Masha'allah qu'Allah te protège aku hepushe n'a azabu ya kaburi n'a hazabu la moto wa djahanam akulipe kila la kheri apa Dinia na kesho a khera insha'allah
Uyu ustadhi napenda kutoka moyoni mawaidha yk mnayo mengi sn kwenye sm yang na nikitaka kuskiliza mawaidha mengine naingia TH-cam naskiliza nakupenda sn mungu akuweke
I'm a Christian but I'm enjoying the preaching of sheikh Mansoor. From Kenya
Silimu tu kiongoz dini ya kiislam ni ya haki
InshaAllah MUNGU atakuonesha njia zaidi ufate dini yake ya haqqi
Same here napenda sanaaa kusikilza mawaidha yke😊😊😊
pamoja brother
Allah atujalie tuwe miongoni mwa wema walio pita allahumma amiin😢😢😢😢😢😢😢
Huyu ostaz anamawaidha mazur Sana Allah azid kumpa nguvu
Allah mpe yariomema huyu ustath
Hiiyamashekh wetu waliko ndani inasikitisha sana
Shukran kwa kutufungua macho na kutusaidia kujirekebisha katika amali zetu ili tufuzu duniani na kesho Akhera.Jazakallah kheir.
Allah nijaalie niwe miongoni mwa wenye msimamo katika dini kila nifanyalo liwe ndani ya maamrisho yako 😭
mwenyezmungu atujaarie tuwe miungoni wapeponi🙏🙏
MashaAllah MashaAllah MashaAllah Allah akulipe kher ya dunia na akhera
I am a Christian but each and everyday i must watch Manzoor teaching.
Allah atupe msimamo ktk din yetu
maaashaallah Allah akupe siha biidhinllah upate kutufikishia yenye kumridhia Allah
Allah akulinde na kukuhifadhi Sheikh wetu
Subhanallah subhanallah subhanallah from Oman hom kondoa
ALLAH AKUHIFADHI AKUPE UMRI MREFU
Ameen
Mash Allah shk Hamza I love you for the sake of Allah may Allah bless you
mungu atujaarie tue wenye kumcha mwezimungu na atujaarie MWISHO mwema AMIIN
Masha Allah
Allah Akupe Nguvu Zaidi Inshallah..
Shukurani nakupenda kwa akiji ya Allah
Asalam Aleykum tunashukuru saana na mawaidha ya sheikh wetu sema nasheed ndio ingeondolewa tunataka kusikiliza ujumbe hio ndio muhimu
Allah akujalie tuwe ni wenye kusikia na kuyafanyia kazi yaliokuwa mema
Sheikh Hamza
Mimi Ni mkristu lakini mafunzo yako yananisaidia sana
Masha'allah qu'Allah te protège aku hepushe n'a azabu ya kaburi n'a hazabu la moto wa djahanam akulipe kila la kheri apa Dinia na kesho a khera insha'allah
Allah akuhifadhi shekhe
Maawaza yako yanailenga jamii
Subhanallah mungu atunusuru nashetani
Allah uakbar!! Eeh mungu wangu tusamehe. Nakushukuru sheikh mansoor
Sheikh hamza Allah akuifazi na akurinde na kila shari na akuongozee katika kutupa dawa
wallah nammpenda huyu shekh allah amlipe ana ongea kwa hisia kali
Uyu ustadhi napenda kutoka moyoni mawaidha yk mnayo mengi sn kwenye sm yang na nikitaka kuskiliza mawaidha mengine naingia TH-cam naskiliza nakupenda sn mungu akuweke
Mashaallah
Baraka lahu sheikh Hamza
Masha Allah Allah awape umri mrefu
mashallah Allah 2nakuomb ilinde din km ulvy eka had juu y din yk
Jazakallah kher
Mashall mwenyezimugu akupe umlimlef
Allah akujalie uzidi kutujuza na kutufundisha yale mema yanayompendeza Allah
Allah atupe muongozo na mwisho mwema
🧕🤲 mashaallah mwenyezi mungu akuzidishie ,mawaida yasisimua nafsi ilio amiini kiimani😭😭😭🙏🙏🙏
Tunashukuru sana mwenyezimungu akuzidishie kheri
Mungu mjaliye mtu huyo pepo
MashaAlaah.. Mahubiri nzuri sanaa Sheikh Mansoor.
YaAllah tusamehe wajawako nautuonyeshe njia iliyo sahihi
Mashaallah jazaka llahu khaira hostazi
AllAh akujali maisha marefu
Subhan'Allah
Allaum anima allah akulipe kheri hamza
MashaALLAH
mashaalah
mashallah
I'm here after 7years ago Allah Akbar🙏
💜✋
Halah akupe maisha marefu
Masha Allah Allah protect you always
Allah akulipe
Hutuba nzuri sana
Allah akuhifadhi shekhe
Allah akuhifadh ndug
Mashallah Allah akulipe kila LA kheri
Jazak Allahu kheir
Nshalla Alla akujaze Kira raheri shekhe wetu
Allah jaza kheri ya Rabb
Mungu aturehemu
Baraka Allahu fiiQ
Waliyotukana nakumvunjia heshima raisi wanchi waliachiwa hapohapo mashekhe basi siwaachie muogopeni mungu
Twalibu ramadhani Abdallah
Shukurani sana
Subhana,Allah
MashaAllah Shukran
Mswiba Allah atustri waja wake ktk kheri Shukran ya sheikh Allah akubariki popote ulipo
Mashahla dhakaheri shehe
Masha Allah sheikh wetu ❤❤❤
Sheikh Hamza
Mashaallah
Allah akulipe kheri
Maashaallah
LAAILAH HAILLAH ALLAH MUHAMMAD RASUL ALLAH
Jazakallahukhaira
Ya Ma Sha Allah
As mawaidha nzuri
Jazaka lahu kheir
Ishaallah
Amin
🙏🏾❤️🙏🏾❤️
🙏🙏🙏
Innalh wainahi rajuuna
suhanallah
Hii music ni ya nini sasa inakera sasa tuskie mawaidha au nasheed mtoe muda mwingine
Nampend san
Tanzânia
Jazakaallahu kheir
@@shemshamabakari7958 Assalaamualykum
Masha Allah
Mashaallah
Jazzakkallahu khairah shekh Allah akulipe pepo ya juu
Masha allah