ALIKIBA ATOA YA MOYONI KUHUSU DIAMOND UNAWEZA UKAWA UNAPENDWA HUJUI UNAPENDEWA NN SHOW MCHANA BALAA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 มิ.ย. 2024
- Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny - บันเทิง
Tuna subiri matokeyo tu maana nimerudiliya Mara kaza ALAFU king challenge zidanyike iyi nyimbo Yaki mataifa sana from Congo naomba liké zangu ata 10
King leo nmekuelewa sass ntaanza kukusapoti sass umekuwa
Alikiba tokea uanzishe media umebadilika bravo 👍
King unabusara ya kikubwa ,umeongea point kuhusu Diamond
Natamani mondi na kiba kufanya kazi moja tu.
Maisha haya yanahitaji Sana busara na busara siku zote ukuweka sehem Salama na kukufanyia ueleweke Zaidi ata kwaasiekuelewa,, roho nzuri Ni mtaji WA maisha. Utu uzima dawa nmefurahi kuskia maneno mazuri King Kiba.. Tanzania ndio nchi yetu.. ❤Big up kaka
Hakuwa hivi huyu mnaonielewa mnanielewa hata diamond alivyoanza kuingia kwenye cooperate issues akaanza kumzungumzia Ali positive so Hawa wote Wana chuki zao wanazijua wenyewe
Hakuna Chuki Personal Ni Biashara 2 brother
Nacheka neno "Hakuwa hivi"😂😂
Kwanzia Leo naku follow 💪💪💪💪
Pamoja kiba umeongea vizuli sana
Nakubali king umetisha sanaaa mzeee one love
Nimekupenda Sana Alikiba wewe ni kaka wa Diamond ❤❤❤❤❤❤
Kum e umeloona jlo kia kba n kaka mond anatakiwa amhexhmu pia❤❤❤❤❤❤ love sana kaka me napenda kukuita tiger
Nice one kiba❤
🙏 leo Alikiba narudia kuwa shabiki yako kwaku muunga mkono Diamond maana Diamond ana roho nzuri angalia watoto alio watowa kina rayvanny huyo mwengine asie kuwa na shukrani
Ila Alikiba Ungana na kijana mwenzako mpeperushe bendera ya inchi Tz
Kwel kiba ww n kjana songa mbele babaaaa
Alikiba amejugunduwa sasa apa ni rapa toka 🇨🇩
Kaka wa mziki kikubwa zaidi asante
🎉🎉
Umezungmza vzl
sawa sawa king kiba tujenge tanzania sisi ni wale wale
Kiba mi siyo fany wako ila kwa mahojiano haya umenivuta. Kafanye tu challenge ya Komasava , kusema kweli itatrend kuliko hata ile ya brown
sawa king kiba
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
King kichwa sana mkali,
Glad
God's plan
Kiba hapo sijui ilikuaje Mzee Kuna ulakin Ila freSh leo umenirudisha kidogo
Kiba umeogea poa sana bro
Kiba amekuwa 🎉
Usikubali kufanya músic na damond ni mchawi Ana kutafuta ashushe laki akuwezi❤
Ma lofa mpo wengi 😂
We fala kwel
Hapana ushukumu kabla hujahkumiwa mpendwa kiba n kaka mond et in tanzania
Umeongea
Wasanii wangu pendwa kabisa ni mondi, kiba, afande sele na blue. Na wengine pia nawakubali
NOW DAYS WASANII WANANYOOSHEANA ROHO👍👍
Hiyo ndio maana ya kuwa mfalume
Mi natka colabo yenu
Rahaaaa....kukuwa na busara
Kabisa
Ali kiba kakua sasa
utukubali tu WCB alokua hmkubal simb ni mchawi
2:10 2:14
Waandishi umewashuka hawajapata walichokipata
🎉🎉🎉
Imeisha hiyo king amesema bas tumefunga ilo 😊