KIBOKO WA WACHAWI ANATEMBEA NA MKE WANGU KANITAPELI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • KENYA#MCHUNGAJI

ความคิดเห็น • 245

  • @bernadndalimo3866
    @bernadndalimo3866 หลายเดือนก่อน +7

    mungu anakuona achakumchafua kiboko hajakuita wee baba mswalie mtume

    • @GerrardShoo
      @GerrardShoo 26 วันที่ผ่านมา

      Wewe ni kenge Mimi mwenyewe nimetapeliwa lak.3

    • @wilbroadndunguru6825
      @wilbroadndunguru6825 16 วันที่ผ่านมา

      Mie namsaka kiboko ya wachawi ....

  • @charlesomollo-ui1np
    @charlesomollo-ui1np หลายเดือนก่อน +3

    🤣🤣🤣🤣🤣 nakucheka kwa sababu hujiamini😂😂😂ati mkeo katembea na nani?????😂😂😂huna hata haya😂😂😂😂😂

  • @mussofepapa-jj9mc
    @mussofepapa-jj9mc หลายเดือนก่อน +3

    tatizo lenu unapenda miujiza sana tulia mpigwe

  • @ObadiahKabulente
    @ObadiahKabulente หลายเดือนก่อน +3

    Ngoja MWEZI ujao afunguliwe huduma mtasema tena

  • @KisaMwakyagi
    @KisaMwakyagi หลายเดือนก่อน +3

    Mtafuteni Mungu wa kweli hizi nyakati za hatari watu watapenda pesa kuliko kumpenda Mungu 2timotheo 3:1-5

    • @godsonprosper6657
      @godsonprosper6657 หลายเดือนก่อน

      Ukweli uko kwa Zumaridi tu

    • @EliaEmmanul
      @EliaEmmanul 13 วันที่ผ่านมา

      Jamani watanzania huu ni mwisho wa mambo yote tujiweke tayar

  • @MmassaMboko
    @MmassaMboko หลายเดือนก่อน +4

    Sikuzote hizo ulikuwa wapi 😅😅

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA หลายเดือนก่อน +2

    KESI ZA MADAI ZINATAKIWA ZIPELEKWE MAHAKAMANI NA UJAMBAZI KWA DHARULA KESI YAKE IENDE POLISI KISHA MAHAKAMANI.

  • @annamtapila5761
    @annamtapila5761 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani alitawa na hizo hela alizotapeli watu anyanganywe kabisa na serikali.

    • @user-qv4wh2pb1d
      @user-qv4wh2pb1d หลายเดือนก่อน

      @@annamtapila5761 wewe mjinga sana utapeliwe nini maskini

  • @eliahmwakibolwa4516
    @eliahmwakibolwa4516 หลายเดือนก่อน +3

    Wengine yawezekana ni wachawi kama hakuwa kiboko yenu wachawi, mbona mlimshindwa wachawi wote

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 หลายเดือนก่อน +4

    Mdai mkeo hela

  • @LevinaModesti
    @LevinaModesti หลายเดือนก่อน +3

    We we ni Muongo kipindi chote ulikuwa wapi msg nnn? Ulimkuta live na mkewako au umeamua kumchafua mchungaji wetu nahizo pesa alikuibia au ulipeleka kaz ya Mungu iende mbele

  • @HawaOman
    @HawaOman 24 วันที่ผ่านมา

    Ulikua wapi Kabla hajaondoka acha usenge wew

  • @mbwawafillingstation
    @mbwawafillingstation หลายเดือนก่อน +3

    Kwanini hujasema kabla?we muongo mchawi

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg หลายเดือนก่อน +1

    Elimu, elimu, elimu

  • @HawaOman
    @HawaOman 24 วันที่ผ่านมา

    Wewe nimkubwa Lanikai hauna akili mpumbavu sana wew

  • @AGNESSIMBA-b1f
    @AGNESSIMBA-b1f 16 วันที่ผ่านมา

    We'weunae muojimwe nzionimchawi naweweunae ojiwanimchawi

  • @JBM-GIANT
    @JBM-GIANT หลายเดือนก่อน +1

    Hay byan wachaw wakubw nyie😂😅

  • @HawaOman
    @HawaOman 24 วันที่ผ่านมา

    Pesa huna alafu unasema uongo hapo😊

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co หลายเดือนก่อน

    Wewe baba pole wameluws wengi siyo ww TU tubaki na Iman zetu tusiamin manabii hawana tofaut na waganga

  • @ZabibuMwenda
    @ZabibuMwenda 12 วันที่ผ่านมา

    Kawakomesha

  • @godsonprosper6657
    @godsonprosper6657 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji wa kweli ni Zumaridi tu

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 29 วันที่ผ่านมา

    Yule hakuwa mcgungsji bali alikuwa kiboko ya wachawi

  • @prophetjoelymairaministrie1778
    @prophetjoelymairaministrie1778 23 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Aisee ndo hivyo huwezi kwenda kutafuta pesa kanisani
    Kanisani watu wanamtafuta Mungu
    Kwa hiyo wewe 😂😂😂
    Iliingilia kwenye mlango wa kutokea ukakutana pia na aliyetumwa hela

  • @DIEUDONNEAMISI-ex4dl
    @DIEUDONNEAMISI-ex4dl 26 วันที่ผ่านมา

    muongo huyu hapa mfate congo

  • @prophetjoelymairaministrie1778
    @prophetjoelymairaministrie1778 23 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂
    Mbona huyu jamaa wa ajabu kwaniiii
    Wakati yupo hajakimbia hukumkamata
    Hiyo ni longolongo
    Cha pili wewe kweli uwe na ml.30
    Uwe na akili ya kuchukua hela upeleke huko pole yako 😂😂😂😂😂

  • @user-jo3cs3yu3o
    @user-jo3cs3yu3o 26 วันที่ผ่านมา

    Alikua wapi !?

  • @HawaOman
    @HawaOman 24 วันที่ผ่านมา

    Wewe Kwanzaa mchawii ndy maana unasema havii uchawi umeharibiwa ndy maana unasema uomgo

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 หลายเดือนก่อน +2

    Nilisema tu anatembea naehao wanawake

  • @SeifJuma-yt1pk
    @SeifJuma-yt1pk หลายเดือนก่อน +2

    Mlikuwa wapi ukusema kitambo acheni mauwongo

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co หลายเดือนก่อน

    Kuhusu lake Tano mwenyewe kiboko alitangaza like kabisa kauzien chai pale atulizdghasia za congo

  • @righitkileo
    @righitkileo 26 วันที่ผ่านมา

    Mke ameliwa na kiboko na pesa pia.du umepiqwa nje ndani.huyo ndo Kiboko ya wajinqa

  • @ChristopherEnock-vd7wl
    @ChristopherEnock-vd7wl หลายเดือนก่อน +1

    Ukisikiliza mahubili yake unajua hapa mungu hayupo,

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 หลายเดือนก่อน

    WAPO WENGI
    TU KAMA WACHUNGAJI LAKINI MATEPELI TU.

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 หลายเดือนก่อน

    Hahaaaaa kaliwa mke na hela

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co หลายเดือนก่อน

    Nimeamin maneno ya she mkuu wilaya ya kinondon inaongiza Kwa matapeli wa kinabii😊😅😮

  • @DaudiMwangati-id1tk
    @DaudiMwangati-id1tk หลายเดือนก่อน +1

    Mkeo akupe pesa zako

  • @OmaryHabibu-gs7ld
    @OmaryHabibu-gs7ld หลายเดือนก่อน

    Pole sana watu wengi wametaperiwa na hawa viongozi wa dini mataperi wengi tuu

  • @MwitaghesiliChacha
    @MwitaghesiliChacha 24 วันที่ผ่านมา

    Unawezaje kuvipata kihalali mil 30 ,Halafu utake Nabii akupatie mil 200;Kwa miujiza !!?? , Hayo ndio matokeo ya kuongozwa na mkeo kiimani

  • @HawaOman
    @HawaOman 24 วันที่ผ่านมา

    Mdomo kama sahani

  • @HawaOman
    @HawaOman 24 วันที่ผ่านมา

    Umeweka tumba kama furoshe LA jambazi msenge tu wew

  • @annamussa185
    @annamussa185 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo alijuwa akizaa Tanzania ndo itakuwa sababu ya yeye kuishi Tz mke wake naye Tapeli mjinga mkubwa wakakulane huko Congo wapuuzi

    • @DianaShayo-io1pz
      @DianaShayo-io1pz หลายเดือนก่อน

      Uwe na kiasi ndugu yangu siku moja utatoa hesabu ya hayo maneno yako,utakuponza

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co หลายเดือนก่อน

    Pasta ni wahun sana usitete fatilia simliz ya filipo yutb ya Veronika frenk e,fm hakika utatulia Kwa dhehebu lako manabii wanasir nzito mungu wao anawambi usiwe na huruma pesa mbele

  • @sabrinaandrew4245
    @sabrinaandrew4245 หลายเดือนก่อน

    Hivi Hadi huyo mkeo umeamua KUMDHALILISHA?
    Mwache mchungaji kiboko ya wachawi wetu.Wewe kumchafua plz

  • @FistonBampe
    @FistonBampe หลายเดือนก่อน

    Jinsi Una viongea ww muhogo

  • @JumaaMutinda
    @JumaaMutinda หลายเดือนก่อน +1

    Ww nimuongo

  • @joshuasamson-lc8mr
    @joshuasamson-lc8mr หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ndio mjinga sio kiboko,ulikuwa wapi siku zote?

  • @esterwambura
    @esterwambura 23 วันที่ผ่านมา

    Punguzeni tamaa kama Mungu alikusaidia ukawa umetunza milioni zako kadhaa ridhika na ulichonacho lkn ukitaka zaidi umepata sasa ulichotafuta tulia babae

  • @ruthmwandoe3783
    @ruthmwandoe3783 28 วันที่ผ่านมา

    Sasa. Wewe tamaa ya. Pesa imekumaliza. Maana haukua watafuta. Mungu .ulikua. Watafuta pesa

  • @justinethadey
    @justinethadey หลายเดือนก่อน

    Wewe kwamganga huaga unaenda chukua tena

  • @florencemushi6561
    @florencemushi6561 หลายเดือนก่อน

    Watapigwa tutawazika fasta.

  • @LevinaModesti
    @LevinaModesti หลายเดือนก่อน +1

    Msimchafue Mchungaji wetu uongo huo umetumwae

  • @KennedyNgusa
    @KennedyNgusa หลายเดือนก่อน

    Mkome mnakimbilia miujiza , kala,mke ,napesa ,koma nyie

  • @sizyathom-qq5cx
    @sizyathom-qq5cx หลายเดือนก่อน +1

    Mukeo ndiye alimwangusha nabii

  • @mwanjammassa8563
    @mwanjammassa8563 หลายเดือนก่อน

    Hata roho na akili zimtumikiye BWANA.
    Tayari uko na milioni zako nyumbani, kwanini usitosheke na pesa yako ili ujifanyie mipango yako pole pole!!! Kumbe umepigwa pesa na mke juu 😢. Pole sana. Mutapigwa sana 😢

  • @ThedoNdunguru
    @ThedoNdunguru หลายเดือนก่อน

    Kama wewe,uko hivyo je? Huyo mkeo ana hali gani?😂😂😂😂😂jamani acheni uongo mungu yupo mnajua

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 หลายเดือนก่อน

    HUYU JAMAA YUKO SAWA KABISA WALA ASILAUMIWE.

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA หลายเดือนก่อน

    UNAWEZA UKAFANYIWE UJAMBAZI HALAFU UKASEMA KUWA simdai chochote Jambazi ?

  • @sizyathom-qq5cx
    @sizyathom-qq5cx หลายเดือนก่อน +1

    Mkeo akulipe

  • @TeddyPonera
    @TeddyPonera หลายเดือนก่อน

    Kwann umekuja kuongelea mitandaoni kwani hakuna polisi siungeenda kustaki huko . Wacha kiherehere broh

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA หลายเดือนก่อน

    SASA IKIWA MLIKUBALIANA AENDELEE KUZIBARIKI SI NDIO ANAENDELEA KUZIBARIKI NA KUZIOMBEA SAWASAWA NA MAKUBALIANO YENU? Je kuziombea unadhani inatakiwa ichukue muda gani?

  • @Edithqueenswag
    @Edithqueenswag หลายเดือนก่อน

    Wewe muongo saaana , wala haufanani hata mlioni moja wewe muongo ahuna pesa

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co หลายเดือนก่อน

    Mimi nakwenda Kwa hao watu sbb naogopa kuchanjwa chale ndy nakwenda huko tutulien Kwa mwamposa had kichwa kinauma maisha ya hapa dunian magumu sana

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co หลายเดือนก่อน

    Mh, mule ofisn Kuna chuma ulete siyo Hali ya kawaida kiboko umeumiza watu tunarud Kwa waganga wa kienyeji au tutulie kwenye dini yetu ya haki

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 หลายเดือนก่อน

    Acheni uzushi manifesting na habari zenu za uongo

  • @florencemushi6561
    @florencemushi6561 หลายเดือนก่อน +2

    Uongo. Unless ni wahudumu wasaidizi. Kiboko hajamuibia mtu. Acheni kumchafua kwa sababu hayuko.

    • @Life10061
      @Life10061 หลายเดือนก่อน

      jamaa ni tapeli kama matapeli wengine

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co หลายเดือนก่อน

    Siku ya mkesha yule mama alikuwa na bint anaanhguka kifafa mbele kabisa aliomba million nne Kwa kuona na kusikia atengeneze kilinge Cha uganga serkali ndy itaamua kongo hakunaardh afungue kanisa

  • @ThedoNdunguru
    @ThedoNdunguru หลายเดือนก่อน

    Tamara zako zimekuponza,sisi hatuwezi kukuami wewe na wewe ni tupeli tu kama wengine

  • @HawaOman
    @HawaOman หลายเดือนก่อน

    Kwanini usiseme madam hote

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co หลายเดือนก่อน

    Tena manabii ni waovyo wanskudanganya lete pesa nizibarik unapigwa changa la moto 😢😮😅Sena baba Dunia Pana sana

  • @EliminataThobias
    @EliminataThobias หลายเดือนก่อน

    Tapeli wewe ulaaniwe umrudiee mungu wako

  • @pascalmgina
    @pascalmgina หลายเดือนก่อน

    Koma

  • @HawaOman
    @HawaOman หลายเดือนก่อน

    Acha usenge wew

  • @EliminataThobias
    @EliminataThobias หลายเดือนก่อน

    😅

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli nawaendea watu Hawa kama waganga wa kienyeji tunaponzwa na urofa

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee mjinga😂😂😂 pesa unazo unataka nyingi siufrmason😢

    • @sophiaadson1498
      @sophiaadson1498 หลายเดือนก่อน

      Unasubutu kumsemea uongo kweli mfazili mbuz utamla nyama binadamu atakuuzi

  • @OscarKitambi
    @OscarKitambi 18 วันที่ผ่านมา

    Sasa ua mmoja ulise wengi,Sasa nenda Kwa mwakipande makete na mkeo;bibilia imeandikwa iishini nao Kwa akili kweli wewe una akili sana;

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 27 วันที่ผ่านมา

    NIMETIZAMA MKOI TV ONLINE KUNA DADA ANAMACHO YA ROO KAMUONA MCHUNGAJI KIBOKO YA WACHAWI YUPO UCHI MAZABAUNI KUTOA SILI KAMUUA KAMA AMUAMINI TIZAMENI MKOI TV 😢

  • @BenjaminSululu-uz6sd
    @BenjaminSululu-uz6sd หลายเดือนก่อน

    PAMOJA NAUJINGA WANGU MM SIWEZI KUWA MJINGA KIASI HIKI

  • @StellaKileo
    @StellaKileo หลายเดือนก่อน

    Sio kweli

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA หลายเดือนก่อน

    HIZO NI ISHARA ZA VISINGIZIO VIKUBWA SANA! KWANZA tuanze na NENO JAMBAZI MAANA YAKE NINI? Mwandhishi au mtangazaji NAOMBA UNIJIBU MAANA YA NENO UJAMBAZI.

  • @user-tc2rr9et1k
    @user-tc2rr9et1k หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa hajui lolote kuhusu Neno la Mungu anataja warumi 14:5 lakini anachotamka ni kingine kabisa. Ndio maana katapeliwa mke na fedha amevuna alichopanda

  • @AzizaHamisi-ef3up
    @AzizaHamisi-ef3up หลายเดือนก่อน

    Ni mwenywe dadai sh m.2😊

  • @goldenvibeztz8579
    @goldenvibeztz8579 หลายเดือนก่อน +1

    Pesa sio.issue mlilie Mungu ukombolewe nafsi yako iliyotekwa na kupelekwa kuzimu,kitu ambacho hamjui mnapoingia kwenye madhabahu za watumishi wa kuzimu kitu cha kwànza nafsi yako inatekwa.

    • @Lumatotv570
      @Lumatotv570  หลายเดือนก่อน

      Asante mtumisha kwa ujembe mtam

  • @jessicaanania6326
    @jessicaanania6326 หลายเดือนก่อน +2

    Yule anaonekana tuu ni tapeli jaman 😂😂daah hela kala ,na mke kala

  • @RamadhaniKptkpt
    @RamadhaniKptkpt 8 วันที่ผ่านมา

    Sasa atachukuaje mke wakati yeye ana mke wake mzee ???

  • @user-mg6hn6os6y
    @user-mg6hn6os6y หลายเดือนก่อน

    Kama ni kweli huyu ni mpumbavu,uliweza kupata million 25 kwanini usingejitahidi zaidi?

  • @pilichambo1107
    @pilichambo1107 หลายเดือนก่อน

    Ulilazimishwa? Kwanini huku sema siku zote hizo?

  • @ELGIUSKELAMIYE
    @ELGIUSKELAMIYE หลายเดือนก่อน

    Wachungaji tukiwafundisha mnasema tunawaonea wivu..itabidi TU
    Muwe mnasadiki yakiwakuta namna hiyo..

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kiboko waovyo kwenye pesa kama anajiamin asijichubue na sura yake mbaya anaka pesa za wakala hoi

  • @KibokoPrincess1011
    @KibokoPrincess1011 หลายเดือนก่อน

    HUU WAKATI WOTE ULIKUWA WAPI? UNGESEMA MAMBO YA BIBI HAPO KANISANI. KWANINI SASA???

  • @HalimaRamadhani-w8l
    @HalimaRamadhani-w8l หลายเดือนก่อน

    Maneno yako yatakuponzaaa.utaponzekaaaa.acha kabisa

  • @nassornurdin1290
    @nassornurdin1290 หลายเดือนก่อน

    Fala huyo njaa zakupewa pesa nang'ombe wenzake aje amuongelee vibaya mwenzake

  • @AGNESSIMBA-b1f
    @AGNESSIMBA-b1f 16 วันที่ผ่านมา

    Achauongo amchukue mkeo kwaniyeye Anamke? Unapatazambi kwazaunamzalilisha mkeombwa wewe

  • @HalimaRamadhani-w8l
    @HalimaRamadhani-w8l หลายเดือนก่อน

    Wewe na uyo mkeo ni mafara tu usimlaumu mtumishi kwendraaaa.

  • @mirajiramadhanikyande6173
    @mirajiramadhanikyande6173 หลายเดือนก่อน

    Nakumbuka Kwaya ya Makongoro: Wajinga ndio waliwao

  • @MonikaSaimoni
    @MonikaSaimoni หลายเดือนก่อน

    Mnamuoneq tu kiboko ya wachawi kwan alikufos siww mwenyewee ulitaman

  • @IsmaliRachidi
    @IsmaliRachidi หลายเดือนก่อน

    Muongo kweli unataka Kiki tu Fala weww

  • @GraceKazi-z8d
    @GraceKazi-z8d หลายเดือนก่อน

    Mmmmmm vingine vya uongo jmn! Khaaaaaa

  • @jacklineaugustino7810
    @jacklineaugustino7810 หลายเดือนก่อน +3

    muone huna aibu kumsemea huyo mchungaji vibaya mungu anakuona na atakujibu hik unacho kfanya.

    • @godfreymwikola8232
      @godfreymwikola8232 หลายเดือนก่อน

      Wajunga ndio waliwao wewe

    • @PatriciaFelix-hx9wc
      @PatriciaFelix-hx9wc หลายเดือนก่อน

      Yes lakin hatumtaki akae huko Kongo nako kuna watu watz na sie tunapenda kutapeliwa Kwa kua tunapenda miujiza na so kujiombea yesu kristo atukomboe

    • @FistonBampe
      @FistonBampe หลายเดือนก่อน

      ​@@godfreymwikola8232ogopa Mungu ata kidogo watu ni wa mungu sio wako ww.

    • @FistonBampe
      @FistonBampe หลายเดือนก่อน

      ​@@PatriciaFelix-hx9wctatizo watu Wana penda kuukumu watu. mwacheni, Mungu sio mjomba wenu wetu Sisi yote. yeye ametapeli Nani?

  • @KennedyNgusa
    @KennedyNgusa หลายเดือนก่อน

    Waumini ,mnatetea ujinga pole