Shekh Waleed ajibu wanaomshambulia kutokana na Video yake kusambaa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 153

  • @ubinadamkazi997
    @ubinadamkazi997 4 ปีที่แล้ว +5

    mashaalah sheikh walid.nakupenda kwa ajili ya allah.allah akuhifadhi...

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 5 ปีที่แล้ว +8

    Mashaallah sheikh walid alhady Allah akuhifadhi na shari za mahasidi

  • @LizaLiza-sd5uu
    @LizaLiza-sd5uu 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaaalll umejibu vizuli bila ya vijembe.....hiyo sifa ya ushekhe inastahiki kwako

  • @2003hintay
    @2003hintay 3 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh Walid shukran Allah akujaalie kauli madhubuti

  • @sulemanabbas9955
    @sulemanabbas9955 5 ปีที่แล้ว +6

    Shekh wangu Allah akuhifadh, nakupenda kwa ajili ya Allah.

  • @othmanhaji1832
    @othmanhaji1832 5 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulillah. Allah awazidishie hekma na elmu. Na atuepushe na kueneza habari za uchochezi na ufitini kwa Mashekhe zetu.

  • @abdulkarim7856
    @abdulkarim7856 5 ปีที่แล้ว +10

    sheikh umeongea kwa hekma kubwa sana Allah akuhifadhi

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 3 ปีที่แล้ว

    waislam mashekhe tuna mitihan sana mbele ya Allah kwa nn kufitinishana kama mtu kakosea inabidi umfate umwambie hapa umekosea fanya hivi sio kurushiana maneno shukran

  • @madinkeymadinkeymcn1681
    @madinkeymadinkeymcn1681 3 ปีที่แล้ว +1

    Shikh walid uko sawa mungu akuhifadhi

  • @maalimrajabu1634
    @maalimrajabu1634 5 ปีที่แล้ว +3

    Maa shaa allaah sheikh waleed umeeleweka sana

  • @mahd_din9982
    @mahd_din9982 5 ปีที่แล้ว +9

    #sisi ni ndugu tulio lalia kitanda kimoja. Maneno ya hekima sana Allah akuhifadh shekh

  • @abdululomi5151
    @abdululomi5151 5 ปีที่แล้ว +6

    Nimependa usivobabaika kueleza unachokifahamu na unachokiamini mwenyezi mungu akuhifadhi

  • @othumanisamata1499
    @othumanisamata1499 5 ปีที่แล้ว +4

    Miaka 26 Mashaaallah sheikh Waleed M/MUNGU akuongoze

  • @nassoromar762
    @nassoromar762 5 ปีที่แล้ว +5

    Hikma na bussara ya hali ya juu, Sheikh Allah akuzidishie Elimu

  • @HUSENSHARIF-in3nd
    @HUSENSHARIF-in3nd 7 หลายเดือนก่อน

    Jazakallahu khaira shekh

  • @mudhihirsekavumo2763
    @mudhihirsekavumo2763 4 ปีที่แล้ว

    Shukran kwa ustz na muulizaji mmeeleweka

  • @abubakarkhamis3884
    @abubakarkhamis3884 5 ปีที่แล้ว +3

    Maneno fasaha ya sheikh wetu.
    Ni vizur kaweka wazi.
    Hongeren Miladu online Tv kw kuzid kutuhabarisha.
    Jazakumullahu khayra

  • @halimanasihu1200
    @halimanasihu1200 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah shekhe waleed

  • @benyoussoufaboubcar1575
    @benyoussoufaboubcar1575 ปีที่แล้ว

    Jazakumullah Kheyr

  • @rehemamsuya2263
    @rehemamsuya2263 5 ปีที่แล้ว +4

    Allah akuhifadhi ,hekma yako kubwa

  • @Shakila-t3c
    @Shakila-t3c ปีที่แล้ว

    Aslm alkm ww..... Allah atuongoze.

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 ปีที่แล้ว

    Na Mimi nawaongezea tu sheikh wangu , Hao wanaodhani dini ni maneno ya taarab wanakata kata mambo ya haki wajuwe tu kwamba anaempandisha Mwenyezi Mungu binaadamu hawezi kumshusha waache kucheza Na Dunia ,Iko Siku Dunia itawacheza.

  • @omarjumanne4356
    @omarjumanne4356 4 ปีที่แล้ว +3

    Weye modo wamgu kwa maswala ya dini allah akupe elimu zaidi

  • @abukheri2054
    @abukheri2054 4 ปีที่แล้ว

    M.Mungu ampe umri mrefu wallah tunafaidika sana

  • @awadhially1384
    @awadhially1384 5 ปีที่แล้ว +8

    Sheikhe inaonekana unasehemu ya uchamungu ALLAH akuzifishie nasi pia ALLAH aturuzuku uchamungu.

  • @abdusaalim1927
    @abdusaalim1927 5 ปีที่แล้ว

    Maashaallaah mwalimu umeeleweka Mungu akujaalie kheri

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 5 ปีที่แล้ว

    SHUKRAN SANA.
    MWENYEZI MUNGU AMUHIFADHI SHEIKH, BALI YATAKIWA UANGALIFU SANA KATIKA KUFANYA MIAMALA NA WATU WANAO ITWA WA KIMATAIFA, MARANYINGI WAO HUTAZAMA MASILAHI YAO HIVYO WAKO TAYARI KUFANYA LOLOTE ILI KUFANIKISHA MALENGO YAO!

    • @saidrashid2701
      @saidrashid2701 5 ปีที่แล้ว

      Sheikh mwenyezi mungu akujalie kila la kheli, kwanini wakubadilieshie maongezi, inaonekana watu walipwa mishahara, mpaka wanalamizisha, inshallah watayakuta wanayo yatanguliza

    • @sadamussa3196
      @sadamussa3196 4 ปีที่แล้ว

      pole sheikh hao wanao fanya ivo wasikutie joto la roho ni wale ambao hawana elimu ata ya kusikiliza

  • @omarothman986
    @omarothman986 5 ปีที่แล้ว +3

    Allah akulipe kila kheri sheikh waleed alhaad

  • @nawawisaalim7173
    @nawawisaalim7173 5 ปีที่แล้ว +5

    Sheikh walid umezungumza hekma nzuri sana

  • @alikirobo141
    @alikirobo141 5 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuhifadh shekh walid

  • @agogotvharoune989
    @agogotvharoune989 5 ปีที่แล้ว +1

    maahaa'ALLAH ALLAH akuhifadhi shaykh letu nakupenda kwaajili ya ALLAH

  • @kassimtz9567
    @kassimtz9567 ปีที่แล้ว

    Ahsante mwalimu wangu

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 6 หลายเดือนก่อน

    Yote hayo Ni Usheikhe wa Mkoa tu Hakuna kingine, Na InshaAlla Mwenyezi Mungu Atakupandisha daraja zaidi ya hapo Binafsi Nakuombea, Nina imani Wanaokuombea Mema Ni Wengi.

    • @binurusm8886
      @binurusm8886 6 หลายเดือนก่อน

      Sheikhe wangu, Pale Mwenyezi Mungu Alipokupangia, kwa Uwezo wake Patafika tuu, Hilo Lipo wazi.

    • @binurusm8886
      @binurusm8886 6 หลายเดือนก่อน

      Nakuombea Mwenyezi Mungu Akulinde, Aamina.

    • @binurusm8886
      @binurusm8886 6 หลายเดือนก่อน

      Mwenyezi Mungu Alishakuandaa, mwenye wivu ajinyonge.

    • @binurusm8886
      @binurusm8886 6 หลายเดือนก่อน

      Naa bado.

  • @AhmedSaid-xz3kj
    @AhmedSaid-xz3kj 4 ปีที่แล้ว

    Allah ibarek sheikh walid

  • @AhmedSaid-xz3kj
    @AhmedSaid-xz3kj 4 ปีที่แล้ว

    Jazakallah kheir

  • @allymafita2556
    @allymafita2556 5 ปีที่แล้ว +9

    Sheikh nimekuelewa saana, kwanza unahekma ya mazungumzo, si kututolea povu na kashfa kwa wengine!!!

  • @munirriyamiy4194
    @munirriyamiy4194 3 ปีที่แล้ว +1

    ```arafa kwa mahujaji ni sehemu(arafa penyewe) na wakati (tarehe 9 dhulhijja) kwa Muandamo wa saudia , ama kwa wasiokua saudia ni wakati tu(tarehe 9 dhulhijja) kwa kuzingatia muandamo wa kila sehemu peke yake kwa mfano Tanzania tarehe 9 yao sio lazima iwe sawa na saudia kwahivyo watafunga swaumu ya arafa tarehe 9 kwa mujibu wa muandamo wa Tanzania ila kama muandamo wao utakua sawa na saudia basi watafunga siku ya kisimamo cha arafa pamoja na saudia wallahu aalam```
    @munir_elriamy
    .
    .
    #eidmubarak
    #arafa #ibadhi #ibadayahija #dhulhijjah #chinjakwaajiliyamolawako #zanzibar #oman #tz #عيد_مبارك

  • @abdunur4585
    @abdunur4585 5 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh wangu, Allah SWT akulipe mema, na umushukuru kwa neema zake kadha alizokuruku, miongoni ni hekma ambayo ktk Elmu kiasi unayo. Ila swali limenijia kama hivo ; Alikuja Mmoja wa waumini kwa Rasul SAW kutoka Vilimani, nakumpasha habari kwamba > Tuliuona Mwezi tayari sisi vijijini, Mtume akaamua moja kwa moja wafunge Wa Islam, bila kuushakia ushahidi huo, angalau ulikuwa mda wa Tano za Asubuhi, Wote wakafunga kwa amri ya Mtume. Utatupa jibu gani hapo mja wa Mungu ?

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 ปีที่แล้ว

    Umejibu vizr shekhewetu

  • @jambiaomary5516
    @jambiaomary5516 2 ปีที่แล้ว

    Hapa shekh nimuelewa sana.

  • @hashimmhashim2663
    @hashimmhashim2663 5 ปีที่แล้ว +3

    شيخ محمد عيد حفظه الله

  • @khalidbuda4289
    @khalidbuda4289 4 ปีที่แล้ว

    Maashalla shekh uliejaa Hekma

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 5 ปีที่แล้ว +3

    Shehe Allah akuongoze

  • @ajmilee4204
    @ajmilee4204 5 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh Waleed Bin Sheikh nimekuelew sana! Lkn nimekuelewa zaid kwny kupeana UDHURU zaid ya mara Sabini...! Allah awape kheyr nyote masheikh zetu... wkt mwngn mtu hukosa kwa sabbu ya furaha!

    • @hamidmussa838
      @hamidmussa838 5 ปีที่แล้ว

      Sheikh walid nimekuwelewa vizur sanaa!!

    • @brotherissesu
      @brotherissesu 5 ปีที่แล้ว

      Mashaa Allah. Allah amekujalia hekima na elimu yatakiwa kuambatana na hekima. Sisi wote ni waislamu Allah atuhifadhi

    • @ismailbakari7065
      @ismailbakari7065 5 ปีที่แล้ว

      alla mashaaaaalla shekhe Allah akuhifadhi shekhe waled

  • @abdalahaby3658
    @abdalahaby3658 5 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nilipoiona tu ile video nilisema imeeditiwa hii. Waleed ni imamu wangu zaidi ya miaka 7.

  • @yusuphahmedymngombe3706
    @yusuphahmedymngombe3706 5 ปีที่แล้ว +2

    Alhamdulillah

  • @ustkambangwa5100
    @ustkambangwa5100 5 ปีที่แล้ว +3

    Shekh waleed unahikima kubwa . Allah akuzidishie hikma

  • @nawihadj6674
    @nawihadj6674 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah jaman tunatia aibu sna haswaikaribia mwezi huu mtukufu kuna kua na contradition nying sana yani huu mkanganyiko sjui unatokewap jmn yani kila mtu anakua sharifu wa kutoa fAtwaha

  • @hashimmhashim2663
    @hashimmhashim2663 5 ปีที่แล้ว +3

    ماشاء الله شيخ وليد حفظه الله

  • @nyanyambuli7163
    @nyanyambuli7163 5 ปีที่แล้ว +1

    MNACHOTAKIWA NI KUWAUNGANISHA WATU NA SIKUWAFARAKANISHA WATU MUOGOPENI ALLAH.

  • @KIBIBISULEIMAN-b8h
    @KIBIBISULEIMAN-b8h 6 หลายเดือนก่อน

    Umesema kweli uaminifu inswaaf na iklas

  • @SaidSaid-cs7mm
    @SaidSaid-cs7mm 5 ปีที่แล้ว +4

    Maamuma Tuwe makini nahawamashehe haiwezekani mwezi nimmoja alafu ukatae muandamo wamwezako nahaiwezekani kila nchi iwe namwezi wake mwezi nimmoja tu

  • @kassimtz9567
    @kassimtz9567 ปีที่แล้ว

    Apa nimekuelewa mwalimu wangu

  • @amanabdallah9745
    @amanabdallah9745 5 ปีที่แล้ว +1

    Hawa mashekh, ni hatari sana, Imamu wa msikiti kuanzi miaka ya 90.ndo ujue ni kingnganizi cha madarka,dunia haina miezi mingi,dunia ina mwezi mmoja.ukisema kila watu wafungue kwa mwandamo wa miezi yao, basi kila nchi ingefungua kwa tarehe yake. Nyie mnasoma kuna baadhi ya miji zamani ilikuwa ikifungua tofauti. Linaweza kutokea hilo kwasababu ya uongozi wa miji ile kujifakhalisha juu ya mwezake(nani mbabe) ndo kinachotokea hapa Tanzania na nchi nyingine, uislamu ni mmoja, mwezi ni mmoja. Hakuna nchi yenye tarehe tofauti,tofauti ni machweo na mawio , tofauti hiyo ipo hata hapa Tanzania.

    • @Fredrickmarinya
      @Fredrickmarinya 5 ปีที่แล้ว +1

      Kuwa Imamu Mkuu toka miaka 90 kuna tatizo gani, laity ungejua Mashekh waliomkabidhi pale wala usingeyasema hayo unayoyasema leo, Nakukumbusha ndugu yangu kuwa na kiasi katika maneno yako kumbuka kila tunalilofanya hapa duniani tutaulizwa kesho mbele ya Mahakama ya Mungu. Sijui kama Historia ya elimu ya Dini ya Shekh Walid unaifahamu vizuri au unavyomuona mpole, haongei sana unamchukilia poa fahamu amepita kwenye mikona ya Mashekh wakubwa wakubwa na ndo waliomridhia wakamkabidhi Msikiti ule. Nakukumbusha tena sku zote fahamu kila ulifanyalo linaandikwa na siku ya mwisho kuna hesabu.

    • @rizikisalum9678
      @rizikisalum9678 5 ปีที่แล้ว

      Hosne Hosne hata wewe peya ni kwa kila mtu ao mashekhe wao wanawaona hawajuwi kitu wanawadharau

    • @issaisandeko6217
      @issaisandeko6217 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa aya gani au sura ipi inaonesha ukomo wa kuwa Imam

    • @JuchonlineTV
      @JuchonlineTV 8 หลายเดือนก่อน

      Kwani mtume alikuwa imamu miaka mingapi?? Wacha kuropokwa ww!!!

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 5 ปีที่แล้ว +5

    Sheikh yuko kiikhlas zaidi nimemkubali sana

  • @nyanyambuli7163
    @nyanyambuli7163 5 ปีที่แล้ว

    MWISHO WASIKU MTAWAGOMBANISHA MASHEIKH WETU .BADILISHENI MWENENDO WENU.

  • @saidburuji9984
    @saidburuji9984 5 ปีที่แล้ว +2

    Nyinyi mulikwenda kwa sheikh muhammed idi kumuulizia kuhusu klip ya sheikh walid baadae munakwenda kwa sheikh waalid kumuulizia clip ya sheikh mohammed hamuoni munawagombanisha hao masheikh

    • @BABDEOMILADU
      @BABDEOMILADU  5 ปีที่แล้ว +1

      Bila kwenda huko ungefahamu vp kama clip imechezewa?

    • @Fredrickmarinya
      @Fredrickmarinya 5 ปีที่แล้ว

      Alhabibi Babdeo fanya juhudi uipate ile clip original iliyochezwa yote ili waislam wapate uelewa.

  • @anzurunindume
    @anzurunindume 4 หลายเดือนก่อน

    Hapo nimdogo sana

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 5 ปีที่แล้ว +1

    Maslahi ya kidunia yatakuponzeni,maish haya ni mafupi.

  • @salumalabry9627
    @salumalabry9627 5 ปีที่แล้ว +2

    Mi mwenyewe mmeiona video kuwa vibande vimekatwa

  • @abuuabuu4831
    @abuuabuu4831 5 ปีที่แล้ว +3

    Hawa mashekh ni mashee wa Dunia wanatubabaisha na mambo ambayo yapo wazi kua wanazuoni walitofautiana kihoja na hoja zote ni Sawa kulingana na kuelewa kwako. Wanajaribu kutusahaulisha matatizo ya waislamu kule China. Burma. Kashmir. Zanzibar. Chechnya. PALESTINIAN n. K.
    HAWA mashee wanajua fadhila za kwenda Aqsa lakini hawasemi na wanajua mayahudi jinsi wanavyo nyanyasa dada zetu wa kiislamu lakini wapo kimya. Saudi ni rafiki namba moja Wa adui wa uislam wanazuoni wa huko wakisema wananyongwa na nyiyi mnatushughulisha na mambo ambayo yapo wazi

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 4 ปีที่แล้ว +1

    Shekh analeta unafq anakataa wakat kabla ya video kuwekwa ilikuwa ni maongezi ya live na hii sio kweli kuwa video imeeditiwa ni unafq ARAFA NI MOJO tuache unafq

    • @bahashachembea6922
      @bahashachembea6922 3 ปีที่แล้ว

      Tubia acha kutumia lugha chafu kama huamini basi nyamaza tu au pita

  • @hajimuhago3756
    @hajimuhago3756 5 ปีที่แล้ว +1

    Keep up the good work bro #babdeo

    • @allymakamba6357
      @allymakamba6357 5 ปีที่แล้ว

      Sheikh mziwanda naye mumtembelee ajulikane msimamo wake

  • @ibnmussaibnmussa9787
    @ibnmussaibnmussa9787 5 ปีที่แล้ว +1

    alafu ww Salah abdulatif acha ujinga kwanza ww inaonyisha ni murtad umetoka katika nidi ya haki ya uislaamu umeenda kuwa kafiri pil hata uyo yesu aujui unasema tu yesu yesu ulipotoka aukupajua na zaid ulipoenda haupajui na autopajua kabisa unachanganya tu mara yesu mungu mara mwana wa mungu mara nabiii unajikanyaga tu auna elimu ya yesu wala aukua na elimu ya uislaamu Dini ya haki.

  • @saadmbaraqa5272
    @saadmbaraqa5272 2 ปีที่แล้ว

    Mimi naswali msikiti huo lakini cina msimamo wako kwani zambi kufata mwexi wa suudia acheni ubabaishaji katika dini waadilifu wachache kwa tz zama hizi

  • @fatumajuma1341
    @fatumajuma1341 5 ปีที่แล้ว

    Kuwa namsimamo mmoja kama kishki haya niya dunia

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 5 ปีที่แล้ว +1

    Je na huyo mtangazaji wako nae ameeditiwa maana anasema waisilamu wako maka na madina kutekeleza ibadaya hija ibada ya hija ni maka yakhee sio madina

    • @saidiharuna3129
      @saidiharuna3129 5 ปีที่แล้ว +1

      Muhidin Ali anakosea imamu ktka swala itakua yeye mwanadamu makosa yapo kwa mwanadamu

  • @husseinshamte7129
    @husseinshamte7129 5 ปีที่แล้ว +4

    Kama kuna uwezekano mumtembelee shekhe Mziwanda nae tujue uhakika labda nayeye kadukuliwa au ndio kasimamia pale pale
    Maana alichokiongea kuhusu funga ya Arafa na kuhusu sheria bado ni utata katika jamii
    inafikia kipindi watu wanauliza na yeye katoa fatwa ile je anayo taaluma ya sheria?

    • @maheralmuayqily1900
      @maheralmuayqily1900 5 ปีที่แล้ว

      HUSSEIN SHAMTE Nam Sheikh Mziwanda anayo taaluma ya Sheria ni mwanasheria

    • @braqutourssafaris4672
      @braqutourssafaris4672 5 ปีที่แล้ว

      HUSSEIN SHAMTE yaan na yy ni hvyo hvyo tu wameedit na wote ni toka mwaka jana.

  • @nyanyambuli7163
    @nyanyambuli7163 5 ปีที่แล้ว

    MEDIA SIKUHIZI INACHUKUA NAFASI KUBWASANA MUWE MAKINI.

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 5 ปีที่แล้ว

    Ah jamani wenzetu lengo lenu khasa nini juu ya hiidini. mpaka kumbadilishia mtu hatamaneno aliyosema

  • @mahd_din9982
    @mahd_din9982 5 ปีที่แล้ว +5

    Yahh ni kwely video imechezewa

  • @harounali9057
    @harounali9057 5 ปีที่แล้ว

    Ume kuwa Imam Kwa miaka 26 mpaka hapo unapo ongea.

  • @junhanbabu1218
    @junhanbabu1218 5 ปีที่แล้ว +3

    Narudia, Abu idi ni mbabe wahe wa hekma arudi akasomeshwe na kilemile somo La hekma

    • @abdusaalim1927
      @abdusaalim1927 5 ปีที่แล้ว

      Hekma haina mwalimu ni tunu ya hakimu

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 5 ปีที่แล้ว +2

    Mohammed Iddi anamzuka hana hikma za Kiislamu

  • @saadmbaraqa5272
    @saadmbaraqa5272 2 ปีที่แล้ว

    Msimamo yenu ya maxoweya imaan haipo kwenye mioyo yenu

  • @tastedigital
    @tastedigital 4 ปีที่แล้ว

    Sawa

  • @katalayshemndolwa3146
    @katalayshemndolwa3146 3 ปีที่แล้ว

    duu miaka 27jee ilienda soma ukiwa na umri gani

  • @amanabdallah9745
    @amanabdallah9745 5 ปีที่แล้ว

    Kuna waislamu, hawana msimamo wenyewe wapo kotekote, hawa ndo wale akija mtu akajiita kuwa yeye ndo mtume mhammadi(sw) watamfuata bila kujali vitabu vya dini vinasemaje?

  • @abdulsalum2852
    @abdulsalum2852 5 ปีที่แล้ว

    we bab deo umekosa kazi za kufanya kusambaza upuuzi

    • @BABDEOMILADU
      @BABDEOMILADU  5 ปีที่แล้ว

      Inshallah

    • @abdulsalum2852
      @abdulsalum2852 5 ปีที่แล้ว

      Acha kusambaza fitna mbona mambo yepo mengi tuu yakuusaidia umma hata kuna watu wengi wanaitaji misaada we umekalia mambo yenye migogoro lazima tukwambie

    • @BABDEOMILADU
      @BABDEOMILADU  5 ปีที่แล้ว

      @@abdulsalum2852 Ukiwa unazungumza uwe timamu na unachokizungumza, hao uliona wamefocwa kurikdiwa? Au uliona wapo studio yangu nimewaita, uwe na adabu Na hekma sio kuongea tu

    • @abdulsalum2852
      @abdulsalum2852 5 ปีที่แล้ว

      Mimi sinakuvunjia adabu nimekwambia ukweli kuliko kusambaza fitna hizi sheikh uyu kazungumza hivi sheikh uyu kajibu hivi ni bora ukafanye mambo yamaana kuna waislam wengi wanahitaji misaada kama nimekuvunjia heshima yako mkuu nisamehe lakini nimetoa comment yangu kwa vile unavovipost na ulimwengu wetu ulivyojaa watu ambao ni wajuaji angalia comment zako katika video watu wanavo tukana wewe unaona raha akhy umma kuwa na mvurugano namna hii

    • @BABDEOMILADU
      @BABDEOMILADU  5 ปีที่แล้ว

      @@abdulsalum2852 sasa mm ndio niliowaambia wazungumze? Au mm ndio nimewatuma wazungumze kwa maneno yako ndio maana yake

  • @junhanbabu1218
    @junhanbabu1218 5 ปีที่แล้ว +1

    Idi, anakrupuka tu aonekane anajua kujibu🎻

    • @aminamodi8927
      @aminamodi8927 5 ปีที่แล้ว +1

      Ndaibu usimuhukumu Shekh Idd hajakurupuka amefuata bile clip ilivyo

    • @Fredrickmarinya
      @Fredrickmarinya 5 ปีที่แล้ว +1

      Naam ni kweli Shekh Abu Idi amejibu hoja kufuatana na ile clip inavyojieleza lakini kwa sisi Mamuma tunavyouelewa ukaribu wa Shekh Abu Idi na Shekh Walid bado SHekh Abu Idi alitakiwa awasiliane na ndugu yake apate ukweli pia clip hii si ya mwaka huu ni ya mwaka jana na Alhabib shekh Walid aliwahi itolewa ufafanuzi binafsi nimesikitika saaana ila nina amini watakuwa wameshawasiliana wamezungumza na kuna elimu kubwa sana ya kujifunza. Basi tumuombe MUngu atuepushe na wanaotugombanisha sisi na Mashekh zetu.

  • @khamisimtonga3126
    @khamisimtonga3126 5 ปีที่แล้ว

    KVP one line

  • @harunhassan5237
    @harunhassan5237 5 ปีที่แล้ว

    Astaghfirula ,hebu muitafuti hili jina halafu uamue mwenyewe andika=MASHEIKH WATOA KUHUSU FUNGA YA ARAFA,hala uangalie kama kuna edit hapo yeye mwenyewe amekariri hivyo

    • @AbdulAbdul-pr9qe
      @AbdulAbdul-pr9qe 5 ปีที่แล้ว +2

      muogope ALLAH wewe, kwa sie watu wa kuchezea hizo vitu inaonekana kabisa kama imechezewa hiyo video, hebu iangalie inavyoyumba kwenye hicho kipande

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 5 ปีที่แล้ว

    Bobdeo mtangazaji Nenda Kasome Dini tafadhali.Huko ni kujiabisha kwa kusema Dunian kote watu wanakutana Miji mitukufu Makka na madina kwenda kuhijji. Ilihali Ibada ya Hijja Inapatikana Makka tu.

    • @braqutourssafaris4672
      @braqutourssafaris4672 5 ปีที่แล้ว

      Baba Faisal yaan we umeliona hilo tu kusema wanakutana maka na madia ndio unathubutu kumwambia akasome?c dhani kua unamfikia hata robo kwa elmu yake maan ni hafidh wa qur an tena yte.na bado ana madrsa na wanafunzi kibao.usione et hajavaa kilemba kma ww ndio ukajua hajasoma.usimdharau usie mjua.kwanza madina mahujaji wote hua wanaenda kwa ajili ya kuizuru kaburi ya Mtume..halafu ww et unaona kakosea.

    • @zohoraramadan4540
      @zohoraramadan4540 4 ปีที่แล้ว

      Ulimi hauna mfupa

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 4 ปีที่แล้ว

      @@zohoraramadan4540 Hawa wengi wao wanokotwa okotwa tu Akishasoma Sekula kdgo Basi Jina lake Abdallah So yeye anakuwa Anawez usemea Uislam.

  • @ibnmussaibnmussa9787
    @ibnmussaibnmussa9787 5 ปีที่แล้ว

    kasome iyo 12 28 kitabu cha marko

  • @hamadamaani2516
    @hamadamaani2516 5 ปีที่แล้ว +2

    Amezungumza meneno mwiba Sheikh walid

  • @nyanyambuli7163
    @nyanyambuli7163 5 ปีที่แล้ว

    BABDEO DINI SI SIASA

  • @uledihassan6065
    @uledihassan6065 4 ปีที่แล้ว

    Sheikh unaacha kumuogopa Allah halafu unamuogopa Muhammad Idd??

  • @salamakhamis7245
    @salamakhamis7245 5 ปีที่แล้ว

    Maskini Alla atakulipa

  • @salmamazeyane3067
    @salmamazeyane3067 4 ปีที่แล้ว

    Majawabu murwa

  • @ibnmussaibnmussa9787
    @ibnmussaibnmussa9787 5 ปีที่แล้ว +1

    pia yohsn 20 17 marko 32 kasome ujifunzi yesu ni nani maana unamfuata mtu usiemjua alafu unaleta kashfa kwa waislaamu kaa kimya sisi tunamjua uyo munaemuita yesu kuliko nyie wenyewe na tunaifahamu sana iyo Dini yenu kurko nyie wenyewe

  • @asriyaaljabri9582
    @asriyaaljabri9582 5 ปีที่แล้ว

    Masheikh wetu lazima mfaham saa zinapishana mzunguko wa dunia wakati wamesimama suudia nchi nyingine ni usiku itakua kuna funga ya usiku kweli kila nchi na muandamo wa mwezi

    • @amanabdallah9745
      @amanabdallah9745 5 ปีที่แล้ว +1

      Acha kudanganya, hata Tanzania baadhi ya miji inatofautiana, mfano kigoma bado jua lipo lakini dar ni usiku. Kwa kutumia kigezo cha kila mji wafunge kulingana na mwandamo wa mwezi, huo ni upotoshaji, mfano saudia na Tanzania hatuzidiani saana masaa.

    • @hawalul8094
      @hawalul8094 5 ปีที่แล้ว

      Wacha uwongo ww Saudis na Tanzania SAA ni moja

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 5 ปีที่แล้ว

    Unafiki ni hatari sana

  • @allyndambwe4354
    @allyndambwe4354 5 ปีที่แล้ว

    ulichaguliwa kwa vigezo gani

  • @akthammuhammad7844
    @akthammuhammad7844 5 ปีที่แล้ว

    Sheikh omba msamaha kwa Allah na wenzio usiogope sababu cha ukweli umesema hakuna Edit ya kishki atakuumbua baadae omba Istikfaar wacha kuchanganya maneno kila mtu ajua umesema hata wewe pia

    • @zuberhamza1515
      @zuberhamza1515 3 ปีที่แล้ว

      Hukumuelewa vizur mskilize tena

  • @sarahabdulatif7391
    @sarahabdulatif7391 5 ปีที่แล้ว

    KURUANI imekuja kwaajili yakupotosha nakupinga sheria zilizotoka mbinguni kuruani nikatiba yakipepo ndio maana mapepo yanaupenda uisilamu wanajuwa mnamuabudu baba yao amkeni wasiwagonganish vishwa hao hao nimawakala washeni nawala sio mawakala wayesu

    • @amonfaustine103
      @amonfaustine103 5 ปีที่แล้ว

      Quran tukufu ni muongozo kutoka kwa Muumba wa Mbingu na Nchi,aliyeumba viumbe wote waliopo ulimwenguni mbinguni na ardhini. Quran ni Muongozo kwa wachaMungu, ni kitabu kisichokuwa na khitilafu wala mfano . kama wewe uliyekashfu Quran unaweza kuleta mfano wake au kuikosoa kwa kosa lolote jaribu. Lakin nakwambia "tubia kabla hujatokwa na roho"

    • @ashuashu3843
      @ashuashu3843 5 ปีที่แล้ว

      Nini unaongea wewe?

    • @ashuashu3843
      @ashuashu3843 5 ปีที่แล้ว

      Namaanisha huyu anaisema quraan Allah amsaidie awe kwenye njia njema.

    • @OmanOman-ub7xh
      @OmanOman-ub7xh 5 ปีที่แล้ว

      Khamis mashaa Allah kwa kucgukua habari huku na kile, ikiwa lengo lako ni la kheri Allah akuzidishie lakini ikiwa ni miongoni mwa hao wanao eneza fitna basi nakwambia hiyo biashara mwisho wake mbaya.