RECAP: MAPUNGUFU SHOW AFRO NATION, DIAMOND ALIBANIWA WANIGERIA?? HAWA NDIO WAMILIKI WA TAMASHA HILO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 มิ.ย. 2024
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 33

  • @user-jd6vr9xw1o
    @user-jd6vr9xw1o 6 วันที่ผ่านมา +5

    Asante broo huyo ndo ukweli ,tunapashwa tujifunia

  • @user-jd6vr9xw1o
    @user-jd6vr9xw1o 6 วันที่ผ่านมา +9

    Show ya Diamond ilikua poa , vibe ilikua nzuri muache majungu mashabiki ,ametuakilisha wa TZ

    • @amyboyfighter7281
      @amyboyfighter7281 6 วันที่ผ่านมา +4

      Wamejaa majungu tu kusifia aaaaaaa

    • @Luckreadyog
      @Luckreadyog 6 วันที่ผ่านมา +3

      Ye mwenyewe amesema kama aija pita sawa

  • @kalistuschaula
    @kalistuschaula 6 วันที่ผ่านมา +5

    ndoo maana nakubali❤

  • @CamweziKarrashnekov
    @CamweziKarrashnekov 6 วันที่ผ่านมา +6

    Kama aliimba mchana sawa ila huwo usiku mbona hatujawaona wao wakiperform ? Diamond is our King

  • @elvisceruvoyageur6998
    @elvisceruvoyageur6998 5 วันที่ผ่านมา +2

    Mu na sema sana week iliyo pita wa bongo wali anza shindanisha king Fally Ipupa Na dogo Diamond Waka sahabu kama Diamond ni mu njukuwu wa Congo kwenye music 🇨🇩 Fally Ipupa best artist afronation 2024

  • @paizinhosaide-cv9pm
    @paizinhosaide-cv9pm 5 วันที่ผ่านมา +1

    Nakupenda bure kaka

  • @Chrisblaze-beats
    @Chrisblaze-beats 5 วันที่ผ่านมา +1

    Show mbovu acha ushamba. We ulitaka wapande na mageneza kama bongo😂😂

  • @lincolnodewa7785
    @lincolnodewa7785 5 วันที่ผ่านมา +1

    Niliwaambia jamaa kameisha..tutegemee Harmonize

  • @AugustinMuswabantu
    @AugustinMuswabantu 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ttz uelewaji wenu ni mdogo, mond akishavuka africa ukubwa wake unaisha akishakuwa ulaya yeye anakuwa wa kaiwaida sana.

  • @user-ip4ie7pt6i
    @user-ip4ie7pt6i 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kwama kuna watu wana mchukia Diamond basi na watuletee msanii wanaompenda wao wampeleke kimataifa ili tum support aende mbele.

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 5 วันที่ผ่านมา +1

    Diamond anastahili BET na Gamy sema sisi kama nchi hatuna muwakilishi wa kuchombeza wala kupambania ikiwa na maana ya utaifa. Basata wote machawa hakuna hata mtu wa kujiongeza awasemee wasanii wetu kimataifa

  • @albertonyangaresi1971
    @albertonyangaresi1971 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona diamond asi tangaze show ....huko ....

  • @yussufritzy7684
    @yussufritzy7684 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ndugu yetu inaonesha ww ndio hukumuelewa Diamond alivhokisema,, m rudi ukamsikilize tena

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 5 วันที่ผ่านมา +1

    Yan komasava kuhit tu ndio daina moo kashajiona mkubwa tayar kushindana na wanaijeria...huyo bado mtoto mdogo sana kwao!

  • @user-gf4zp4si6x
    @user-gf4zp4si6x 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka LECTURE

  • @waidiyoyadagospelsmusicofficia
    @waidiyoyadagospelsmusicofficia 3 วันที่ผ่านมา

    Sasa Hao wanao lala Mika? Si wapeleka wasani wawo tuone na wawo watafanya aje ??

  • @m___ck799
    @m___ck799 5 วันที่ผ่านมา +1

    Kwenda huko.....Wanigeria wangekuwa wanataka kumweka chini sasa kwanini wamwalike?? Kuna wasanii wangapi Africa hata East africa wako better zaid ya Diamond! Huna point, sura baya toka hapaa

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 5 วันที่ผ่านมา

      Disconnect 😂😂

  • @user-jw6uz5oj6h
    @user-jw6uz5oj6h 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe unahongeya usiyo yajuwa mana île show aliyeuwa saaana alikuwa msanii kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩💪 Fally Ipupa aliyefata alikuwa kutoka marekani NIKI NAJI ao wote wasanii wanigeria ndo wanafata kbs diamond platnumz bado saaana akuna kitu pale.

  • @VitusEmmanuel-pe3yi
    @VitusEmmanuel-pe3yi 5 วันที่ผ่านมา +1

    Acha ujinga ww diamond kachezea povu ukwel lazima uxemwe mxanii wenu nje bado mdogo xana

    • @user-ip4ie7pt6i
      @user-ip4ie7pt6i 5 วันที่ผ่านมา +1

      Kwani ni nani alikuambia diamond mkubwa?

  • @AugustinMuswabantu
    @AugustinMuswabantu 5 วันที่ผ่านมา

    Acha kuongea utumbo eti wanajipa kipaumbele.

  • @user-cr8rx7wt8e
    @user-cr8rx7wt8e 6 วันที่ผ่านมา +3

    Acha awongo damond kacezeya poa,naskiya nakuchukiya sema ukweli tatizo sio juwa tatizo watu wacace ,,hawakujali shoo ya diamond,,,,uko mjinga

    • @MuddyKazuba-en4mz
      @MuddyKazuba-en4mz 6 วันที่ผ่านมา +2

      Kaa kimy mrundi wewe

    • @ShabanKarim-tv3vn
      @ShabanKarim-tv3vn 6 วันที่ผ่านมา +2

      Wewe.ndio mjinga mkubwa

    • @user-jh9yv1zp1l
      @user-jh9yv1zp1l 5 วันที่ผ่านมา +1

      Kaa kimy mmajonde ww roho kam korosho,tufany haijajaa watu hela ulipat ww

  • @sheilacruz6458
    @sheilacruz6458 6 วันที่ผ่านมา +2

    Nyinyi ndio mnamdagayaga diamond ndio akifika uko nje anachezea za uso wewe unaka hapo huoni tatizo alafu una expect msanii awe mkubuwa mbona fally ipupa ka perfom usiku na sio mnaigeria

    • @user-ip4ie7pt6i
      @user-ip4ie7pt6i 5 วันที่ผ่านมา +1

      Unakua na hasira mpaka una kosea kuandika😅

    • @sheilacruz6458
      @sheilacruz6458 5 วันที่ผ่านมา

      @@user-ip4ie7pt6i huyo mtagazaji ana boa sana diamond msani mkali na mkubuwa lakini anafanya makosa mtagazaji anamsifia badala amkosoe ndio arekebishe awajilishe nchi

    • @rashidingole1588
      @rashidingole1588 5 วันที่ผ่านมา

      Kwani ile show ya diamond? Ile show Ni kwa wasanii wote, na wamelipwa, na watu wametoa vingilio vyao, ukubwa au udogo wa msanii hauwezi kupimwa hapo, ingekuw show yake mwenyew alafu acngejaza watu, ndo tungeweza kusema! Lkn hapo ni kawaida tu....