STRONG ICOME achafukwa "mnamuita mzungu wangu babu huyu ni mume wangu na nampenda"

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 73

  • @happymaimu4330
    @happymaimu4330 5 วันที่ผ่านมา

    Umefata pesa.Omba Mungu akupe wa kwako Sahihi.Unazid kujiharibia CV my Dada.

  • @jumatajiri585
    @jumatajiri585 12 วันที่ผ่านมา +5

    Unarangi nzuri nimekupenda usipake mkorogo

  • @3Dshoez
    @3Dshoez 10 วันที่ผ่านมา +3

    Dada nimempenda bureeeeeee,na ngozi yake nzuriiii

  • @africaonechannel1289
    @africaonechannel1289 8 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu DADA Is Born BRIGHT❤
    Na Interview zake ZINACHANGAMKAGA SANA &HUWA HATAFUTI MAJIBU!.

  • @ELIZABETH-uz6dv
    @ELIZABETH-uz6dv 13 วันที่ผ่านมา +7

    Black 🖤 Beautiful ❤❤❤very nice ❤❤❤😊😊😊🇨🇳

  • @3Dshoez
    @3Dshoez 10 วันที่ผ่านมา +2

    Wa babu wanalea,wana experience na maisha

  • @joycelaizer4600
    @joycelaizer4600 8 วันที่ผ่านมา +1

    Nimekupenda bure mdada live your life

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 11 วันที่ผ่านมา +3

    Mibaba mingine haijala ujana inakuja kumalizia ujana uzeeni.ni mihuni kuliko hata vijana.

  • @minamina8024
    @minamina8024 9 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli wababa wanapenda hasa hao wazungu uwiii utamani ukae mbali naye

  • @OmanOman-ji1iy
    @OmanOman-ji1iy 10 วันที่ผ่านมา +2

    Kwali wanatuza sana nitafutie namie

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 11 วันที่ผ่านมา +3

    Sasa huyo mbaba....ni mmeo au mme wa mtu...mm nashindwag elewa😢😢😢😢

  • @Naju645
    @Naju645 13 วันที่ผ่านมา +4

    Sio wababa wote nawahuni pia huzeeka

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 14 วันที่ผ่านมา +4

    Sio wababa woote ndo huwa wanamapenz ya kweli, wababa wengine wanakua malaghai tu inategemea tu na wababa wenyew upooo!!

    • @kibouttv7148
      @kibouttv7148 14 วันที่ผ่านมา

      Wewe tafuta mubaba wa kizungu uone😊

    • @nataemsuya
      @nataemsuya 13 วันที่ผ่านมา +1

      Duh..yani hii ni ugonjwa.Kwanini rangi nyeusi inaonekana km ni kasoro,sisi ni waafrika tujipende kwa namna tulivyo

  • @felisterjames5859
    @felisterjames5859 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli kabsa mdogo wangu

  • @maernov4257
    @maernov4257 14 วันที่ผ่านมา +5

    Dada unalangi nzuli sana ❤❤

  • @roselynealima3618
    @roselynealima3618 12 วันที่ผ่านมา

    Mimi mambo na wababa no
    Huogopi laana ?
    Hiyo ngozi nyeupe ikizeeka kuna vile inanuka😂anyway all the best😊

  • @hildazablon3411
    @hildazablon3411 13 วันที่ผ่านมา +2

    Mmmghhh anaongea sana huyu sijaona io class unayoongelea

  • @mwanatumunjira1167
    @mwanatumunjira1167 9 วันที่ผ่านมา

    Huyu dada hua simpendi ila Kwa hili nakupenda sana,wababa ndo kila kitu wakaka watakutumia na hamna lolote

  • @keyla3641
    @keyla3641 14 วันที่ผ่านมา

    Mbona mzuri sio mzeee

  • @latifahkarim9774
    @latifahkarim9774 12 วันที่ผ่านมา +2

    Mtu ukiwa mweupe ndio uzur na rangi zenu za kudownload utumwa mtupu mtuache na rangi zetu ht kwenye bendera yetu ya taifa hakuna rangi nyeupe kwahyo jichungulie vizur huyo unaemsema cheus na ww fake nan mbaya mxieeeeeeeew chefu

  • @user-ku8lh7wl8v
    @user-ku8lh7wl8v 11 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu dada anaongea ukweli

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 11 วันที่ผ่านมา

    Enjoy wababa oyeee ❤❤❤❤❤

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 13 วันที่ผ่านมา

    😳😳😳🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️kumbe ni mweusi hivyo ?😂😂😂😂khaa 🙌🏿🙌🏿🙌🏿kweli ww mwafrica km.mie 😂

  • @happygift9055
    @happygift9055 13 วันที่ผ่านมา +1

    Kazuri ila ilo sikio sasa😅

  • @Nyotajada
    @Nyotajada 12 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂Iła nimecheka sana kanajiamini baraaa

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 10 วันที่ผ่านมา

    Mmmmh🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️kwanini sasa unatumia nguvu hivyo kujieleza? 😂😂😂

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 9 วันที่ผ่านมา

      Hapo na ww ushangae yani kama niku chema huwa haujielezi snaa

  • @Mdugistoper
    @Mdugistoper 14 วันที่ผ่านมา

    Ila kweli

  • @hashimuuhehwa4252
    @hashimuuhehwa4252 11 วันที่ผ่านมา

    Malaya Malaya tu harafu nikibaya kumbe ni yale ma makeupe komwe sasa kama nguchiro

  • @user-tw7qm5mw4b
    @user-tw7qm5mw4b 13 วันที่ผ่านมา

    Haswa hawajui ilo

  • @ShemsaKiobya-x8h
    @ShemsaKiobya-x8h 12 วันที่ผ่านมา

    Kweli mwaya

  • @Naju645
    @Naju645 13 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona Kama anajieleza Sana yeye kama kaishapenda inatosha kujieleza nikutokujiamin

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf 14 วันที่ผ่านมา +4

    UWIIII😂..kumbe Mmbaya hivo😂😂Cheusi😂😂😂

    • @lelaiddy6856
      @lelaiddy6856 14 วันที่ผ่านมา +8

      Mmh jamani ni kazuri,blackbeauty❤

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 13 วันที่ผ่านมา

      Yn huwez kuamin na picha zake za tiktok 😂😂😂

    • @jacklinesamson1175
      @jacklinesamson1175 13 วันที่ผ่านมา +7

      Ni mrembo, she's black and beautiful 😍,wewe ni mmbaya na roho ya ajabu,kumshambulia black women kumuita mmbaya ww sio mwanadamu ww ni shetani.mwanamke yeyote na mwanaume yeyote ambaye ni black and chocolate tambua kwamba mungu kakuumba unique and beautiful jivunieni,msiwasikilize hawa machikoraha kama huyu wanaowatukana watu weusi kwa sababu ya matatizo yao ya kisaikolojia

    • @beatricehenry3053
      @beatricehenry3053 13 วันที่ผ่านมา +9

      Achen wivu weusi ndiyo rangi adimu

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 13 วันที่ผ่านมา +2

      Una roho chafu huyo dada kwa uzuri ni mzuri hasaa sema watz mnaona watu weupe ndo wazuri

  • @alsam4881
    @alsam4881 14 วันที่ผ่านมา

    Umefuata pesa kwa babu wa kizungu na hakuna jengine na usitudanganye kuwa umefuata mapenzi.

    • @kibouttv7148
      @kibouttv7148 14 วันที่ผ่านมา +2

      Ulitaka afate nini zaidi ya pesa kama wewe ni mwanamke na unadate mwanaume asiye na pesa polee 😢 hujitambui shauriyooo mwanamke anatakiwa kupewa pesa endelea kutoa buree

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 11 วันที่ผ่านมา

      ​@@kibouttv7148duuuh kwahiyo biashara

  • @bonifacedanielmwakisunga9638
    @bonifacedanielmwakisunga9638 7 วันที่ผ่านมา

    Ni tamaa za wasichana kwani ni kinana huyo si Babu umefuata Hela wewe malaya

  • @user-ym7vm4om8z
    @user-ym7vm4om8z 14 วันที่ผ่านมา

    🤏🤏 Waambie yani ni raha mpk bx

  • @LisztharaldLizzy
    @LisztharaldLizzy 13 วันที่ผ่านมา

    Nikweli bby

  • @rehemabakari4150
    @rehemabakari4150 12 วันที่ผ่านมา +1

    Kudate mbabu rahaaa Bwana watuache

    • @salhawaziri1668
      @salhawaziri1668 12 วันที่ผ่านมา +2

      Kwakwel watuache Mim napenda mbaba wangu mume wangu kufaaaa yan sion hata uwe kijana mzuri kama nabii yusuph wap hunishtui… nimeolewa watu ooh mtu mzima kisa kanipita miaka kumi na mbil mwaka Wa sita kweny ndoa raha tu

    • @rehemabakari4150
      @rehemabakari4150 12 วันที่ผ่านมา

      Mimi mbabu wangu ana tumbo hiloo kubwaaa haswa na Nina tamba nae tena ana jalii haulizii mara mbili kwenye mambo yangu ana jali anafahamu wajibu wake ❤ sasa Nina hangaike na kijana wanini na hawanipi nacho taka waniseme ila mbabu wangu simu achii as long as napata nacho Taka hata sishtuki kwanza sex yetu sio ya vita kama vijana kutoka uchi una waka moto na cha maana huoni mixiiuuuu​@@salhawaziri1668

  • @glorybrayankessi7002
    @glorybrayankessi7002 11 วันที่ผ่านมา

    Mbona alikuwaga anasema babako anajua unadate mbaba yani ulikua unaponda wanaodate wababa.

  • @user-el7ut2qk4e
    @user-el7ut2qk4e 13 วันที่ผ่านมา

    Hizi camera haaaaa😢😢

  • @Funky547
    @Funky547 12 วันที่ผ่านมา

    Mbona hakuna mtu anazungumzia kuhusu hilo la kujibadilisha kutoka kuwa mwanaume na kuwa mwanamke?

  • @restypeter1141
    @restypeter1141 12 วันที่ผ่านมา

    😭umengaaaaaaaa

  • @MarthaMgaya-zo4bi
    @MarthaMgaya-zo4bi 13 วันที่ผ่านมา +2

    Ivi ukiwa mweusi ni mbaya ila watu bhan

  • @fralesdiana
    @fralesdiana 13 วันที่ผ่านมา

    mambo ya Mubaba

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 12 วันที่ผ่านมา +1

    Sauti ya subaru nimekuelewa sana hhhhhu😊😊

  • @mariamsephu-uc1br
    @mariamsephu-uc1br 13 วันที่ผ่านมา

    kwani ninani huyu

  • @evelynensanga3330
    @evelynensanga3330 7 วันที่ผ่านมา

    🤐🤐

  • @Yness-vh4yy
    @Yness-vh4yy 8 วันที่ผ่านมา

    Sass mbona sikio moja kubwa?

    • @subiraaddo864
      @subiraaddo864 5 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂
      Binadamu duuuuh

  • @mohdyussah825
    @mohdyussah825 14 วันที่ผ่านมา

    💪🏽💪🏽

  • @LydiaMajura
    @LydiaMajura 13 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 10 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅😅😅

  • @user-dy5xb3sd4y
    @user-dy5xb3sd4y 14 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu muhongeji. Mpk anakera

    • @FettyObedy
      @FettyObedy 12 วันที่ผ่านมา

      Elewa ndo uongee, TikTok ni mzuri ila huku aibu

  • @user-rf9ip9bc5d
    @user-rf9ip9bc5d 13 วันที่ผ่านมา

    Blak mamba