Staa wa TIK TOK (Strong ICOME): Niliwachokoza WAKENYA walinishambulia, nimekoma, CHIMAKEKE alinianza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
    / @simulizinasauti

ความคิดเห็น • 115

  • @loicebaraza
    @loicebaraza ปีที่แล้ว +10

    Kwa mdomo hata wanigeria wanatutambua,but we appreciate talent ya watz sana

  • @everrineanyango7410
    @everrineanyango7410 ปีที่แล้ว +11

    We kenyans Love you guys so so much,sns Keep it up guys

  • @ghelimafilemon9653
    @ghelimafilemon9653 ปีที่แล้ว +2

    Yuko smart kwakweli, anajielewa. Wangekuwepo wengi kama huyu dunia ingekuwa ya amani, hamna wanaume kutongoza tongoza watu bila sababu na ukimwi usingekuwepo.

  • @morrismelbs1967
    @morrismelbs1967 ปีที่แล้ว +6

    Hehehe mshow uyo dem ana bonga sana bana did you know Nairobi is the most expensive city to live in East Africa

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 ปีที่แล้ว +2

    Btw waliokutusi saivi wanakungolea macho ya aibu hii chanel ni kubwa umetrend💪

  • @paulkirimindandu833
    @paulkirimindandu833 ปีที่แล้ว +7

    Have been sns fan from way back but the love I have with my country 254 can't be compared with anything.

  • @maryelia6415
    @maryelia6415 ปีที่แล้ว +1

    From USA 🇺🇸

  • @priscillachristiansen4331
    @priscillachristiansen4331 ปีที่แล้ว +2

    Watching From scandinavia ❤️

  • @lizahadongo1801
    @lizahadongo1801 ปีที่แล้ว +6

    Yes don't joke with Kenyans🇰🇪

  • @joycekisamo4896
    @joycekisamo4896 ปีที่แล้ว +1

    Watching from Toronto, Canada 🇨🇦 👀

  • @khadijaadam7500
    @khadijaadam7500 ปีที่แล้ว +5

    Hahaaaaa mm mkenya daima ila twawapenda watanzania tunakosana tunapendana

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 ปีที่แล้ว +2

    We dont mess with Kenyans kwa kweli..but at the end of the day we love them deep! Karibuni jirani zetu Kenya jmni twawapenda heheee

  • @johnwillingstone3121
    @johnwillingstone3121 ปีที่แล้ว +1

    Icome Boniventure, Mwanao John Veka nakuona kwa hewa... congrats 👏👏 keep it UP

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 ปีที่แล้ว +3

    Natizama nikiwa omani 🇴🇲 🇴🇲 🇴🇲 🇴🇲

  • @smktv9659
    @smktv9659 ปีที่แล้ว +2

    creat contenter

  • @pascaliacharles4863
    @pascaliacharles4863 ปีที่แล้ว +2

    Super strong girl 💪

  • @2116-n
    @2116-n ปีที่แล้ว +2

    Nimeipenda sana hii interview, mdada yuko vizuuuuri

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 ปีที่แล้ว +2

    She’s intelligent and beautiful

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 ปีที่แล้ว +20

    I love my people from kenya 🇰🇪 yani jaribu mkenya utajua hajui but nawapenda sana wa tz🥰 My country come first 😅😅..no wa tz ndo walianza hii issue kuna yule MAREHEMU akaanza ndo sasa tukaanzia hapo ....alafu ww dem muongo wakenya tumewashinda mpaka dhambi😅😅😅 tik tok for life🥰🥰🥰

    • @Mina.15
      @Mina.15 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂🫡

    • @norahmakrean525
      @norahmakrean525 ปีที่แล้ว +3

      Ogopa kenya 🤣🤣🤣

    • @chuchudorice8531
      @chuchudorice8531 ปีที่แล้ว

      Ndo nimeshangaa ety wametushnda jamani hawa tz hata Uganda wamewashnda sisi ni another level may be we can compare us with SA

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 ปีที่แล้ว

      hehehe haya mkenya karibuni TZ

  • @ilhamkhan4361
    @ilhamkhan4361 ปีที่แล้ว +1

    Love you girl wishing you the very best out of this n take care of yourself babygirl ❤

  • @Nikita_8017
    @Nikita_8017 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe sister do, yuwajua maisha ni magumu ,

  • @yasinyusuph1940
    @yasinyusuph1940 ปีที่แล้ว +1

    South africa

  • @hassansela1393
    @hassansela1393 ปีที่แล้ว +3

    Sisi Wakenya twa wapenda wa tz sana tu 😘❤ lakini ukikosea mkenya mmoja hasa kwa mtandao hua tunaambiana halafu tunakuja na mashambulizi 😂😂😂😂

    • @Trys6254
      @Trys6254 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @doreenmsafari2945
      @doreenmsafari2945 ปีที่แล้ว

      Kenya for life 🤣🤣🤣noma sanaree 🥰

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 ปีที่แล้ว

      hahahah najikuata na comment kwnye comments zao.. karibuni Tzania

  • @nzisabiraabdi2638
    @nzisabiraabdi2638 ปีที่แล้ว +1

    From Switzerland 🇨🇭

  • @AllyDetty83
    @AllyDetty83 ปีที่แล้ว +2

    Number one 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧

  • @joycekisamo4896
    @joycekisamo4896 ปีที่แล้ว

    This girl is smart, smart with life 👏🏽

  • @rosaitanjee7949
    @rosaitanjee7949 ปีที่แล้ว +4

    Karibu Kenya 😂😂😂... Akuna matata 😂😂😂

  • @mamalamama7010
    @mamalamama7010 ปีที่แล้ว +5

    Kumbe tunasherekea siku moja ya kizaliwa halafu mimi najiona bonge la m-bibi 😄😄

  • @marywairimu5682
    @marywairimu5682 ปีที่แล้ว +1

    +254🤣🤣🤣kenya ....sisi ndio tuko....but much love siz ...mm nilikua wakwaza ku burn tuko 8000k

  • @user-cg6oj2nn5v
    @user-cg6oj2nn5v 4 หลายเดือนก่อน

  • @norahmakrean525
    @norahmakrean525 ปีที่แล้ว +4

    Ogopa Kenya, tukikuvamia ndiyo utajua, but we lv our neighbors

    • @mimahrobyn9777
      @mimahrobyn9777 ปีที่แล้ว

      Ogopa kenya ya nyokoo hamna lolote kwanza wabaya wazuri wanahesabika weusi km Mmepaka Mafuta ya bunduki 😂😂😂😂 Nakupenda tanzania ndio nch pekeee yenye mvuto na muonekano

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 ปีที่แล้ว

      hehehee haya jirani na tunawapenda sana wakenya wetu karibuni Tanzania

  • @brigidmua2548
    @brigidmua2548 ปีที่แล้ว +2

    Careful kenya 🇰🇪 😳 is hot air

  • @margaretnduta4495
    @margaretnduta4495 ปีที่แล้ว +1

    Watching from Dubai

  • @salma9390
    @salma9390 ปีที่แล้ว +1

    Toka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @issakhan3802
    @issakhan3802 ปีที่แล้ว +2

    Toka Zanzibar

  • @tatuallysaid5060
    @tatuallysaid5060 ปีที่แล้ว +1

    angevua iyo miwan angependeza

  • @KB-do5sr
    @KB-do5sr ปีที่แล้ว

    Muhimu ni eti ulipata somo na wengine pia..don't mess with kenyans unless you want to ruin your carreer...tunawapenda sana wabongo

  • @vincentmushi1247
    @vincentmushi1247 ปีที่แล้ว +1

    Wachaga ni pesa tuu
    Pesa na ss...mambo mengine yatafuata taratibu...piga kazi dadaangu

  • @kelvin8324
    @kelvin8324 ปีที่แล้ว +3

    Jamani wakenya sisi wapole ...🙆🏿‍♂️🇰🇪💖🇹🇿

  • @dangotee5051
    @dangotee5051 ปีที่แล้ว +1

    Nakutazama nikiwa South Africa Daben

  • @beatricemiano6695
    @beatricemiano6695 ปีที่แล้ว +7

    Mkenya daima 🇰🇪🇰🇪🇰🇪we love you Tz

  • @robsonwisdom1994
    @robsonwisdom1994 ปีที่แล้ว +1

    Zambia mzeee baba

  • @lampadshigonko3006
    @lampadshigonko3006 ปีที่แล้ว +2

    aaaah... nimefrah sana umetaja mbuguni my home street

  • @elijahm.muthini
    @elijahm.muthini ปีที่แล้ว +1

    Enyewe watz mnaonekana maisha si mabaya viile kama huku kwetu👌

    • @yuniasha9259
      @yuniasha9259 ปีที่แล้ว

      Weeeeh who told u maisha ya huko ni expensive sana compared to kenya

    • @elijahm.muthini
      @elijahm.muthini ปีที่แล้ว

      @@yuniasha9259 aki? Wewe umewehi ishi uko?

  • @nindymuruga4798
    @nindymuruga4798 ปีที่แล้ว

    Cris nakukubali sana nakuangalia kutoka ugiriki

  • @happylynguya3464
    @happylynguya3464 ปีที่แล้ว +1

    Yaaani mimi nakupenda bureeee kabisa...

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 ปีที่แล้ว +1

    From Dubai🔥🔥🔥

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 ปีที่แล้ว

    Norway

  • @Qqambaa
    @Qqambaa ปีที่แล้ว +1

    Watagombana watabishana ila hawaezi kupigana huu upendo na ugomvi wetu ni WA mtu na kakake ila kupigana ngumu

  • @patrickyohana2389
    @patrickyohana2389 ปีที่แล้ว +1

    Nipo Zambia

  • @jameskangathi8733
    @jameskangathi8733 ปีที่แล้ว +3

    Karibu Kenya🤣

  • @pembemussa2804
    @pembemussa2804 ปีที่แล้ว +1

    Kwa hapa East Africa wakenya Wana kimbiza kweli kweli kama walivyo wa Nigeria West Africa.
    Huyu mdada nilimpenda pale alipo tweet clip anayotusifia sisi wanaume Weusi kwamba tuna kiti chetu Mbinguni.

  • @speciosermusika2009
    @speciosermusika2009 ปีที่แล้ว +1

    Wewe Icome ni mwanamke chizi Chunga ulimi wako,kweli kuzungumzia hapendi watoto wewe ni mwanamke wa aina gani!huna sababu yoyote kuongea ni public kuwa hupendi watoto.

  • @risperladee5718
    @risperladee5718 ปีที่แล้ว +1

    I wish angekuja na content ingine sis

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 ปีที่แล้ว +4

    Unaogea sana msichana asitali kuogea wewe unaogea kuliko ane kuliza maswali Hadi ana kuwachia tuu uoge

    • @isihaqkerdehaqker1403
      @isihaqkerdehaqker1403 ปีที่แล้ว +1

      Mi nadhan yy ndy anatakiwa aongezes sana ili tufaham zaidi kuliko mtangazaj mi naona yupo poa sana.

  • @aishahassani3921
    @aishahassani3921 ปีที่แล้ว +1

    Nakutazama nikiwa hapa dubai

  • @mathiasswai7006
    @mathiasswai7006 ปีที่แล้ว +1

    Dodoma Tanzania

  • @hidayakisensi2747
    @hidayakisensi2747 ปีที่แล้ว +1

    Nakutizama nikiwa oman🇴🇲

  • @Xplossives
    @Xplossives ปีที่แล้ว +2

    Kenya nikumoto nanii🤣🤣🤣🤣

  • @nickolatharwelamila776
    @nickolatharwelamila776 ปีที่แล้ว +1

    Kutoka omani tunawapendaaa

  • @amanimapenzi571
    @amanimapenzi571 ปีที่แล้ว

    Wakenya tuko zaidi ya wa Nigerian vile!!! Vita vyetu ni sawa na WA Nigeria ndio tunaweza
    n a!!!?

  • @maalimbrian8244
    @maalimbrian8244 ปีที่แล้ว

    Kenya🇰🇪

  • @queenmaa30
    @queenmaa30 ปีที่แล้ว +1

    Hio nayo uwongo Kenya wapo mbele bdo nyny wengi kufake especially mastar...kla mtu anataka umaarufu....but tunawapenda tz

  • @alexkissinga.5883
    @alexkissinga.5883 ปีที่แล้ว +1

    Zanzibar Ikulu hapa📌

  • @NinaNina-or1ox
    @NinaNina-or1ox ปีที่แล้ว +2

    🇧🇮

  • @risperladee5718
    @risperladee5718 ปีที่แล้ว +2

    But kutusi wakenya zii ziiiii ziiiii

  • @FLOWAD19
    @FLOWAD19 ปีที่แล้ว +1

    Nakutazama nikiwa Swiden

  • @JUSTWANGUI
    @JUSTWANGUI ปีที่แล้ว +4

    🇰🇪🇸🇦

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 ปีที่แล้ว +1

    Ujajibu vizuri ulisema hata wanawake wa kwenu awafanyi kanzi na wanakula hapo Dio matusi ulisushiwa mkaitwa kahaba na mengine

  • @abdulrahmanhassan5998
    @abdulrahmanhassan5998 ปีที่แล้ว +2

    Barani Africa nzima akuna raia anaye juwa kujiekezea kwa ufasaha na akili ya kuzaliwa kama mtanzania hakuna, tuangalie history ndio msema ukweli, raisi wa kwanza wa Tanzania julias kambarage Nyerere alichukuwa nchi kwa kuongea tuu yaani alijielezea mpaka akapewa nchini yake. Tatizo la watanzania tuna upole na ukarumu uliopitiliza.

  • @queen.christelle1
    @queen.christelle1 ปีที่แล้ว

    Nakutazama kutoka Sweden

  • @ndarayekabwejanvier5192
    @ndarayekabwejanvier5192 ปีที่แล้ว +1

    Niko kutokea SA

  • @rozeypwizzy6472
    @rozeypwizzy6472 ปีที่แล้ว

    Anaakili sana huyu msichana, kwanza hana kawaida ya kujisifu, au kuhuc miaka nimependa.

  • @jacklinemolleli5238
    @jacklinemolleli5238 ปีที่แล้ว

    Amezaliwa jiran yetu kabisa uyu dada. Nimesali nae kanisa moja. Anyway wakilisha mailisita

  • @morrismelbs1967
    @morrismelbs1967 ปีที่แล้ว +2

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @shariffalwii986
    @shariffalwii986 ปีที่แล้ว

    Nipo Riyadh Ksa.

  • @tintin0019
    @tintin0019 ปีที่แล้ว +1

    Mlete idris sultan umulize wakenya walivyo mshambulia kwa tweeter

  • @saidbabaali9082
    @saidbabaali9082 ปีที่แล้ว

    Umeongeaga points sana ila hapo kwa lugha n ukweli kenya tupo juu hta hii interview kizungu naona inapiga chenga sana br all in all practice makes perfect

    • @Deboracharles-pw6wg
      @Deboracharles-pw6wg 8 หลายเดือนก่อน

      Lugha yetu ya taifa ni kiswahili sio kizungu alafu nashangaa mnavyo tusakama hv kingereza ni nini lugha ya mkoloni I'm proud to be tanzania and I love it

  • @malikzafarani172
    @malikzafarani172 ปีที่แล้ว +1

    🇶🇦🇶🇦

  • @sirlejah1735
    @sirlejah1735 ปีที่แล้ว +2

    Was enjoying the interview buh after she started talking Trush about a wife material be like based on her opinion that wen i stopped watching

  • @salmasaid7058
    @salmasaid7058 ปีที่แล้ว +1

    Don't mex with Kenya

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว

    Natazama nikiwa +254🇰🇪

  • @bonita329
    @bonita329 ปีที่แล้ว +1

    huyu 100% ni mimi mtupu😂🤣🙌🏼

  • @zahrababygarl1568
    @zahrababygarl1568 ปีที่แล้ว +1

    Walikushambulia mpaka wakachukua account yako😆😂😂😂

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 ปีที่แล้ว +1

    🇧🇮🇸🇦🇸🇦

  • @christineakinyi9697
    @christineakinyi9697 ปีที่แล้ว

    Kenya headquarters of online vayolense ukijaribu kutuchokoza basi wewe kwishaa 😂😂

  • @user-mp4lf4ji8k
    @user-mp4lf4ji8k ปีที่แล้ว

    Muongo huyo

  • @kymbassyl2410
    @kymbassyl2410 ปีที่แล้ว

    🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼💜

  • @risperladee5718
    @risperladee5718 ปีที่แล้ว +1

    No 1..the rudeness in her is on the gatter..I mean why would she even think that she is the realiest?..

  • @exclusivetalk4610
    @exclusivetalk4610 ปีที่แล้ว

    🇨🇳

  • @naumibahat8748
    @naumibahat8748 ปีที่แล้ว

    Madam don't try to mess with Kenyan..halafu uko na mdomo sana

    • @hassangaddafi2347
      @hassangaddafi2347 ปีที่แล้ว

      Kenya tosha 🙏❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 ปีที่แล้ว

    STAR GANI ? KWA NANI? ACHENI UJINGA NA UKOSEFU WA CONTENT, MEDIA NZIMA MMEKOSA MAMBO YA MAANA KUTULETEA 🥺

  • @moneythemes
    @moneythemes ปีที่แล้ว

    😆😆🇹🇿tunawapa sana attention watu wajinga...