QISA CHA KUSHANGAZA | AL-SHABAAB WALIWAAMBIA WASOME QURAN KAMA MTIHANI WAO | KILICHOTOKEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • QISA CHA KUSHANGAZA | WALIAMBIWA WASOME QURAN KAMA MTIHANI WAO | KILICHOTOKEA

ความคิดเห็น • 630

  • @skekifuhamisi6725
    @skekifuhamisi6725 3 ปีที่แล้ว +12

    subhana Allah usifananishe Quran na mzikia acha ujinga ww

    • @a.a.a.s8322
      @a.a.a.s8322 2 ปีที่แล้ว +2

      kweli kabisa Quran Haina mfano wake ( haifanani na nyimboi wala Mashairi) Ina hukmu zake. Nadhani Shk alipitiwa tu katika mazungumzo yake.

  • @jayzanbreezy4777
    @jayzanbreezy4777 2 ปีที่แล้ว +5

    Subhaanallah.shekh kailinganisha qur-an na muziki.Allah amsamehe

    • @KASSIMFUNDSIMU
      @KASSIMFUNDSIMU ปีที่แล้ว

      Huyu sjui nimfanyej mm au nimtusi

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu si shekhe eti,ni msanii msanii flan iv

  • @seiflion8707
    @seiflion8707 3 ปีที่แล้ว +3

    Binadam bhana mazuri hawayasemi
    Wanasubiri Masheikh wateleze wawakosoe
    "Hakuna Aliye kamilika Asikosee yee nan"

    • @ahmedabdirahman8611
      @ahmedabdirahman8611 3 ปีที่แล้ว

      Kweli lkn asidanganye kusema quruani kama mziki

    • @isaaqhussein1858
      @isaaqhussein1858 3 ปีที่แล้ว

      Ata kama bro Mtu anajisifu ati amesoma baada ya hapo,kazarau watu eti ni majaahili, wajinga, na Quran ni maneno ya Allah SW anayifananisha na music ya Sheitan, pia Allah ametukataza kuzarauliana ndani ya Quran tukufu, je mwenye amesoma na helewe si ni bora mwenye hajasoma basi! Au arikuwa anataka comment nyingi, mbona ata haja omba ladhi waislam kwa kutereza kwake??

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi6871 3 ปีที่แล้ว +4

    Daah! Shehe anaonyesha alishawahi kuvuta wida. ALLAH AKUBARIKI KWA MAWAIDHA LAKINI ANGALIA AINA YA MIFANO UNAYOTOA USIJE UKAUCHAFUA UISLAM.

    • @wilberchannel5346
      @wilberchannel5346 3 ปีที่แล้ว

      Kumbe uislamu unasuport ugaidi.Sisi wakristo ni wapenda amani kama vile yesu bwana wetu aliye mbinguni kwenye mkoni mkono wa kiume wa M UNGU JINA LAKE LIPEWE SIFA

    • @basharahamtzhalisi6871
      @basharahamtzhalisi6871 3 ปีที่แล้ว

      @@wilberchannel5346 Acha kuwa na akili ya kukopi na kupesti, Uislam si ugaidi na wala hausapoti ugaidi ila unachafuliwa na wasioupenda kama wewe.

    • @ibrahimwainaina3243
      @ibrahimwainaina3243 4 หลายเดือนก่อน

      Sio aliwahi, inaonekana mbaka sasa anavuta. Anaharibia sana Uislamu jina kwa huo upumbavu wake tena sio Sheikh huyu ji shehena.

  • @potyaganonlinetv4774
    @potyaganonlinetv4774 3 ปีที่แล้ว +1

    Nia ya sheikh ni nzuri mapungufu ni kwenye kufikisha......kulingania ni fani jaman si kila mtu anayo yatakiwa masheikh wakajifunze

  • @is-haqsalim6615
    @is-haqsalim6615 3 ปีที่แล้ว +4

    Subhanallah qur-an sio kama mziki usitumie maneno ya kuchekesha kumkufuru mungu sheikh

    • @drraizkidume867
      @drraizkidume867 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 ปีที่แล้ว

      Mtihani Wallah

    • @cideboy4676
      @cideboy4676 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa hapo kakosea

    • @KASSIMFUNDSIMU
      @KASSIMFUNDSIMU ปีที่แล้ว

      😁😁

    • @suleimanmosooud9405
      @suleimanmosooud9405 4 หลายเดือนก่อน

      Mua che jifurahishe na ufrahishe wanae msikilie na maskhar
      Madhal wanoskia wankua afuraha asakher sisi hatuna Hali yakumhukum.
      M aranyegine inahitaji kutoa ilinmna alivo toa usiwemkali nakutisha.

  • @swaleheibarahimnduli7131
    @swaleheibarahimnduli7131 3 ปีที่แล้ว +9

    Kwanza muogope Allah kufananisha Quluani na mziki

    • @mohammedyabdalah3244
      @mohammedyabdalah3244 3 ปีที่แล้ว

      Kwer kabisa wala uja kosea

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 ปีที่แล้ว

      Amekosa

    • @ramadhanimtetu7246
      @ramadhanimtetu7246 3 ปีที่แล้ว +1

      Huyu Ni Muuza Dawa Za Kienyeji
      Kwa Mgongo Wa Dini
      Wanazingua hawaa

    • @ladhiarajab6832
      @ladhiarajab6832 3 ปีที่แล้ว +1

      Labda nimeelewa vibaya, Lkn kwa kuelewa kwangu ni hivi,kama unaweza kuimba mziki vizuri kabisa ,Kwa nini ushindwe kuisoma vizuri kuruan?

  • @kugotwa004
    @kugotwa004 4 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi pole kwa kughafilika na ni kam mziki kw vile watu huwapa burdani ila quran ni zaidi ya mziki nimekuelewa vizur sheikh siwez kukutukana

  • @abuuswafuani2318
    @abuuswafuani2318 3 ปีที่แล้ว

    Huyu shekhe ni mjinga sana afananisha maneno ya allah na maneno ya mashetani qur an inna lillah wa inna ilayhi rajiun ww ndugu ni mbovu kiaqida tubia maneno yako hayo

  • @rehemamgunga8854
    @rehemamgunga8854 3 ปีที่แล้ว +1

    Joooooy that's why I love Islam because the Quran

  • @jamaliddiin9357
    @jamaliddiin9357 3 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh Allah akuongeo umeghafilika
    Usifananishe quran na mzingi

  • @dismassamwel7130
    @dismassamwel7130 2 ปีที่แล้ว

    shehk amenifurahisha sana kweli kuna watu wanakaribia kufa ndio wanahangaika na mambo ya mungu

  • @ruwaidahadi7198
    @ruwaidahadi7198 3 ปีที่แล้ว +9

    Subhanallah don't compare Quran with music

    • @hamissuche6576
      @hamissuche6576 2 ปีที่แล้ว +3

      Hajafananisha jmni kuhelewa muhimu,.. Amesema pia wale waimbaji wameiga kutoka Quran Kwa ufafanuzi

    • @amourmdetele1498
      @amourmdetele1498 ปีที่แล้ว

      usimtetee huyu sheikh ni mtihani Quran na mziki mbalimbali lakini kama wajishughuliaha na kusoma utaona hata yeye hajaipa muda Quran akajifunza sawa sawa anakosea kusoma hiyo aya ya mwisho surah al fath kavaranda halafu ndio sheikh wajifunza watu kwake ni dalili za Qiyaamah WALLAAHI

  • @shaafiabdi8273
    @shaafiabdi8273 3 ปีที่แล้ว +2

    Suba hana Allah quran with music
    Huyu shekhe si asaidiwe tafdhali

    • @razakwalulutv6625
      @razakwalulutv6625 3 ปีที่แล้ว

      Nashagaaa pianamm

    • @ladhiarajab6832
      @ladhiarajab6832 3 ปีที่แล้ว

      Astaghafirullah,msikilizeni kwanza kisha muweleni ,halafu ndiyo mumuhukumu

  • @mohammedmbarouk7711
    @mohammedmbarouk7711 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah mashaallah allah akupe umri mrefu shekh wangu

  • @abubakarihamissi4178
    @abubakarihamissi4178 3 ปีที่แล้ว +1

    nimempenda sana huyu shekhe sana kabisa anasisitiza swala zima la elimu na kuonyesha umuhimu wa elimu hawa ndiyo mashekhe tunaowataka kwenye jamii yetu ya kiislamu sio wengine porojo tupu. Inshalaah MwenyeziMungu amuhifadhi

    • @santossantos883
      @santossantos883 3 ปีที่แล้ว

      We unaakil kwel unamkubal mpumbavu huyu han akil ht kdg

    • @santossantos883
      @santossantos883 3 ปีที่แล้ว

      Huwez kufananisha kur,an na kit chcht yy anafananish na mzik subhanallah

    • @abubakarihamissi4178
      @abubakarihamissi4178 3 ปีที่แล้ว

      @@santossantos883 sikiliza vzr halafu uelewe acha kukurupuka ww, tatizo lenu mna jazba sana hamsikilizi vitu muelewe unadhani ukiwa ukiwa shekhe ndiyo vitu vingine hufuatilii!?, ss kama hufuatilii utatoaje ushauri kwa waumini unaowaongoza?

    • @santossantos883
      @santossantos883 3 ปีที่แล้ว +1

      @@abubakarihamissi4178 inalilah waina ilayh rajiun msiba tukasome broo tuijue din yet il kwa hal iy utafel sn usikubal din yak itukanwe mt ndan ya msikit anaimba subhanallah

    • @cideboy4676
      @cideboy4676 3 ปีที่แล้ว +1

      @@abubakarihamissi4178 hata Kama KAONGEA kwel ila kufananisha mziki na qur'aan kafeli walah

  • @charlesmihuwa6287
    @charlesmihuwa6287 3 ปีที่แล้ว +2

    Shaikh umenifanya nicheke japo mi ni Mkristo Mimi ninarafiki yangu ni Sheikh wa msikiti tena mkubwa anapanda daladala sidharau usafiri huo lakini mimi namuona ni mtu mkubwa sana kupita hata mkuu wa mkoa anastahili kuwa na usafiri wake ndugu zangu Watukufu Waisilam mnakwama wapi? SubhanAllah!

  • @abrahamansaidi8631
    @abrahamansaidi8631 3 ปีที่แล้ว +1

    سبحان الله mashekh ambao hawajielew hawa

    • @awesomevibes5847
      @awesomevibes5847 3 ปีที่แล้ว

      Nakubali...naona anaongea usenge tu kwan ao shabab wamepew kaz y kuhukumu...fala fucken kabsa anatia hasira lol

  • @hajjialy2413
    @hajjialy2413 3 ปีที่แล้ว +17

    MASHEIKH kueni makini mnapozungumza: Qur-an Haifanani na Mziki

  • @asia-aliomari3953
    @asia-aliomari3953 2 ปีที่แล้ว

    Assalaam Alaykum
    Shekhe umefanya makosa kuifananisha Quran (Maneno ya Allah) kama mziki .... Haya ni maradhi ya sisi kuskiza mziki mpka inafikia kiasi cha sisi waislamu kuifananisha Quran (Maneno ya Allah na Mziki) Subhanallah. Tuchunge kwa hilo

  • @kombohamad9299
    @kombohamad9299 3 ปีที่แล้ว +2

    Innalillah wainnaaaa ilaih raajiun ndugu yangu omba msamaha kwa Allah huwez kuilinganisha quran na mziki

    • @raheemplatinumz
      @raheemplatinumz 3 ปีที่แล้ว

      Ww huna elmu yoyote mbumbumbu
      Hujemuelewa hajailinganisha bali amesema tu ladha ya Quran
      Ni kama watu wanavyo penda ladha ya mziki

    • @rifaiomary4508
      @rifaiomary4508 3 ปีที่แล้ว

      Hajalinganisha hebu msikiliz,e tena utamuelewa shekh anasemaje ndugu yetu

  • @aminitu3766
    @aminitu3766 6 หลายเดือนก่อน

    Asante xna sheikh Mungu aendelee kukujalia zaid

  • @mohammadabdallah5311
    @mohammadabdallah5311 3 ปีที่แล้ว

    A.a sheikh usifananishe qur'an na nyimbo sheikh....
    Na pia usifanye mizaaha na dini sheikh ikiwa Allah(swt) amekuongoza ombea wenzako Allah(swt)awaongozee usidharau ama kufanya mizaa wenzako... shukran jazzakallahu kheir

  • @hemedawadh2239
    @hemedawadh2239 3 ปีที่แล้ว

    Shekhe hebu rekebisha maneno umekosa hapo quran ni maneno ya mungu unasema ni kama muziki hebu jirekebishe allah atakusamehe tuwe makini kutowa maneno kwanza yapime

  • @fatumahamadi1379
    @fatumahamadi1379 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Shekhe ALLAH akujaalie kher y Dunia n Akher Shukran

  • @zanzibarspice8686
    @zanzibarspice8686 3 ปีที่แล้ว

    Wallahi sheikh upo vzr snaa mifani Hai Kabisa kama almarhum Sheikh Nyundo Zanzibar

  • @abdulhakimnassor4350
    @abdulhakimnassor4350 3 ปีที่แล้ว +1

    INNA LILAHI WAINNA ILAYHI RAJIUN HUYU ANAFANANISHA QURAAN NA MZIKI HUYU HAFAI KUSIKILIZWA KABISA

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Mh

    • @silvesterrichardhelenya1319
      @silvesterrichardhelenya1319 5 หลายเดือนก่อน

      Tatizo mnasoma ujinga kuongea pekee yake ni kuimba

    • @mashakamohammed3930
      @mashakamohammed3930 3 หลายเดือนก่อน

      Tatizo lake alikuwaga msela ila ujumbe wake hakutakiwa kuufikisha kwa njia hiyo ila lengo ni kwamba quran isomwe kwa ladha

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 3 ปีที่แล้ว +2

    Barakalahu fiiki umati Muhammad

  • @user13375
    @user13375 11 หลายเดือนก่อน

    Unasifia al shabab, wanauwa watu ili wawe waislam,Mungu hakuweka kanuni ya kwamba Dini ya Mungu hailazimishwi,angetulazimisha ingekuwa nani angepona.

  • @hillaryarande745
    @hillaryarande745 2 ปีที่แล้ว

    Shehe mungu akubariki ,kufafanulia ulimwengu ,kumbe wali magaidi ni waislamu wenye wanajua kurani , Sasa watu wajue Quran ndio waepuke kuuwawa na magaidi

  • @lamerckmsuya5513
    @lamerckmsuya5513 2 ปีที่แล้ว

    Dini ya vita, Dini ya kulazimishana.. Khataaar,, Mungu awajalie kuijua njia ya kweli na uzima wa milele

    • @user-os9ul5iu5y
      @user-os9ul5iu5y 2 ปีที่แล้ว

      Wewe acana namambo usiyoyajuwa

    • @theheartofsteel508
      @theheartofsteel508 2 หลายเดือนก่อน

      chuki haikusaidii ,hao unaoishi nao hapo wanakhlazimisha chochote??, ? ukitaka kujua angalia yale msingi usichukue ambayo wenye imani yao wanapishana.

  • @jaminussanga3031
    @jaminussanga3031 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa dr Sulle mwenyezi mungu akujaliemaisha marefu.

  • @hillaryarande745
    @hillaryarande745 2 ปีที่แล้ว +6

    Hao ndio viongozi wa dini kukosa roho mtakatifu balaa ukiwa na roho wa mungu Kuna mambo atakuonya , kiongozi tena wa dini badala ya kushutumu ugaidi ni Kaa anafuraiya Atari kabisa

    • @january_Tattoo
      @january_Tattoo 2 ปีที่แล้ว

      awana mungu wapuhuzi awa wanawaza kuhuwana na mtume wao mwenye mguu mmoja na jicho moja.
      awashtuki tu mtume wao mwenyewe amesema nayeye lazima aingingie jehanam....... washtuk tu msikitini wanaswali na majini

  • @citiisu5503
    @citiisu5503 3 ปีที่แล้ว +3

    Innalillahi waina lillaahi rajiun

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 2 ปีที่แล้ว

    Kwakweli sheikh umenikera Sana kuifananisha qur-an na mziki laiti ningekuwa karibu yako ningekupiga kibao maana imeniuma Sana

    • @zuberymwenge6780
      @zuberymwenge6780 11 หลายเดือนก่อน

      Shida ni uelewa shekh yupo sahihi kasema quran ipo kama mziki hamaanishi ivyo mbona hamjui balagha

  • @rukiyarukiya8005
    @rukiyarukiya8005 ปีที่แล้ว

    Allah Akbar 😭🤲🏽❤️☝️♥️

  • @alfaniomary2506
    @alfaniomary2506 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu anijaalie na mm nijue qur_an

  • @abdallahramdhan2013
    @abdallahramdhan2013 2 ปีที่แล้ว

    SubhaAllah sheikh unafananisha Quran na nyimbo hii ni khasara

    • @january_Tattoo
      @january_Tattoo 2 ปีที่แล้ว

      mpumbavu uyo anachochea ugaidi

    • @january_Tattoo
      @january_Tattoo 2 ปีที่แล้ว

      kutokusoma ndio maana anaropoka ovyo hakili hana mbaba mzima kichwan 0

  • @subiraomary7000
    @subiraomary7000 3 ปีที่แล้ว +2

    Innalillah wainnailayhi rajiuun
    Kweli Quran. Uifananishe na Muziki,?
    Halafu huko walikuwa wanaenda wapi ,unatoka Kenya unarudi Tz ,hayo Somalia unaenda wapi?
    Muwe mnaelewa mnachokisema,
    Hala hao Al shabab
    Wamepata wapi ruhsa ya kuuwa watu bila sababu Wala hatia,?
    Na nyie mnaoshabikia ni kutokujua ,Tuisome Dini yetu jamani tuache ujinga ujinga
    Uislam umukuja Mgeni na utaondoka Mgeni,
    Kazi kujisifu tu hapo hakuna mafudisho

  • @ibrahimumkondo5641
    @ibrahimumkondo5641 3 ปีที่แล้ว +12

    Ukitaka kujua umma huu ni umma wa mabogaz kiasi gani, ni katika Kadhia kama hizi. Hebu fikiri hata kidogo tu
    1. Unalinganisha ladha ya Qur'an na Mziki na watu wanashangilia.
    2. Watu wapo Kenya wanakuja Tanzania ila wanavuka mipaka ya Somalia kuingia Tanzania.
    3. Al shabaab wanauwa watu kwa kuwa hawajui kusoma Qur'an.
    Maneno ya hovyo, yakuchafua dini kabisa...

    • @lukuluku7724
      @lukuluku7724 3 ปีที่แล้ว

      Huyu sheikh hayumo kabisa.. na wafuasi wake wagonjwa kama yy hata kwa wanaomuunga mkono kwa hapa youtube..

    • @subiraomary7000
      @subiraomary7000 3 ปีที่แล้ว

      Halafu wanapmsikiliza wanashangilia !? Ujinga mtupu

    • @kibwanasuleiman8325
      @kibwanasuleiman8325 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂bogaz kweli huyu

    • @othmanbakari2675
      @othmanbakari2675 2 ปีที่แล้ว

      Mh mtihan

    • @salmasultan3882
      @salmasultan3882 ปีที่แล้ว

      Ni mpuzi sana huyu Kapewa pesa huyu na hao watu

  • @issaofficialvideo6375
    @issaofficialvideo6375 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah 😯😯😯

  • @ismailahmed2438
    @ismailahmed2438 2 ปีที่แล้ว

    Baaraka Allah ustad mungu akupe nuru zaidi

  • @janemapile3618
    @janemapile3618 2 ปีที่แล้ว

    Shehe nakukubali sana mungu akupemaisha mrefu uzidi kutupa dawa

  • @Worldunite
    @Worldunite 3 ปีที่แล้ว +3

    Usitafute sifa wee, haiwekwi kwenye mizan vitu hivi viwili QUR'AN na MUSIC,

  • @sulaimankhamisi6470
    @sulaimankhamisi6470 3 ปีที่แล้ว +2

    mashallah sheikh Allah akupe mwisho mwema na atuongoze sisi sote tuwe ni wenye kusoma hio qur'an ammeen

  • @bakarifatherb4180
    @bakarifatherb4180 3 ปีที่แล้ว

    Dah,,,, Aisee Mashekhe namna hii balaa tupu, hatuna uwezo wa kuhukumu mtu ila huyu ni Shekhena... How can you compare music with Quran seriously, then you are so proud of it... Inna llillahi wainna ileihi rajioun

  • @razakwalulutv6625
    @razakwalulutv6625 3 ปีที่แล้ว +3

    Pole Sana shekh Fack unafananisha qur an na mziki wallahi nimtihan Sana mashekh Kama nyny mlonao

    • @ilovejesus666
      @ilovejesus666 3 ปีที่แล้ว

      Akuna mwanadamu aliekamilika wew

    • @ndekemwaifyusi8499
      @ndekemwaifyusi8499 3 ปีที่แล้ว +1

      Muhuni wa zamani.

    • @abdymkadi5290
      @abdymkadi5290 3 ปีที่แล้ว

      HUNA LOLOTE CHUKI TU, AHAKAM TAJUWID ZINAFANANIA NA USOMAJI WA QURAN, NASIO QURAN ...

    • @razakwalulutv6625
      @razakwalulutv6625 3 ปีที่แล้ว

      @@abdymkadi5290 chuki hiyo inatoka wapi nduguyangu Basi ikiwa unaona kaonge yaliyo yasawa naunayo dalili juu yamtu kufananisha qur an namziki Tena unasifia msanii Fulani anaomba vizur naqur an ninzur Kama mziki naww unaona Jambo Hilo nisawa Basi sema hapa ubara wamziki ninin nainafananaje naqur an

  • @salamanauthar5261
    @salamanauthar5261 ปีที่แล้ว

    Subhannallah!!!! Usifananishe Qur'an na Music

  • @kamauwilliamk
    @kamauwilliamk 3 ปีที่แล้ว +5

    Waoo...this guy have opened my eyes, in someway..

    • @antibiotic7238
      @antibiotic7238 3 ปีที่แล้ว +2

      Which eyes??u r very stupid..This guy is promoting jihad and u r here talking about opened eyes

    • @philipnashon1651
      @philipnashon1651 3 ปีที่แล้ว +1

      Shameful

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 2 ปีที่แล้ว

    Atadhafiru Allah Akbar dunia imeisha mashekheir wanafiki mwisho wa dunia Mtume Muhammad s a w alitabiria mwisho watatokea ndio hawa Qur-an haina mfano WA kitu chochote Kijana mwenye Jaziba yk Ya shetan Usilinganie kitu wakat hujui kasome kwanza

  • @ibrahimabubakar8356
    @ibrahimabubakar8356 3 ปีที่แล้ว +1

    Umekosea shekh qur ana haifanani na mziki kabisa

    • @balyyusuf7394
      @balyyusuf7394 3 ปีที่แล้ว

      Hapana hajamanisha ivyo unavyo elewa wewe!

  • @komboarts7110
    @komboarts7110 3 ปีที่แล้ว +3

    Inshaallah 🙏🙏

  • @saidhussien4437
    @saidhussien4437 3 ปีที่แล้ว +2

    Masufi bhana unafananisha qur'an na muziki mtihan Allah awaongoze

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 3 ปีที่แล้ว

      Sasa unacho mlaumu nn naunacho mwita sufi una uwakika kama yeye sufi nakama kasema sawa sawa na mziki Qur'an uwoni kwamba kateleza ana takiwa kuku mbushwa ndugu tuachen ushabiki waki sheytwan ktk dini tumche Allah kwan kila ktk sisi tuna kosea sana kikubwa Allah atuongoze

    • @sabrinasaid5536
      @sabrinasaid5536 3 ปีที่แล้ว

      Mtihani kweli

  • @barqashahmed9220
    @barqashahmed9220 2 ปีที่แล้ว

    ASC , ALLAHU AkBAR ,

  • @nurdinisalumnurdinisalum4880
    @nurdinisalumnurdinisalum4880 2 ปีที่แล้ว

    Wee Sheikh mpuuzi kweli unafananisha vipi Quran na mziki

  • @nassirmohd2851
    @nassirmohd2851 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna kuvuta kama hivo shekh mche Mungu usidanganye

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 3 หลายเดือนก่อน

    SubhunnaAllah

  • @mohamedahmed-yj5rq
    @mohamedahmed-yj5rq 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @january_Tattoo
    @january_Tattoo 2 ปีที่แล้ว +1

    Wakristo n wengi amtatumaliza na ikitokea tuhutokeneze uwislam n dakika chache tunawafuta kwenye uso wa dunia.
    Ukristo n yakwanaza amuwezi kutumaliza hata mtumie majini mnaosali nao misikitini mda inama chini ya msalaba au mtaenda kuzimu na mtume wenu

  • @ahmedchesebe4274
    @ahmedchesebe4274 ปีที่แล้ว

    Allah akuzidishe shek

  • @ismailbuchwa398
    @ismailbuchwa398 3 ปีที่แล้ว +14

    Kwakweli inaskitisha sana kuona wanajitokeza badhi ya waislam kuongelea mas'ala ya elimu na kupigia mifano potofu kwa niya ya kuhamasisha watu waisome quran . Huu ni mswiba ila hawato elewa ispokua wale ambao Allah amewajalia marifa ju ya dini yao

    • @sherazadismael3277
      @sherazadismael3277 2 ปีที่แล้ว

      Inasikitisha saana kwa kweli yaani hao Al Shabab wanauwa watu kwa jina la Uisilamu na kupaka matope Uisilamu na wajinga wanafurahia

    • @user13375
      @user13375 11 หลายเดือนก่อน

      Good

  • @abdulraqeebfaiz9442
    @abdulraqeebfaiz9442 2 ปีที่แล้ว

    Nilivyoskia hzo kelele tu huku kwa washabili nkajua hapa nikupotoshana tuu Mungu atawasamehe

  • @twalibkatuli5318
    @twalibkatuli5318 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @daudisemfuko
    @daudisemfuko 2 ปีที่แล้ว

    Subhana malikul qudus ALLAH AMSAMEH QURAAN KAMA MZIKI

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 ปีที่แล้ว

    MIMI MWENYEWE NAPENDA MWATHINI SAAANA NIKISIKIA DAMU HUNI SISI MUKA KABISA HATA NIKIONGEA NA NARAFIKI ZANGU KENYA NISIKIE MWATHINI AAAAI HUWAAMBIA SUBIRI MWATHINI UISHE NDIO TUONGEE NA MIMI NIM KRISTU YANI RAHA SANA KUSIKIA MWATHINI 🇰🇪🇨🇿

  • @abdulraqeebfaiz9442
    @abdulraqeebfaiz9442 2 ปีที่แล้ว

    Alshabab hawaongeii kizunguuu we sheee mwongoooo sanaa

  • @swabrisalmin2672
    @swabrisalmin2672 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @abdoul172
    @abdoul172 3 ปีที่แล้ว

    Takbirrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr

  • @alexfikiri5200
    @alexfikiri5200 3 ปีที่แล้ว

    Wewe umelaniwa sana tena hujui kufundisha chochote kwahivyo unawa support Al shababu kuwauwa watu kwasababu sio waislam utajibu yote hayo siku ya kiama

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 3 ปีที่แล้ว

    AL SHAABAB WANAUA WAKRISTO NA MASHEKHE MNASIFIA INAONEKANA NI KUMTUMIKIA ALLAH KWA KUWAUA WAKRISTO.
    MIMI NAWASHANGAA SANA WAKRISTO WA KENYA NA MAENEO MENGINE WANAKOUAWA WANASUBIRIA NINI NAWAO KUJIHAMI NA KULIPA KISASI

    • @muzafarsharif9465
      @muzafarsharif9465 3 ปีที่แล้ว

      Wewe njoo uwalipie kisasi ..maana Sisi masheikh wetu kuuliwa na kupotezwa waona ni Sawa sio ??????

  • @evanslawrence7764
    @evanslawrence7764 3 ปีที่แล้ว +2

    Kama Ni Dini ya Amani kwa nini kuuwa?

    • @hagaimartin604
      @hagaimartin604 3 ปีที่แล้ว

      Wamesahau kuwa hapa duniani tunapita tu mwenye kuhukumu ni Mungu watakufa na watahukumiwa kama magaidi

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallahu mungu akubark shehe wetu

  • @marrowog8975
    @marrowog8975 3 ปีที่แล้ว

    Umeitukana kuran sheikh...
    . Mziki ni zambi na kufuru mbele ya allah.

  • @J4UPro
    @J4UPro 3 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 3 ปีที่แล้ว +3

    Wakristo wanauwawa kwa jina la Yesu😨 tujihazari jamani ni siku za mwisho

    • @andrewlucas2294
      @andrewlucas2294 2 ปีที่แล้ว

      Shekhe apo kwenye kikosi cha yanga hatari

  • @yasinamiri7649
    @yasinamiri7649 3 ปีที่แล้ว

    Swadaktaa sheikh wetu

  • @waytvtz2549
    @waytvtz2549 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaan ninyi Mungu anawaona eti mnapigania din ya mwenyezi Mungu

  • @abdukadirihossein4146
    @abdukadirihossein4146 3 ปีที่แล้ว +1

    Somo zuri kabisa

  • @mohammadalfani5243
    @mohammadalfani5243 3 ปีที่แล้ว +1

    Al shabab hawako sawa wanatumia jina la Uislam kwa faida zao wenyewe...Dini inasema usiuwe wala usimwage damu isokua n hatia uwezi kuuwa watu ukisema n jihadi

  • @hassanmatano3567
    @hassanmatano3567 3 ปีที่แล้ว +2

    Ustadh we balaa

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuna mifano mingi ya alshabaibu kuua wakristu na watu wakashangilia. Mfano mmoja ambao ni mzuri ni wa wale waislam walokataa kuua na wakawambia alshabab waanze kuwaua wao lasivyo hawakubari wenzao wakristo kuawa. Hapa sioni maana yoyote . Hapa unasheherekea kifo cha walouawa ambao wengi wao walikuwa wakristo. Mifano kama hii inasikitisha sana.

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭

  • @user-dk1td6uc6n
    @user-dk1td6uc6n 5 หลายเดือนก่อน

    Wewe unaemkosoa sheikh ndio wale ambao hawajasoma rudi madrasa kaka au dada nnaimani utakua muelewa inshaallah

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 ปีที่แล้ว

    Haya ni aibu ktk karne hii,Vijana wanakimbizana n DUNIA,hamna dini! Hata juzuu ama au sura tu hatujui 😭

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 3 ปีที่แล้ว +1

    Waleykumusalamu warahmatuLLAHI wabarakatuh barakallahu fiik

  • @moneyyou4928
    @moneyyou4928 3 ปีที่แล้ว +1

    sheikh kwa stori ya Al shabaab umetukosha hapo unapenda kuchekesha

  • @mohammedsalum4418
    @mohammedsalum4418 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh unautaalam wakuongea sana sema omba msamaha kwa Allah kwakosa ulilofanya lakufananisha Quran na waimba mziki

  • @salimramadhani740
    @salimramadhani740 3 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @hafsaali7976
    @hafsaali7976 3 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah darsa nzuri😅...ila hao Alshabab kesho wangojwa na Allah wakaseme walipewa kazi ya kuua watu nanani"

    • @kambaresamaki1978
      @kambaresamaki1978 3 ปีที่แล้ว

      Allah ndo amewaambie asiehukumu kwa Quran huyo c miongoni mwa waislam mi naona ni sahihi kabisa

    • @ramadhanimtetu7246
      @ramadhanimtetu7246 3 ปีที่แล้ว +1

      @@kambaresamaki1978
      Wewe Kambare Samaki
      Umefahamu Vibaya

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว

      @@kambaresamaki1978, Asiehukumu ktk uisilam c miongoni mwa waisilam lkn kuna makosa maalum yameekwa na yameekwa hvo kwa kupunguza crime duniani ikiwa km yatafuatwa. Na pia kuna sheria zake zimeekwa za kufuatwa, kuanzia yy mwenyewe kukiri, mashahidi...na vp anayehukumu awe na km haukupatikana ushahidi haezi kutekelezewa chchte. Na pia kuna watu maalum wakutekeleza hio sheria na sio kila mtu au kila muisilam. Km unavyoona mahkama ina majaji na ktk uisilam ndio hivyo hivyo. Je mfano ww nchini mwako kuna majaji walosomea sheria wanahukumu km kunyonga halafu ww mitaani umuue mtu just kwa ubabe wako utakua sawa? Na hakuna hata sehemu moja ukaona mtu anakwenda na shughuli zake za kimaisha halafu Allah akasema ahukumiwe kifo/auliwe.

    • @basharahamtzhalisi6871
      @basharahamtzhalisi6871 3 ปีที่แล้ว

      @@alhamdulillah5796 JAZAKALLAH KHAYRA, Nimekuelewa.

    • @ibrahimabubakar8356
      @ibrahimabubakar8356 3 ปีที่แล้ว

      Hamna k2 aliofundisha

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 3 ปีที่แล้ว

    Mwenye elimu hajisimu na Kuwaita majahili baada ya kumuomba Mwenye Enzi Mungu awaongoze

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว

      Huyu sheikh inaeza kua anaelimu lkn hana hekma na ndio matatzo ya masheikh wengi wa Tnz. Utatoaje mfano ambao haupo kwenye uisilam just watu wanafanya kidunia tu halafu ww ndio unaona ni mfano mzuri wa kuueleza kwenye umma? Hao Alshabab na vikundi vyengine vyingi vimeundwa kwa ajili ya kuuchafua uisilam na vinajuilikana....

    • @mosesmwailenge5192
      @mosesmwailenge5192 3 ปีที่แล้ว

      @@alhamdulillah5796 safisanaaa umeongea point ili jamaa haliko vizuli mungu akubariki Saana 🙏🙏🙏

  • @inspirationalclips1422
    @inspirationalclips1422 2 ปีที่แล้ว +1

    Wao ni kina nani mpaka kuuwa wasio waislamu , je mtume alifanya hilo , nani alikuwa zaidi ya mtume
    TAFAKKAR

  • @nassorbandidu643
    @nassorbandidu643 3 ปีที่แล้ว +1

    Allahuma amin tusome

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

  • @allynahoda7335
    @allynahoda7335 2 ปีที่แล้ว

    innalillah uxifananixhe namziki

  • @user-pn1dp2ee9x
    @user-pn1dp2ee9x 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni mipago ya mungu kaka,kila mtu ako na siku yake ya kufakufa(hakuna cha dini,quaran,bibilia.

  • @khalifanoti6974
    @khalifanoti6974 2 ปีที่แล้ว

    Mawaidha kama haya yanachochea na hayafai. Kuyaongelea kwa jamii

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 ปีที่แล้ว

    Tumpokee YESU KRISTO, NDIYE BWANA NA MWOKOZI WETU, RECEIVE JESUS CHRIST IN YOUR LIFE END SHALL SAVE YOU.

  • @salimsadik6761
    @salimsadik6761 2 ปีที่แล้ว +1

    Asalamalikum
    Natumai Ustadh jipime na ulimi wako

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah Allah

    • @zvpOnlineTv
      @zvpOnlineTv  3 ปีที่แล้ว

      Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv

    • @antibiotic7238
      @antibiotic7238 3 ปีที่แล้ว

      @@zvpOnlineTv mnatoaje mifano ya mauwaji ya wakristo??

  • @ahmedmohamed-rm9jn
    @ahmedmohamed-rm9jn 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukitoka kenya kuja Tanzania katikati kuna Border ya Somalia nasikia eti, “sheikh” Hujui kitu hata Elimu ya Dunya huna wew. Kwanza upate wew ya dini badala kupoteza watu Njia kwa sababu hujitambui kielimu , kabisa. Uliyemzido “Elimu” lazima apotee njia.

    • @ramadhanjuma610
      @ramadhanjuma610 3 ปีที่แล้ว

      Mbona una ropoka ww unacho ongea una ongea ongea nn sasa nenda kwenye mpira uko hi dini

  • @samwelluhwago705
    @samwelluhwago705 3 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana ndugu

  • @yusufdaud7049
    @yusufdaud7049 3 ปีที่แล้ว

    Laanatullahu ww shekhaneee unafanishe Quran na nyimbo za mashetani