MASANJA MBELE YA MANABII KIBOKO YA WACHAWI ATOA UNABII MZITO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 มิ.ย. 2024
  • TANGAZA NASI MASANJA TV:
    SUBSCRIBE | Masanja TV | For more Updates:
    👇 👇
    / @masanjatvgospel
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 122

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 10 วันที่ผ่านมา +22

    YESU KRISTO ATUREHEMU HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO WATEULE TUWE MACHO MWENYE KUJITAKASA AZIDI KUJITAKASA MWENYE KUDHULUMU AZIDI KUDHULUMU KUDHULUMU HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      kwelimpendwa nichangamoto. MUNGU anisaidie atusaidie maigizo kama. haya

  • @thestkim6625
    @thestkim6625 3 วันที่ผ่านมา +3

    Daaah pesa inatutenganisha na mungu kabisaaa😢😢😢😢

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ndiyohivyo ilawapo. watakao. Simama tu namungu atatushidia

  • @SifaelaYoram
    @SifaelaYoram 6 วันที่ผ่านมา +7

    Nasikitika nahisi uchungu usioelekeza,,, Mungu turehemu

    • @selegioelias9076
      @selegioelias9076 3 วันที่ผ่านมา

      Yaani we achatu nasikia hasra ya Bwana nikuwa saga wote hawa

  • @AtuganileGodson
    @AtuganileGodson 7 วันที่ผ่านมา +10

    Kabisa.Mungu anachezewa kiasinhiki??inatia uchungu sana

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      naumia Sana mungu wamemfanya. kama babuyao

    • @atuganileagrey5041
      @atuganileagrey5041 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yaan Mungu aturehemu

  • @chrispinkyaruzi1110
    @chrispinkyaruzi1110 4 วันที่ผ่านมา +4

    Masanja, geuka haraka! umepotea mdogo wangu! Huyo siyo nabii ni mchawi kama wachawi wengine, ni vizuri umuombe Yesu akufungue macho! ila nilichogundua watu wanakupenda. Hebu angalia coments za watu.

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 7 วันที่ผ่านมา +6

    Nilidhani Masanja yuko upande Wa Nuru,kumbe na yeye ni walewale yuko upande wa giza😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 Ni ha ta lii sana,

  • @dorahisinika7576
    @dorahisinika7576 3 วันที่ผ่านมา +1

    I LOVE JESUS SO MUCH.❤..AMENITOA MBALI SANA🙏

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 8 วันที่ผ่านมา +3

    Masanja usidanganyike ,we binafsi Mtafute Mungu ataonekana ,achana na watu ,kama uliitwa kweli nadhani ulikua peke yako na siku ya hukumu utasimama peke yako na YESU Ili akuhukumu na hao huta waona ,Mungu hanaga wengi wape Bali ni jitahidi uingie ,nakushauri mtumikie Mungu kwa utakatifu, haki ,na unyenyekevu utavuka tuu, manabii wa uongo ni wengi Sana na kuwatambua ni vigumu Matayo 24 yote utaona ,Acha kuwasifu watu waache Mungu ndio ataamua hatima Yao kama ni wa kweli au usanii ,( ukitaka kujua maisha ya mitume we soma Biblia tuu utaona walivyoishi na walivyofanya na walivyo enenda kama kweli maisha Yao yanalinganishwa na mitume wa kweli ,) Kristo ni yeye yule Jana Leo na hata Milele hakuna wokovu wa kisasa Wala mwenendo wa kisasa Wala utakatifu wa kisasa ,jihadhari Sana nafsi yako , wengi watapoteza wengi .

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 15 วันที่ผ่านมา +6

    Dunia imekwisha Kazi mnayo ngoja Mbarikiwa awajibu Mapepo ni mengi kwenye iyo ya Mazaba

  • @magdalenapeter6106
    @magdalenapeter6106 5 วันที่ผ่านมา +2

    Hakika YESU yupo mlangoni tuweni macho
    Wana wa Ibilisi wamejikusanya

  • @MAONYOTVTANZANIA
    @MAONYOTVTANZANIA 10 วันที่ผ่านมา +4

    Mihuni ya dunia hii , utani wa wahuni wajitambia mapesa ya uchawi wao , katskela anawajua wote

  • @eliasselemani1963
    @eliasselemani1963 12 วันที่ผ่านมา +12

    AFADHALI KUISHI TU HUKU KIJIJINI

    • @eliasselemani1963
      @eliasselemani1963 12 วันที่ผ่านมา +5

      MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 7 วันที่ผ่านมา

      @@eliasselemani1963 ha ha haaaaaa! Unamaanisha kjjn ndy kukosalamaaa!!!!??? Hkuna bhana sasahv vyombo vya hbr vmefny dunia iwe mtaa nenda kjjn sasahv mchngj wa hapohapo kjjn wat hawamjui jina ila nabii wa uongo wa Dar wanamjua na vikorokoro vyke wanavyo had chumban kwao

    • @Joyceisaka
      @Joyceisaka 4 วันที่ผ่านมา +1

      Kabisa kaka angu huku dar ni hatar mweee ni hurumaa

    • @marrynaftali7969
      @marrynaftali7969 วันที่ผ่านมา

      Umeona eeeh,Mjini Mambo mengi mno

    • @MonicaBeni
      @MonicaBeni วันที่ผ่านมา

      Hahahahaha ndugu yangu umifurahisha sana... Afadhali kuishi tu kijijini !!! Umewaza nn kamanda wangu?

  • @user-qg5sc7ie3q
    @user-qg5sc7ie3q 6 วันที่ผ่านมา +5

    Yaan mmeona Kwa Yesu ndo pakufichia ushetani wenu

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 4 วันที่ผ่านมา

      @@user-qg5sc7ie3q yaàan acha tu!

    • @user-wc6yw1or4n
      @user-wc6yw1or4n 3 วันที่ผ่านมา

      kweli namtafuta MUNGU kibinasfi

  • @josephgnzunda5631
    @josephgnzunda5631 6 วันที่ผ่านมา +2

    Pole sana masanja

  • @SifaelaYoram
    @SifaelaYoram 6 วันที่ผ่านมา +5

    Bible verse,, ,, hivyo husema, Amka wewe usinziaye ufufuke katika wafu na kristo atakuangazia,,,,,,waefeso 5:14,,,,,,, wapendwa tuamke wewe unayeona haya matukio amka hizi ni nyakati za hatari San

  • @prchMichael
    @prchMichael 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanasema wameitwa kumbe ndo wapuuzi kwanini mnalitumia jina la YESU kupoteza watu na kujitwalia heshima wewe ni nan watu wakupigie magoti acheni upuuzi jaman 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @SamooTz-pi5ok
    @SamooTz-pi5ok 4 วันที่ผ่านมา +1

    Matapeli wamekutana jmn hii dunia tunaenda wap 🙏

  • @hosannakamwela9286
    @hosannakamwela9286 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    MUNGU anadharirishwa hivi, jamani. Dunia iko pabaya wamemfanya Mungu kama mjomba

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 16 วันที่ผ่านมา +3

    Hahaha 😂😂😂😂😂
    Masanjaaaaaaaaaa
    Eti Jana ulikuwa wapi?
    Nimecheka Hadi basi

  • @ismaelgadiye4488
    @ismaelgadiye4488 วันที่ผ่านมา +1

    OLE WA NCHI NA BAHARI POLENI KUMBE YESU ALISHATUAMBIA KAMA SIKU HAZITAFUPISHWA HAKUNA MTU ATASALIA

  • @robertkisasa1346
    @robertkisasa1346 2 วันที่ผ่านมา

    Huyo aliyevaa shera nae ni nabii au macho yangu😢😢😢…dah ngoja nimuachie Mungu ndio wa kuhukumu ila nawashauri watu wabaki na wadhehebu zao maana Mungu yupo kwa kila aaminie

  • @samuelakanga5586
    @samuelakanga5586 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    1 Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari.
    16 Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki;
    '2 Timotheo 3:1-16'

  • @user-jc1do5gf3w
    @user-jc1do5gf3w 10 วันที่ผ่านมา +3

    Usanii mpaka kwa kutumia Jina la Mungu,mmmmm Mungu tuhurume

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 10 วันที่ผ่านมา

      Sasahv Mungu c kawa k.m anko tuu tna ht kw anko mdada haend na visuruali ila madhabahuni bnt anasogelea na mavaz ya uchi bila haibu, jamaniii" M/ KE KUVAA SURUALI HT KM N Y SUT NI KUWA UCHI, ni roho ya yezeberi makanisani!

  • @AyubuHeshima
    @AyubuHeshima 11 วันที่ผ่านมา +6

    Ninaona wahuni watupu tu.

    • @moseshaule586
      @moseshaule586 6 วันที่ผ่านมา +1

      Uhuni sio dhambi mbona,, kwani uhuni mining?

  • @jacklinejohn5727
    @jacklinejohn5727 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mtatubu kwa lazima

  • @NoelChambo
    @NoelChambo 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo kakosekana baba yao Geor devie 😂

  • @TheofiloKihongosi
    @TheofiloKihongosi 2 วันที่ผ่านมา

    Pole myawe kweugenda

  • @user-nx5og4cz7b
    @user-nx5og4cz7b วันที่ผ่านมา

    Milioni 40 inamuhamisha kwa yesu kbs mi sikujuwa kama muunganiko ni mkubwa hivi kt ma masanja na hawa pesa bibilia itamtenga mtu na mungu nimeamini.

  • @RhodaChilambo-sj3df
    @RhodaChilambo-sj3df 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hana kosa masanja hawez kukataa wageni lzm awapokee

  • @user-up8uq3ih2i
    @user-up8uq3ih2i 6 วันที่ผ่านมา +1

    Haaa vituko ,Masanja rudi kwa yesu

  • @bensonmgaya5693
    @bensonmgaya5693 16 วันที่ผ่านมา +2

    Jana ulikuwa wapi afu ukapotezea nimefrahi sana😂😂😂

  • @user-kz5en5tq2z
    @user-kz5en5tq2z 6 วันที่ผ่านมา +2

    Vipofu wana wa majoka

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 11 วันที่ผ่านมา +4

    TIMU IMEKAMILIKA MKUU, UKITOKA KWA KIBOKO YA WACHAWI UNAKUTANA NA NABII MUUWAJI, MADHABAHUNI HAPAPANDISHWAGI KILA MTU

  • @MathiasKunnanga
    @MathiasKunnanga 2 วันที่ผ่านมา

    Jamani pitieni mlango ulio mwembamba

  • @annambembela6661
    @annambembela6661 วันที่ผ่านมา

    Mungu wangu nin hiki jamani duuh Dunia shuka nisimame

  • @user-zs7eq8up5s
    @user-zs7eq8up5s 3 วันที่ผ่านมา

    Kuna mwizi anaetumia silaha anaitwa jambazi..kuna mwizi anaetumia siasa anaitwa fisadi..halafu kuna wezi wanotumia jina la mungu....

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 10 วันที่ผ่านมา +3

    Dunia imeisha

  • @judithminja770
    @judithminja770 วันที่ผ่านมา

    Nini hiki YESU😢😢

  • @merabKitundu
    @merabKitundu 10 วันที่ผ่านมา +3

    Itatufaa nn kupatata yote Kisha tukose mbingu

  • @GadssonLutaha
    @GadssonLutaha 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Masanja anajua kucheza na akili za wa2

  • @merabKitundu
    @merabKitundu 10 วันที่ผ่านมา +2

    Kweli mbinguni ni mbali

  • @ednakawau9842
    @ednakawau9842 6 วันที่ผ่านมา +2

    Kumbe masanja ni wale wale

    • @barakanatus5676
      @barakanatus5676 6 วันที่ผ่านมา +1

      Ulikuwa ujui ni wale wale

    • @hosannakamwela9286
      @hosannakamwela9286 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hakika ni walewale

  • @peterrichard9644
    @peterrichard9644 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ngoja ninyamaze maana na imagine kina Paulo huko mbinguni wanatamani washuke

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 12 วันที่ผ่านมา +7

    Kwani ma wewe masanja umekuwa mtu wa swaga namna hiyo hee mbona kuzimu mtajaa sana

  • @ombendaud5938
    @ombendaud5938 8 วันที่ผ่านมา +2

    Mmmmhhh hivi ni vipande 30 tuuuuu

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 5 วันที่ผ่านมา

    Yaani Masanja umeweka Ukomedi wako hadi knsn,
    Umeambiwa nyumba ya Bwana itakuwa nyumba ya Sala, si nyumba ya kufanyia comed

  • @raymondwilliam3042
    @raymondwilliam3042 16 วันที่ผ่านมา +1

    Bodyguard sasa 😂

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 5 วันที่ผ่านมา +1

    Acheni mizaha ni Mungu gani huyo mnamwabudu?mbwembwe tupu

  • @Kelvinchristopher072
    @Kelvinchristopher072 11 วันที่ผ่านมา +5

    Stendi ya kuzimu.

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 12 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona makondeko umezeeka hivyo tubu kabula haijawa jioni

  • @mwanawamfalmetz
    @mwanawamfalmetz 16 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona mmeweke kakipande kadogo jamani

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 8 วันที่ผ่านมา +1

    Makundi ya wachawi Tanzania ndugu zanguni watanzania ndio hawa tuweni makini

  • @jacklinakinabo6479
    @jacklinakinabo6479 7 วันที่ผ่านมา

    Can i prophesey 😢😅😅😅 Go deeper Papaaa😂😂😂😂 Haki Mungu wangu weq Tuhurumie

  • @user-im7vi2yf2d
    @user-im7vi2yf2d 10 วันที่ผ่านมา +3

    Mbarikiwa ndo ameitiwa kazi ya kuwanyoosha hawa watu

  • @WTC492
    @WTC492 5 วันที่ผ่านมา

    Ngojeni MBARIKIWA awaone mi simo.

  • @agnesmbula5261
    @agnesmbula5261 6 วันที่ผ่านมา +1

    May God open Ur children's eyes....the church of God is lost

  • @user-qw8tm3jz2u
    @user-qw8tm3jz2u 7 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂 kwahiyo ukigusa viatu vya Masanja umemgusa Nabii

  • @DettyKakonge
    @DettyKakonge 2 วันที่ผ่านมา

    Mukusanyiko ya ma nabii wa uongo

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 8 วันที่ผ่านมา +1

    Wahuni mmejikusanya kutapeli watu , serikali tuache kuwatafuta vibaka wengine tofauti na hawa waliojitokeza

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 6 วันที่ผ่านมา

    wazee wa kazi kazi

  • @user-kb8wv6kg8g
    @user-kb8wv6kg8g 2 วันที่ผ่านมา

    Mungu hadhihakiwi jamani muwe makini

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 7 วันที่ผ่านมา +2

    Hovyoooooooooooooooooooooooo.upumbavu gani huoooo. YESU GANI HUYO UNAYEMWINGELEA.?

  • @user-go9ec5jn6l
    @user-go9ec5jn6l 4 วันที่ผ่านมา +1

    Yan masanja nae,,atapotea anaanza kuweka ujinga nae

  • @josephgnzunda5631
    @josephgnzunda5631 6 วันที่ผ่านมา +2

    Nuru yako imezimaje ghafula kihivo wazazi wako wakiroho bado wanailinda imani

  • @ushindimbwilo1398
    @ushindimbwilo1398 9 วันที่ผ่านมา +1

    Masanja mpka hapo hakuna kitu hapo

  • @ndayikengurukiyemandalene7027
    @ndayikengurukiyemandalene7027 วันที่ผ่านมา

    Nimeamini yesu yupo mlangoni.halafu nimejifunza kwamba usiamini mtuyoyote

  • @VeronicaMungure
    @VeronicaMungure 4 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 5 วันที่ผ่านมา +1

    Rehema ipite..

  • @agnesmbula5261
    @agnesmbula5261 6 วันที่ผ่านมา +1

    Jokers of the gospel

  • @RosePallangyo-rc6sl
    @RosePallangyo-rc6sl 2 วันที่ผ่านมา

    Masanjanlichawi ili

  • @agnesmbula5261
    @agnesmbula5261 6 วันที่ผ่านมา

    Hii Jina ya yesu yatumika kila Mahali......yesu tusamehe

  • @IssaPara-bt9hg
    @IssaPara-bt9hg 10 วันที่ผ่านมา

    Mungu awape nguvu wachungaji wote mungu awalinde Sana

  • @mercycharlesmsiagi1756
    @mercycharlesmsiagi1756 6 วันที่ผ่านมา +2

    Waganga walio vua kaniki wakavaa suti

    • @HappyFlowers-ee8ru
      @HappyFlowers-ee8ru 6 วันที่ผ่านมา +1

      Haaaaaa ndugu yangu umenichekesha sana

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 6 วันที่ผ่านมา

    Yesu anahubiriwa kwa kila njia

  • @prosperiamani
    @prosperiamani 3 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂

  • @Mwakibinga_wisdom
    @Mwakibinga_wisdom 15 วันที่ผ่านมา +5

    Duuuh 🙄
    Nimeduwaaaaa

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 13 วันที่ผ่านมา +2

      Umeona ee shida

    • @deborahmchona5584
      @deborahmchona5584 12 วันที่ผ่านมา +3

      Mungu wangu mpka mi sielewi wanatu changanya kuna niliokua mawaamini pia naanza kupoteza imani kwao sasa Mungu tusaidie tu hiz ni zama za mwisho kwa kweli

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 10 วันที่ผ่านมา +2

      Achana nao ucje ukafa kabisa tukakukosa.

    • @sophiaommy8343
      @sophiaommy8343 9 วันที่ผ่านมา

      ​@@deborahmchona5584mbona Kama Kuna Rolinga tenaa aiseee nimejikuta naumia sana

    • @AtuganileGodson
      @AtuganileGodson 7 วันที่ผ่านมา +4

      Utajua tu.Wamejipanga na wapo vizuri.Mungu hatajwi ila sifa za watu.😂😂😂
      Mungu atusamehe sana

  • @jacklinejohn5727
    @jacklinejohn5727 3 วันที่ผ่านมา

    Mtatubu kwa lazima huyu mrili alitaka kuniteka ati nimtumie laki saba aniombe hm sina hata dululu

  • @user-gf9pb5jz9j
    @user-gf9pb5jz9j 10 วันที่ผ่านมา

    Mmh

  • @mbalilax162
    @mbalilax162 5 วันที่ผ่านมา

    kumbe na wewe masanja ni mshenzi tu....MUNGU NA AKUPePERUSHIE MBALI KATIKA JINA LA YESU!!!

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 4 วันที่ผ่านมา

    Kudadadeki

  • @josephatmwayeya5660
    @josephatmwayeya5660 2 วันที่ผ่านมา

    Yaani hapa kuna kitu cha kujifunza,hili ni kundi la wachumia tumbo ambao wanaongea lugha moja....nahisi wanajuana na kuwacheka mazuzu kwamba wajinga ndio waliwaooo

  • @Ushindiemmanuelushindi
    @Ushindiemmanuelushindi 12 วันที่ผ่านมา +2

    IPM tabili juu yahiyo fimbo ya kiboko

  • @anthonyassenga2365
    @anthonyassenga2365 7 วันที่ผ่านมา

    th-cam.com/video/IOGx-yjgNVM/w-d-xo.html

  • @anyosisyedaniel1790
    @anyosisyedaniel1790 9 วันที่ผ่านมา +2

    Akifufuoa Mtume Paulo, ama laana iwale kwa kibadili injili ya Kristo kwa ajili ya njaa yenu.

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 14 วันที่ผ่านมา +5

    Ukitaka kujua manabii wa kweli na wauongo angalia kwenye mikussnyiko yao utajua tu ni wale wale kazi ipo ila tz mmejaa sana

  • @DettyKakonge
    @DettyKakonge 2 วันที่ผ่านมา

    Mabii wa uongo nyote