DADA WA OMAN amtupia lawama nzito KIREDIO eti yeye na FRANK walipanga kumuumiza "

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • #nyundotv #Kiredio #Madamsasha

ความคิดเห็น • 379

  • @silahimumsuya9664
    @silahimumsuya9664 หลายเดือนก่อน +5

    Tena mshukuru kiredio kwakua umefanikiwa kunusuru baadhi ya vitu na umenusuru hata maisha yako!!!! Narudia mpende kiredio sijapenda ulivyo mblock nakupenda vile unavyo ongea!!??

  • @fidonsostenes
    @fidonsostenes หลายเดือนก่อน +29

    Aujapenda wakati ulimtafua mwenyewe ila wanawake 😂😂

    • @fatinajuma8697
      @fatinajuma8697 หลายเดือนก่อน

      Hapo sasa kwahivyo ilikua aende kumpoke Airport alafu asipost apate faida gani watu jamani

    • @yusuphmwanza4405
      @yusuphmwanza4405 หลายเดือนก่อน

      Wanawake ndio viumbe ambao hawajui wanataka nini, wala wanapenda nini

    • @esabelfadhili8432
      @esabelfadhili8432 หลายเดือนก่อน

      Nashangaaaaa!Kamuita mwenyeweeeee aache stress zake za Uhausegirl Oman sijui Dubai huko😅😅😂😂😂😂😂

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe หลายเดือนก่อน

      Chiz uyu

  • @user-zz7jr7yj9m
    @user-zz7jr7yj9m หลายเดือนก่อน +58

    Achaaa uongo weweee demuuu ungetokeaa OMAN Kwali bengi moja tenaaa bengi lenyewe ndogooo ebuuu tuonyesheee PASSPORTS yakooo achaaa uongo semaaa tu km mulipangaaa kuwaeleweshaaa watu hapooo sawaaaa

    • @zulaika-mu8pc
      @zulaika-mu8pc หลายเดือนก่อน +12

      Umewaz kama mimi😂😂 myaaka2 na begi mmoja?😅😅

    • @UmayyaNkya-ze3ri
      @UmayyaNkya-ze3ri หลายเดือนก่อน +10

      Team strong tumejikuta tuu tunamkataa😂😂😂af tunajijua bwana😂❤❤💪💪💪💪🥰🥰

    • @aminaramdan3283
      @aminaramdan3283 หลายเดือนก่อน +9

      Huyo Muongoo Hakuwepo Oman Hata Begi Halikuwa na Stika hao walipangaa,,, kwanza Oman Amekaa miaka miwili kama Anavyosema Sasa Mahojiano yale kipindi Lulu kawekwa Jua Kali.. Alivyohojiwa Akawa anasema Ruruuuuu sijui Ramataa Haya huyu ndio Alikuwa oman😅😅 wanatufanya sisi mazuzu... Muongo huyu na kiredio Umeanza kufanya Konteti za Uwongo sasa

    • @user-qp6lx9ql1q
      @user-qp6lx9ql1q หลายเดือนก่อน

      Katoka Oman alikuwa anafany kaz ya Ina kuchora mizigo alitanguliza​@@UmayyaNkya-ze3ri

    • @user-xm2rm7wn6h
      @user-xm2rm7wn6h หลายเดือนก่อน +6

      Mimi nilshituka nikasema huyu dada nimuongo

  • @user-fb8so5nq5p
    @user-fb8so5nq5p หลายเดือนก่อน +1

    Pole my ila ata mimi nina mtu wangu yuko uko dar mimi niko omani ananililia shida ila situbutu kumtumia hela.😅

  • @Diyankurze
    @Diyankurze หลายเดือนก่อน +10

    mpaka akamtafuta kiredio si aliona wenzake wanapostiwa 😂😂😂 mara tena watu wajifunze mara tena kiredio mnafki mjinga huyu yy tu atulize mihemko yke kumuamini gani bwana kma yule ona kimemrambaaaa😢😢😢
    hebu sie kiredio kamaliza kazi yake

    • @user-iz5tu1qo6c
      @user-iz5tu1qo6c หลายเดือนก่อน +1

      Mujinga huyu demu kwahiyo ulikuwa wataka asipots

    • @SophiaSadik-nn1xp
      @SophiaSadik-nn1xp หลายเดือนก่อน

      Nyoooo kwaiyo ulitak asirekod

    • @SophiaSadik-nn1xp
      @SophiaSadik-nn1xp หลายเดือนก่อน

      Asaaa wewe kazi ya kiredio unaijuwa asa Nini tena

    • @SophiaSadik-nn1xp
      @SophiaSadik-nn1xp หลายเดือนก่อน

      Unanimalizia.bandoo

  • @LilianFord-c7s
    @LilianFord-c7s หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂dada umetia haibu

  • @salmahemed410
    @salmahemed410 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂 sasa asingepost ungetushaur sangap wadogo zako 🙌🏿🙌🏿

  • @Halima-hn4tl
    @Halima-hn4tl หลายเดือนก่อน +8

    Wakwanza kukoment jaman nipen like zangu🎉

  • @TinahTina-q1t
    @TinahTina-q1t หลายเดือนก่อน +4

    Acha uongo sura nzito kama tandu la uji Unaijua Oman wewe 😂😂

    • @zulaika-mu8pc
      @zulaika-mu8pc หลายเดือนก่อน

      @@TinahTina-q1t 😂😂😂

  • @merryissa7855
    @merryissa7855 หลายเดือนก่อน +2

    Wala ata asimtupiyi kiredio lawama,kiredio alifanya kazi ulio muitiya,nakwanini asipost?jamani nyiye😂

  • @Ukhtysahu
    @Ukhtysahu หลายเดือนก่อน +5

    Huyu dada hayupo sawa kiakili ww umemtafuta kiredio na unajua kaz yake kiredio tena unamlaum acha ujinga ww

    • @minalgodlove2363
      @minalgodlove2363 หลายเดือนก่อน

      Ni mjinga 😂😂mbona za wenzake alikuwa anaangalia bila kuona za watu huyo kiredio angemjua

    • @AshaMchinji
      @AshaMchinji หลายเดือนก่อน +1

      Ni muongo mwanzo alisema wana miaka mitatu na frank, Leo anasema wana miaka miwili. Ukiwa muongo usiwe msahaulifu.

    • @joyce55727
      @joyce55727 หลายเดือนก่อน +1

      😁😁

  • @DoreenOmmy-gw3op
    @DoreenOmmy-gw3op 3 วันที่ผ่านมา

    Sasa kiredio siulimuita mwenyew

  • @SurprisedGramophone-id1nj
    @SurprisedGramophone-id1nj หลายเดือนก่อน +6

    😂😂😂😂Kachanganyikiw uyu eti kiredio alikua anajua kilakitu wakat kiredio kamtafuta mwenyew hanaakil uyu

  • @francismdima7249
    @francismdima7249 หลายเดือนก่อน

    Kama kiredio angejua basi Frank asingekuja kwenye fumanizi,, kiredio alifanya kazi tu

  • @user-ld3qe1jh9f
    @user-ld3qe1jh9f หลายเดือนก่อน +2

    Kama asinge iposti tungejifunza vipi kupitia kwako wewe unasema tujifunze alafu unabebesha lawama kwa kiredio wewe mdada hujieleei kabisaaaaaa😂

  • @uwimanacamila2390
    @uwimanacamila2390 หลายเดือนก่อน

    Hunashukrani kabisa nyangau unamblock aliekusaidia😢😢

  • @MalkiasGwaltu
    @MalkiasGwaltu 29 วันที่ผ่านมา

    Mhhhhhhh wew mdada ..... mnafikia sana sisi kiredio tunampenda sana wew rudi Oman ya buza wew hamna kila kitu mshangazi wewe

  • @MariamRashid-sm5zw
    @MariamRashid-sm5zw หลายเดือนก่อน

    nikweli muwongo ajakuwa omam 😊

  • @d.m453
    @d.m453 หลายเดือนก่อน +1

    Mtangazaji kaa kwa umakini utageukiwa kama yaliyomkuta kiredio,mi nimekaa palee
    Mnafki sana huyu

  • @Zauda-l6v
    @Zauda-l6v หลายเดือนก่อน

    Acha kutuayibisha mwanamk ww 😊

  • @user-kq9fc4gg8r
    @user-kq9fc4gg8r หลายเดือนก่อน

    W dada nimpuuz Tena mpumbavu hujielew hayo umeyataka ww Sasa hapo kiredio anae kosa gan

  • @Hajer-be2kh
    @Hajer-be2kh หลายเดือนก่อน

    Huyu si ni sasha muigizaji anaechipukia sahv?😢 yani wanaumbuka wenyew

  • @AshaDickson
    @AshaDickson หลายเดือนก่อน +14

    Sasa ajapenda nini wakati yeye ndie aliemtafuta kiredio ila nyieee.😂😂

    • @mariamissa4029
      @mariamissa4029 หลายเดือนก่อน +1

      Aache uwongo mbona siku ile ya kwanza alisema hakutaka kumpa namba ya frek kiredio asije kutonya kama anarudi sasa imekuwaje iwe mchogo kiredio na frek

    • @user-zl7ze5se9c
      @user-zl7ze5se9c หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @AminaOmary-sm4wl
      @AminaOmary-sm4wl หลายเดือนก่อน

      Alitaka aonekane mtandaon

    • @BethMdoe
      @BethMdoe หลายเดือนก่อน

      ​@@AminaOmary-sm4wlndio hata passport hakutoka nayo pale kwahy aliiweka wap

    • @AminaOmary-sm4wl
      @AminaOmary-sm4wl หลายเดือนก่อน

      @@BethMdoe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-zj2gc2zj2c
    @user-zj2gc2zj2c หลายเดือนก่อน

    Mwanzo ulimwambia kiredio una miaka mitatu oman!! Vp leo useme miaka miwili?

  • @zuhuraathumani5560
    @zuhuraathumani5560 หลายเดือนก่อน

    Kila siku tunaambiwa na kaka Sharifu jamani wakina dada kaeni kwakutulia fanyen malengo yenu hatusikii mwisho wake ndio huo duuh pole my Allah atakulipia

  • @ShekhaHamoud
    @ShekhaHamoud หลายเดือนก่อน

    Muogo km katoka oman zingeonekana kidogo ayuwa nyingi lunga kidogo tungeamini hii ni kiki tu

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri หลายเดือนก่อน +13

    Hakuna dada wa oman hapo lamda omani ya buza 😂😂

    • @user-oj5sb8dk1m
      @user-oj5sb8dk1m หลายเดือนก่อน +1

      Kwakweli 😂😂😂😂😂 maana kazi za hku sio mchezo jmn anatoa pesa kweli khaaaaaaaaaaaa subutu labda aniroge 😂😂😂Mimi alafu uyu dada anadharau ety wanaume weupe waramba lipstick koma wewe mpenz wangu mweupe wewe chizi nini tna ananitunza vizuri ananijali kwendaaaaa huko ooooh 😅😅😅😅😅😅

    • @Mery-st4nu
      @Mery-st4nu หลายเดือนก่อน

      Hata haelekei kaalikuwa oman na kibegi ka mtoto wa shule huna hata vitendea kazi afu nashangaa anamlaumu kiredio

    • @miriamdavis3893
      @miriamdavis3893 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @grasygrasy1701
      @grasygrasy1701 หลายเดือนก่อน

      😂😅

  • @careenjohn9480
    @careenjohn9480 หลายเดือนก่อน

    Uyo dada apeleke uko kwani keredio anajua taarifa za kil mtu ulimtAfuta peke yako

  • @DoreenOmmy-gw3op
    @DoreenOmmy-gw3op 3 วันที่ผ่านมา

    😀😀😀 sasa ulitaka asipost wakazi ndio kazi yake

  • @user-nr6js8oz9c
    @user-nr6js8oz9c หลายเดือนก่อน +2

    Mzima kweli uyu Asa kama ulikua autaki ayo kwanini ukamtafta kiledio kwajili gani siungeenda ty

  • @RajabuMbotoni
    @RajabuMbotoni หลายเดือนก่อน

    Jamani kumbe sisi weusi mali kumbe atujajitambua tu

  • @KulthumBibi-sm8sq
    @KulthumBibi-sm8sq หลายเดือนก่อน

    Awaache zake kiredio hio nikazi yake ndipo anapo patia riski wacha mambo wwe

  • @user-ku8lh7wl8v
    @user-ku8lh7wl8v หลายเดือนก่อน +2

    Lakin njoo kaz yake kwanin asipost nawakati njo kaz yake alafu munaanzangaje kuamini mtoto wa mutu mwingine kufany kitu kam hiyo bila ata kufanyia wakaka zako au dada wala mom duh nyie munaroho gumu siyawezi jmn nakuaka muchonyo 😂😂

  • @EuniceWai-cq3gi
    @EuniceWai-cq3gi หลายเดือนก่อน

    We wauliza begi na passport ili iwessa we kama waona rahisi nenda alafu ukirudi uwe na mabegi ishirini

  • @user-zj9wj3qe3i
    @user-zj9wj3qe3i หลายเดือนก่อน

    Duh huyo dada anaishi wapi ??

  • @rithajerome1070
    @rithajerome1070 หลายเดือนก่อน

    Kiredio Hana makosa apo dada umejichanganya w mwenyew

  • @user-ix5uo6ks7j
    @user-ix5uo6ks7j หลายเดือนก่อน

    Kiredio sion akiwa na makosa juu nkazi yake kwanini asirekodi

  • @salama1113
    @salama1113 หลายเดือนก่อน

    Kwani kiredio alikuomba c ww mwenyewe ulimtafuta

  • @vaimrosso-ik7ih
    @vaimrosso-ik7ih หลายเดือนก่อน

    Usituchoshe banaaaaa ungetrend saa ngap

  • @MauSame-o2w
    @MauSame-o2w หลายเดือนก่อน

    Umesema ulipo ondoka bongo ulishakua nae naweweumekaa omani miakamitatu vipiukonae miakamiwili ukiwamuongo usisahau nasuralake baya

  • @user-ev3tj2sh5k
    @user-ev3tj2sh5k หลายเดือนก่อน

    Uyo muongo ajatoka omani na kijibeg kile angeonyesha tiket kama kweli

  • @OmanOman-ru4eu
    @OmanOman-ru4eu หลายเดือนก่อน +3

    Ww mshezi tu 😂😂😂😂 kiredio unajua kazi zake anapost halafu ww useme amekudhalilisha acha ujinga ulikuwa natafuta umaarufu huna lolote halafu team strong tunajuana

    • @user-pg6jr7kp2w
      @user-pg6jr7kp2w หลายเดือนก่อน

      Hakuwa Oman uyu team Oman tunajuana😂😂😂😂

  • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
    @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct หลายเดือนก่อน

    Aisee kiledio anafundisha watu .mimi yamenikuta haya siitaji kumsikia mwanaume.pole my dear

  • @methodpeter1323
    @methodpeter1323 หลายเดือนก่อน +3

    mtoe no za huyo dada Jamani Ni mzuri tunamhitaji

  • @johanneskallya364
    @johanneskallya364 หลายเดือนก่อน

    Kwani mpaka anamtafuta Kiredio hakujua kuwa kazi zake zinafanyika vipi?

  • @medardchenge
    @medardchenge หลายเดือนก่อน

    Kiredio hana kosa , maana wewe ndiye uliye mutafta

  • @user-lg9sx7fk1b
    @user-lg9sx7fk1b หลายเดือนก่อน

    Kiredio kucheka cheka nitabia yake yule hakuwa anajua chochote

  • @ShamilaAthumani-f8v
    @ShamilaAthumani-f8v หลายเดือนก่อน +2

    Huyu dada hakua oman tuulizeni ss tunao safiri huyo kataka umaarufu2. Anazalilisha wanao toka oman 🇴🇲 mana hawako kama yy mtu gani kapauka hivyo alafu oman unarud na kibegi cha kilo mbili😂😂😂

    • @AgnesDavid-et3zn
      @AgnesDavid-et3zn หลายเดือนก่อน

      Ety jaman hata mm nilishangaa ety katoka Oman

  • @ElinikeSoi
    @ElinikeSoi หลายเดือนก่อน

    Mara kiredio mnafki mara tumtaftr😢

  • @deecokujory
    @deecokujory หลายเดือนก่อน

    Hv we dada unajielewa kwel

  • @KINGTZMOVIEex6nz
    @KINGTZMOVIEex6nz หลายเดือนก่อน

    sasa miaka yote hiyo yeye ange ishije bila ata mwanamke

  • @ElkanaNakida
    @ElkanaNakida หลายเดือนก่อน +5

    Ulikuwa unataka isipostiwe ulikuwa unaonaje ya wenzako shenzi endelea kuchagua wanaume😂😂😂😂😂

  • @julianachuwa2804
    @julianachuwa2804 หลายเดือนก่อน

    Ungekuwa unataka iwe Siri ulimuuita kiredio wa nini km siyo umbea wako

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 หลายเดือนก่อน

    Ile story ni ya kutengeneza tuu ushutiwe mwanzo mwisho alafu ujifanye haujutaka upostiwe

  • @salisali3738
    @salisali3738 หลายเดือนก่อน

    Liongo hili limetaka tu lipate kiki ya kuulizwa na midia Oman ipi ulio toka ww umepauka vile liwigi mpaka kwenye kope

  • @victoriarichard8761
    @victoriarichard8761 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama alishawahi kumuhoji miezi minne iliyopita alimuhoji akiwa wapi mbona kasema miaka miwili yuko oman. Duh hii content ya ovyo mmh uongo upo live kabisa 🙌

  • @user-dc8xu7cr2t
    @user-dc8xu7cr2t หลายเดือนก่อน

    Asa anaachaje kupost wakt ndo Kaz yake

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf หลายเดือนก่อน

    Alimtafutia nini? Ni kiki ndio maana hakutaka arekodi. Alitaka yeye atrendi na kafanikiwa. Hana oman aliyotoka. Deal limeenda hilo. Na ndio maana hakutaka arekodi alipokuja frank kwa sababu ni waongo wamepanga. Na pengine frank kamwambia ila mimi nisionyeshwe sura. Kwa sababu wote tuliwaona ila alipoingia frank tuu ndo usirekodi usirekodi

  • @Husna-pn5gg
    @Husna-pn5gg หลายเดือนก่อน

    uwong tu kuolewa Aaaah utok oman uwe vile ivi unaijua team strong wewee😂😂

    • @miriammseke
      @miriammseke หลายเดือนก่อน

      Ajui team strong oman na Ile mikucha na nywele vile oman ipi iyoo😂tuliopo uku oman tunaelewa mazingira

  • @SabrinaHussein-w6v
    @SabrinaHussein-w6v หลายเดือนก่อน

    Kiredìo ana kosa

  • @josephinamichael2374
    @josephinamichael2374 หลายเดือนก่อน

    hivi wewe unajielewa kweli kwani hujui kazi y kiredio? kiredio hana kosa

  • @user-pg6jr7kp2w
    @user-pg6jr7kp2w หลายเดือนก่อน

    Ujapenda na ulimtafuta mwenyewe weh mjinga nn😂😂😂

  • @user-er5ld7ft6k
    @user-er5ld7ft6k หลายเดือนก่อน

    Weeee kichaa kweli wewe wakati ww mwenyewe ndo ulimtafuta kwann asipost na ile ndo kazi yake

  • @assiahassan2225
    @assiahassan2225 หลายเดือนก่อน

    Kama ni mim nafanya ivo ivo alivyo fanya Sacha namnyanganya byangu kisha nawafkuza

  • @zayanazayana5518
    @zayanazayana5518 หลายเดือนก่อน

    Yote ya uwongo
    Yote yamepangwa
    Bora tangu kwanzo mngetuambia kama hili ni fundisho kwa wadada wanaofanya kazi nje

  • @iddykassimu2176
    @iddykassimu2176 หลายเดือนก่อน

    Hiyo nikazi yake kupost lazima

  • @user-ce2fr6cw5s
    @user-ce2fr6cw5s หลายเดือนก่อน

    Acha ushamba ww ulimpigia cm ya nn mbwaaa

  • @NdeguleMaliwatta
    @NdeguleMaliwatta หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mwanamke ni Chizi.

  • @AshfaynahAbdul-cz9io
    @AshfaynahAbdul-cz9io หลายเดือนก่อน

    We acha nyodo bana hao weupe pia hawaja vutiwa na we Kama kulelewa mbona fren mweus we umemlea

  • @HattaHatta-pk7hr
    @HattaHatta-pk7hr หลายเดือนก่อน

    Mnapenda kutuzuga omani yawapi umetoka wewe acha uwongo team strong tujuane hapa

  • @CynthiaIrakoze-tj9ve
    @CynthiaIrakoze-tj9ve หลายเดือนก่อน +1

    Ww mdada siwalilekodi ukopale

  • @CosmaJoxeph-x8v
    @CosmaJoxeph-x8v หลายเดือนก่อน

    Oya hapa tumepigwa kinoma 😅😅

  • @mustymasoud5214
    @mustymasoud5214 หลายเดือนก่อน

    Atuonesh passport yake yeny muhur wa EXIT oman

  • @salehmdemu5722
    @salehmdemu5722 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mjinga wew dada,nani ana lamba lips

  • @laylaafricanbridesamiry644
    @laylaafricanbridesamiry644 หลายเดือนก่อน

    Kwani kiredio ndo alikutafuta

  • @monicaalute3143
    @monicaalute3143 หลายเดือนก่อน

    Huu mchongo sio kweli

  • @AsiaJuma-mn7se
    @AsiaJuma-mn7se หลายเดือนก่อน

    Wewe mnafiki hautaki kupostiwa je uyo anaekuhoji apo unatarajia atafanya nn mshenz uyu ee tena hajielewi unachokiongea hata haueleweki

  • @emmanuelreuben1863
    @emmanuelreuben1863 หลายเดือนก่อน

    Hili ni igizo ,mnforce content dah😅😅

  • @consolathJacob
    @consolathJacob หลายเดือนก่อน

    Wew umesha block kiredio leo watu wamtafute ten kiredio ili wajue kama wanamapenz hv una wehu kichwan ww😂😂😂😂

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en หลายเดือนก่อน

    Yaaan huyo frenk mwenyewe 😂kweli mapenzi upofu nilizani mwanaume mwenyewe wahovyo

  • @richardmartin1534
    @richardmartin1534 หลายเดือนก่อน

    Hahah jaman mwambie Sasha tupo huku wanaume weusi alaf waaminifu😂😂

  • @frankchitanda1941
    @frankchitanda1941 หลายเดือนก่อน

    Kwan anatuonaje sisi mshenzi huyo

  • @NaahJr
    @NaahJr หลายเดือนก่อน

    Haya endeleeni na challenge zenu hizo mtakufa kwa presha kimewaramba 🤣🤣 me siku nakutana na kiredio sitak hata salam yake an mtajua wenyewe bwana 😂😂😂😂 mapenzi mapenzi taften hela we upo Oman unatarajia mtu yupo TZ miaka2 akusubirie we malaika,kwanza kiredio hana kosa lolote hapo huyo mdada alimtafta kiredio mwenyew na unalipia challenge ya kupost ina bei yake na ambayo sio ya kupostiwa ina bei yake sasa yeye labda kalipia hela inayoruhusu video kupostiwa kwanza kabla ya challenge unaulizwa kama unataka ipostiwe amah laah 😂🙌sasa mwenzetu alitak aonekane social media ndo kimemramba

  • @swalharajab8365
    @swalharajab8365 หลายเดือนก่อน

    Huyu mshenzy naomba account yake nikamchambe huko huko ....maan hapa hatoon comment yangu shenzy kabisaa😂....embu atupishe huko na ka beg kakee cha take away😂😂nyoko wew oman where oman which ...oaman hiii tulipo au oman ya tandika😂😂....mwone vile

  • @MaryamHamisi-r4o
    @MaryamHamisi-r4o หลายเดือนก่อน

    Kama Kiredio kakuchafua ulimtafuta wa nn akufanyie hiyo kazi?

  • @NewadyNzuyu
    @NewadyNzuyu หลายเดือนก่อน

    Oy nyie humu ndamu uyu dem munamuelew kweli mbon anachangnya mafaili❌❌

  • @mauwabanda2746
    @mauwabanda2746 หลายเดือนก่อน

    Anatafuta kiki mitandaoni hakuna lolote muongo mmoja

  • @KassimuAyoub
    @KassimuAyoub หลายเดือนก่อน

    Mpuuz huyu sasa kiredio alimtafta yy au yy ndo almtafta kiredio. Ata hvyo kiredio bila kupost atakula kwa frenk au. Ajichukie yy kwanza

  • @kabonakabona8121
    @kabonakabona8121 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 we dada umeyataka kwani kiredio alikutafuta au ww ndo ulimtafuta

  • @silahimumsuya9664
    @silahimumsuya9664 หลายเดือนก่อน

    Sister mshukuru kiredio katoa funzo kubwa sana kwa wengine ila kiredio hana kosa usim block

  • @yonastembela3363
    @yonastembela3363 หลายเดือนก่อน

    Naomba boda nimlipe

  • @harundouglas1633
    @harundouglas1633 หลายเดือนก่อน

    Usimlaumu Kiredio, kwani kutengeneza video inagharimu hela nyingi, Sasa kama asinge post hela yake ingerudije?

  • @JenniferTaitus
    @JenniferTaitus หลายเดือนก่อน

    nikweri wanaume weupe niwamalaya

  • @user-yo4bl5pc1x
    @user-yo4bl5pc1x หลายเดือนก่อน +5

    Namie nilitaka kushangaa miaka 2 Oman urudi na kibegi Cha mkononi huo ni uongo simuamini Tena kiredio😂

  • @annalaurenti5439
    @annalaurenti5439 หลายเดือนก่อน

    Dada Muongo sana Ajatoka Omani walipanga tu hao kwaza Eti kiledio Alivyo fika airport Akampigia cm uyo dada sasa Alini Alitoa wapi na Wife ipo juu ukishuka Chini Akuna wifi

  • @driecullen
    @driecullen หลายเดือนก่อน +1

    Mwishoni kakubali😂😂😂

  • @silahimumsuya9664
    @silahimumsuya9664 หลายเดือนก่อน

    Alafu Dadaangu yule dada ulie mkuta na mpenzi wako ana lisabufa likubwa kumbe kalipandisha na hela zako 😢😢😢

  • @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
    @SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct หลายเดือนก่อน

    Point mwanaume mweupe anapenda kulelewa

  • @rostermwakimata81
    @rostermwakimata81 หลายเดือนก่อน

    Madam Sasha K yako kama ya ng'ombee

  • @saeaaa8571
    @saeaaa8571 หลายเดือนก่อน

    We naye kam mwehu promax vile, Yan kiredio umtafut mwenyew halaf leo uje mlaumu uko sawa kweli wew au