwi ,homa ya Ini, Kiwete amatembea ,kipofu ameona ndipo tuseme mtumishi ana upako mana magonjwa hayo yana utata naso rahis kutibia hospitali lakn magonjwa haya mengine mengine Mungu tayar ashawapa wanadam teknolojia na uwezo wa kuyatib kwaio Mungu ameshayafunulia tiba yake ..Kwaio ifike mahala watu wawe specific​@@mtzhalisi2232

    • @stevenmwenda3005
      @stevenmwenda3005 หลายเดือนก่อน

      Hakuna chochote hao waliopona wewe unawajua ulishawahi kukaa nao magonjwa yaliyokuwa yanawasumbua wewe ulishaenda nao hospital ukashuhudia wamepimwa na hayo magonjwa yakashindikana kutibiwa ndo wakaenda kwa huyo tapeli tusishakikie ujinga wanawake fanyeni kazi msitafute vifaraja vya maisha kwa wasanii wa makanisa mnakera sana

    • @exprodigitaltechtv5571
      @exprodigitaltechtv5571 หลายเดือนก่อน

      We utakua ulipigwa unazingizia miujuza siku hizi waganga ndo manabii

  • @Shabani-p5s
    @Shabani-p5s หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @ndolepeter2770
    @ndolepeter2770 หลายเดือนก่อน

    uzima unatafutwa nenden kongo aliko

    • @levinaernest4364
      @levinaernest4364 หลายเดือนก่อน

      😀😀😀😀

    • @user-tt1nm9xs4n
      @user-tt1nm9xs4n หลายเดือนก่อน

      Yupo dubai

    • @MargrethSimama
      @MargrethSimama หลายเดือนก่อน

      Mungu anawajua watu wake mnamtukanaje kuna watu wamepona kupitia maombi yake kwa mungu watanzania acheni🎉 hayo maneno uchaguzi unakuja hamuoni mambo yanaharibika hapo vijana wamekosa kazi wamama wamekosa kupika maduka yamefungwa kinaendelea nini hapo?

    • @MargrethSimama
      @MargrethSimama หลายเดือนก่อน

      Watumishi wako wengi hata huku iringa yupo mtumishi gharama zake zinafika mpka 300000 laminitis hujalazimishwa kwenda huko