ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

DUDU BAYA ACHUKIZWA NA KIBOKO YA WACHAWI, ONA AIVYO MUUMBUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 129

  • @tarsilalyatuu5140
    @tarsilalyatuu5140 หลายเดือนก่อน +4

    Aisee nimekukubali sana dudubaya kila kitu ninimani mimi nageuza kuwa damu safi nyeupe imekuwa Big up sana bro

  • @damianikimario5695
    @damianikimario5695 28 วันที่ผ่านมา +4

    mwamba konki masta nakuelewa sasa upo sahihi sana unakitu brather utafika mbali 🇹🇿✔️

  • @catherinemukami4190
    @catherinemukami4190 หลายเดือนก่อน +9

    Dudu baya uko vizuri kuhusu maombi safii ,Mungu akulinde endelea bila Mungu akuna maisha Assnte

    • @PenuelDaniel
      @PenuelDaniel หลายเดือนก่อน

      Jogoo amewika katikati ya mfano wa sala yake.

  • @user-xo6yl6rj4h
    @user-xo6yl6rj4h หลายเดือนก่อน +5

    Unaongea fact sana mr konki respect

  • @andrew29468
    @andrew29468 หลายเดือนก่อน +10

    HUYU JAMAA ANA UPEO MKUBWA SANA,HONGERA

  • @AlfanIssaya-k8v
    @AlfanIssaya-k8v หลายเดือนก่อน +4

    Bwana asifiwe sana mungu akupe nema kweli mathayo 77 ombeni nanyi mtapewa

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw หลายเดือนก่อน +4

    Upo Sawa. Kk hivi hao missionary waliokuja kufungua hospital walikuwa wakitoa huduma bure lakini eti laki tano wahuni Tu hao waganga wa kisasa

  • @FudidohwcbOfficial
    @FudidohwcbOfficial หลายเดือนก่อน +4

    Umeongea vizuri Bíblia ukijua Hakuna gumu kwa watu 🇲🇿🇲🇿

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab หลายเดือนก่อน +3

    Nilipomuona2 Nilijua Amekuja Kuleta Balaa Tanzania Siku Moja Tanzania Ikose Eshima Ya Mungu Taifa Liingie Vitani Kama Congo Kwakua Serikali Inaona Ule Uchafu Awafukuzi Uyo Mtu

  • @FudidohwcbOfficial
    @FudidohwcbOfficial หลายเดือนก่อน +6

    Mimi mwamposa nilionananao bure kutoka MSUMBIJI🇲🇿 pembe passaporte yako tuu

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md หลายเดือนก่อน +8

    Laki tano ndogo amemtoza baba mmoja milioni 180000 kuombewa macho na huyo baba hakupona mpaka leo ameishia muhimbili

    • @joneshelberth1025
      @joneshelberth1025 หลายเดือนก่อน

      Ulikua unamaanisha 1,800,000

    • @user-vv1te9fu8q
      @user-vv1te9fu8q หลายเดือนก่อน +1

      Huyo mcongo ni tapeli sana sijui kwa nini serikali haimtimui

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md หลายเดือนก่อน

      Ndio ametoa milioni moja na laki nane alipungukiwa laki tatu akakataa​@@joneshelberth1025

    • @dignachami7382
      @dignachami7382 18 วันที่ผ่านมา +1

      Huyo ni tapel mkubwa serikali imchukulie hatua ametapel watu wengi

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 24 วันที่ผ่านมา +2

    Dudubaya umehubiri mahubiri Makubwa sana

  • @Ernest-wr5rn
    @Ernest-wr5rn หลายเดือนก่อน +3

    Bila bodigadi atakula mitama😂

  • @jaberalyafei274
    @jaberalyafei274 หลายเดือนก่อน +3

    Perfect man

  • @farajamkuchu8458
    @farajamkuchu8458 23 วันที่ผ่านมา +1

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏safiiiiii tim Jesus

  • @DannyMasuka-ut4oq
    @DannyMasuka-ut4oq หลายเดือนก่อน +4

    Konki master 😂😂😂

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa marifa

  • @njelenjetv
    @njelenjetv 19 วันที่ผ่านมา

    Da unaelezeq vizuri sana Dudubaya wewe ni dude Zurich siyo dude baya umetisha sana

  • @ericbuberwa7828
    @ericbuberwa7828 หลายเดือนก่อน +1

    yani hii ndio online tv inayoongozwa kumhoji dudu baya 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ministergraciousben
    @ministergraciousben หลายเดือนก่อน +2

    This man has something beyond

  • @ezekiambise2595
    @ezekiambise2595 หลายเดือนก่อน +2

    Very smart

  • @user-dp1bt9hj5n
    @user-dp1bt9hj5n 22 วันที่ผ่านมา

    Nuru ya Mungu kwa Mtumishi wake ni rahisi sana kujua ila pia ni ngumu sana kujua kama hauna maono mazito sana ya Kiroho, Dudu baya hiyo ni hekima unayo kwa hii ishu, Mungu hakutuleta duniani tupambane na mapepo,wachawi na Shetani kwa ujumla,alituleta kumuabudu kila wakati kwa maana una pumzi,ni sala yangu kuwa wengi wapate kumuelewa huyu Mungu wa Majeshi

  • @starjay3052
    @starjay3052 19 วันที่ผ่านมา +1

    anatafuna njia zima 😁😁

  • @oliverhisluck6936
    @oliverhisluck6936 17 วันที่ผ่านมา

    Dudu baya. Upo vyema.🤝🤝 Kua poster.

  • @ndikumasabodiegovevo9091
    @ndikumasabodiegovevo9091 หลายเดือนก่อน +3

    Tapeli lazima atembee nama bouncers

  • @BadNation-c9m
    @BadNation-c9m หลายเดือนก่อน +2

    Upo sawa kabisa

  • @nkanayoung4691
    @nkanayoung4691 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika upewe maua yako kwa kuusemea uchafu.
    Duh, kumbe konki unasali!!!!😊😊

  • @mohamedkisenga6654
    @mohamedkisenga6654 หลายเดือนก่อน +2

    Mijizi hiyoo😊😊😊

  • @fabianmainchanyangachika5017
    @fabianmainchanyangachika5017 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu amesema nimewapa bule toweni bule, huyo mwizi

  • @FudidohwcbOfficial
    @FudidohwcbOfficial หลายเดือนก่อน +3

    Dudu baya nimekukubali sana Saluty 🇲🇿🇲🇿

  • @marthanatumwa
    @marthanatumwa 21 วันที่ผ่านมา

    Dudu baya,shikamoo,uko vizuri

  • @user-zy4rr9iv3m
    @user-zy4rr9iv3m หลายเดือนก่อน +1

    Upo sahihi tatizo watu wetu wanangamia Kwa kukosa marifa na watu wanataka kupata. Kwa urahisi zaidi kumbe sio

  • @RobinsonKilango
    @RobinsonKilango 19 วันที่ผ่านมา

    Huyu Jamaa kwenu ni mtu tofauti sana msimfananishe dominiki na manabiii wa feki wewe dudu hujui neno

  • @dominickjohn1128
    @dominickjohn1128 29 วันที่ผ่านมา

    Baba wileee mungu akupe nguvu broo

  • @MusaJonas-ck8bc
    @MusaJonas-ck8bc 24 วันที่ผ่านมา

    Huyu ndiye dudu baya ninae mjuaa mm konk master unaakiri sanaa

  • @sophiarajab5476
    @sophiarajab5476 29 วันที่ผ่านมา

    Alinishangaza eti laki tano.🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌waTanzania tujitambue jamani Mwenyezi Mungu haongwi pesa anahongwa Wema,kasaidieni maskini nuizia sadaka yako upate baraka za Mungu jamani. 😂😂

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 20 วันที่ผ่านมา +1

    KWA HIYO MMEGEUKA MA DARAKULA KWA KUNYWA NA KULA DAMU 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AnneNdabila-uv2qh
    @AnneNdabila-uv2qh 13 วันที่ผ่านมา

    Kampen zako za Nini, wew Sali unakotaka sio kusema watu mitandao, kupona ni jukumu la mhusika ila sio wew kusemasema

  • @user-hi4gd5io1w
    @user-hi4gd5io1w 19 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa huyo ni mganga wa kienyeji Hana Nemo la uponyaji hata mchawi nahitaji kupona vita yetu si ya damu na nyama ache kunukuu Nemo la Mungu kienyeji kienyeji

  • @user-vw1go8cg2k
    @user-vw1go8cg2k 17 วันที่ผ่านมา +1

    Hata hospital bila Hela hujatibiwa

  • @PauloMacha-q1v
    @PauloMacha-q1v 23 วันที่ผ่านมา

    Amen Mungu akubariki anko

  • @clevermgedzi4708
    @clevermgedzi4708 11 วันที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤ shujaa

  • @essahsaimonmwalwega6097
    @essahsaimonmwalwega6097 9 วันที่ผ่านมา

    Alafu huyu kaka naomba msimwite hilo jina la Dudu baya...anaongea vitu vya maana sana.

  • @LaulianThomas-b3r
    @LaulianThomas-b3r หลายเดือนก่อน

    Safi sana namekukubali sana dudubaya

  • @sadikidaudi460
    @sadikidaudi460 หลายเดือนก่อน +2

    Dudubaya unakitu zaidi yausanii ukiamua kukitumia utaokoa wengi

    • @user-dp1bt9hj5n
      @user-dp1bt9hj5n 22 วันที่ผ่านมา

      Ni kweli, ana mamlaka ya kuhubiri Injili, ipo siku atafanya, Mungu wa Majeshi atafanya.

  • @user-kq9lb7bd8l
    @user-kq9lb7bd8l 13 วันที่ผ่านมา

    mmmm ivi KIBOKO kamyita mtu atoye pesa acha chuki mbona wengi wanauza lakini uwataji uwo niwivu

  • @JonasNestory
    @JonasNestory 23 วันที่ผ่านมา

    Exactly bro uko sawa

  • @abasminga528
    @abasminga528 หลายเดือนก่อน

    Umenimaliza saluti kwako konk❤

  • @safarimaingu1142
    @safarimaingu1142 29 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu jamaa aendelee tu na mabaunsa vinginevyo kweli atakula mitama

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 28 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂anasema kawazid waumin mpk dhambi

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 หลายเดือนก่อน +3

    Dudu baya ana akili za masikini. Masikini wana ushauri mzuri😊

    • @abasminga528
      @abasminga528 หลายเดือนก่อน

      Umekanyagwa

  • @JonKon-j7j
    @JonKon-j7j 11 วันที่ผ่านมา

    Safi sana

  • @maximilianishanyangi1415
    @maximilianishanyangi1415 19 วันที่ผ่านมา

    asante sama kaka dudu baya kipande cha ujumbe wako

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale 24 วันที่ผ่านมา

    Hakuna mtumishi wa Mungu hapo, huyo mch mhuni tu kama wahun wengine!

  • @deniswills9241
    @deniswills9241 หลายเดือนก่อน +1

    Upo sawa😂😂

  • @user-kc8sf6vg8k
    @user-kc8sf6vg8k 15 วันที่ผ่านมา

    We ndo wa ovyo kabisa maisha yameshakushinda

  • @user-hb7mq8lg9e
    @user-hb7mq8lg9e 29 วันที่ผ่านมา

    Awaombee Wacongo Wenzie Waache Kuuana.. NiTapel Kama Wengine😂😂😂

  • @uncleb9294
    @uncleb9294 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official หลายเดือนก่อน +1

    Dudubaya ebu ongelea na police make nawao ukishitaki mtu kabaka mwanao eti kwenda kumshika lazima utoe pesa ya mafuta nasio chini ya Laki huo ni upuuzi mkuu please longalie hilo ,make wewe umejitoa muhanga

    • @mathiaslyamunda2526
      @mathiaslyamunda2526 24 วันที่ผ่านมา

      Kituo gani Cha police wamefanya hivyo?? Mtoto kabakwa hawaendi kukamata mhalifu hadi utoe Hela.

  • @LiboryMulunga
    @LiboryMulunga 20 วันที่ผ่านมา

    Konki konki konki master

  • @user-hh5we4eb4z
    @user-hh5we4eb4z หลายเดือนก่อน

    Dudubaya uko vizuri

  • @marthanatumwa
    @marthanatumwa 21 วันที่ผ่านมา

    Nimekuelewa,tena nimekuelewa,sana

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 29 วันที่ผ่านมา

    Jamani dudubaya ameshida jewewe unayedangawa namanabii mitume ujitambui hata poa kaka nimekubali

  • @pamelaouma6400
    @pamelaouma6400 21 วันที่ผ่านมา

    Konki master ❤❤❤❤

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw หลายเดือนก่อน +1

    Mzee WA fact

  • @AnneNdabila-uv2qh
    @AnneNdabila-uv2qh 13 วันที่ผ่านมา

    Unasema hayo umewah tozwa izoo Hela? Nawewe anzisha kabisa wamuumini wake kwako uwaombee acha kutoa sera kwaajili ya nabii kiboko ya wachawi, na Nini kina kuuma watu wamehiar kwenda kwa nabii kiboko ya wachawi,

  • @kyusa7002
    @kyusa7002 18 วันที่ผ่านมา

    Kabisaa huyu si mchungaji ni mganga wankienyeji mshez sanaaa

  • @africa7479
    @africa7479 17 วันที่ผ่านมา

    waroma walivyonichango weeee mpka watu wanakimbia

  • @Apostledanielsmith2543
    @Apostledanielsmith2543 19 วันที่ผ่านมา

    Mimi napenda Sana njinsi anavyio weka Sawa Na hicho ndio Ninayo ubiri

  • @zabibusaidi1404
    @zabibusaidi1404 19 วันที่ผ่านมา

    Baya baada ya kumpiga duly ukaona utaozea jela umeamua kuokoka tayariiii ushaingia chuo cha biblia jamaniiii muogopeni mungu tafuteni mashamba mlime

  • @user-xc5or1ph8x
    @user-xc5or1ph8x หลายเดือนก่อน +2

    Pande zetu usipo lipia mafuta ya padri na chakula haji an sjui kwanini

  • @ReginapauloSamila
    @ReginapauloSamila 15 วันที่ผ่านมา

    Mtaongea mengi Sana Ila sisi tunayemjua tunamuombea afunguliwe wewe hajakukuta wewe hawo unawasema matapeli ipo siku utawatafuta

  • @Potinotz
    @Potinotz 19 วันที่ผ่านมา

    7:27 mpaka 7:30

  • @Annamartin-of4tl
    @Annamartin-of4tl หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @planetchannel-x2b
    @planetchannel-x2b หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 et kwasabu ni tapel lazm ajihami

  • @mathewlive77
    @mathewlive77 19 วันที่ผ่านมา

    Dudu baya , Nyoa nywele upendeze alafu endelea kufungua akili za watu.. una madini mengi sana ambayo wasio na D mbili hawawez kuona, ila umepoa sana konkiiii, hem endelea kuchangamsha taifa brooh

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 19 วันที่ผ่านมา

    Uyu jamaa unaweza ukamuona kama mlevi lakini anakitu ndani yake kuhusu imani aya nyie pelekeni iyo mihela kwa kiboko ya wachawi

  • @johnsonsabanya5860
    @johnsonsabanya5860 25 วันที่ผ่านมา

    Safi Sana Konk

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 หลายเดือนก่อน

    Anasema ukweli Dudu baya
    Mtu aende akajionee

  • @sizyathom-qq5cx
    @sizyathom-qq5cx 15 วันที่ผ่านมา

    Umesha sema loma

  • @zabibusaidi1404
    @zabibusaidi1404 19 วันที่ผ่านมา

    Gwajima alikuwa anauza maji na soda ufufuo na uzima kanisa halijafungwa mswalieni mtume

  • @user-wh9zj7kf7h
    @user-wh9zj7kf7h 19 วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @Annamartin-of4tl
    @Annamartin-of4tl หลายเดือนก่อน

    Uko vzir dudu baya

  • @justinethadey
    @justinethadey 18 วันที่ผ่านมา

    Kwa kuhani musa milioni Moja na laki tano apo huja fanyiwa chochote

  • @AnneNdabila-uv2qh
    @AnneNdabila-uv2qh 13 วันที่ผ่านมา

    Taper ni yule anaye kutaper bila kujielewa , watumishi wa nabii kiboko ya wachawi, wanatoa sadaka wentewe kinachokuuma ni Nini? Tulia kimya

    • @daudimwidimakihanda5386
      @daudimwidimakihanda5386 3 วันที่ผ่านมา

      Kwani mpaka unapeleka hela kwa huyo mchungaji si tayari hujielewi ndio kutapeliwa huko sasa.

  • @justinazakayo6152
    @justinazakayo6152 19 วันที่ผ่านมา

    Nimekuelewa

  • @jumamofu9573
    @jumamofu9573 หลายเดือนก่อน

    Tapeli ni tapeli😂😂😂 unajiamin sn

  • @zabibusaidi1404
    @zabibusaidi1404 19 วันที่ผ่านมา

    Ww dudu baya acha fitinaaaa

  • @CosterMwamasage-ie9lb
    @CosterMwamasage-ie9lb 29 วันที่ผ่านมา

    Watyuu wengine wana takiwa kupigwaaa tyuu mana wana kelaa bhana

  • @IreneLeonard-rl3jq
    @IreneLeonard-rl3jq 20 วันที่ผ่านมา

    yan wewe dudu baya unaakir sanaaa haata mimi nimeenda kama mala mbili eti anasema ukimwona mpaka laki tano mpaka niliacha kwenda kanisani kwake hawa ndoo manabii wauwongo

  • @sizyathom-qq5cx
    @sizyathom-qq5cx 15 วันที่ผ่านมา

    Alikula zakwakoo

  • @CharlesHaule-od6vk
    @CharlesHaule-od6vk 20 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂BINAFSI NAMKUBALI SAANA DUDU BAYA YUKO VIZURI SAANA KWENYE KUJIELEZA NA KWENYE KUIELEZEA IMANI...Una Complain Mtu kununu Maji ya Upako ya Buku na Mafuta ya Buku..Lakini Unamnunulia Malaya Lotion ya Elfu 30 na Pombe ya Laki hulalamiki na Unamsaliti Mkeo na Watoto wako!!😊

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 หลายเดือนก่อน +2

    Hayo maombi tu yanatosha bila maji wala mafuta bila hata hao manabii.

  • @zabibusaidi1404
    @zabibusaidi1404 19 วันที่ผ่านมา

    Hako kaelfutano kako kahonge malaya lkn kiboko ni nabii ww mziki umekushinda acha fitina

  • @patrickjosephat8864
    @patrickjosephat8864 27 วันที่ผ่านมา

    Huyo kiboko yawachawi ni pepo hafai

  • @Gahii-s5q
    @Gahii-s5q หลายเดือนก่อน

    Kubwa yake alikusanya ela ya watu, akawatapeli anarud kuja kuwaombea akatoroka

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 29 วันที่ผ่านมา

    My broo Dudu baya whts happens to you?

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q หลายเดือนก่อน

    Msikitini hakuna mambo hayo

  • @user-cv7vm1mx9d
    @user-cv7vm1mx9d หลายเดือนก่อน

    Nikweli anachukua laki tano mwizi kabisa

  • @user-qb6dx2kv3z
    @user-qb6dx2kv3z หลายเดือนก่อน

    Mwamposa anauza maji na mafuta kwanini asiwaambie waumini waje na maji au mafuta akayaombee

  • @GedeonBucumi
    @GedeonBucumi หลายเดือนก่อน +1

    Amaen

    • @gfydfdf8869
      @gfydfdf8869 หลายเดือนก่อน +1

      Washilika wenyewe vipovu, kiboko wa chawi,katoka Kongo,aje chukue hera za Tanzania,huyu baba hana hatabiblia,

    • @gfydfdf8869
      @gfydfdf8869 หลายเดือนก่อน +1

      Ameeeni barikiwa mtumishi wa Mungu Rohomtakatifu azidi kukupaka mafuta yake Kila Leo,safi koki ,tufungua kanisa,